Dar es Salaam – Msanii wa vichekesho, muigizaji na mtayarishaji wa maudhui ya kidijitali ChardTalent amesema ameamua kujenga njia yake mwenyewe kwenye burudani kwa kuunganisha muziki na ucheshi kupitia mtindo anaouita Sing-a-Laugh. ChardTalent ana zaidi ya wafuasi milioni 1.1 kwenye TikTok, 562,000+ Instagram na 428,000+ Facebook. Pia ni miongoni mwa wasanii wanaotumbuiza kwenye jukwaa la […] The…
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linaendelea kuhimiza ushiriki wa wadau mbalimbali katika uhifadhi na usimamizi wa mazingira, likieleza kuwa mafanikio katika sekta hiyo yanategemea ushirikiano wa wananchi, taasisi za umma, sekta binafsi na washirika wa maendeleo. Kupitia ushiriki wake katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika katika […] The post…
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limemtambua mwanafunzi wa Darasa la Sita, Jackline Eliabi wa Shule ya Msingi Manyinga, Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, kwa uwasilishaji wake bora wa dhana ya Uchumi Mzunguko katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel […] The post NEMC Yamtambua Mwanafunzi…
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa tuzo na vyeti kwa Shule za Ssingi zinazofanya vizuri kwenye uhifadhi wa mazingira katika Mkoa wa Dar es Salaam, wakati wa sherehe za kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika Kimkoa Juni 5, 2026 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es […] The post NEMC Yatambua Shule Bora Za Uhifadhi wa Mazingira…
“Naomba mnisamehe, nilikuwa kijana na nilifanya makosa kujiunga na Barcelona” Antoine Griezmann The post Griezmann: Nilifanya makosa kujiunga Barcelona appeared first on Wasafi Media .
Halmashauri ya Mji Nanyamba imeupokea na kuukimbiza Mwenge wa Uhuru kwa mafanikio makubwa, ambapo jumla ya miradi 7 yenye thamani ya takribani shilingi bilioni 1.7 imezinduliwa, kukaguliwa na kuwekewa mawe ya msingi katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri hiyo. Miradi hiyo inalenga kuboresha huduma za kijamii na kuchochea maendeleo ya wananchi katika sekta za Elimu, Afya, […] The post Miradi ya…
Klabu ya As Far Rabat na Mamelodi Sundows kutoka Afrika Kusini zitachuana vikali kuwania Taji la Klabu Bingwa Afrika kufuatia timu hizo mbili kufuzu katika mechi zao za leo. Far Rabat wamefanikiwa kuifunga Rs Berkane kwa jumla ya magoli 2-1 huku Mamelodi na wao wakiwatoa Vigogo Esperance De Tunis. Je, timu gani uaamini itabeba Taji […] The post Ni Far Rabat dhidi ya Mamelodi fainali Klabu Bingwa…
Nyota wa Fc Barcelona, Lamine Yamal ameingia kwenye historia za vitabu vya ligi kuu Uhispania LALIGA kuwa mchezaji mwenye umri mdogo kufikisha mechi 100. Lamine ameweka rekodi hiyo kwenye mechi ya leo dhidi ya Espanyol huku akiisaidia timu yake kupata ushindi wa bao 4-1. Lamine anaandika historia hiyo huku akiwa na mchango wa magoli na […] The post YAMAL AWEKA REKODI YA KIBABE LA LIGA appeared…
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir (Mb), amekutana na kufanya Mkutano na Mheshimiwa Nomalungelo Gina, Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Jamhuri ya Afrika Kusini. Baada ya Mkutano huo, Mhe. Naibu Waziri Ameir (Mb) alifanya Mkutano naNaibu Waziri wa Elimu ya Msingi wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Dkt. […] The post Naibu Waziri Ameir (Mb) akutana na…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kifo cha Mheshimiwa William Vangimembe Lukuvi (Mb.),aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu naWenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, kilichotokea leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa,Jijini Dodoma […] The post Tanzia: Waziri…