John Chishull
Mandhari
John Chishull au John de Chishull (alifariki mwaka 1280) alikuwa Lord Chancellor wa Uingereza, Askofu wa London, na Lord High Treasurer katika karne ya 13. Pia alihudumu kama Mkuu wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |