Nenda kwa yaliyomo

Wonton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
sambusa za kichina

Sambusa za Kichina,ni aina yakipande cha unga kilichojazwa nyama au mboga chenye asili kutoka Uchina, ambacho kinapatikana sana kwenye mapishi ya maeneo mbalimbali nchini humo.Pia huitwa wantan, wuntun, au wenden kulingana na matamshi ya kilugha cha Cantonese au Shanghai. Hata hivyo, ingawa kuna aina nyingi tofauti za sambusa za kichina zinazoliwa nchini Uchina, sambusa za mtindo wa Cantonese ndizo maarufu zaidi sehemu za magharibi. Hii ni kwa sababu migahawa mingi ya Kichina iliyoko nje ya nchi inafuata mtindo huo wa Cantonese.[1][2][3]

  1. "Wonton", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2026-05-31, iliwekwa mnamo 2026-07-25
  2. "Wonton Soup Recipe - Simple Chinese Food". simplechinesefood.com. Iliwekwa mnamo 2026-07-25.
  3. "Wonton", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2026-05-31, iliwekwa mnamo 2026-07-25