# teknolojia (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 1 feeds in the RSS Amplifier directory that cover teknolojia.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/teknolojia/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/teknolojia/blogs.md>

---

## [TCAA YAPONGEZWA KWA MABORESHO YA HUDUMA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA SEKTA YA ANGA](https://www.habarika24.co.tz/2026/08/itcaa-yapongezwa-kwa-maboresho-ya.html)

_2026-08-21 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imepongezwa kwa kuendelea kusimamia sekta ya usafiri wa anga kwa ufanisi na kuimarisha utoaji wa huduma kupitia mifumo ya kisasa ya kidijital Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof.Makame Mbarawa aliyekuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Nne la Kimataifa la Sekta ya Uchukuzi na Usafirishaji, linalofanyika tarehe 20 na 21 Agosti 2026 katika…

## [SERIKALI KUONGEZA NGUVU MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI](https://www.habarika24.co.tz/2026/08/serikali-kuongeza-nguvu-mapambano-dhidi.html)

_2026-08-19 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu - Shinyanga SERIKALI imesema itaendelea kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU), kwa kuboresha vituo vya huduma, kuwezesha vikundi na kuimarisha ushirikiano na wadau, ili kuhakikisha Tanzania inafikia lengo la kutokomeza UKIMWI ifikapo mwaka 2030. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera,…

## [SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA AFUA ZA UKIMWI NCHINI](https://www.habarika24.co.tz/2026/08/serikali-kuendelea-kuimarisha-afua-za.html)

_2026-08-18 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. MWANDISHI WETU, MWANZA Serikali imedhamiria kuendelea kuimarisha afua za masuala ya UKIMWI nchini kwa kuboresha mazingira ya utekelezaji wa shughuli hizo, huku ikihimiza ushirikiano na wadau mbalimbali katika kuendeleza mapambano dhidi ya UKIMWI. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dkt. Jim Yonazi,…

## [MAKALA; KWANINI UNAWEZA KUAMBIWA NDEGE IMEJAA ILA VITI VIKO TUPU NA HAVINA ABIRIA?](https://www.habarika24.co.tz/2026/08/makala-kwanini-unaweza-kuambiwa-ndege.html)

_2026-08-16 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

. VIDEO YA MAKALA 👇👇 MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA-TCAA Kwanini Ndege inaweza kuwa na viti vya abiria vilivyo wazi lakini ikaelezwa kwamba Ndege Imejaa? Umewahi kusafiri na ndege ya abiria halafu ukakuta baadhi ya viti vipo wazi bila abiria lakini ukaambiwa ndege imejaa? Leo Tunakuletea Ufafanuzi na elimu ya kutosha kuhusu Hali hiyo. TCAA

## [JAB YAPOKEA OMBI LA KUTOA MAFUNZO KWA BLOGGERS ZAIDI YA 200](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/jab-yapokea-ombi-la-kutoa-mafunzo-kwa.html)

_2026-07-16 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na Mwandishi Wetu, JAB Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imepokea ombi kutoka Mtandao wa Mabloga Tanzania (TBN) la kutoa mafunzo kwa wanachama wake zaidi ya 200 kuhusu Sheria ya Huduma za Habari, Maadili ya Uandishi wa Habari na umuhimu wa kupata ithibati. Ombi hilo limetolewa leo, tarehe 16 Julai, 2026, na Mwenyekiti wa Mtandao wa Mabloga Tanzania, Bw. Beda Msimbe, alipokutana na…

## [MKUU WA MKOA WA TANGA ATOA WITO WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LA OWM SABASABA](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/mkuu-wa-mkoa-wa-tanga-atoa-wito.html)

_2026-07-12 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu - Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian ametoa wito kwa wananchi kuendelea kujitokeza kupata elimu ya masuala mbalimbali katika Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba 2026) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Ametoa wito huo hii leo…

## [DKT. MWIGULU ATAKA USHIRIKIANO WA KITAIFA KULINDA AMANI](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/dkt-mwigulu-ataka-ushirikiano-wa.html)

_2026-07-12 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu - Dar es Salaam SERIKALI imewataka Watanzania kuendelea kulinda na kudumisha amani ya nchi kwa kutambua kuwa ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa, huku ikisisitiza kuwa jukumu hilo linamhusu kila mwananchi bila kujali dini, kabila au itikadi za kisiasa. Wito huo umetolewa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Waziri wa Nchi, Ofisi ya…

## [PROF. NAGU ARIDHISHWA NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA BANDA JUMUISHI LA OFISI YA WAZIRI MKUU SABASABA](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/prof-nagu-aridhishwa-na-huduma.html)

_2026-07-11 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu - Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya katika Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Prof. Tumaini Nagu, ametembelea Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba 2026) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, na kupongeza ubora wa huduma zinazotolewa kwa wananchi.…

## [TANZANIA IPO TAYARI KUELEKEA AFCON 2027](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/tanzania-ipo-tayari-kuelekea-afcon-2027.html)

_2026-07-03 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu - Arusha Tanzania ipo tayari kwa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) ikiwa mwenyeji kwa kushirikiana na Kenya na Uganda ambapo maandalizi yamefikia hatua nzuri kwa kuzingatia viwango vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) vinavyotakiwa. Akizungumza hii leo Julai 3, 2026 Jijini Arusha kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu…

## [MICHUANO YA AFCON 2027 KUFUNGAMANISHA UCHUMI WA ZANZIBAR](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/michuano-ya-afcon-2027-kufungamanisha.html)

_2026-07-02 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi wetu – Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inafungamanisha uchumi wake na Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kupitia uwekezaji mkubwa uliofanywa ikiwemo kujengwa kwa miundombinu katika viwanja vya michezo vitakavyotumika wakati wa michuano hiyo. Hayo yamelezwa leo Julai 02, 2026 na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu)…

## [Stocks ranked by what execs say (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/WRvGBBWOXC58)

_2026-07-02 · **Sponsored**_

Evidence-backed watchlists from earnings calls and filings, cited to real transcripts—not guesses.

## [“TUTUMIE AFCON KAMA FURSA YA KUJITANGAZA KIMATAIFA”DKT. YONAZ](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/tutumie-afcon-kama-fursa-ya-kujitangaza.html)

_2026-07-01 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu ya Maandalizi ya Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027), Dkt. Jim Yonazi, amesema michuano ya AFCON ni fursa adhimu ya kuitangaza Tanzania Kimataifa kupitia sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii na uwekezaji hivyo ni…

