# siasa (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 4 feeds in the RSS Amplifier directory that cover siasa.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/siasa/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/siasa/blogs.md>

---

## [Historia ya Mradi wa JNHPP](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/22/historia-ya-mradi-wa-jnhpp/)

_2026-08-22 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu HAYATI Mwalimu Julius Nyerere ndiye aliyetoa msukumo mkubwa wa awali wa kuendeleza mradi huu katika miaka ya 1970. Serikali yake ilifanya tafiti mbalimbali za kitaalamu na upembuzi yakinifu ili kubaini uwezekano wa kujenga bwawa na kituo kikubwa cha kuzalisha umeme katika eneo la Stiegler’s Gorge. Eneo hilo lilitambuliwa kuwa na uwezo mkubwa \[…\] The post Historia ya Mradi wa…

## [Benki ya Dunia kufikiria kuunga mkono maboresho ya ziada Bandari ya Dar es Salaam](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/21/benki-ya-dunia-kufikiria-kuunga-mkono-maboresho-ya-ziada-bandari-ya-dar-es-salaam/)

_2026-08-21 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam BENKI ya Dunia imesifu uhusiano kati yake na Tanzania na kusifu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kusimamia vizuri wa utekelezaji wa awamu ya kwanza ya ujenzi na maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam chini ya mpango unaofadhiliwa na benki hiyo. Mpango huo unajulikana kwa jina \[…\] The post Benki ya Dunia kufikiria kuunga mkono maboresho ya ziada…

## [CCM kuimarisha uhusiano na chama cha kikomonisti cha China](https://tanzanialeo.co.tz/ccm-kuimarisha-uhusiano-na-chama-cha-kikomonisti-cha-china/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ccm-kuimarisha-uhusiano-na-chama-cha-kikomonisti-cha-china)

_2026-08-20 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Aggrey Mwanri, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) nchini Tanzania, Xu…

## [Waandishi Oman, JOWUTA, kuandaa kongamano la kimataifa](https://tanzanialeo.co.tz/waandishi-oman-jowuta-kuandaa-kongamano-la-kimataifa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=waandishi-oman-jowuta-kuandaa-kongamano-la-kimataifa)

_2026-08-20 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam UJUMBE maalum kutoka Chama cha Waandishi wa Habari wa Ufalme wa Oman (OJA), uliopo nchini leo Agosti 19, 2026 umefanya mazungumzo na Chama cha wafanyakazi…

## [Serengeti awards 2026 usajili wafunguliwa kwa wadau wa utalii](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/20/serengeti-awards-2026-usajili-wafunguliwa-kwa-wadau-wa-utalii/)

_2026-08-20 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WIZARA ya Maliasili na Utalii imetangaza rasmi dirisha la usajili kwa wadau wa uhifadhi na utalii kuwania Serengeti Awards 2026, huku ikiwasisitiza kutumia fursa hiyo kuonyesha kazi, ubunifu na mafanikio yao katika uhifadhi wa wanyamapori, maliasili na uendelezaji wa utalii. Dirisha hilo litafunguliwa Agosti 20, 2026 na litafungwa Septemba \[…\] The post Serengeti…

## [Songwe yafungua milango kwa Sekta Binafsi kwenye miradi](https://tanzanialeo.co.tz/songwe-yafungua-milango-kwa-sekta-binafsi-kwenye-miradi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=songwe-yafungua-milango-kwa-sekta-binafsi-kwenye-miradi)

_2026-08-20 · Zahoro mlanzi · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame, amepigia chapuo matumizi ya mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kama njia kuu…

## [Njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Nyerere Chalinze-Dodoma yakamilika](https://tanzanialeo.co.tz/njia-ya-kusafirisha-umeme-kutoka-bwawa-la-nyerere-chalinze-dodoma-yakamilika/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=njia-ya-kusafirisha-umeme-kutoka-bwawa-la-nyerere-chalinze-dodoma-yakamilika)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

– Umeme wa JNHPP kufika Dodoma kupitia Chalinze -SGR kupata njia yake maalum ya umeme, kuimarisha uhakika wa huduma Na Mwandishi Wetu, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia…

## [Serikali kuendelea kuimarisha afua za UKIMWI nchini](https://tanzanialeo.co.tz/serikali-kuendelea-kuimarisha-afua-za-ukimwi-nchini/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=serikali-kuendelea-kuimarisha-afua-za-ukimwi-nchini)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Mwanza SERIKALI imedhamiria kuendelea kuimarisha afua za masuala ya UKIMWI nchini kwa kuboresha mazingira ya utekelezaji wa shughuli hizo, huku ikihimiza ushirikiano na wadau mbalimbali katika kuendeleza…

## [TMDA na Mamlaka ya Dawa Denmark zimeingia makubaliano ya ushirikiano](https://tanzanialeo.co.tz/tmda-na-mamlaka-ya-dawa-denmark-zimeingia-makubaliano-ya-ushirikiano/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tmda-na-mamlaka-ya-dawa-denmark-zimeingia-makubaliano-ya-ushirikiano)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Arusha MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA), imeingia mashirikiano na Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa ya Denmark, (Danish Medicines Agency-DKMA) katika nyanja ya udhibiti wa…

## [Tanzania yahitaji rasilimali watu wenye afya na vijana wenye fursa](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/17/tanzania-yahitaji-rasilimali-watu-wenye-afya-na-vijana-wenye-fursa/)

_2026-08-17 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema Tanzania inahitaji rasilimali watu wenye afya bora, vijana wanaopata fursa na sekta binafsi inayowajibika ili kufanikisha malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Hemed alisema hayo kwa niaba ya Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati wa \[…\] The post Tanzania yahitaji rasilimali watu…

## [Web Coding With AI, Live (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/W3jHs9m3Tey5)

_2026-08-17 · **Sponsored**_

Collaborative screen sharing with simultaneous remote control, open source.

## [TIB Rasilimali Yaongeza Elimu ya Uwekezaji kwa Wananchi](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/17/tib-rasilimali-yaongeza-elimu-ya-uwekezaji-kwa-wananchi/)

_2026-08-17 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KAMPUNI ya TIB Rasilimali Limited imeendelea kutoa elimu ya uwekezaji kwa wananchi kupitia programu yake ya Rasilimali Academy, ikiwa na lengo la kuongeza uelewa kuhusu fursa za uwekezaji katika hisa, hati fungani, mifuko ya uwekezaji wa pamoja na masuala ya usimamizi wa fedha binafsi. Akizungumza kuhusu mpango huo, Mkurugenzi Mkuu \[…\] The post TIB Rasilimali…

## [DCEA yateketeza ekari 603 za bangi mvomero](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/17/dcea-yateketeza-ekari-603-za-bangi-mvomero/)

_2026-08-17 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, Morogoro MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza ekari 603 za mashamba ya bangi na kukamata magunia 49 ya bangi katika operesheni maalum iliyofanyika Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, huku watuhumiwa 13 wakikamatwa kuhusisiana na mashamba hayo. Operesheni hiyo iliyofanyika katika vijiji vya Misengele, Lugenge, Kisaki na Nyarutanga, \[…\] The post…

## [Ujenzi meli mpya Kigoma kufungua soko la biashara kimataifa- Prof. Mbarawa](https://tanzanialeo.co.tz/ujenzi-meli-mpya-kigoma-kufungua-soko-la-biashara-kimataifa-prof-mbarawa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ujenzi-meli-mpya-kigoma-kufungua-soko-la-biashara-kimataifa-prof-mbarawa)

_2026-08-17 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Kigoma WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema uwekezaji wa kampuni ya kizawa ya Dar es Salaam Merchant Group katika ujenzi wa chelezo na meli mpya mkoani…

## [TIB yaunga mkono ajenda ya Nishati Safa kuelekea 2050](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/17/tib-yaunga-mkono-ajenda-ya-nishati-safa-kuelekea-2050/)

_2026-08-17 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar SAFARI ya mageuzi ya kiuchumi kuelekea Dira ya Taifa 2050 imeanza kushika kasi, huku mijadala kuhusu vichocheo vya uchumi ikiendelea kupewa uzito mkubwa nchini. Miongoni mwa matukio yaliyoibua mjadala huo ni Tamasha la Kizimkazi 2026, lililofanyika kusini mwa Unguja na kukutanisha viongozi wakuu wa serikali, taasisi na wadau mbalimbali wa maendeleo. \[…\] The post TIB…

## [Rais Samia kuzindua Mradi wa JNHPP Agosti 22, 2026](https://tanzanialeo.co.tz/rais-samia-kuzindua-mradi-wa-jnhpp-agosti-22-2026/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-samia-kuzindua-mradi-wa-jnhpp-agosti-22-2026)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

-Ni Mradi wa JNHPP ni matokeo ya uwekezaji wa trilioni 7.4 Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu…

## [TOA kujadili utekelezaji Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuwanufaisha wananchi](https://tanzanialeo.co.tz/toa-kujadili-utekelezaji-dira-ya-taifa-ya-maendeleo-2050-ili-kuwanufaisha-wananchi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=toa-kujadili-utekelezaji-dira-ya-taifa-ya-maendeleo-2050-ili-kuwanufaisha-wananchi)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mkutano Mkuu wa 16 wa Mwaka wa Taasisi ya Maboresho katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA) unatarajiwa kujadili mchango wa ugatuzi wa madaraka katika kufikia…

## [Sekta ya madini yavutia uwekezaji wa trilioni 9 ndani ya miaka 4](https://tanzanialeo.co.tz/sekta-ya-madini-yavutia-uwekezaji-wa-trilioni-9-ndani-ya-miaka-4/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=sekta-ya-madini-yavutia-uwekezaji-wa-trilioni-9-ndani-ya-miaka-4)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

-Mikataba ya msingi 14 ya madini yasainiwa -Serikali yasaini Mkataba wa Bilioni 265 na Kampuni ya Henan Yudi Mining ya Mradi wa Graphite Morogoro Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa…

## [Rais Dkt. Samia anatarajia kuzindua JNHPP Agosti, 22 2026](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/15/rais-dkt-samia-anatarajia-kuzindua-jnhpp-agosti-22-2026/)

_2026-08-15 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiakuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) Agosti,22 2026 katika eneo la mradi Rufiji, Mkoa wa Pwani. JNHPP ni miongoni mwa miradi mikubwa na ya kimkakati katika historia ya sekta ya nishati nchini.Kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 za \[…\] The post Rais Dkt. Samia anatarajia kuzindua…

## [Kafulila kuongoza mhadhara wa umma kuhusu nafasi ya ubia (PPP) katika maendeleo ya watu](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/12/kafulila-kuongoza-mhadhara-wa-umma-kuhusu-nafasi-ya-ubia-ppp-katika-maendeleo-ya-watu/)

_2026-08-12 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

KITUO cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre) kinatarajiwa kufanya mhadhara wa umma utakaolenga kujadili mchango wa ubia kati ya sekta umma na sekta binafsi katika kuchochea maendeleo ya watu na uchumi wa taifa. Mhadhara huo utaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Centre, Mhe. David Kafulila ukiwa umebeba mada ya \[…\] The post Kafulila kuongoza mhadhara wa umma kuhusu nafasi…

## [Vyama vyote ni sawa hakuna chama kidogo wala kikubwa](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/12/vyama-vyote-ni-sawa-hakuna-chama-kidogo-wala-kikubwa/)

_2026-08-12 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu,Dodoma VYAMA vya Siasa vyote nchini vina hadhi sawa na hakuna chama kinachopaswa kujiona chenyewe ni kikubwa kiliko vingine kutokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria za nchi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi alipokuwa \[…\] The post Vyama vyote ni sawa hakuna chama…

## [Stocks ranked by what execs say (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/CN4ML3L1W9ao)

_2026-08-12 · **Sponsored**_

Evidence-backed watchlists from earnings calls and filings, cited to real transcripts—not guesses.

## [Mavunde aagiza masoko ya madini kuwa wazi mpaka usiku](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/11/mavunde-aagiza-masoko-ya-madini-kuwa-wazi-mpaka-usiku/)

_2026-08-11 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

▪️ Lengo ni kurahisisha huduma kwa wateja ▪️ Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kupunguza tozo zinazowaumiza wachimbaji wadogo ▪️ Dhahabu tani 67.8 zenye thamani ya Sh trilioni 18.4 zazalishwa kwenye viwanda vya usafishaji ▪️Waziri Mavunde aeleza mkakati wa kukuza biashara ya Tanzanite Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, ameiagiza Tume ya Madini \[…\] The post Mavunde aagiza…

## [RITA yaimarisha usajili wa matukio muhimu ya binadamu](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/11/rita-yaimarisha-usajili-wa-matukio-muhimu-ya-binadamu/)

_2026-08-11 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umeendelea kuimarisha usajili wa matukio muhimu ya binadamu nchini kwa kutumia mifumo ya kidijitali na kusogeza huduma karibu na wananchi, hatua inayolenga kuhakikisha kila mwananchi anapata nyaraka muhimu za utambulisho na kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Waziri wa Katiba na \[…\] The post…

## [Watu 11 wafariki, 14 wajeruhiwa katika tukio la mauaji Pretoria, Afrika Kusini](https://observer.co.tz/ufyatuaji-risasi-pretoria-afrika-kusini-watu-11-wafariki/)

_2025-12-06 · OBA · Observer Africa_

Takribani watu 11 wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya tukio la ufyatuaji risasi lililotokea mapema Jumamosi asubuhi Afrika Kusini. Tukio hilo limesababisha mauaji jijini Pretoria. Kwa mujibu wa polisi, tukio hilo lilitokea majira ya saa 4:00 asubuhi katika hosteli ya Saulsville, iliyopo Atteridgeville, magharibi mwa Pretoria. Miongoni mwa waliopoteza maisha ni watoto watatu. \[…\] The…

## [Baadhi ya Nchi Kushindwa Kupeleka Mashabiki Kombe la Dunia 2026](https://observer.co.tz/kombe-la-dunia-2026-sera-za-usafiri-marekani/)

_2025-12-06 · OBA · Observer Africa_

Huu ni muhtasari wa nchi zinazoweza kushindwa kupeleka mashabiki nchini Marekani kutokana na sera mpya za usafiri. Fainali za kombe la Dunia 2026 ni mwakani mwezi June. Kadri zinavyokaribia, suala la usafiri wa kimataifa kuelekea Marekani limeanza kujitokeza kama changamoto kwa baadhi ya mataifa. Mashindano hayo yataandaliwa kwa pamoja na Marekani, Kanada na Mexico, huku \[…\] The post Baadhi ya…

## [Rais Ruto aipongeza Marekani kwa mpango wa kuongeza muda wa AGOA](https://observer.co.tz/rais-ruto-aipongeza-marekani-trump-kuongeza-muda-agoa/)

_2025-12-06 · OBA · Observer Africa_

Rais wa Kenya, William Ruto, ameipongeza serikali ya Marekani kwa mpango wa kuongeza muda wa Mpango wa AGOA. Amesema hatua hiyo italinda mafanikio ya kibiashara ambayo tayari yamepatikana. Mpango huo wa AGOA ulianzishwa mwaka 2000. Unaziwezesha nchi kadhaa za Afrika kupata soko la Marekani bila ushuru kwa bidhaa zilizochaguliwa. AGOA imekuwa nguzo muhimu kwa sekta \[…\] The post Rais Ruto aipongeza…

## [Tume ya Uchaguzi Guinea Bissau CNE Yatangaza Matokeo ya Uchaguzi Kuharibika](https://observer.co.tz/guinea-bissau-matokeo-yameharibiwa-mapinduzi-2025/)

_2025-12-04 · OBA · Observer Africa_

Muhtasari wa Matukio Tume ya uchaguzi ya Guinea-Bissau imesema haiwezi kutangaza matokeo ya uchaguzi wa 23 Novemba 2025. Ballots, fomu za hesabu na vifaa vya kompyuta vilikamatwa. Server iliyohifadhi matokeo pia iliharibiwa. Makao ya CNE yalishambuliwa siku moja kabla ya kutangaza matokeo ya muda. Baada ya tukio hilo, jeshi lilitangaza kujidhibiti serikalini. Jeshi lilimtangaza Horta \[…\] The post…

## [Donald Trump awaita Paul Kagame na Felix Tshisekedi kwa ajili ya kusaini makubaliano ya amani kati ya Rwanda na Congo DRC](https://observer.co.tz/donald-trump-kagame-tshisekedi-makubaliano-ya-amani-rwanda-drc/)

_2025-12-04 · OBA · Observer Africa_

Katika hatua yenye umuhimu mkubwa kwa Mustakabali wa eneo la Afrika ya Maziwa Makuu, Rais wa Marekani, Donald J. Trump, ametangaza kuwa atawaalika viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Rais Paul Kagame na Rais Felix Tshisekedi – watashiriki katika tukio rasmi la kusaini makubaliano mapya ya amani na uchumi. Makubaliano hayo, \[…\] The post Donald Trump awaita Paul Kagame na…

## [Vodacom Yachukua Udhibiti wa Safaricom kwa Makubaliano ya Dola 2.4 Bilioni](https://observer.co.tz/vodacom-yachukua-udhibiti-wa-safaricom-kwa-muamala-bilioni-2-4/)

_2025-12-04 · OBA · Observer Africa_

Muhtasari wa Makubaliano Kampuni ya simu ya kusini mwa Afrika, Vodacom, imefanikiwa kununua nafasi ya udhibiti katika kampuni ya uwasilishaji mawasiliano ya Kenya, Safaricom, kwa bei ya dola za Marekani 2.4 bilioni. Hii ni mojawapo ya miamala mikubwa kabisa katika sekta ya telekomunikasiyo barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Kupitia mkataba huu, Vodacom hatimaye \[…\] The post Vodacom…

## [WANANCHI WA MABOGINI WANUFAIKA NA MRADI WA RISE](https://www.mtwarapressblog.co.tz/wananchi-wa-mabogini-wanufaika-na-mradi-wa-rise/)

_2025-12-03 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

MOSHI-KILIMANJARO Wananchi wa kijiji cha Mabogini, kata ya Mabogini, wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, wameishukuru Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupitia mradi wa RISE kwa kuanza kukarabati barabara ya Mabogini–Kahe ambayo kwa miaka mingi ilikuwa katika hali mbaya na imekuwa chanzo cha adha kubwa kwa wakazi wa eneo hilo. Barabara hiyo yenye urefu … The post WANANCHI WA…

## [Siku ya Kumbukizi ya UKIMWI Duniani: Kuna Sera Mpya Kuelekea 2026?](https://observer.co.tz/siku-ya-ukimwi-barani-afrika-mabadiliko-ya-sera-na-upatikanaji-wa-arvs/)

_2025-12-01 · OBA · Observer Africa_

USAID Yasitisha Misaada, Sera Mpya za Sekta ya Afya Afrika, Upatikanaji wa ARV na Kondomu, na Takwimu Halisi Utangulizi Katika siku ya kumbukizi ya UKIMWI, barabara ya kupambana na ugonjwa huu imefika tena mahali pa kuangalia kinagaubaga. Hata baada ya miongo ya maendeleo, kukatika ghafla kwa msaada wa kimataifa kunaleta wasiwasi mkubwa. Hii ni tofauti \[…\] The post Siku ya Kumbukizi ya UKIMWI…

## [Install Manifest V3 Extension (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/J9fufbfgOAGl)

_2025-12-01 · **Sponsored**_

Get this Manifest V3 extension from the official TronBrowser Store listing.

## [OPEC+ Kusitisha Ongezeko la Uzalishaji Mafuta Hadi Machi 2026](https://observer.co.tz/opec-plus-yasitisha-ongezeko-la-uzalishaji-utabiri-bei-za-mafuta-2026/)

_2025-12-01 · OBA · Observer Africa_

Katika Habari hii Tunaangazia Nini Kinafuata kwa Bei za Mafuta Kuelekea 2026? OPEC+ imetangaza rasmi kuwa itaendeleza mpango wake wa kusitisha ongezeko la uzalishaji hadi kufikia Machi 2026, hatua ambayo imeleta maswali mapya kuhusu mwelekeo wa bei za mafuta duniani. Uamuzi huu umefikiwa wakati masoko yakipitia mabadiliko makubwa: mahitaji ya mafuta yanaongezeka taratibu, ukuaji wa \[…\] The post…

## [Benjamin Netanyahu aomba msamaha wa Rais katika kesi ya rushwa](https://observer.co.tz/benjamin-netanyahu-aomba-msamaha-wa-rais-kesi-ya-rushwa/)

_2025-11-30 · OBA · Observer Africa_

Kwa nini sasa?—Mzizi wa ombi lake la msamaha Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameomba rasmi msamaha wa rais kutoka kwa Rais Isaac Herzog. Kesi hiyo inahusisha mashtaka ya rushwa, udanganyifu, na matumizi mabaya ya mamlaka. Ombi hili limewasilishwa wakati kesi ikiwa bado haijasikilizwa kikamilifu, huku ikiwa imepita miaka sita. Hatua hiyo imeibua maswali mengi \[…\] The post Benjamin…

## [Dizeli ya Dangote Yapigwa Chini Barani Ulaya](https://observer.co.tz/kukataliwa-dizeli-dangote-ulaya-kiwango-cha-salfuri-vikwazo-vya-baridi/)

_2025-11-29 · OBA · Observer Africa_

Huu ni Uchunguzi, Takwimu na Athari kwa Soko la Mafuta Duniani Changamoto ni Ubora: Sulfuri na Viwango vya Baridi Dizeli kutoka Dangote Refinery imekabiliwa na mashaka makubwa kutoka kwa wanunuzi wa Ulaya. Sampuli zilizochunguzwa katikati ya Novemba 2025 zilionyesha kwamba mafuta hayo hayana kiwango cha salfuri na kemikali nyingine kinachokidhi vigezo vinavyokubalika kwa “dizeli ya \[…\] The post…

## [DALILI ZA UWEPO WA GESI ASILIA ZAONEKANA KATIKA KITALU CHA LINDI-MTWARA](https://www.mtwarapressblog.co.tz/dalili-za-uwepo-wa-gesi-asilia-zaonekana-katika-kitalu-cha-lindi-mtwara/)

_2025-10-16 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA,MTWARA Utafiti unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa Gesi Asilia, hususani katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, mkoani Mtwara, ambapo visima vya maji vilibainika kuvujisha gesi asilia. Utafiti huo unajumuisha jumla ya vijiji 48 katika eneo la takriban kilomita za mraba 736 ambapo vijiji 40 vinatoka katika … The post DALILI…

## [ZAIDI YA BILIONI 27 KUIPENDEZESHA MANISPAA YA MTWARA-MIKINDANI KUPITIA MRADI WA TACTIC](https://www.mtwarapressblog.co.tz/zaidi-ya-bilioni-27-kuipendezesha-manispaa-ya-mtwara-mikindani-kupitia-mradi-wa-tactic/)

_2025-10-11 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Manispaa ya Mtwara-Mikindani mkoani Mtwara imesaini mkataba wa fedha zaidi ya shilingi bilioni 27 zinazolenga katika uboreshaji wa miundombinu ya mji kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji ya Tanzania (TACTIC) unaofadhiliwa na Serikali kuu kupitia mkopo wa Benki ya Dunia wenye thamani ya dola za Kimarekani Milioni 410 (Bila VAT). … The post ZAIDI YA BILIONI 27…

## [KOROSHO MARATHON MSIMU WA NNE KUFANYIKA NOVEMBA 29, 2025](https://www.mtwarapressblog.co.tz/korosho-marathon-msimu-wa-nne-kufanyika-novemba-29-2025/)

_2025-10-10 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), imetangaza rasmi ratiba ya Korosho Marathon msimu wa nne, ambayo mwaka huu inatarajiwa kufanyika tarehe 29 Novemba 2025 na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi. Taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari leo tarehe 10 Octoba 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania … The post KOROSHO MARATHON MSIMU WA NNE…

## [SERIKALI ITAENDELEA KUTOA RUZUKU YA PEMBEJEO KWA WAKULIMA WA KOROSHO – DKT. NCHIMBI](https://www.mtwarapressblog.co.tz/serikali-itaendelea-kutoa-ruzuku-ya-pembejeo-kwa-wakulima-wa-korosho-dkt-nchimbi/)

_2025-10-03 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameahidi kuwa serikali itaendelea kutoa ruzuku ya pembejeo bure kwa wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kukuza kilimo na kuongeza kipato cha wakulim a vijijini. Dkt. Nchimbi alitoa ahadi hiyo … The post SERIKALI ITAENDELEA KUTOA RUZUKU YA PEMBEJEO…

## [CBT YAENDELEA NA MAANDALIZI YA MSIMU WA MAUZO YA KOROSHO GHAFI 2025/2026](https://www.mtwarapressblog.co.tz/cbt-yaendelea-na-maandalizi-ya-msimu-wa-mauzo-ya-korosho-ghafi-2025-2026/)

_2025-10-01 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) imeeleza kuwa maandalizi ya msimu mpya wa mauzo ya korosho ghafi wa mwaka 2025/2026 yanaendelea kwa vizuri, huku ikiahidi msimu wenye tija zaidi kwa wakulima na wadau wote wa tasnia hiyo. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliwasilishwa na Mkurugenzi wa Masoko na Udhibiti wa Ubora wa … The post CBT YAENDELEA NA MAANDALIZI YA MSIMU WA MAUZO YA KOROSHO…

## [BANDARI YA MTWARA YAONGEZA UFANISI KATIKA KUHUDUMIA SHEHENA YA KOROSHO](https://www.mtwarapressblog.co.tz/bandari-ya-mtwara-yaongeza-ufanisi-katika-kuhudumia-shehena-ya-korosho/)

_2025-09-30 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Bandari ya Mtwara imefanikiwa kuongeza kiwango cha ufanisi katika kuhudumia shehena ya korosho baada ya kufanikisha usafirishaji wa jumla ya tani 370,896 katika msimu wa 2024/2025, ikilinganishwa na tani 253,616.94 za msimu wa 2023/2024. Taarifa hiyo imetolewa tarehe 29 septemba 2025, na Meneja wa Bandari ya Mtwara Ferdinand Nyathi, katika mkutano wa … The post BANDARI YA…

## [DKT. SAMIA AAHIDI NEEMA MIKOA YA KUSINI, LNG KUKAMILIKA LINDI](https://www.mtwarapressblog.co.tz/dkt-samia-aahidi-neema-mikoa-ya-kusini-lng-kukamilika-lindi/)

_2025-09-26 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, LINDI Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kukamilika kwa mradi mkubwa wa uchakataji na usindikaji wa gesi asilia ya kimiminika (LNG) mkoani Lindi, mradi ambao umesimama kwa zaidi ya miaka 12. Akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Lindi Mjini, Dkt. Samia alisema Serikali ipo … The post DKT. SAMIA AAHIDI NEEMA…

## [OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MKOA WA MTWARA YAFANYA KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA USHAURI WA KISHERIA](https://www.mtwarapressblog.co.tz/ofisi-ya-mwanasheria-mkuu-wa-serikali-mkoa-wa-mtwara-yafanya-kikao-cha-kwanza-cha-kamati-ya-ushauri-wa-kisheria/)

_2025-09-12 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Mkoa wa Mtwara, imefanya kikao cha kwanza cha Kamati ya ushauri wa kisheria, chenye lengo la kupeana majukumu na namna ya utekelezaji wake ikiwa ni pamoja na ushauri na uangalizi katika utekelezaji wa huduma za ushauri wa kisheria na Elimu ya Sheria kwa wananchi. Kikao hicho … The post OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MKOA WA MTWARA…

## [BALOZI WA URUSI AKUTANA NA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIBISHARA](https://www.mtwarapressblog.co.tz/balozi-wa-urusi-akutana-na-mkurugenzi-wa-bodi-ya-korosho-tanzania-kuimarisha-ushirikiano-wa-kibishara/)

_2025-09-08 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

ABDUL LUKANGA, MTWARA Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Andrey Avetisyan, amefanya ziara rasmi ya kutembelea Bodi ya Korosho Tanzania mkoani Mtwara, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Urusi. Ziara hiyo imefanyika leo septemba 8/ ambapo ilimfikisha Balozi kwenye Kongani ya Viwanda inayoendelea kujengwa katika kijiji cha Maranje, … The post BALOZI WA…

