# skiza (audio feeds) — RSS Amplifier

Recent posts from the 2 feeds in the RSS Amplifier directory that cover skiza.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/skiza/audio>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/skiza/audio.md>

---

## [Uchaguzi nchini Zambia, upinzani yalalamikia matokeo ya uchaguzi](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260819-uchaguzi-nchini-zambia-upinzani-yalalamikia-matoke-ya-uchaguzi?GJlXzGgqHj)

_2026-08-19 · Habari RFI-Ki_

Nchini Zambia, Rais Hakainde Hichilema, amechaguliwa kwa muhula wa pili, akimshinda mpinzani wake wa Karibu Brian Mundubile. Hata hivyo kumeshuhudiwa malalamiko ya dosari kadhaa ikiwemo udanganyifu, wizi wa kura na vitisho, mambo yanayoripotiwa wakati wa chaguzi nyingi barani Afrika.s

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/APPELS_ACTU_19-08-26.mp3?guid=ab033668-9be2-11f1-a7fe-db73b9e8d481&source=GJlXzGgqHj)

## [Kuna uwezekano wa asilimia 81 Afrika kukumbwa na hali ya hewa ya Elnino](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260818-kuna-uwezekano-wa-asilimia-81-afrika-kukumbwa-na-hali-ya-hewa-ya-elnino?GJlXzGgqHj)

_2026-08-18 · Habari RFI-Ki_

Ripoti ya wataalam wa hali ya hewa imeonya kuwa Afrika inakabiliwa na uwezekano wa aslimia 81 wa kukumbwa na hali ya hewa ya El Nino. Katika ripoti hiyo, eneo la Kusini mwa Afrika linatarajiwa kukumbwa na

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/HABARI_RAFIKI_18-08-26_OK.mp3?guid=958b8d1e-9b13-11f1-bd0b-7fb2265490de&source=GJlXzGgqHj)

## [Vuguvugu la upinzani nchini DRC C64 kutangaza kufanya maandamano Septemba 15](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260818-vuguvugu-la-upinzani-nchini-drc-c64-kutangaza-kufanya-maandamano-septemba-15?GJlXzGgqHj)

_2026-08-18 · Habari RFI-Ki_

Mwishoni mwa juma lililopita, upinzani nchini DRC kupitia vuguvugu la C64 ulitangaza kuwa utafanya maandamano Septemba 15 kupinga mchakato wa marekebisho ya katiba. Tangazo lao walilitoa baada ya muda waliokuwa wameutoa kwa Rais Felix Tshisekedi kuitisha mazungumzo ya kitaifa kupita.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/HABARI_RAFIKI_17-08-26_OK.mp3?guid=590e3e82-9b12-11f1-9f33-8b1d9630ab60&source=GJlXzGgqHj)

## [Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya, yatoa kanuni mpya za ufadhili wa kampeni](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260811-tume-huru-ya-uchaguzi-nchini-kenya-yatoa-kanuni-mpya-za-ufadhili-wa-kampeni?GJlXzGgqHj)

_2026-08-11 · Habari RFI-Ki_

Mwaka mmoja kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imetoa kanuni mpya za ufadhili wa kampeni za wagombea mbalimbali.Mgombea urais atatakiwa kutumia kiasi cha shilingi za Kenya zisizozidi Bilioni 6 huku vyama vya siasa vikitakiwa kutokuvuka matumizi ya bilioni 25 za Kenya.Tumemuuliza mskilizaji ,anazungumzia vipi kanuni hii ?na nchini mwake , kuna utaratibu kama…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/HABARI_RAFIKI_11_08_2026_KENYA.mp3?guid=9e33eab6-959f-11f1-8189-41de3659ab5f&source=GJlXzGgqHj)

## [Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260803-changamoto-za-wasichana-wanaopata-ujauzito-wakiwa-shuleni?GJlXzGgqHj)

_2026-08-03 · Jua Haki Zako_

Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne anapata ujauzito kabla ya kufikisha miaka 18. Ingawa sheria na sera katika nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zinatambua haki ya wasichana hao kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua, wengi bado…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/MAG_DROITS_HUMAINS_03-08-26_OK.mp3?guid=73f44386-8f50-11f1-b8e4-81cc075b0caa&source=GJlXzGgqHj)

## [Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260728-safari-ya-akina-mama-wachanga-kutafuta-uraia-wao-na-watoto-wao-mipakani-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-07-28 · Jua Haki Zako_

Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi kaunti za miapakani kama vile Busia ,Turkana na Mandera, hali inayoendelea kuwanyika raia hao haki zao za kimsingi na kukosa huduma muhimu za serikali . Hii leo katika makala Jua haki zako tunaangazia akina mama hao na…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/JUA_HAKI_ZAKO_27-07-26_OK.mp3?guid=717d1330-8a6e-11f1-959b-032336fcdb0b&source=GJlXzGgqHj)

## [Maoni ya mskilizaji Wiki hii kutokana na matangazo yetu](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260717-maoni-ya-mskilizaji-wiki-hii-kutokana-na-matangazo-yetu?GJlXzGgqHj)

_2026-07-17 · Habari RFI-Ki_

Na Hannah Nalianya Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusiana na matangazo yetu. Skiza maoni ya Juma hili

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_HABARI_RAFIKI_17_07_2026_KUHUSU_MADA_HURU.mp3?guid=9527ec56-81ef-11f1-bb47-357bd9b41020&source=GJlXzGgqHj)

## [Argentina kuvaana na Uhuspania kwenye fainali](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260716-argentina-kuvaana-na-uhuspania-kwenye-fainali?GJlXzGgqHj)

_2026-07-16 · Habari RFI-Ki_

Fainali ya kombe la dunia katika mchezo wa soka, itawakutanisha mabingwa watetezi Argentina na Hispania waliowahi kushinda taji hili mwaka 2010. Mechi hiyo itapigwa siku ya Jumapili nchini Marekani. Unatarajia nani ataibuka mshindi katika mechi hiyo na kwanini. Skiza ya mskilizaji

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_16-07-26_OK.mp3?guid=c7dc6642-812a-11f1-8cf2-79394af737f0&source=GJlXzGgqHj)

## [Ufaransa yaondolewa kwenye kombe la dunia](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260715-ufaransa-yaondolewa-kwenye-kombe-la-dunia?GJlXzGgqHj)

_2026-07-15 · Habari RFI-Ki_

Na Hannah Naliaka Safari ya Ufaransa kutinga fainali za kombe la dunia imefikia tamati baada ya kushindwa mabao 2-0 na Uhispania katika nusu fainali ya kwanza. Unazungumziaje mechi hiyo ? Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/HABARI_RAFIKI_15-07-26_OK.mp3?guid=931824d6-8059-11f1-8e3b-b7c298cf2416&source=GJlXzGgqHj)

## [Bara Ulaya linatathimini kudhibiti mitandao kwa watoto](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260714-bara-ulaya-linatathimini-kudhibiti-mitandao-kwa-watoto?GJlXzGgqHj)

_2026-07-14 · Habari RFI-Ki_

Umoja wa Ulaya unatathmini kuweka marufuku ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto kutokana na athari za mitandao hiyo kwa watoto. Unazungumziaje pendekezo hili? Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_HABARI_RAFIKI_14_07_2026_KUHUSU_WATOTO.mp3?guid=30e50a3a-7f9c-11f1-bdf8-77b4e25bc2d2&source=GJlXzGgqHj)

## [Reach prospects with real signals (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/mkUEJghB7tzZ)

_2026-07-14 · **Sponsored**_

Find prospects talking about your problem and get context-backed moments to engage

## [Nani atabeba kombe la dunia mwaka huu](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260713-nani-atabeba-kombe-la-dunia-mwaka-huu?GJlXzGgqHj)

_2026-07-13 · Habari RFI-Ki_

Fainali za kombe la dunia zimefikia hatua ya nusu fainali, huku timu nne zikisalia kwenye mbio za kutwaa ubingwa. Uhispania itacheza na Ufaransa, wakati Uingereza itapambana na mabingwa watetezi Argentina. Unatathmini vipi hatua iliyofikia? Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_HABARI_RAFIKI_13_07_2026_KUHUSU_WORLD_CUP.mp3?guid=81eb9306-7ec8-11f1-8311-dbb701fa6098&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Mawakili waandamana kudai haki](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260713-kenya-mawakili-waandamana-kudai-haki?GJlXzGgqHj)

_2026-07-13 · Jua Haki Zako_

Nchini Kenya, mawakili wameandamana kudai haki kufuatia vifo vya wenzao wawili ambao wameuawa katika mazingira tata. Kwenye makala haya tunaangazia malalamishi ya mawakili hao. Sikiliza makala kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/JUA_HAKI_ZAKO_13-07-26_OK.mp3?guid=e659fcee-7ec6-11f1-8382-dbb701fa6098&source=GJlXzGgqHj)

## [Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasher](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260712-sudan-amnesty-international-yasema-rsf-ilikiuka-sheria-el-fasher?GJlXzGgqHj)

_2026-07-12 · Jua Haki Zako_

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeangazia namna gani wapiganaji wa rsf walikiuka sheria wakati wakiteka mji wa El Fasher. Skiza makala haya kufamu mengi

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_06_07_2026_KUHUSU_SUDAN.mp3?guid=22a6c112-7c71-11f1-bf72-e107db1ef8df&source=GJlXzGgqHj)

## [Haki za wakimbizi awamu ya pili](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260710-haki-za-wakimbizi-awamu-ya-pili?GJlXzGgqHj)

_2026-07-10 · Jua Haki Zako_

Awamu ya pili makala haya yanaendelea kuangazia haki za wakimbizi mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki hizo. Skiza kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_29_06_2026_KUHUSU_WAKIMBIZI.mp3?guid=5a2ddee2-7c6f-11f1-a1c1-e107db1ef8df&source=GJlXzGgqHj)

## [Maoni yako katika makala ya Habari rafiki Mada huru](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260710-maoni-yako-katika-makala-ya-habari-rafiki-mada-huru?GJlXzGgqHj)

_2026-07-10 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_10-07-26.mp3?guid=aa0b97be-7c6b-11f1-a012-8db244004842&source=GJlXzGgqHj)

## [DRC: Muungano wa upinzani wa C64 kutangaza kuendelea na maandamano yake ya amani Julai 22](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260709-drc-muungano-wa-upinzani-wa-c64-kutangaza-kuendelea-na-maandamano-yake-ya-amani-julai-22?GJlXzGgqHj)

_2026-07-09 · Habari RFI-Ki_

Tangazo hilo limetolewa licha ya kushiriki kwenye mazungumzo ya kisiasa na rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_08-07-26.mp3?guid=ffffa514-7b8c-11f1-8494-f9a2c7cb99bd&source=GJlXzGgqHj)

## [Siku ya Kiswahili duniani Juni 07 2026](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260707-siku-ya-kiswahili-duniani-juni-07-2026?GJlXzGgqHj)

_2026-07-07 · Habari RFI-Ki_

Dunia hivi leo inaadhimisha siku ya Kiswahili Duniani, kutambua mchango wa lugha ya Kiswahili katika kuunganisha watu, tamaduni na mataifa mbalimbali, kauli mbiu ikiwa Kiswahili Lugha ya kimataifa ya amani, mshikamano na diplomasia ya kiuchumi.” Siku hii inafanyika wakati pia RFI Kiswahili tunatimiza miaka 16 tangu tulipoanza kurusha matangazo yetu, una ujumbe gani kwetu?

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_07-07-26.mp3?guid=c5942848-7a22-11f1-b844-319e252bcfee&source=GJlXzGgqHj)

## [Je, serikali ya Afrika Kusini ilichukua hatua za kutosha kulinda usalama wa raia wa kigeni?](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260706-je-serikali-ya-afrika-kusini-ilichukua-hatua-za-kutosha-kulinda-usalama-wa-raia-wa-kigeni?GJlXzGgqHj)

_2026-07-06 · Habari RFI-Ki_

Wiki iliyopita, maelfu ya raia wa mataifa mbalimbali ya Afrika waliondoka Afrika Kusini kutokana na hofu ya usalama baada ya maandamano yaliyolenga wageni. Baadhi ya nchi zimeikosoa serikali ya Afrika Kusini kwa kushindwa kudhibiti hali hiyo.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_06-07-26_OK.mp3?guid=aa1630ea-794e-11f1-9578-71106e32aecc&source=GJlXzGgqHj)

## [Timu ya DRC ya Leopard yaondolewa na Uingereza kwenye mashindano ya kombe la dunia](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260703-timu-ya-drc-ya-leopard-yaondolewa-na-uingereza-kwenye-mashindano-ya-kombe-la-dunia?GJlXzGgqHj)

_2026-07-03 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_02-07-26.mp3?guid=2d7e81c2-76ec-11f1-a8b9-1d81afdc4925&source=GJlXzGgqHj)

## [Maandamano ya Afrika Kusini kushinikiza wageni kuondoka yaibua maswali](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260703-maandamano-ya-afrika-kusini-kushinikiza-wageni-kuondoka-yaibua-maswali?GJlXzGgqHj)

_2026-07-03 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/HABARI_RAFIKI_01-07-26_OK.mp3?guid=fe9655de-76ea-11f1-b73f-2d617bb3142b&source=GJlXzGgqHj)

## [Collect Open Source Legends (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/Q2Ek1kjzhpqq)

_2026-07-03 · **Sponsored**_

Open-licensed art, limited foil trading packs, and optional on-chain mints.

## [Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yaadhimisha miaka 66 ya Uhuru](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260703-jamhuri-ya-kidemokrasia-ya-congo-yaadhimisha-miaka-66-ya-uhuru?GJlXzGgqHj)

_2026-07-03 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/HABARI_RAFIKI_30-06-26_OK.mp3?guid=4fea8ece-76ea-11f1-a081-1d81afdc4925&source=GJlXzGgqHj)

## [Uganda : Yamfurusha wakili na mwanaharakati Martha Karua](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260701-uganda-yamfurusha-wakili-na-mwanaharakati-martha-karua?GJlXzGgqHj)

_2026-07-01 · Habari RFI-Ki_

Tunaangazia serikali ya Uganda kumfurusha wakili na mwanaharakati wa Kenya, Martha Karua nchini humo, ikiwa ni mwendelezo wa matukio ambayo yamekuwa yakishuhudiwa hapa Afrika Mashariki. Skiza maoni ya waskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_24-06-26_OK.mp3?guid=41b1f360-6fce-11f1-9cdc-8b18087b57bb&source=GJlXzGgqHj)

## [Mkuu wa majeshi nchini Uganda kuamuru kufungwa runinga ya NTV](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260630-mkuu-wa-majeshi-nchini-uganda-kuamuru-kufungwa-runinga-ya-ntv?GJlXzGgqHj)

_2026-06-30 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_29-06-26_OK.mp3?guid=3214934c-747c-11f1-acdf-e3536907b568&source=GJlXzGgqHj)

## [Kila Ijumaa unapata nafasi kutoa maoni ndani ya rfi Kiswahili](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260626-kila-ijumaa-unapata-nafasi-kutoa-maoni-ndani-ya-rfi-kiswahili?GJlXzGgqHj)

_2026-06-26 · Habari RFI-Ki_

Kila Ijumaa unapata nafasi kuchangia chochote kile, pengine ulikiskia kwenye matangazo yetu au kile kinafanyika hapo uliopo. Skiza maoni ya mskilizaji

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_26-06-26_OK.mp3?guid=823d855c-7177-11f1-a3f0-9b37fc2e51ce&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Miaka miwili baada ya maandamano ya Gen Z](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260625-kenya-miaka-miwili-baada-ya-maandamano-ya-gen-z?GJlXzGgqHj)

_2026-06-25 · Habari RFI-Ki_

Shaba yetu leo inalenga nchini Kenya mbapo raia nchini humo wameadimisha miaka miwili tangu kutokea kwa maandamano ya mwaka 2024 ya vijana waliokuwa wapigigania mageuzi nchini humo. Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_25-06-26_OK.mp3?guid=ec199ee8-70af-11f1-b8e1-a3b5228db9b9&source=GJlXzGgqHj)

## [Waziri wa Uingereza kuondoka afisini Septemba](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260623-waziri-wa-uingereza-kuondoka-afisini-septemba?GJlXzGgqHj)

_2026-06-23 · Habari RFI-Ki_

Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu baada ya shinikizo kutoka ndani ya chama chake na kupungua kwa uungwaji mkono wa raia. Je, viongozi wanapaswa kujiuzulu wanapopoteza uungwaji mkono wa wananchi? Skiza makala ya maoni ya waskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_23-06-26_OK.mp3?guid=3e51db6e-6f0a-11f1-9239-1b80738d4fd8&source=GJlXzGgqHj)

## [Msongo wa mawazo changamoto kwa wanaume](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260622-msongo-wa-mawazo-changamoto-kwa-wanaume?GJlXzGgqHj)

_2026-06-22 · Habari RFI-Ki_

Ulimwengu umeadhimisha wiki ya afya ya akili kwa wanaume, wataalamu wanaonya kuwa msongo wa mawazo na matumizi ya dawa za kulevya vinachangia matatizo ya afya ya akili miongoni mwa wanaume. Unafikiri kwa nini wanaume wengi huumia kimya bila kutafuta msaada? Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_22-06-26_OK.mp3?guid=f29fcd78-6e48-11f1-8661-914084b50d42&source=GJlXzGgqHj)

## [EAC : Haki za wakimbizi duniani](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260622-eac-haki-za-wakimbizi-duniani?GJlXzGgqHj)

_2026-06-22 · Jua Haki Zako_

Kila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki za wakimbizi. Skiza makala haya kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/JUA_HAKI_ZAKO_22-06-26_OK.mp3?guid=6ec0855e-6e4a-11f1-ab81-eb362ec83cdc&source=GJlXzGgqHj)

## [Maendeleo ya timu za Afrika kwenye mechi kuwania kombe la dunia 2026](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260619-maendeleo-ya-timu-za-afrika-kwenye-mechi-kuwania-kombe-la-dunia-2026?GJlXzGgqHj)

_2026-06-19 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_18-06-26_OK.mp3?guid=a722c546-6ba3-11f1-a47f-5f84c6f3b9ac&source=GJlXzGgqHj)

## [Je ,Haki za mtoto wa Kiafrika zinaheshimiwa au ni maadhimisho tu ?](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260619-je-haki-za-mtoto-wa-kiafrika-zinaheshimiwa-au-ni-maadhimisho-tu?GJlXzGgqHj)

_2026-06-19 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_17-06-26_OK.mp3?guid=ae2f5a58-6ba2-11f1-ac99-074fc410fdc3&source=GJlXzGgqHj)

## [Trade Smarter With IBKR (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/QE19dYQwwiIs)

_2026-06-19 · **Sponsored**_

Join Interactive Brokers through a referral and start investing with low-cost global access.

## [Marekani na Iran zimekubaliana kufikia makubaliano ya kukomesha vita](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260616-marekani-na-iran-zimekubaliana-kufikia-makubaliano-ya-kukomesha-vita?GJlXzGgqHj)

_2026-06-16 · Habari RFI-Ki_

Rais Donald Trump anasema Mlango Bahari wa Hormuz pia utafunguliwa tena hivi karibuni.Mkataba wa amani, unatarajiwa kutiwa saini siku ya Ijumaa, wiki hii nchini Uswizi

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_16-06-26_OK.mp3?guid=a4079276-6994-11f1-b0f8-156fe55e2899&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpya](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260610-kenya-harakati-za-kupambana-na-mimba-za-utoto-zapata-sura-mpya?GJlXzGgqHj)

_2026-06-10 · Jua Haki Zako_

Lydia Mwende mwanamitindo na mwanaharakati ni mchanga ambaye amejitokeza kupinga mimba wa utotoni nchini na pia kulelewa na mzazi mmoja. Sikiliza makala haya kufahamu msimamo wa Mwende.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_08_06_2026_KUHUSU_MIMBA.mp3?guid=8ff81dc8-6345-11f1-87c3-451e844ede77&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260608-kenya-ukatili-wa-kijinsia-kizungu-mkuti?GJlXzGgqHj)

_2026-06-08 · Jua Haki Zako_

Wanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa elimu kuhusu haki za waathiriwa unawazuia wengi kupata haki. wanaharakati hao wanasema hali hiyo imechangia wahusika wa vitendo vya ubakaji, ulawiti na unyanyasaji wa kingono kuendelea kutenda makosa bila kuwajibishwa. Skiza makala haya kufahamu…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_01_06_2026_KUHUSU_HAKI_YA_KIJINSIA.mp3?guid=f8b94d9c-6344-11f1-88d6-5921246ed811&source=GJlXzGgqHj)

## [KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani Mathare](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260530-kenya-dhulma-wanazopitia-kina-mama-mtaani-mathare?GJlXzGgqHj)

_2026-05-30 · Jua Haki Zako_

Katika makala ya Jua Haki zako, tiunazumgumza na waathiriwa waili wa ukatili wajinsia katika mtaa wa Mathare, Benedicta Musalizi na Cathrene Maina pamoja na mwanaharakati ambaye anapigania hazi za waathiriwahawa katika mtaa wa Mathare Bi. Beatrice Karore.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/JUA_HAKI_ZAKO_18-05-26_OK.mp3?guid=abdc87e2-5c1d-11f1-b51a-834d84eee7dd&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Haki ya wanamziki chipukizi ndani ya Eleve8](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260525-kenya-haki-ya-wanamziki-chipukizi-ndani-ya-eleve8?GJlXzGgqHj)

_2026-05-25 · Jua Haki Zako_

Mzalishaji wa muziki nchini Kenya Motive Di Don kwa ushirikiano na benko moja nchini humo wameanzisha ushirikiano wa kuwasaidia wanamziki chipkizi ndani ya mradi wa Eleve8. Skiza makala haya kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/JUA_HAKI_ZAKO_25-05-26_OK.mp3?guid=87697b9e-584f-11f1-836f-db431f4a4642&source=GJlXzGgqHj)

## [Siku ya Mama duniani, je unamtambua mama](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260515-siku-ya-mama-duniani-je-unamtambua-mama?GJlXzGgqHj)

_2026-05-15 · Jua Haki Zako_

Kila mwezi mei dunia huduadimisha siku ya mama duniani, je unatambua mchango wa mama duniani. Skiza makala haya kufahamu mengi skiza makala haya

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/JUA_HAKI_ZAKO_11-05-26_OK.mp3?guid=23c71d80-4d0f-11f1-a1cd-f95590e35bad&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Uhuru wa wanahabari si mjadala](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260511-kenya-uhuru-wa-wanahabari-si-mjadala?GJlXzGgqHj)

_2026-05-11 · Jua Haki Zako_

Kila mwezi Mei dunia huadimsha siku ya uhuru wa nyombo vya habari na wanahabari. Katika makala haya tunaangazia changamoto wanazopitia wanahabari wakati wakitekeleza majukumu yao.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_04_05_2026_KUHUSU_WANAHABARI.mp3?guid=bc5cac74-4d08-11f1-b6fb-f1b1e7824df2&source=GJlXzGgqHj)

## [Reuben Kigame na harakati zake kupigia haki](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260430-rueben-kigame-na-harakati-zake-kupigia-haki?GJlXzGgqHj)

_2026-04-30 · Jua Haki Zako_

Msanii Reuben Kigame anafafanua harakati zake za kisiasa na ndoto yake kuongoza Kenya. Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_27_04_2026_KUHUSU_KIGAME.mp3?guid=85c7e220-44af-11f1-a993-e73c8ce0c2cd&source=GJlXzGgqHj)

## [Unyanyasaji na kunyimwa haki kwa wanawake katika biashara za kimataifa](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260417-unyanyasaji-na-kunyimwa-haki-kwa-wanawake-katika-biashara-za-kimataifa?GJlXzGgqHj)

_2026-04-17 · Jua Haki Zako_

Licha ya kuongezeka kwa idadi ya wanawake wanaojihusisha na biashara za kimataifa nchini Kenya, wengi wao bado wanakumbana na changamoto kubwa,ikiwemo kudhalilishwa, ubaguzi wa kijinsia na kunyimwa haki zao za msingi wanapojaribu kuingia au kushindana katika masoko ya nje. Katika maeneo ya mashambani hadi mipakani, wanawake hawa wanapambana si tu kukuza biashara zao, bali pia kupigania heshima na…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MAKALA_JUA_HAKI_ZAKO_-_UNYANYASAJI_WA_HAKI_ZA_WANAWAKE_KWENYE_4_17_2026-14.mp3?guid=53e40166-3a6f-11f1-bb32-7fac69129a04&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Mchango wa masharika ya kiraia kwa jamii](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260408-kenya-mchango-wa-masharika-ya-kiraia-kwa-jamii?GJlXzGgqHj)

_2026-04-08 · Jua Haki Zako_

Katika makala haya tunajikita kuangazia mchango wa mashariki yasiokuwa ya kiserikali kwenye jamii zetu. Tunaliangazia shirika la Corps Africa ambalo kwa ushirikiano jamii mbali mbali nchini Kenya limeendelea kuleta mageuzi kwa raia. Ili jamii kuendelea na kujitegemea inahitaji watu wa kufanikisha baadhi ya maswala kwa jamii kuja na mbinu ya namna gani ya kuwezesha jamii kujiendeleza. Kutokana na…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_06_04_2026_KUHUSU_CORE_AFRICA.mp3?guid=08e11520-3333-11f1-850f-096413bf9721&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Pesa za majanga haziwafikii waathiriwa](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260331-kenya-pesa-za-majanga-haziwafikii-waathiriwa?GJlXzGgqHj)

_2026-03-31 · Jua Haki Zako_

Katika makala haya tunaangazia ripoti kuhusu ufadhili wa majanga na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo kame, iliochapishwa na masharika kadhaa likiwemo lile la Oxfarm. shaba ikilenga taifa la Kenya, Ripoti hii inaonyesha kuwa licha ya maeneo haya kuathirika zaidi na ukame, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi, bado fedha nyingi hazifiki moja kwa moja kwa wananchi wanaohitaji msaada huo zaidi.…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_30_03_2026_KUHSU_UKAME_OXFARM.mp3?guid=88360180-2c46-11f1-8d0b-c14891ab3b45&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Haki za wafanyibiashara wa soko la Kigomba](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260328-kenya-haki-za-wafanyibiashara-wa-soko-la-kigomba?GJlXzGgqHj)

_2026-03-28 · Jua Haki Zako_

Katika makala haya tunaangazia haki za wafanyibiashara katika soko la Gikomba nchini Kenya. Kwa muda wafanyibiashara hao wamekuwa wakizozana na serikali kuhusu kipande cha ardhi cha soko hiyo. Skiza makala haya kufamu mengi zaidi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_23_03_2026_KUHUSU_GIKOMBA.mp3?guid=27478f56-29ad-11f1-be32-71a75101deaf&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Haki za watoto wa kurandaranda mitaani](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260327-kenya-haki-za-watoto-wa-kurandaranda-mitaani?GJlXzGgqHj)

_2026-03-27 · Jua Haki Zako_

Kila mtotto ana haki kwa mjibu wa katiba za kila nchi na maazio ya kimataifa. Katika makala haya tunaanhazia haki za watoto wa kurandaranda mitaani. Skiza makala haya kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_16_03_2026_KUHUSU_WATOTO_WA_MITAANI.mp3?guid=d976b974-29ab-11f1-89cb-994d570b1423&source=GJlXzGgqHj)

## [EAC : Wanawake wasilia nyuma katika harakati za amani](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260309-eac-wanawake-wasilia-nyuma-katika-harakati-za-amani?GJlXzGgqHj)

_2026-03-09 · Jua Haki Zako_

Kila Machi nane dunia, huadimisha siku ya kimataifa ya wanawake, katika makala haya tunaangazia sababu ambazo zimechangia wanawake kuachwa nyuma katika harakati za kutafuta amani. Skiza makala haya kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_09_03_2026.mp3?guid=38f5ea80-1bcb-11f1-97e9-e59bd1bff51a&source=GJlXzGgqHj)

## [Haki za wakimbizi wanapokimbilia mataifa ya kigeni](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260226-haki-za-wakimbizi-wanapokimbilia-mataifa-ya-kigeni?GJlXzGgqHj)

_2026-02-26 · Jua Haki Zako_

Je ni masaibu gani wanayopitia wakimbizi wakati wanapokimbia nchi zao? Skiza makala haya kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_23_02_2026_KUHUSU_WAKIMBIZI.mp3?guid=a44bc4c8-1098-11f1-868f-e5565101dd4b&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Mchakato wa kutoa taarifa za rushwa kwa tume ya EACC](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260223-kenya-mchakato-wa-kutoa-taarifa-za-rushwa-kwa-tume-ya-eacc?GJlXzGgqHj)

_2026-02-23 · Jua Haki Zako_

Nchini Kenya tume ya kupambana na rushwa EACC imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha mali ya umma haiporwi. Ila ni mchakato upi mtu anastahili kufuata kutoa taarifa kwa tume. Benson Wakoli alikiti chini Kipsang Sambae afisa wa EACC, tawi la Nakuru kufahamu mchakato wa kutoa taarifa kwa EACC.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_16_02_2026_KUHUSU_EACC.mp3?guid=bf4a01b4-1097-11f1-b2e8-e5565101dd4b&source=GJlXzGgqHj)

## [Haki ya kuhifadhi taarifa za Siri](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260209-haki-ya-kuhifadhi-taarifa-za-siri?GJlXzGgqHj)

_2026-02-09 · Jua Haki Zako_

Je unafahamu kuhusu haki ya taarifa zako za siri kuhifadhiwa? na je unatambua hatua unazostahili kufuata iwapo zitatolewa? .

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_02_02_2026_KUHUSU_DATA_PROTECTION.mp3?guid=621c2624-0585-11f1-ae52-07faaa538473&source=GJlXzGgqHj)

## [Human Right Watch : Haki zinakandamizwa pembe ya Africa](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260209-human-right-watch-haki-zinakandamizwa-pembe-ya-africa?GJlXzGgqHj)

_2026-02-09 · Jua Haki Zako_

Makala haya yanaangazia ripoti ya Human Rights Watch iliyochapishwa tarehe 4 Februari 2026, inayozungumzia hali ya kutisha ya haki za binadamu katika eneo la Pembe ya Africa. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa raia wa Sudan , Sudan Kusini na Ethiopia ndio wanaobeba mzigo mkubwa wa vita vya silaha vinavyoendeshwa kwa ukatili, ambapo pande zinazopigana mara nyingi hulenga raia kimakusudi. Human Rights…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_09_02_2025_KUHUSU_HUMAN_RIGHT_WATCH.mp3?guid=95e67ce4-0584-11f1-9486-d797a0db50bd&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Hatua za kutafuta haki kwa dhulma za kinadada mtaani Mathare](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260127-kenya-hatua-za-kutafuta-haki-kwa-dhulma-za-kinadada-mtaani-mathare?GJlXzGgqHj)

_2026-01-27 · Jua Haki Zako_

Kwa miaka mingi Beatrice Karole amekuwa akijitolea kuhamasisha jamii kuhusiana na hatua za kuchukua wakati wanapokabiliana na unyanyasaji wa jinsia. Akiwa na shirika la kinamama la Wanawake Mashinani Initiative katika eneo la Mathare Jijini Nairobi, amefanikiwa kuwaokoa jumla ya wanawake na watoto 30 katika mwaka 2025 ambao anajivunia kuwa licha ya kunyanyaswa, walipata haki yao.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202601/JUA_HAKI_ZAKO_26-01-26_OK.mp3?guid=3694a50c-fb5e-11f0-a284-c16244f41973&source=GJlXzGgqHj)

