NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Atupele Mwambene ametoa wito kwa walimu walioshiriki mafunzo ya somo la Elimu ya Biashara kuonesha ushirikiano kwa walimu wataowakuta katika vituo vyao vya kazi ili kuwasaidia watoto katika malezi pamoja na ujifunzaji. Ametoa wito huo leo Agosti 21, 2026 wakati akihitimisha mafunzo ya somo la Elimu ya Biashara kwa walimu wa kujitolea…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiomba Serikali kuongeza ruzuku kwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), ili kuwezesha kuongeza kasi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya watumishi wa umma nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Selemani Kakoso, wakati wa ziara ya kukagua miradi ya nyumba za watumishi inayotekelezwa na TBA katika maeneo ya Kisasa na Nzuguni jijini Dodoma,…
Na Oscar Assenga, TANGA Programu ya Tanga Yetu imeendelea kuwa chachu ya maendeleo kwa vijana na watoto wa Jiji la Tanga, kupitia miradi inayolenga kuimarisha elimu, ujuzi, teknolojia na ubunifu kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii. Akizungumza katika Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu, Afisa Mawasiliano wa Programu ya Tanga Yetu, Cliford Sangai , alisema programu…
Na Mwandishi Wetu - DAR ES SALAAM Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki, ametoa maelekezo manne kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), akitaka Awamu ya Pili ya Mradi wa Faiba Mlangoni Kwako (FTTH) iwanufaishe wananchi kupitia huduma yenye ubora, uhakika na gharama nafuu. Mhe. Kairuki alitoa maelekezo hayo wakati akizindua rasmi utekelezaji wa…
Mameneja wa Kanda na Mikoa wa Taasisi za Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Tume ya Ushindani (FCC) pamoja na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) wameagizwa kuhakikisha hakuna bidhaa bandia na duni katika maeneo yao wanayoyasimamia kiutendaji. Maelekezo hayo yametolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Balozi Waziri Rajab Salum, wakati wa kikao cha menejimenti za Tume ya Ushindani…
Kariakoo, 20 Agosti, 2026 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kikodi Kariakoo imeimarisha ushirikiano na uongozi wa Mabalozi Jengo kwa lengo la kuwafikia walipakodi na wadau mbalimbali kwa ufanisi zaidi. Hayo yamejadiliwa katika kikao kazi kilichofanyika leo katika Ofisi za Gerezani-Kariakoo, ambapo pande zote zimejadili namna ya kutoa elimu ya kodi, kusikiliza changamoto za walipakodi na…
Amani ya akili na usingizi mwanana usiku ni haki ya kila binadamu, lakini pale usiku unapogeuka kuwa uwanja wa mateso na ndoto za kutisha, maisha yote hugeuka kuwa jinamizi. Kwa zaidi ya miaka miwili, nilikuwa nikiteseka sana kila nilipoweka kichwa changu kitandani. Nilikuwa nikoota ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali, kuogelea kwenye maji machafu, kula chakula usiku, au kukabiliwa na watu…
Kushirikiana vyema na majirani zako wa karibu ni msingi mkuu wa amani na usalama nyumbani, lakini pale unapozungukwa na majirani wenye chuki, maneno ya shombo, na fitna zisizo na msingi, nyumba yako hugeuka kuwa uwanja wa mateso. Kwa zaidi ya miaka miwili, nilipitia maisha ya ubaguzi na kelele zisizokwisha kutoka kwa majirani zangu wa mtaani. Kila nilipofanya maendeleo madogo iwe ni kukarabati…
Kinshasa, 17 Agosti 2026: Airtel Africa imeandika historia baada ya kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiliano barani Afrika kuzindua kibiashara intaneti ya satelaiti kwa simu nchini Jamhuriya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ikifungua ukurasa mpya katika upatikanaji wa mawasilianokatika maeneo yasiyofikiwa na minara ya kawaida ya simu. Huduma hiyo, inayotolewa kupitia ushirikiano kati ya Airtel Africa na…
Uwekezaji kwenye kilimo na ufugaji unahitaji jasho, mtaji, na matumaini makubwa ya kuvuna matunda ya kazi yako. Hata hivyo, pale ambapo shamba lako linageuka kuwa uwanja wa magonjwa ya ajabu ya mifugo na uvamizi wa wizi wa kila siku, juhudi zako zote hugeuka kuwa hasara na simanzi kubwa. Kwa zaidi ya msimu mitatu, niliwekeza mamilioni ya fedha kwenye kilimo cha mboga mboga na ufugaji wa kuku na…
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Aggrey Mwanri, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) nchini Tanzania, Ndugu Xu Sujiang, huku akisisitiza dhamira ya CCM ya kuendelea kuimarisha uhusiano wa kihistoria na wa kimkakati kati ya vyama hivyo viwili. Kikao hicho kimefanyika leo Agosti 20,2026 katika Makao Makuu ya CCM, Dodoma,…
Na.Mwandishi Wetu- Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake na kuitaka kuharakisha matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRS) katika zao la parachichi ili kuongeza tija kwa wakulima. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Deodatus Mwanyika, ametoa pongezi hizo leo Agosti…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, kupitia Mwenyekiti wake Mhe.Deodatus Mwanyika, ameipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na taasisi zake kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake ya udhibiti ubora kwa ufanisi . Mhe. Mwanyika amesema kuwa juhudi zinazofanywa na TBS katika kuhakikisha usalama na ubora wa bidhaa zinazotumiwa na Watanzania zinaonekana, sambamba na…
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,Biashara,Kilimo na Mifugo imeipongeza TBS kwa kutekeleza majukumu yake ya udhibiti ubora kwa ufanisi. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Deogratias Mwanyika kwaniaba ya kamati wakati wa kikao cha Kamati cha kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu,katika, ofisi za Bunge Jijini Dodoma mapema leo. Mhe.Mwanyika amesema juhudi zinazofanywa…
-Yafurahishwa na Mradi wa Kituo cha Gesi Asilia kwa matumizi ya Nishati Safi Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Machano Othman Said, imezuru Ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Agosti 20, 2026, kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika uhifadhi na…
Na Mwandishi Wetu - Tanga Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, ameitaka Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kuongeza nguvu katika utoaji wa elimu kwa umma ili kujenga uelewa sahihi kuhusu teknolojia ya nyuklia na kuondoa hofu pamoja na dhana potofu miongoni mwa wananchi wanaohusisha teknolojia hiyo na utengenezaji wa mabomu ya nyuklia. Prof. Nombo ametoa…
Kupata mpenzi sahihi wa kujenga naye maisha na kuanzisha familia ni ndoto ya kila mwanamke, lakini pale kila mahusiano yanapovunjika ghafla hasa unapokaribia hatua ya ndoa, maisha hugeuka kuwa mateso na aibu kubwa. Kwa zaidi ya miaka saba, nilijikuta kwenye mzunguko wa ajabu na wa kikatili. Nilianzisha mahusiano na wanaume tofauti, wote wakionyesha nia ya dhati ya kunioa. Lakini kila tulipofikia…
Kufanya kazi kwa uaminifu, kujituma, na kujitoa kwa kampuni kwa miaka mingi ni jambo linalopaswa kumletea mfanyakazi yeyote matunda na maendeleo. Hata hivyo, pale unapojikuta umekwama kwenye nafasi ile ile ya chini kwa miaka nane bila kuongezewa mshahara wala kupandishwa cheo, maisha ya kazi hugeuka kuwa unyonge na mateso ya kisaikolojia. Katika oparesheni za kila siku za ofisi yetu, mimi ndiye…
Kuanzisha biashara na kuwekeza mtaji wako wote ni hatua kubwa ya kujitafutia maendeleo, lakini pale biashara hiyo inapodorora na kukaa miezi kibao bila kupata mteja hata mmoja, maisha hugeuka kuwa mzigo mzito wa madeni. Nilifungua duka langu la nguo na vipodozi nikitarajia kupata faida kubwa ya kuendesha maisha yangu na familia. Hata hivyo, miezi michache baada ya kufungua, mambo yalibadilika…
Morogoro Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Sekta ya Maji, Afya na Usafi wa Mazingira, umeanza rasmi mchakato wa kuandaa Mkakati wa RUWASA wa Menejimenti ya Tope Kinyesi (Faecal Sludge Management Strategy), unaolenga kuweka mfumo madhubuti, salama na endelevu wa menejimenti ya tope kinyesi katika maeneo ya vijijini. Akifungua Kikao Kazi…