RSS Amplifier

Blog

ZANLIGHT BLOG

zanlight.co.tzSource feed ↗10 posts

Live Last read · last published · next check

Latest posts

Wildlife Park Mpya Kufungua Milango Ya Ajira Na Biashara Zanzibar

Uhifadhi wa wanyamapori unaendelea kupewa nafasi muhimu Zanzibar huku juhudi kubwa zikielezwa katika kuunganisha uhifadhi, utalii na fursa za uwekezaji katika kukuza kiuchumi kwa wananchi na jamii kwa ujumla. Akizungumza na mwandishi wa habari, Mhifadhi Wanyamapori Mkuu na Mkuu wa Kanda Maalum ya Kituo cha Utalii Zanzibar kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania Dkt. Gladstone Fanuel…

Elimu Jumuishi Iwe Daraja La Fursa Sawa Kwa Watu Wenye Ulemavu

Na Ahmed Abdulla: Elimu ni haki ya msingi kwa kila mwanadamu, bila kujali hali yake ya kimwili, kiakili au kihisia. Kwa kutambua umuhimu wa haki hiyo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wakiwemo Idara ya Maendeleo ya Jamii ya Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar kupitia Mradi wa Uwezeshaji wa Jamii kwa Ajili ya Haki za Binadamu na Utawala Bora unaotekelezwa na…

Utelekezaji Wa Watoto Ndani Ya Familia Bado Ni Changamoto Inayohitaji Hatua Za Pamoja

Na Ahmed Abdulla: Utelekezaji wa watoto ndani ya familia umeendelea kuwa miongoni mwa changamoto zinazozikabili familia nyingi nchini, huku ukiathiri ustawi wa watoto, wanawake na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Licha ya kuwepo kwa sheria zinazolinda haki za watoto, bado wapo watoto wanaokosa matunzo, malezi na huduma muhimu kutokana na baadhi ya wazazi au walezi kushindwa kutekeleza wajibu wao.…

Vijana Nguzo Ya Utawala Bora Na Maendeleo Endelevu

NA AHMED ABDULLA: Mapema asubuhi katika kituo cha bodaboda Mahonda, Salum Juma anajiandaa kuanza safari za kuwahudumia abiria wanaokwenda kwenye shughuli zao za kila siku. Wakati akisubiri wateja na kufanya safari mbalimbali, Salum hupata muda wa kushiriki mikutano ya kijamii na shughuli za maendeleo katika shehia yake. Anaamini kuwa vijana hawapaswi kuwa watazamaji wa masuala yanayohusu maendeleo…

TAMWA-ZNZ Yawapiga Msasa Wadau Wa Kupinga Udhalilishaji Na Ukatili Kwa Wanawake Na Wasichana

Na Tatu Juma Zanzibar, Chama cha waandishi wa habari wanawake Tamwa Zanzibar kinaendeleza juhudi ya kupambania kutoweka kwa vitendo vya udhalilishaji Zanzibar. Akizungumza na mwandishi wa habari za mitandaoni huko Ofisini kwao Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja Afisa Programu kutoka chama hicho Asia Hakimu Makame katika hafla ya mafunzo ya siku mbili ya vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake na…

TAMWA-ZNZ Yawapa Darasa Waandishi Wa Habari Dhidi Ya Udhalilishaji Zanzibar

Na, Tatu Juma: Waandishi wa habari wametakiwa kuongeza juhudi katika kuibua na kuripoti matukio ya udhalilishaji na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana, ili kusaidia kubadili mitazamo ya jamii na kupunguza vitendo hivyo vinavyoendelea kuathiri maisha ya watu wengi. Wito huo umetolewa na mwanachama mkongwe wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania upande wa Zanzibar…

Mafanikio Ya Mradi Wa Zanzi Adapt Katika Kisiwa Cha Uzi Na Ng’ambwa.

Na Ahmed Abdulla,Zanzibar Katika mwambao wa bahari ya Uzi na Ng’ambwa ambako kilimo na uvuvi vimekuwa uti wa mgongo wa maisha ya wengi katika maeneo hayo ambapo wananchi wa jamii hiyo hujitafutia riziki na kipato kupitia shuhuli za uvuvi na kilimo. Kupitia shuhuli hizo hususan katika sekta ya kilimo kumekuwa na mabadiliko makubwa ya mafanikio yaliyochochewa na mradi wa Zanziadapt ambao kwa upande…

Safari ya Uzi Kuokoa Mazingira Kupitia Mradi wa ZanzAdapt

Na Ahmed Abdulla,Zanzibar Miaka kadhaa iliyopita, pwani za Unguja zilianza kubeba alama za majeraha ya muda mrefu. Mikoko ilikatwa hovyo kwa ajili ya kuni, maeneo muhimu ya kuzaliana samaki ikaharibiwa, na fukwe kuporomoka taratibu. Wanawake waliotegea bahari kama chanzo cha kipato walianza kulalamika kupungua kwa kaa na kamba pamoja na viumbe vyengine vya baharini, huku wavuvi pia wakirudi…

Misi Faki: A Woman with a Disability Leading Climate Adaptation in Pemba

By Khelef Nassor Misi Mwalimu Faki is a woman farmer from Gombeume Mchangamdogo village in Pemba who, despite living with a physical disability, is actively engaged in climate adaptation through agroforestry. Her work challenges deep-rooted assumptions about disability, gender, and who can lead climate action at the community level. At 58 years old , Misi Mwalimu Faki is a woman with a physical…

From Selling a Cow to Buying Land and Leading Climate Adaptation: Asha’s Agroforestry Journey

By Khelef Nassor Asha Ali Hamad is a farmer from Kiuyu Minungwini village, Pemba, who is playing an active role in climate adaptation through agroforestry. By managing her own land and integrating food crops with tree planting, she demonstrates women’s leadership in adaptation at household and community level. Asha is a wife and a mother of seven children, two boys and five girls. Like many women…