# serikali (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 3 feeds in the RSS Amplifier directory that cover serikali.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/serikali/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/serikali/blogs.md>

---

## [CCM kuimarisha uhusiano na chama cha kikomonisti cha China](https://tanzanialeo.co.tz/ccm-kuimarisha-uhusiano-na-chama-cha-kikomonisti-cha-china/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ccm-kuimarisha-uhusiano-na-chama-cha-kikomonisti-cha-china)

_2026-08-20 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Aggrey Mwanri, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) nchini Tanzania, Xu…

## [Waandishi Oman, JOWUTA, kuandaa kongamano la kimataifa](https://tanzanialeo.co.tz/waandishi-oman-jowuta-kuandaa-kongamano-la-kimataifa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=waandishi-oman-jowuta-kuandaa-kongamano-la-kimataifa)

_2026-08-20 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam UJUMBE maalum kutoka Chama cha Waandishi wa Habari wa Ufalme wa Oman (OJA), uliopo nchini leo Agosti 19, 2026 umefanya mazungumzo na Chama cha wafanyakazi…

## [Songwe yafungua milango kwa Sekta Binafsi kwenye miradi](https://tanzanialeo.co.tz/songwe-yafungua-milango-kwa-sekta-binafsi-kwenye-miradi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=songwe-yafungua-milango-kwa-sekta-binafsi-kwenye-miradi)

_2026-08-20 · Zahoro mlanzi · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame, amepigia chapuo matumizi ya mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kama njia kuu…

## [Njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Nyerere Chalinze-Dodoma yakamilika](https://tanzanialeo.co.tz/njia-ya-kusafirisha-umeme-kutoka-bwawa-la-nyerere-chalinze-dodoma-yakamilika/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=njia-ya-kusafirisha-umeme-kutoka-bwawa-la-nyerere-chalinze-dodoma-yakamilika)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

– Umeme wa JNHPP kufika Dodoma kupitia Chalinze -SGR kupata njia yake maalum ya umeme, kuimarisha uhakika wa huduma Na Mwandishi Wetu, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia…

## [Serikali kuendelea kuimarisha afua za UKIMWI nchini](https://tanzanialeo.co.tz/serikali-kuendelea-kuimarisha-afua-za-ukimwi-nchini/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=serikali-kuendelea-kuimarisha-afua-za-ukimwi-nchini)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Mwanza SERIKALI imedhamiria kuendelea kuimarisha afua za masuala ya UKIMWI nchini kwa kuboresha mazingira ya utekelezaji wa shughuli hizo, huku ikihimiza ushirikiano na wadau mbalimbali katika kuendeleza…

## [TMDA na Mamlaka ya Dawa Denmark zimeingia makubaliano ya ushirikiano](https://tanzanialeo.co.tz/tmda-na-mamlaka-ya-dawa-denmark-zimeingia-makubaliano-ya-ushirikiano/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tmda-na-mamlaka-ya-dawa-denmark-zimeingia-makubaliano-ya-ushirikiano)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Arusha MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA), imeingia mashirikiano na Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa ya Denmark, (Danish Medicines Agency-DKMA) katika nyanja ya udhibiti wa…

## [Ujenzi meli mpya Kigoma kufungua soko la biashara kimataifa- Prof. Mbarawa](https://tanzanialeo.co.tz/ujenzi-meli-mpya-kigoma-kufungua-soko-la-biashara-kimataifa-prof-mbarawa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ujenzi-meli-mpya-kigoma-kufungua-soko-la-biashara-kimataifa-prof-mbarawa)

_2026-08-17 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Kigoma WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema uwekezaji wa kampuni ya kizawa ya Dar es Salaam Merchant Group katika ujenzi wa chelezo na meli mpya mkoani…

## [Rais Samia kuzindua Mradi wa JNHPP Agosti 22, 2026](https://tanzanialeo.co.tz/rais-samia-kuzindua-mradi-wa-jnhpp-agosti-22-2026/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-samia-kuzindua-mradi-wa-jnhpp-agosti-22-2026)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

-Ni Mradi wa JNHPP ni matokeo ya uwekezaji wa trilioni 7.4 Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu…

## [TOA kujadili utekelezaji Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuwanufaisha wananchi](https://tanzanialeo.co.tz/toa-kujadili-utekelezaji-dira-ya-taifa-ya-maendeleo-2050-ili-kuwanufaisha-wananchi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=toa-kujadili-utekelezaji-dira-ya-taifa-ya-maendeleo-2050-ili-kuwanufaisha-wananchi)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mkutano Mkuu wa 16 wa Mwaka wa Taasisi ya Maboresho katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA) unatarajiwa kujadili mchango wa ugatuzi wa madaraka katika kufikia…

## [Sekta ya madini yavutia uwekezaji wa trilioni 9 ndani ya miaka 4](https://tanzanialeo.co.tz/sekta-ya-madini-yavutia-uwekezaji-wa-trilioni-9-ndani-ya-miaka-4/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=sekta-ya-madini-yavutia-uwekezaji-wa-trilioni-9-ndani-ya-miaka-4)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

-Mikataba ya msingi 14 ya madini yasainiwa -Serikali yasaini Mkataba wa Bilioni 265 na Kampuni ya Henan Yudi Mining ya Mradi wa Graphite Morogoro Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa…

## [Fast, secure international transfers (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/RttAb6GKZuf9)

_2026-08-15 · **Sponsored**_

Bank transfer, cash pickup, mobile wallet — low fees and real-time tracking

## [WANANCHI WA MABOGINI WANUFAIKA NA MRADI WA RISE](https://www.mtwarapressblog.co.tz/wananchi-wa-mabogini-wanufaika-na-mradi-wa-rise/)

_2025-12-03 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

MOSHI-KILIMANJARO Wananchi wa kijiji cha Mabogini, kata ya Mabogini, wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro, wameishukuru Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kupitia mradi wa RISE kwa kuanza kukarabati barabara ya Mabogini–Kahe ambayo kwa miaka mingi ilikuwa katika hali mbaya na imekuwa chanzo cha adha kubwa kwa wakazi wa eneo hilo. Barabara hiyo yenye urefu … The post WANANCHI WA…

## [DALILI ZA UWEPO WA GESI ASILIA ZAONEKANA KATIKA KITALU CHA LINDI-MTWARA](https://www.mtwarapressblog.co.tz/dalili-za-uwepo-wa-gesi-asilia-zaonekana-katika-kitalu-cha-lindi-mtwara/)

_2025-10-16 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA,MTWARA Utafiti unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa Gesi Asilia, hususani katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, mkoani Mtwara, ambapo visima vya maji vilibainika kuvujisha gesi asilia. Utafiti huo unajumuisha jumla ya vijiji 48 katika eneo la takriban kilomita za mraba 736 ambapo vijiji 40 vinatoka katika … The post DALILI…

## [ZAIDI YA BILIONI 27 KUIPENDEZESHA MANISPAA YA MTWARA-MIKINDANI KUPITIA MRADI WA TACTIC](https://www.mtwarapressblog.co.tz/zaidi-ya-bilioni-27-kuipendezesha-manispaa-ya-mtwara-mikindani-kupitia-mradi-wa-tactic/)

_2025-10-11 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Manispaa ya Mtwara-Mikindani mkoani Mtwara imesaini mkataba wa fedha zaidi ya shilingi bilioni 27 zinazolenga katika uboreshaji wa miundombinu ya mji kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji ya Tanzania (TACTIC) unaofadhiliwa na Serikali kuu kupitia mkopo wa Benki ya Dunia wenye thamani ya dola za Kimarekani Milioni 410 (Bila VAT). … The post ZAIDI YA BILIONI 27…

## [KOROSHO MARATHON MSIMU WA NNE KUFANYIKA NOVEMBA 29, 2025](https://www.mtwarapressblog.co.tz/korosho-marathon-msimu-wa-nne-kufanyika-novemba-29-2025/)

_2025-10-10 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), imetangaza rasmi ratiba ya Korosho Marathon msimu wa nne, ambayo mwaka huu inatarajiwa kufanyika tarehe 29 Novemba 2025 na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi. Taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari leo tarehe 10 Octoba 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania … The post KOROSHO MARATHON MSIMU WA NNE…

## [SERIKALI ITAENDELEA KUTOA RUZUKU YA PEMBEJEO KWA WAKULIMA WA KOROSHO – DKT. NCHIMBI](https://www.mtwarapressblog.co.tz/serikali-itaendelea-kutoa-ruzuku-ya-pembejeo-kwa-wakulima-wa-korosho-dkt-nchimbi/)

_2025-10-03 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameahidi kuwa serikali itaendelea kutoa ruzuku ya pembejeo bure kwa wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kukuza kilimo na kuongeza kipato cha wakulim a vijijini. Dkt. Nchimbi alitoa ahadi hiyo … The post SERIKALI ITAENDELEA KUTOA RUZUKU YA PEMBEJEO…

## [VIJANA WA KIZAZI CHA GEN Z KENYA WATISHIA KUJENGA HOSPITALI YAO.](https://www.lulufm.co.ke/vijana-wa-kizazi-cha-gen-z-kenya-watishia-kujenga-hospitali-yao/)

_2025-10-02 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Baadhi ya vijana wa kizazi cha Gen Z kupitia mtandao wa Tiktok, wametishia kuchangisha pesa mtandaoni na kujenga hospitali ya kisasa, itakayo toa huduma muhimu za matibabu na za bure kwa wakenya wanao hangaika. Kulingana na vijana hao, hatua hiyo itawawezesha kusaidia wakenya wanaokabiliwa na changamoto za kupata huduma za matibabu kitaifa. Hesabu za vijana \[…\] The post VIJANA WA KIZAZI CHA GEN Z…

## [IDARA YA POLISI YAHAKIKISHIA WAKENYA UHURU NA HAKI KATIKA ZOEZI LA USAJILI WA MAKURUTU.](https://www.lulufm.co.ke/idara-ya-polisi-yahakikishia-wakenya-uhuru-na-haki-katika-zoezi-la-usajili-wa-makurutu/)

_2025-10-02 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Idara ya polisi nchini imewahakikishia wakenya kuwa zoezi la kuwasajili makurutu elfu kumi kitaifa litakuwa huru na haki. Inspekta mkuu wa Polisi Douglas Kanja, amesema kuwa hakuna mtu yeyote anastahili kulipishwa ada zozote, ili kupata nafasi ya kujiunga na kikosi cha maafisa wa polisi nchini NPS. Akizungumza na waandishi wa habari, Kanja amesema kuwa wanalenga \[…\] The post IDARA YA POLISI…

## [CBT YAENDELEA NA MAANDALIZI YA MSIMU WA MAUZO YA KOROSHO GHAFI 2025/2026](https://www.mtwarapressblog.co.tz/cbt-yaendelea-na-maandalizi-ya-msimu-wa-mauzo-ya-korosho-ghafi-2025-2026/)

_2025-10-01 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) imeeleza kuwa maandalizi ya msimu mpya wa mauzo ya korosho ghafi wa mwaka 2025/2026 yanaendelea kwa vizuri, huku ikiahidi msimu wenye tija zaidi kwa wakulima na wadau wote wa tasnia hiyo. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliwasilishwa na Mkurugenzi wa Masoko na Udhibiti wa Ubora wa … The post CBT YAENDELEA NA MAANDALIZI YA MSIMU WA MAUZO YA KOROSHO…

## [BANDARI YA MTWARA YAONGEZA UFANISI KATIKA KUHUDUMIA SHEHENA YA KOROSHO](https://www.mtwarapressblog.co.tz/bandari-ya-mtwara-yaongeza-ufanisi-katika-kuhudumia-shehena-ya-korosho/)

_2025-09-30 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Bandari ya Mtwara imefanikiwa kuongeza kiwango cha ufanisi katika kuhudumia shehena ya korosho baada ya kufanikisha usafirishaji wa jumla ya tani 370,896 katika msimu wa 2024/2025, ikilinganishwa na tani 253,616.94 za msimu wa 2023/2024. Taarifa hiyo imetolewa tarehe 29 septemba 2025, na Meneja wa Bandari ya Mtwara Ferdinand Nyathi, katika mkutano wa … The post BANDARI YA…

## [DKT. SAMIA AAHIDI NEEMA MIKOA YA KUSINI, LNG KUKAMILIKA LINDI](https://www.mtwarapressblog.co.tz/dkt-samia-aahidi-neema-mikoa-ya-kusini-lng-kukamilika-lindi/)

_2025-09-26 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, LINDI Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kukamilika kwa mradi mkubwa wa uchakataji na usindikaji wa gesi asilia ya kimiminika (LNG) mkoani Lindi, mradi ambao umesimama kwa zaidi ya miaka 12. Akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Lindi Mjini, Dkt. Samia alisema Serikali ipo … The post DKT. SAMIA AAHIDI NEEMA…

## [PixelRift — Platforming with Level Editor (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/Gr3rLPbsE4qj)

_2025-09-26 · **Sponsored**_

Includes a built-in level editor, campaign with elemental heroes, and boss encounters.

## [OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MKOA WA MTWARA YAFANYA KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA USHAURI WA KISHERIA](https://www.mtwarapressblog.co.tz/ofisi-ya-mwanasheria-mkuu-wa-serikali-mkoa-wa-mtwara-yafanya-kikao-cha-kwanza-cha-kamati-ya-ushauri-wa-kisheria/)

_2025-09-12 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

BRYSON MSHANA, MTWARA Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali Mkoa wa Mtwara, imefanya kikao cha kwanza cha Kamati ya ushauri wa kisheria, chenye lengo la kupeana majukumu na namna ya utekelezaji wake ikiwa ni pamoja na ushauri na uangalizi katika utekelezaji wa huduma za ushauri wa kisheria na Elimu ya Sheria kwa wananchi. Kikao hicho … The post OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MKOA WA MTWARA…

## [SERIKALI KUU YAPANIA KUBORESHA MAGEREZA NCHINI.](https://www.lulufm.co.ke/serikali-kuu-yapania-kuboresha-magereza-nchini/)

_2025-09-10 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusiana na Utekelezaji wa Katiba (CIOC), imeanza msururu wa ziara za kukagua magereza, kama sehemu ya juhudi pana za kitaifa, kuleta utu na mageuzi ya maana, katika vituo vya kurekebisha tabia. Katika ziara hiyo, maafisa wa magereza wameibua wasiwasi mwingi, ikiwemo miundombinu ya zamani, uhaba mkubwa wa sare na mazingira \[…\] The post SERIKALI KUU YAPANIA KUBORESHA…

## [CHAMA CHA DCP KUUNGA MKONO WAGOMBEA WA VYAMA MBADALA KATIKA MUUNGANO WA UPINZANI.](https://www.lulufm.co.ke/chama-cha-dcp-kuunga-mkono-wagombea-wa-vyama-mbadala-katika-muungano-wa-upinzani/)

_2025-09-10 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Chama cha DCP kimeridhia kuunga mkono viongozi wa vyama tofauti katika mrengo upinzani, kwenye changuzi ndogo zinazo tayariwa kufanyika katika maeneo tofauti ya taifa, mwezi novemba mwaka huu wa 2025. Kinara wa chama hicho Rigathi Gachagua, amesema kuwa maeneo ambayo chama hicho kitaunga mkono vyama vingine, ni pamoja na Mbeere Kaskazini kaunti ya Embu, wadi \[…\] The post CHAMA CHA DCP KUUNGA MKONO…

## [BALOZI WA URUSI AKUTANA NA MKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIBISHARA](https://www.mtwarapressblog.co.tz/balozi-wa-urusi-akutana-na-mkurugenzi-wa-bodi-ya-korosho-tanzania-kuimarisha-ushirikiano-wa-kibishara/)

_2025-09-08 · Mtwara Press Blog · Mtwara Press Blog_

ABDUL LUKANGA, MTWARA Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Andrey Avetisyan, amefanya ziara rasmi ya kutembelea Bodi ya Korosho Tanzania mkoani Mtwara, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Urusi. Ziara hiyo imefanyika leo septemba 8/ ambapo ilimfikisha Balozi kwenye Kongani ya Viwanda inayoendelea kujengwa katika kijiji cha Maranje, … The post BALOZI WA…

## [MBUNGE WA MARAKWET MASHARIKI KAGONGO BOWEN AWATAKA WAPWANI KUKUMBATIA ELIMU.](https://www.lulufm.co.ke/mbunge-wa-marakwet-mashariki-kagongo-bowen-awataka-wapwani-kukumbatia-elimu/)

_2025-09-02 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Wazazi eneo la Pwani wamesisitizwa kuhakikisha kuwa wanao wanakumbatia masomo, hasa katika sekta ya ubaharia. Mwenyekiti wa kamati ya uchumi wa bahari kwenye bunge la kitaifa Kagongo Bowen, amesema kuwa ukosefu wa vyeti katika taasinia hiyo, kwa wananchi wa Pwani ndiyo chanzo cha baadhi ya vijana, kukosa nafasi hizo. Bowen amedai kuwa idadi kubwa ya \[…\] The post MBUNGE WA MARAKWET MASHARIKI…

## [SERIKALI YASEMA INA CHAKULA CHA KUTOSHA KUSAIDIA WAKENYA WOTE.](https://www.lulufm.co.ke/serikali-yasema-ina-chakula-cha-kutosha-kusaidia-wakenya-wote/)

_2025-09-02 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

“Hakuna mkenya atakaye lala njaa kutokana na ukosefu wa chakula”. Ni kauli ya waziri wa utumishi wa umma nchini Geoffrey Ruku, ambaye amesema kuwa serikali kuu, imeweka mikakati ya usambazaji wa chakula nchini. Waziri Ruku amesema mojawapo ya mikakati hiyo, ni kuhakikisha kuwa vyakula vimehifadhiwa vyema, kwenya maghala ya serikali ili kusaidia familia zilizo athirika. \[…\] The post SERIKALI YASEMA…

## [FAMILIA ZILIZO POTEZA WAPENDWA WAO ZATAKIWA KUJITOKEZA KUTAMBUA MIILI ILIYOFUKULIWA KWA BINZARO.](https://www.lulufm.co.ke/familia-zilizo-poteza-wapendwa-wao-zatakiwa-kujitokeza-kutambua-miili-iliyofukuliwa-kwa-binzaro/)

_2025-09-01 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Wito umetolewa kwa wakenya waliopoteza wapendwa wao kufika katika mahakafani ya hospitali kuu ya Malindi kaunti ya Kilifi ili kufanya fanyiwa uchunguzi wa chembechembe za DNA, kubaini iwapo wapendwa wao ni kati ya wale walioangamia katika msitu wa Kwa Binzaro. Haya ni kwa mujibu wa mshirikishi mkuu wa utawala kanda ya Pwani, Rhoda Onyancha ambaye \[…\] The post FAMILIA ZILIZO POTEZA WAPENDWA WAO…

## [VIJANA WATAKIWA KUTUMIA TALANTA ZAO KUJIIMARISHA KIUCHUMI.](https://www.lulufm.co.ke/vijana-watakiwa-kutumia-talanta-zao-kujiimarisha-kiuchumi/)

_2025-09-01 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Katibu wa masuala ya vijana nchini Fikirini Jacobs amewataka vijana kuendelea kujijenga kitaaluma, kisanaa na kibiashara ili kujiimarisha kiuchumi. Fikirini amesema kuwa kwa sasa serikali ya Kenya kwanza imeanzisha mpango wa kuwasaidia wasanii kupata fedha za kuwasaidia kujiendeleza kiuchumi. Fikirini amesisitiza vijana kutumia vyema vipaji vyao hasa katika masuala ya sanaa kwani vina uwezo wa \[…\]…

## [WAHUDUMU WA AFYA KATIKA MPANGO WA UHC WAPATA AFUENI.](https://www.lulufm.co.ke/wahudumu-wa-afya-katika-mpango-wa-afya-uhc-wapata-afueni/)

_2025-08-25 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Ni afueni kwa Wahudumu wa afya ambao waliajiriwa ili kufanikisha mpango wa afya kwa wote UHC, baada serikali kuu kutangaza kuwa sasa itawaajiri kwa mkataba wa kudumu, na ulio na malipo ya uzeeni yaani permanent and pensionable. Wahudumu hao zaidi ya elfu saba, waliajiriwa kwa kandarasi za muda wa mwaka, mnamo mwaka wa 2019 huku \[…\] The post WAHUDUMU WA AFYA KATIKA MPANGO WA UHC WAPATA AFUENI.…

## [One OS for your AI workforce (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/a7mCs3Rbqbwj)

_2025-08-25 · **Sponsored**_

Build, direct, and supervise an AI workforce from a single operating workspace.

## [WANAHARAKATI WATILISHAKA HATUA YA SERIKALI KUWALIPA FIDIA WAATHIRIWA WA MAANDAMANO.](https://www.lulufm.co.ke/wanaharakati-watilishaka-hatua-ya-serikali-kuwalipa-fidia-waathiriwa-wa-maandamano/)

_2025-08-25 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Mwanaharakati wa shirika la Vocal Afrika, Hussein Khalid ametilia shaka tangazo la serikali ya kitaifa, kuhusiana na malipo ya fidia kwa waathiri wa maandano humu nchini. Hussein amesema kuwa serikali kuu, ilikosa kutoa maelezo kamili kuhusiana na waathiriwa wa maandamano yapi, watakao nufaika na fidia hiyo. Vile vile ameongeza kuwa serikali pia, ilikosa kutoa mwelekeo \[…\] The post WANAHARAKATI…

