RSS Amplifier

Blog

Mwalimu Makoba

Mwalimu wa Walimu na Wanafunzi

mwalimumakoba.co.tzSource feed ↗10 posts

Live Last read · last published · next check

Written by

Latest posts

Industrial Revolution in the 18th and 19th Centuries All Questions Solved

Maswali haya yanaangazia maeneo 20 yanayoweza kutoka katika mtihani wako wa mwisho. ukiweza kuyajibu maswali haya, hakuna swali jipya litakusumbua na utaweza kufaulu mtihani huu wa mtaala mpya: 1. Compare and contrast the working conditions in cottage industries with those in early factories during the industrial revolution. Cottage industry production was locally organized and took place at home,…

Industrial Revolution in the 18th and 19th Centuries History Form 5

The 18th and 19th centuries saw the transformative impact of the Industrial Revolution. The period was characterised by: - Rapid technological advancements - Economic growth - Profound changes in the society The concept of industrial revolution Industrial revolution refers to a series of technological changes and innovations that transformed industrial production from cottage to factory system…

Uhakiki wa Diwani ya Malenga Wapya

Mwandishi: Taasisi ya Kiswahili, Zanzibar Wachapishaji: Oxford University Press MWAKA: 2001 Mhakiki: Mwalimu Makoba Kuhusu Malenga Wapya Malenga wapya ni diwani ambayo inaangazia yale yanayotokea katika jamii. Inaangazia mambo mbalimbali yanayohusu siasa, mapenzi , uchumi, jamii na mengine mengi. Maudhui Vipengele mbalimbali vya maudhui vinajadiliwa, miongoni mwavyo ni: Dhamira Malenga hawa wapya…

Nutrition in Animals | Biology Form Two Topic 1

Animals get their food from plants or other animals. They exhibit a heterotrophic mode of nutrition. i n this chapter, you will learn about animal nutrition which include food nutrients. The competences developed will enable you to maintain good eating habits so as to enhance general body health and well-being. This tendency will enable you to avoid the risks of getting nutritional diseases and…

Maswali 100 Usaili Mkaguzi Daraja la II NAOT Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi

Vijana wenye sifa mbalimbali wameitwa katika usaili wa Investigation Officer II NAOT. Wote hawa wanasumbuliwa na swali moja, maswali ya usaili wa mchujo investigation officer II yanatokaje? Kabla hujajibu swali la kwanza, linaibuka swali la pili, maswali haya yanatoka kwa lugha gani? Swali la pili ni jepesi kuliko swali la kwanza. Maswali yanaweza kutoka katika lugha yoyote kati ya Kiswahili au…

Uhakiki wa Riwaya ya Wasifu wa Siti binti Saad

Wasiliana na Mwalimu ili Kujiunga Darasa la Uhakiki wa Vitabu vyote vya Fasihi Mtaala Mpya kwa Kugusa Hapa Mwandishi: Shaaban Robert Mhakiki: Mwalimu Makoba Utangulizi Wasifu wa Siti binti Saad ni riwaya inayozungumzia maisha ya Siti, mwanamke aliyeutangaza mziki wa taarabu duniani kote. Wasifu ni riwaya ambayo huandikwa na mwandishi mwingine akisimulia maisha ya mtu fulani. Maisha ya Siti…

Pan Africanism | History Form Five Topic 1

The development of Pan-Africanism in Africa is directly linked to the history of the development of capitalism in Europe and the Americas. The concept of Pan-Africanism The term Pan-Africanism is derived from two words: ‘pan,’ meaning all, and ‘Africa,’ meaning the continent. Pan-Africanism is a belief that African people have much in common, including common identity, common culture, common…

Pan Africanism All Questions | History Form Five Topic 1

Haya ni maswali 18 ya lazima katika topic ya Pan Africanism. Uki ‘solve’ maswali haya, hakuna swali jipya litakusumbua katika mada hii ya kwanza na ya lazima katika somo la History Kidato cha tano. Hii ni muhimu kwa wanafunzi wanaojiandaa na mtihani wa kidato cha sita, lakini ni muhimu kwa walimu wanaowaandaa wanafunzi hao. Mtaala umebadilika, na somo la history nalo limebadilika. Zamani tulizoea…

Uhakiki wa Riwaya ya Joka la Mdimu

Mwandishi: Abdallah Saffari Mhakiki: Mwalimu Makoba Simulizi kwa ufupi Joka la mdimu ni aina ya nyoka ambaye hukaa katika majani ya kijani. Kwa kuwa nyoka huyu hufanana na majani, ni ngumu sana kumtambua. Joka hili la mdimu linafananishwa na viongozi. Viongozi hawa wanafanana na sisi kwa kila kitu hivyo ni vigumu mno kutambua hatari yao ya uongozi mbaya, rushwa, mauaji na ulaghai. Cheche anaumia…

Uhakiki wa Tamthiliya ya Usaliti Mjini

Wasiliana na Mwalimu ili Kujiunga Darasa la Uhakiki wa Vitabu vyote vya Fasihi Mtaala Mpya kwa Kugusa Hapa Mwandishi: Francis Imbuga Mwaka: 1976 Mhakiki: Mwalimu Makoba Simulizi kwa Ufupi Tamthiliya hii inahusu harakati za wanajamii kupigania haki ikiwamo kupambana na uongozi mbaya uliokithiri. Wanafunzi wanafanya maandamano kupinga uongozi mbaya, katika maandamano hayo wanafunzi wengi wanauawa,…