# uganda (audio feeds) — RSS Amplifier

Recent posts from the 3 feeds in the RSS Amplifier directory that cover uganda.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/uganda/audio>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/uganda/audio.md>

---

## [Uchaguzi wa nchini Zambia, siasa za DRC, Kenya naTanzania kushika kasi](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260815-uchaguzi-wa-nchini-zambia-siasa-za-drc-kenya-natanzania-kushika-kasi?GJlXzGgqHj)

_2026-08-15 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Uchaguzi wa urais na wabunge ulivyofanyika nchini Zambia wiki hii, na sasa wananchi wanasubiri matokeo rasmi, baada ya vurugu za siku ya Ijumaa, rais wa Kenya William Ruto aliongoza mazungumzo kuhusu ruwaza ya Kenya 2060, muungano wa upinzani nchini DRC watishia kuitisha maandamano kupinga marekebisho ya katiba; tutaangazia siasa za Tanzania, Sudan, Washington kuiwekea vikwazo Iran kuhusu udhibiti…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/SEMAINE_MONDE_15-08-26.mp3?guid=b08f0e76-987d-11f1-b739-65b2820ed99c&source=GJlXzGgqHj)

## [Mahakama ya haki yaratibu vikao vya kusikiliza kesi iliyowasilishwa na DRC dhidi ya Rwanda](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260808-mahakama-ya-haki-yaratibu-vikao-vya-kusikiliza-kesi-iliyowasilishwa-na-drc-dhidi-ya-rwanda?GJlXzGgqHj)

_2026-08-08 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Mahakama ya Kimataifa ya Haki wiki hii iliratibu vikao vya kuskiliza kesi iliyowaislishwa na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo dhidi ya Rwanda, ambapo Kinshasa inaituhumu Kigali kwa kukiuka mikataba minne ya kimataifa ikiwemo mkataba wa mauaji ya kimbari, mkataba wa kupinga mateso na mkataba wa kutokomeza aina zote za ubaguzi dhidi ya wanawake.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/YALIO_JIRIWIKI_HII_08-08-26_OK.mp3?guid=b1ed2b90-9300-11f1-bd87-474c180e1155&source=GJlXzGgqHj)

## [Kuzirai kwa kiongozi wa upinzani Uganda, mahakama ya katiba nchini DRC yaamua](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260801-kuzirai-kwa-kiongozi-wa-upinzani-uganda-mahakama-ya-katiba-nchini-drc-yaamua?GJlXzGgqHj)

_2026-08-01 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Kinara wa upinzani nchini Uganda azirai akiwa mahakamani, mahakama ya katiba nchini DRC ilisema kwamba sheria iliyopendekezwa kuhusu kuandaa kura ya maoni katika nchi hiyo ni ya kikatiba, seneta wa Nairobi Edwin Sifuna autikisa mwamba wa siasa nchini Kenya kuelekea uchaguzi wa 2027, siasa za Tanzania, Sudan, na Morocco ambako wahamiaji waliamua kuogelea kuvuka kwenda ulaya, uhispania, Washington…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/YALIYOJIRI_WIKI_HII_01-08-26_OK.mp3?guid=064e6570-8d7d-11f1-95d0-f716cf42b3e4&source=GJlXzGgqHj)

## [Watu zaidi ya 20 kuuawa mashariki mwa DRC, mchakato wa katiba mpya Tanzania](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260725-watu-zaidi-ya-20-kuuawa-mashariki-mwa-drc-mchakato-wa-katiba-mpya-tanzania?GJlXzGgqHj)

_2026-07-25 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Shambulio la ADF laua zaidi ya 20 mashariki mwa DRC, ziara ya waziri mkuu Judith Suminwa huko Ituri, gavana wa zamani wa migori akutwa na hatia ya mauaji, huku rais Ruto akionya kuhusu matumizi ya wahuni kwenye mikutano ya kisiasa, siasa za Tanzania, Sudan na rais wa zamani wa Senegal Macky Sall, kuwasilisha maono yake mbele ya baraza la Umoja wa Mataifa, katibu mkuu wa UN Antonio Guteress atoa…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/YALIYOJIRI_WIKI_HII_25-07-26_OK.mp3?guid=10688776-87f0-11f1-a018-e34480b4c363&source=GJlXzGgqHj)

## [Matokeo ya uchaguzi mdogo Ol Kalou Kenya; rais wa DRC aitisha mazungumzo jumuishi](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260718-matokeo-ya-uchaguzi-mdogo-ol-kalou-kenya-rais-wa-drc-aitisha-mazungumzo-jumuishi?GJlXzGgqHj)

_2026-07-18 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni wapiga kura na wanahabari walivyoshambuliwa wakati wa uchaguzi mdogo Ol Kalau na kuzua hofu kuhusu uchaguzi wa 2027 nchini Kenya: wanafunzi wasiopungua 20 kupoteza maisha katika ajali ya barabarani kule Uganda, shambulio la waasi wa ADF huko Mangina mashariki mwa DRC, usalama kuzorota huko Sudan, ziara ya waziri mkuu wa Ufaransa Sebastien Lecornu kule Morocco,…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/SEMAINE_MONDE_18-07-26_OK.mp3?guid=bd6396a2-827b-11f1-87d2-85899a3b450f&source=GJlXzGgqHj)

## [Makubaliano kati ya Marekani na Iran kuvunjika, maandamano ya mawakili wa Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260711-makubaliano-kati-ya-marekani-na-iran-kuvunjika-maandamano-ya-mawakili-wa-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-07-11 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Yaliyojiri wiki hii ni kuvunjika kwa makubaliano kati ya Marekani na Iran, mazishi ya kiongozi wa kiroho wa Iran A.Khamenei, rais wa Tanzania Samia Suluhu kuwaonya wanaharakati dhidi ya kuchochea vurugu-wanasiasa wa upinzani, wanahabari pamoja na wanaharakati, Uganda waishi kwa hofu kutokana na vitisho vya mkuu wa majeshi, wapinzani wa jukwaa la C64 DRC walikutana na rais wa Burundi Evariste…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/SEMAINE_MONDE_11-07-26_OK.mp3?guid=aba6c9a4-7cf2-11f1-9b3f-efb3cb34a019&source=GJlXzGgqHj)

## [DRC yasherehekea miaka 66 ya uhuru, amnesty yalaani vita Sudan, mazishi ya Khamenei huko Iran](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260704-drc-yasherehekea-miaka-66-ya-uhuru-amnesty-yalaani-vita-sudan-mazishi-ya-khamenei-huko-iran?GJlXzGgqHj)

_2026-07-04 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Makala imeangazia maadhimisho ya miaka 66 ya uhuru wa jamahuri ya kidemokrasia ya Congo, kuanzishwa kwa majaribio ya dawa zizonaweza kuwa tiba ya Ebola aina ya Bundibugyo huko DRC, kufungwa kwa kituo cha televisheni cha NTV na Gazeti la Daily Moniter nchini Uganda, shirika la Amnesty International, layatuhumu mataifa ya nje kwa kuendelea kuchochea mzozo wa Sudan. Polisi nchini Afrika Kusini wazuia…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/SEMAINE_MONDE_04-07-26.mp3?guid=e10563ec-7781-11f1-b446-1727bc975e37&source=GJlXzGgqHj)

## [Maandamano ya Gen Z Kenya, ziara ya rais Ndayishimiye DRC,vifo Venezuela vyafikia920](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260627-maandamano-ya-gen-z-kenya-ziara-ya-rais-ndayishimiye-drc-vifo-venezuela-vyafikia920?GJlXzGgqHj)

_2026-06-27 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Maandamno ya vijana wa Gen Z kuwakumbuka wenzao waliouawa katika maandamano ya mwaka wa 2024 nchini Kenya, kesi ya aliyekuwa meya wa jiji la Kampala Uganda Erias Lukwago, ziara ya rais wa Burundi pia mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, jijini Kinshasa DRC, Evariste Ndayishimiye, yaliyojiri huko Sudan, Nigeria, Tunisia lakini pia mitetemeko miwili ya ardhi huko Venezuela iliyouwa watu zaidi ya 900, na…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/SEMAINE_MONDE_27-06-26.mp3?guid=5e29dda4-71f5-11f1-8961-73535119e0be&source=GJlXzGgqHj)

## [DRC na kombe la dunia, pia ebola,Gen z kuandamana juni 25 Kenya,hali ya sasa Iran](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260620-drc-na-kombe-la-dunia-pia-ebola-gen-z-kuandamana-juni-25-kenya-hali-ya-sasa-iran?GJlXzGgqHj)

_2026-06-20 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Ni wiki ambayo imegubikwa na michuano ya kombe la dunia 2026 huko Marekani, wiki hii eneo hili la Afrika mashariki na kati lilichangamka baada ya timu ya DRC Leopards kutoka sare na Ureno, virusi vya ebola na juhudi za kikanda kuudhibiti, kukamatwa kwa wakili Erias Lukwago kule Kampala Uganda, lakini pia mashambulio ya kigaidi kwenye uwanja wa ndege wa mjini Niamey huko Niger, na mkutano wa G7…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/SEMAINE_MONDE_20-06-26.mp3?guid=5bc56294-6c74-11f1-82b0-8b74c0df8ba8&source=GJlXzGgqHj)

## [Michuano ya kombe la dunia, hali ya Ebola kwenye ukanda](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260613-michuano-ya-kombe-la-dunia-hali-ya-ebola-kwenye-ukanda?GJlXzGgqHj)

_2026-06-13 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Ni wiki ambayo imegubikwa na maandamano kadhaa nchini huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, huko Nanyuki nchini Kenya, na watu kutoka nchi kadhaa za Afrika kuihama Afrika Kusini kutokana na ongezeko la chuki dhidi ya wageni, lakini kubwa kabisa wiki hii lililotikisa ulimwengu ni michuano ya kombe la dunia ya mwaka wa 2026 iliyong’oa nanga huko Marekani, Mexico na Canada, bila kuisahau ziara ya…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/SEMAINE_MONDE_13-06-26.mp3?guid=81fc86e6-66fb-11f1-91b0-d97a2bea4f62&source=GJlXzGgqHj)

## [Reach prospects with real signals (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/bIY3pFJiUP9P)

_2026-06-13 · **Sponsored**_

Find prospects talking about your problem and get context-backed moments to engage

## [Ufaransa yazindua mnara wa kumbukumbu ya genocide Rwanda, mgomo wa kitaifa DRC](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260606-ufaransa-yazindua-mnara-wa-kumbukumbu-ya-genocide-rwanda-mgomo-wa-kitaifa-drc?GJlXzGgqHj)

_2026-06-06 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Ufaransa yazindua mnara wa ukumbusho wa mauaji ya kimbari huko Rwanda kwenye jiji la Paris, wapinzani wa DRC juni 03 waliitisha mgomo wa kitaifa, watu zaidi ya kumi waliuawa katika shambulio lililotekelezwa na waasi wa ADF huko Mbau wilaya ya Beni mashariki mwa DRC tunaangazia hotuba ya rais wa Uganda kwa taifa, ziara ya rais wa Tanzania huko Urusi, Afrika kusini kudai kuwa hakuna ubaguzi wala…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/SEMAINE_MONDE_06-06-26_OK.mp3?guid=6693b394-616e-11f1-8be1-41ed2f6108b2&source=GJlXzGgqHj)

## [Wanafunzi 16 wafa katika moto wa shule ya bweni Kenya, mkuu wa WHO azuru DRC](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260530-wanafunzi-16-wafa-katika-moto-wa-shule-ya-bweni-kenya-mkuu-wa-who-azuru-drc?GJlXzGgqHj)

_2026-05-30 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Wanafunzi kadhaa kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika shule ya Sekondari ya wasichana Nakuru nchini Kenya, ziara ya mkurugenzi mkuu wa shirika la afya duniani WHO, Uganda kutangaza kuufunga mpaka wake na DRC, hali nchini Sudan, huku Nigeria, kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi Januari mwaka ujao, na pia ripoti zinasema Marekani na Iran zakubaliana kuongeza usitishwaji wa vita…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/SEMAINE_MONDE_30-05-26.mp3?guid=64ff2c12-5bf0-11f1-b287-531a54af67a4&source=GJlXzGgqHj)

## [DRC yashirikiana na WHO, AU kupambana na Ebola, sitisho la mgomo wa madereva Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260523-drc-yashirikiana-na-who-au-kupambana-na-ebola-sitisho-la-mgomo-wa-madereva-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-05-23 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Habari kuu za dunia wiki hii ni pamoja na kuzuka kwa mlipuko wa ugonjwa hatari wa ebola, DRC na juhudi za kimataifa zinazolenga kupambana na virusi hivyo, mkutano wa Kigali kuhusu nyuklia, mgomo wa madereva wa usafiri wa umma ulivyoathiri wananchi, Kenya, hali nchini Sudan ; lakini pia wahamiaji wasio na vibali wanavyohangaishwa kule Afrika kusini, ziara ya rais wa Urusi kule China ; lakini pia…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/SEMAINE_MONDE_23-05-26_OK.mp3?guid=cfd651ac-566c-11f1-82bb-3b1aa7a20aef&source=GJlXzGgqHj)

## [Yoweri Museveni aapishwa muhula wa saba Uganda, kongamano la Afrika forward Nairobi](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260516-yoweri-museveni-aapishwa-muhula-wa-saba-uganda-kongamano-la-afrika-forward-nairobi?GJlXzGgqHj)

_2026-05-16 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Miongoni mwa habari kuu za dunia zilizopewa uzito juma hili ni pamoja na kuapishwa kwa rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa muhula wa saba, kufanyika na kutamatika kwa mkutano wa Afrika na Ufaransa jijini Nairobi nchini Kenya, kauli ya rais wa Rwanda Paul Kagame akikosoa vikwazo vya Marekani kuhusu nchi yake, eneo la Afrika magharibi hususan Nigeria, Ghana na Mali, lakini pia Ziara ya rais wa…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/SEMAINE_MONDE_16-05-26_OK.mp3?guid=95f6498e-50e4-11f1-8ffc-bf44159ea7d4&source=GJlXzGgqHj)

## [Watu 518 walifariki Tanzania wakati wa vurugu za uchaguzi, mapigano bado yanaendelea DRC](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260425-watu-518-walifariki-tanzania-wakati-wa-vurugu-za-uchaguzi-mapigano-bado-yanaendelea-drc?GJlXzGgqHj)

_2026-04-25 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Taarifa kuu wiki hii ni ripoti ya tume ya uchunguzi nchini Tanzania iliyosema watu 518 walifariki wakati wa ghasia za uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka uliopita. Tunaangazia pia taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambapo licha makubaliano ya kusitisha vita kati ya waasi wa M23/AFC na serikali ya Kinshasa, kuendelea kushuhudiwa kwa mapigano ya mara kwa mara. Kiongozi wa kanisa…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/SEMAINE_MONDE_25-04-26.mp3?guid=d270dcae-4067-11f1-a9e5-8568984da1be&source=GJlXzGgqHj)

## [Kifo tatanishi cha waziri wa habari wa Burundi, Iran na Marekani zatunishiana misuli](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260418-kifo-tatanishi-cha-waziri-wa-habari-wa-burundi-iran-na-marekani-zatunishiana-misuli?GJlXzGgqHj)

_2026-04-18 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Makala hii imeangazia kifo cha waziri wa mawasiliano na vyombo vya habari nchini Burundi Gabby Bugaga, waasi wa AFC/M23 na serikali ya DRC wanaokutana huko Uswis wakubaliana kuhusu kubadilishana na wafungwa, huku Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ikisisitizia msimamo wake wa kuitaka Rwanda kuwaondoa wanajeshi wake katika eneo la mashariki, ziara ya kiongozi wa kanisa katoliki nchini Cameroon kabla…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/SEMAINE_MONDE_18-04-26_OK.mp3?guid=2b73472a-3afe-11f1-8735-87c697ecc9d8&source=GJlXzGgqHj)

## [Rwanda yaadhimisha miaka 32, mauaji ya kimbari, Israeli yashambulia Lebanon](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260411-rwanda-yaadhimisha-miaka-32-mauaji-ya-kimbari-israeli-yashambulia-lebanon?GJlXzGgqHj)

_2026-04-11 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Maadhimisho ya siku 100 maarufu kama kwibuka kukumbuka mauaji ya mwaka 1994 nchini Rwanda, mwanadiplomasia wa Marekani James Swan kuanza kazi kama mkuu wa Monusco huko DRC, mazungumzo kati ya serikali ya nchi hiyo na waasi wa M23 kufanyika kule Geneva Uswiz chini ya upatanishi wa Qatar, hali ya kisiasa nchini Kenya na Tanzania, na sudan; kampeni za uchaguzi mkuu nchini Benin kutamatishwa kuelekea…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/SEMAINE_MONDE_11-04-26.mp3?guid=4a96ea64-357f-11f1-ad83-552fb654d988&source=GJlXzGgqHj)

## [Waasi wa ADF waua 40 mashariki mwa DRC, Iran yapuuzi vitisho vya Trump](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260404-waasi-wa-adf-waua-40-mashariki-mwa-drc-iran-yapuuzi-vitisho-vya-trump?GJlXzGgqHj)

_2026-04-04 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Miongoni mwa matukio makubwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na timu ya taifa ya soka ya DRC Leopards kufuzu kushiriki fainali ya michuano ya kombe la dunia 2026, shambulio la waasi wa ADF laua 30 mashariki mwa DRC, watoto wanne wadungwa kisu hadi kufa katika shule moja nchini Uganda, wapigakura wahamasishwa kujiandikisha nchini Kenya na kupanda kwa bei ya mafuta, kuapishwa kwa rais wa Jamhuri ya…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/SEMAINE_MONDE_04-04-26.mp3?guid=ed026d76-2fff-11f1-8fd3-c578e0c8be1f&source=GJlXzGgqHj)

## [UN yasikitishwa na hali mashariki mwa DRC, miili 33 yagunduliwa nchini Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260328-un-yasikitishwa-na-hali-mashariki-mwa-drc-miili-33-yagunduliwa-nchini-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-03-28 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na baraza la usalama la umoja wa mataifa lataka kufunguliwa upya kwa viwanja vya ndege kwenye miji ya Goma na Bukavu mashariki mwa DRC, kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine alisema uhuru wake sio mjadala, miili 14 ilipatikana iliyopatikana nchini Kenya kufanyiwa upasuaji kubaini chanzo cha vifo. utambuzi wa utumwa kuwa uhalifu dhidi ya haki za…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/SEMAINE_MONDE_28-03-26.mp3?guid=cb16dc4a-2a70-11f1-902f-2780ee682f59&source=GJlXzGgqHj)

## [Bei ya mafuta yapanda duniani, DRC na Rwanda kupunguza uhasama](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260326-bei-ya-mafuta-yapanda-duniani-drc-na-rwanda-kupunguza-uhasama?GJlXzGgqHj)

_2026-03-26 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Miongoni mwa matukio makubwa ni pamoja na mwendelezo wa mashambulizi ya Marelkani na Israeli huko Iran, na nchi za Ghuba, huku bei ya mafuta na gesi ikipanda, DRC na Rwanda zilikubaliana kupunguza uhasama wao, rais wa Kenya William Ruto alizindua ujenzi wa reli ya kisasa SGR katika eneo la magharibi mwa nchi yake, hali ya nchini Sudan na Senegal yavuliwa ubingwa AFCON, Morocco ilitangazwa mshindi.…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MTAZAMO_WAKO_KWA_YALIYOJIRI_WIKI_HII_RFIKISW_21_03_2026_PAD_OK.mp3?guid=67892912-28ef-11f1-8f9d-df2d581ba017&source=GJlXzGgqHj)

## [Refer a Friend, Earn Rewards (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/4WdZVpN79eH5)

_2026-03-26 · **Sponsored**_

Earn rewards when a friend signs up for the Graphite Business Card

## [COMING TO CANADA WAS THE BEST DECISION I HAVE EVER MADE | PR. EDDIE JJUMBA](https://podcasters.spotify.com/pod/show/omconversations/episodes/COMING-TO-CANADA-WAS-THE-BEST-DECISION-I-HAVE-EVER-MADE--PR--EDDIE-JJUMBA-e3gl7s1)

_2026-03-18 · Paradise · Paradise UG_

🎬 Welcome to my world 🌍Hey there! I'm Paradise — a filmmaker, content creator, and storyteller with roots in Uganda and wings across the world. This channel is a home for real stories, powerful conversations, and behind-the-scenes glimpses into life, culture, and creativity.📧 For collaborations: create.oneparadise@gmail.com👉 Subscribe: https://www.youtube.com/@paradiseuganda🛍️ Shop merch:…

[Listen](https://anchor.fm/s/2be7ecb4/podcast/play/117136705/https%3A%2F%2Fd3ctxlq1ktw2nl.cloudfront.net%2Fstaging%2F2026-2-18%2F420309650-44100-2-ee717f7a60fc9.mp3)

## [RICKY HENRY ON CANADA'S CURRENT STATE AND BENEFITS](https://podcasters.spotify.com/pod/show/omconversations/episodes/RICKY-HENRY-ON-CANADAS-CURRENT-STATE-AND-BENEFITS-e3ghs9t)

_2026-03-16 · Paradise · Paradise UG_

🎬 Welcome to my world 🌍Hey there! I'm Paradise — a filmmaker, content creator, and storyteller with roots in Uganda and wings across the world. This channel is a home for real stories, powerful conversations, and behind-the-scenes glimpses into life, culture, and creativity.📧 For collaborations: create.oneparadise@gmail.com👉 Subscribe: https://www.youtube.com/@paradiseuganda🛍️ Shop merch:…

[Listen](https://anchor.fm/s/2be7ecb4/podcast/play/117026557/https%3A%2F%2Fd3ctxlq1ktw2nl.cloudfront.net%2Fstaging%2F2026-2-16%2F420155047-44100-2-fa297e7398082.mp3)

## [MY JOURNEY TO CANADA FROM UGANDA](https://podcasters.spotify.com/pod/show/omconversations/episodes/MY-JOURNEY-TO-CANADA-FROM-UGANDA-e3ghrf5)

_2026-03-16 · Paradise · Paradise UG_

🎬 Welcome to my world 🌍Hey there! I'm Paradise — a filmmaker, content creator, and storyteller with roots in Uganda and wings across the world. This channel is a home for real stories, powerful conversations, and behind-the-scenes glimpses into life, culture, and creativity.📧 For collaborations: create.oneparadise@gmail.com👉 Subscribe: https://www.youtube.com/@paradiseuganda🛍️ Shop merch:…

[Listen](https://anchor.fm/s/2be7ecb4/podcast/play/117025701/https%3A%2F%2Fd3ctxlq1ktw2nl.cloudfront.net%2Fstaging%2F2026-2-16%2F420154277-44100-2-dd7e01f3be838.mp3)

## [I CAME TO CANADA WITHOUT FAMILY OR FRIENDS. CAROL NAYEBARE](https://podcasters.spotify.com/pod/show/omconversations/episodes/I-CAME-TO-CANADA-WITHOUT-FAMILY-OR-FRIENDS--CAROL-NAYEBARE-e3ghqoh)

_2026-03-16 · Paradise · Paradise UG_

🎬 Welcome to my world 🌍Hey there! I'm Paradise — a filmmaker, content creator, and storyteller with roots in Uganda and wings across the world. This channel is a home for real stories, powerful conversations, and behind-the-scenes glimpses into life, culture, and creativity.📧 For collaborations: create.oneparadise@gmail.com👉 Subscribe: https://www.youtube.com/@paradiseuganda🛍️ Shop merch:…

[Listen](https://anchor.fm/s/2be7ecb4/podcast/play/117024977/https%3A%2F%2Fd3ctxlq1ktw2nl.cloudfront.net%2Fstaging%2F2026-2-16%2F420152817-44100-2-7080589ab14d7.mp3)

## [Mashambulio yaendelea mashariki ya kati na mauaji ya mfanyakazi wa UNICEF DRC](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260314-mashambulio-yaendelea-mashariki-ya-kati-na-mauaji-ya-mfanyakazi-wa-unicef-drc?GJlXzGgqHj)

_2026-03-14 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Makala hii imeangazia pakubwa mashambulio ya Marekani na Israeli huko Iran huku Irani nayo ikijibu mapigo kwa kuishambulia Israeli, na pia kuachiwa huru kwa aliyekuwa waziri mkuu wa Burundi Alain Bunyoni, shambulio la ndege zisizo na rubani lililowaua watu watatu miongoni mwao, mfanyakazi wa shirika la UNICEF kwenye mji wa Goma, mashariki mwa DRC, siasa za Kenya, Uganda na maeneo mengine ya…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MTAZAMO_WAKO_KWA_YALIYOJIRI_WIKI_HII_RFIKISW_14_03_2026_PAD_OK.mp3?guid=90f191ce-1fa1-11f1-8f81-b3180d414d14&source=GJlXzGgqHj)

## [Jeshi la Rwanda lawekewa vikwazo, Israeli na Marekani zashambulia Iran](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260307-jeshi-la-rwanda-lawekewa-vikwazo-israeli-na-marekani-zashambulia-iran?GJlXzGgqHj)

_2026-03-07 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Matukio makubwa ya juma hili ni pamoja na Marekani kutangaza vikwazo dhidi ya jeshi la Rwanda na maafisa wake wanne wakuu, Sudan iliishtumu Ethiopia kwa kuruhusu ndege zisizokuwa na rubani kuishambulia nchi yake mwezi februari na machi, Macky Sall rais wa zamani wa Senegal miongoni mwa wagombea watatu wanaotafuta ukatibu mkuu wa Umoja wa mataifa, Marekani na Israel zimeendelea kutekeleza…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/YALIYOJIRI_WIKI_HII_07-03-26_OK.mp3?guid=7d75c530-19e2-11f1-b172-558fd0cf5ce4&source=GJlXzGgqHj)

## [Msemaji wa waasi wa M23 aliuawa, Kenya yazindua dawa mpya ya Lenacapavir](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260228-msemaji-wa-waasi-wa-m23-aliuawa-kenya-yazindua-dawa-mpya-ya-lenacapavir?GJlXzGgqHj)

_2026-02-28 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Matukio makubwa ya juma hili ni pamoja na kuuawa kwa msemaji wa kijeshi wa kundi la waasi la M23 Willy Ngoma, serikali ya Kenya ilizindua zoezi la usambazaji wa dawa ya kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, LENACAPAVIR, UN ulisema taifa la Sudan Kusini, linatoa hifadhi kwa wakimbizi zaidi elfu 64, watu 25 waliuawa katika jimbo la Adamawa, kaskazini mashariki mwa Nigeria, pia awamu ya tatu ya…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/SEMAINE_MONDE_28-02-26.mp3?guid=e6bd183c-1473-11f1-8319-29059625dc69&source=GJlXzGgqHj)

## [Ndayishimiye ndiye mwenyekiti mpya wa AU, ujumbe wa EU wazuru mashariki ya DRC](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260223-ndayishimiye-ndiye-mwenyekiti-mpya-wa-au-ujumbe-wa-eu-wazuru-mashariki-ya-drc?GJlXzGgqHj)

_2026-02-23 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU) mwaka 2026, ziara ya ujumbe wa Umoja wa Ulaya huko DRC, vijana wa Afrika wahadaiwa kupewa kazi nzuri Urusi, na kulazimishwa kupigana vita Ukraine, raia 18 wa Senegal na mmoja kutoka Ufaransa wahukumiwa kwa kuzua fujo wakati wa mechi ya fainali AFCON jijini Rabat. Mkutano wa kimataifa kati ya India na…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/SEMAINE_MONDE_21-02-26.mp3?guid=6498ee3a-108b-11f1-92d6-19b74ca3cc87&source=GJlXzGgqHj)

## [I MOVED FROM UGANDA TO TEXAS TO LIVE WITH MY WIFE AND KIDS](https://podcasters.spotify.com/pod/show/omconversations/episodes/I-MOVED-FROM-UGANDA-TO-TEXAS-TO-LIVE-WITH-MY-WIFE-AND-KIDS-e3f6gbh)

_2026-02-16 · Paradise · Paradise UG_

🎬 Welcome to my world 🌍Hey there! I'm Paradise — a filmmaker, content creator, and storyteller with roots in Uganda and wings across the world. This channel is a home for real stories, powerful conversations, and behind-the-scenes glimpses into life, culture, and creativity.📧 For collaborations: create.oneparadise@gmail.com👉 Subscribe: https://www.youtube.com/@paradiseuganda🛍️ Shop merch:…

[Listen](https://anchor.fm/s/2be7ecb4/podcast/play/115605297/https%3A%2F%2Fd3ctxlq1ktw2nl.cloudfront.net%2Fstaging%2F2026-1-16%2F418235638-44100-2-5038f75e34b14.mp3)

## [I TRIED DENMARK WITH NO LUCK. FOUND SUCCESS IN AMERICA. 25YRS LATER.](https://podcasters.spotify.com/pod/show/omconversations/episodes/I-TRIED-DENMARK-WITH-NO-LUCK--FOUND-SUCCESS-IN-AMERICA--25YRS-LATER-e3f6g3q)

_2026-02-16 · Paradise · Paradise UG_

🎬 Welcome to my world 🌍Hey there! I'm Paradise — a filmmaker, content creator, and storyteller with roots in Uganda and wings across the world. This channel is a home for real stories, powerful conversations, and behind-the-scenes glimpses into life, culture, and creativity.📧 For collaborations: create.oneparadise@gmail.com👉 Subscribe: https://www.youtube.com/@paradiseuganda🛍️ Shop merch:…

[Listen](https://anchor.fm/s/2be7ecb4/podcast/play/115605050/https%3A%2F%2Fd3ctxlq1ktw2nl.cloudfront.net%2Fstaging%2F2026-1-16%2F418235364-44100-2-dffbedd090436.mp3)

## [Point once, get highlights (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/wNRXBUvehFs7)

_2026-02-16 · **Sponsored**_

Get minutes worth watching from a whole game — point once

## [WHY YOU SHOULD MOVE TO TORONTO AS A UGANDAN IMMIGRANT](https://podcasters.spotify.com/pod/show/omconversations/episodes/WHY-YOU-SHOULD-MOVE-TO-TORONTO-AS-A-UGANDAN-IMMIGRANT-e3f2kg9)

_2026-02-16 · Paradise · Paradise UG_

🎬 Welcome to my world 🌍Hey there! I'm Paradise — a filmmaker, content creator, and storyteller with roots in Uganda and wings across the world. This channel is a home for real stories, powerful conversations, and behind-the-scenes glimpses into life, culture, and creativity.📧 For collaborations: create.oneparadise@gmail.com👉 Subscribe: https://www.youtube.com/@paradiseuganda🛍️ Shop merch:…

[Listen](https://anchor.fm/s/2be7ecb4/podcast/play/115478473/https%3A%2F%2Fd3ctxlq1ktw2nl.cloudfront.net%2Fstaging%2F2026-1-13%2F418068966-44100-2-2e433338ad7eb.mp3)

## [BEFORE YOU COME TO THE USA, LISTEN TO THIS](https://podcasters.spotify.com/pod/show/omconversations/episodes/BEFORE-YOU-COME-TO-THE-USA--LISTEN-TO-THIS-e3ep0eb)

_2026-02-07 · Paradise · Paradise UG_

🎬 Welcome to my world 🌍Hey there! I'm Paradise — a filmmaker, content creator, and storyteller with roots in Uganda and wings across the world. This channel is a home for real stories, powerful conversations, and behind-the-scenes glimpses into life, culture, and creativity.📧 For collaborations: create.oneparadise@gmail.com👉 Subscribe: https://www.youtube.com/@paradiseuganda🛍️ Shop merch:…

[Listen](https://anchor.fm/s/2be7ecb4/podcast/play/115163019/https%3A%2F%2Fd3ctxlq1ktw2nl.cloudfront.net%2Fstaging%2F2026-1-7%2F417647084-44100-2-0357b253a753f.mp3)

## [HOW TO COME TO THE USA AS NURSE. THIS WORKED!!!!!](https://podcasters.spotify.com/pod/show/omconversations/episodes/HOW-TO-COME-TO-THE-USA-AS-NURSE--THIS-WORKED-e3ekufh)

_2026-02-04 · Paradise · Paradise UG_

🎬 Welcome to my world. Where Stories Come Alive 🌍Agencies O Grady Peyton Passport USA by health carouselInterstaffMedpro staffing ANP health Shear watersConnectics Other OrganizationsCGFNs/tru merit for evaluation Pearson veu for booking Nclex examBritish council for EnglishHey there! I'm Paradise – a filmmaker, content creator, and storyteller with roots in Uganda and wings across the world.…

[Listen](https://anchor.fm/s/2be7ecb4/podcast/play/115029937/https%3A%2F%2Fd3ctxlq1ktw2nl.cloudfront.net%2Fstaging%2F2026-1-4%2F417468396-44100-2-c55b485fd2009.mp3)

## [INVESTING IN UGANDA WHILE IN THE DIASPORA. JANGU DUKAMISINDE OWULILE BINO](https://podcasters.spotify.com/pod/show/omconversations/episodes/INVESTING-IN-UGANDA-WHILE-IN-THE-DIASPORA--JANGU-DUKAMISINDE-OWULILE-BINO-e3eku4g)

_2026-02-04 · Paradise · Paradise UG_

🎬 Welcome to my world 🌍Hey there! I'm Paradise — a filmmaker, content creator, and storyteller with roots in Uganda and wings across the world. This channel is a home for real stories, powerful conversations, and behind-the-scenes glimpses into life, culture, and creativity.📧 For collaborations: create.oneparadise@gmail.com👉 Subscribe: https://www.youtube.com/@paradiseuganda🛍️ Shop merch:…

[Listen](https://anchor.fm/s/2be7ecb4/podcast/play/115029584/https%3A%2F%2Fd3ctxlq1ktw2nl.cloudfront.net%2Fstaging%2F2026-1-4%2F417468037-44100-2-59b8b952986e.mp3)

## [Update: Industrial Sprinkler System Installed](https://theliger.substack.com/p/update-industrial-sprinkler-system)

_2025-12-14 · Rex Soderlund · The Liger_

How a community in Eastern Uganda is fighting water droughts caused by low rainfall through community-funded action

## [The Journey to Self-Sufficiency: Buwanga 2024](https://theliger.substack.com/p/the-journey-to-self-sufficiency-buwanga)

_2025-01-11 · Rex Soderlund · The Liger_

Annual Report. Buwanga, food security, healthcare access, sustainability, agriculture, education, 2024.

## [Think You Know Christmas? Uganda Does It Differently!](https://theliger.substack.com/p/think-you-know-christmas-uganda-does)

_2024-12-29 · Rex Soderlund · The Liger_

Mini Series. Christmas, holidays, Santa, cheer.

