# nchini (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 4 feeds in the RSS Amplifier directory that cover nchini.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/nchini/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/nchini/blogs.md>

---

## [CCM kuimarisha uhusiano na chama cha kikomonisti cha China](https://tanzanialeo.co.tz/ccm-kuimarisha-uhusiano-na-chama-cha-kikomonisti-cha-china/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ccm-kuimarisha-uhusiano-na-chama-cha-kikomonisti-cha-china)

_2026-08-20 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Aggrey Mwanri, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) nchini Tanzania, Xu…

## [Waandishi Oman, JOWUTA, kuandaa kongamano la kimataifa](https://tanzanialeo.co.tz/waandishi-oman-jowuta-kuandaa-kongamano-la-kimataifa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=waandishi-oman-jowuta-kuandaa-kongamano-la-kimataifa)

_2026-08-20 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam UJUMBE maalum kutoka Chama cha Waandishi wa Habari wa Ufalme wa Oman (OJA), uliopo nchini leo Agosti 19, 2026 umefanya mazungumzo na Chama cha wafanyakazi…

## [NMB YAINGIA AWAMU MPYA YA UBORA WA HUDUMA KWA WATEJA](https://pesatu.co.tz/nmb-yaingia-awamu-mpya-ya-ubora-wa-huduma-kwa-wateja/)

_2026-08-20 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

NMB yaingia awamu mpya ya ubora wa huduma kwa Wateja.Katika hatua kubwa inayotarajiwa kubadilisha mwelekeo wa sekta ya fedha nchini Tanzania, Benki ya NMB imekamilisha rasmi mchakato wa kuhamisha shughuli zake zote za kibenki kwenda kwenye mfumo mkuu mpya wa teknolojia. Hatua hii ya kihistoria inalenga kuleta mapinduzi makubwa kwenye huduma kwa wateja NMB, huku...

## [PSSSF YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI](https://pesatu.co.tz/psssf-yatoa-mafunzo-kwa-waandishi-wa-habari/)

_2026-08-20 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

PSSSF yatoa mafunzo kwa waandishi wa habari.Sekta ya PSSSF na hifadhi ya jamii Tanzania imepiga hatua nyingine kubwa katika kuhakikisha wananchi na watumishi wa umma wanapata taarifa sahihi, za kina, na zisizo na upotoshaji. Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeratibu na kuendesha mafunzo maalum ya siku mbili kwa waandishi wa...

## [BLOCKCHAIN FESTIVAL 2026 KUUNGANISHA AFRIKA](https://pesatu.co.tz/blockchain-festival-2026-kuunganisha-afrika/)

_2026-08-20 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

BLOCKCHAIN FESTIVAL 2026 KUUNGANISHA AFRIKA.Hatua zinazochukuliwa na Tanzania kuelekea kuweka mfumo rasmi wa udhibiti wa sarafu na mali za kidijitali zinaweza kufungua ukurasa mpya katika uchumi wa kidijitali nchini. Wabunifu wa teknolojia, kampuni za fintech, wawekezaji, watengenezaji wa mifumo ya blockchain pamoja na wadau wa Web3 nchini sasa wanahimizwa kwa dhati kushiriki katika mkutano wa...

## [Songwe yafungua milango kwa Sekta Binafsi kwenye miradi](https://tanzanialeo.co.tz/songwe-yafungua-milango-kwa-sekta-binafsi-kwenye-miradi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=songwe-yafungua-milango-kwa-sekta-binafsi-kwenye-miradi)

_2026-08-20 · Zahoro mlanzi · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame, amepigia chapuo matumizi ya mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kama njia kuu…

## [Njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Nyerere Chalinze-Dodoma yakamilika](https://tanzanialeo.co.tz/njia-ya-kusafirisha-umeme-kutoka-bwawa-la-nyerere-chalinze-dodoma-yakamilika/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=njia-ya-kusafirisha-umeme-kutoka-bwawa-la-nyerere-chalinze-dodoma-yakamilika)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

– Umeme wa JNHPP kufika Dodoma kupitia Chalinze -SGR kupata njia yake maalum ya umeme, kuimarisha uhakika wa huduma Na Mwandishi Wetu, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia…

## [Serikali kuendelea kuimarisha afua za UKIMWI nchini](https://tanzanialeo.co.tz/serikali-kuendelea-kuimarisha-afua-za-ukimwi-nchini/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=serikali-kuendelea-kuimarisha-afua-za-ukimwi-nchini)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Mwanza SERIKALI imedhamiria kuendelea kuimarisha afua za masuala ya UKIMWI nchini kwa kuboresha mazingira ya utekelezaji wa shughuli hizo, huku ikihimiza ushirikiano na wadau mbalimbali katika kuendeleza…

## [TMDA na Mamlaka ya Dawa Denmark zimeingia makubaliano ya ushirikiano](https://tanzanialeo.co.tz/tmda-na-mamlaka-ya-dawa-denmark-zimeingia-makubaliano-ya-ushirikiano/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tmda-na-mamlaka-ya-dawa-denmark-zimeingia-makubaliano-ya-ushirikiano)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Arusha MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA), imeingia mashirikiano na Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa ya Denmark, (Danish Medicines Agency-DKMA) katika nyanja ya udhibiti wa…

## [TANTRADE YASHIRIKI MAONESHO YA WAKULIMA ZANZIBAR](https://pesatu.co.tz/tantrade-yashiriki-maonesho-ya-wakulima-zanzibar/)

_2026-08-17 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

TANTRADE YASHIRIKI MAONESHO YA WAKULIMA ZANZIBAR.Hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Wakulima Zanzibar imekamilika kwa mafanikio makubwa, ikishuhudia msukumo mpya katika kuimarisha sekta ya kilimo na biashara nchini. Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeshiriki kikamilifu katika hafla hii muhimu iliyoadhimisha miaka kumi ya maonesho hayo, ikionyesha mchango wake mkubwa katika…

## [Licensed Dispensaries, Pay with Crypto (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/FgqVLnXlFeNb)

_2026-08-17 · **Sponsored**_

Search verified licensed dispensaries and pay with Bitcoin, Lightning, or stablecoins.

## [Ujenzi meli mpya Kigoma kufungua soko la biashara kimataifa- Prof. Mbarawa](https://tanzanialeo.co.tz/ujenzi-meli-mpya-kigoma-kufungua-soko-la-biashara-kimataifa-prof-mbarawa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ujenzi-meli-mpya-kigoma-kufungua-soko-la-biashara-kimataifa-prof-mbarawa)

_2026-08-17 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Kigoma WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema uwekezaji wa kampuni ya kizawa ya Dar es Salaam Merchant Group katika ujenzi wa chelezo na meli mpya mkoani…

## [NMB YATIA NGUVU TAMASHA LA KIZIMKAZI](https://pesatu.co.tz/nmb-yatia-nguvu-tamasha-la-kizimkazi/)

_2026-08-15 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

NMB yatia nguvu Tamasa la Kizimkazi.Benki ya NMB imehitimisha rasmi ushiriki wake wa kihistoria katika Tamasha la Kizimkazi 2026 visiwani Zanzibar, huku ikionyesha dhamira ya dhati ya kuendelea kuunganisha wananchi na huduma za kifedha za kisasa pamoja na fursa za kipekee za kukuza biashara na uwekezaji. Tamasha hili maarufu, lililofikia kilele chake Agosti 14, 2026...

## [Rais Samia kuzindua Mradi wa JNHPP Agosti 22, 2026](https://tanzanialeo.co.tz/rais-samia-kuzindua-mradi-wa-jnhpp-agosti-22-2026/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-samia-kuzindua-mradi-wa-jnhpp-agosti-22-2026)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

-Ni Mradi wa JNHPP ni matokeo ya uwekezaji wa trilioni 7.4 Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu…

## [TOA kujadili utekelezaji Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuwanufaisha wananchi](https://tanzanialeo.co.tz/toa-kujadili-utekelezaji-dira-ya-taifa-ya-maendeleo-2050-ili-kuwanufaisha-wananchi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=toa-kujadili-utekelezaji-dira-ya-taifa-ya-maendeleo-2050-ili-kuwanufaisha-wananchi)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mkutano Mkuu wa 16 wa Mwaka wa Taasisi ya Maboresho katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA) unatarajiwa kujadili mchango wa ugatuzi wa madaraka katika kufikia…

## [Sekta ya madini yavutia uwekezaji wa trilioni 9 ndani ya miaka 4](https://tanzanialeo.co.tz/sekta-ya-madini-yavutia-uwekezaji-wa-trilioni-9-ndani-ya-miaka-4/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=sekta-ya-madini-yavutia-uwekezaji-wa-trilioni-9-ndani-ya-miaka-4)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

-Mikataba ya msingi 14 ya madini yasainiwa -Serikali yasaini Mkataba wa Bilioni 265 na Kampuni ya Henan Yudi Mining ya Mradi wa Graphite Morogoro Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa…

## [MIRADI YA MAENDELEO KUSINI UNGUJA YAPATIWA MSUKUMO](https://pesatu.co.tz/miradi-ya-maendeleo-kusini-unguja-yapatiwa-msukumo/)

_2026-08-14 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Miradi ya maendeleo kusini unguja yapatiwa Msukumo. Kipindi cha ushereheshaji wa utamaduni, fursa za kiuchumi, na mshikamano wa kijamii kimefikia kilele chake kikiwa na ujumbe mzito wa maendeleo na uwajibikaji. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka kwa dhati wananchi wa Kizimkazi na maeneo yote ya Mkoa wa Kusini...

## [SERIKALI YATANGAZA KUANZA KUKAGUA MIKATABA YA MADINI](https://pesatu.co.tz/serikali-yatangaza-kuanza-kukagua-mikataba-ya-madini/)

_2026-08-13 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Serikali yatangaza kuanza kukagua Mikataba ya Madini.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechukua hatua madhubuti na za kimkakati zenye lengo la kuleta uwazi, haki, na tija katika usimamizi wa rasilimali za madini nchini. Katika muendelezo wa jitihada hizo, Wizara ya Madini imetangaza rasmi maandalizi ya operesheni maalum ya ukaguzi wa mikataba ya msaada wa...

## [MITAMBO YA KUCHENJUA DHAHABU KUTENGEWA KUTENGEWA ENEO LAKE](https://pesatu.co.tz/mitambo-ya-kuchenjua-dhahabu-kutengewa-eneo-lake/)

_2026-08-13 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Mitambo ya Kuchenjua dhahabu kutengewa eneo lake.Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kimkakati katika kupanga mji na kulinda afya za wakazi wake, huku ikiimarisha sekta ya uchimbaji na uchenjuaji wa madini. Katika kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, Hoja nzito imeibuliwa ikitaka eneo maalum...

## [BITEKO ASEMA TANZANIA YAPIGA HATUA NISHATI SAFI YA KUPIKIA](https://pesatu.co.tz/tanzania-yapiga-hatua-nishati-safi-ya-kupikia/)

_2026-08-12 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Biteko Asema Tanzania Yapiga hatua nishati Safi ya Kupikia.Katika kuhakikisha afya ya jamii na hifadhi ya mazingira vinazingatiwa kwa kiwango cha juu, Tanzania imeendelea kupiga hatua kubwa na za kihistoria katika utekelezaji wa ajenda ya nishati safi ya kupikia. Hatua hizi ni matokeo ya juhudi za makusudi zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya Sasa, zikilenga...

## [DIPLOMASIA YA UCHUMI YAONGEZA FURSA ZA TANZANIA](https://pesatu.co.tz/diplomasia-ya-uchumi-yaongeza-fursa-za-tanzania/)

_2026-08-12 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Diplomasia ya Uchumi yaongeza fursa za Tanzania.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inaendelea kudhihirisha kuwa ni nguzo kuu katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania. Kupitia utendaji kazi uliotukuka wa Balozi zake zilizotawanyika katika pembe mbalimbali za dunia, wizara hii imekuwa kiungo chenye tija kubwa katika...

## [Non-custodial Crypto Payments & Escrow (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/YadKzfWWvAcy)

_2026-08-12 · **Sponsored**_

Accept multi-chain crypto with trustless escrow, instant confirmations, and no KYC

## [MADINI NA GESI KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI TANZANIA](https://pesatu.co.tz/madini-na-gesi-kuchochea-ukuaji-wa-uchumi-tanzania/)

_2026-08-12 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Madini na gesi kuchochea ukuaji wa uchumi Tanzania.Uchumi wa Tanzania unaendelea kuonyesha ustahimilivu na kasi kubwa ya kuimarika, huku sekta kuu za uzalishaji zikitarajiwa kuwa injini kuu ya kuendesha gurudumu la maendeleo nchini. Katika kipindi hiki ambacho mataifa mengi duniani yanakabiliana na changamoto mbalimbali za kiuchumi na kimfumo, Tanzania imefanikiwa kudumisha uwezo wake wa…

## [Constitution of Kenya 2010 Continues to Shape Political Reporting and Democratic Governance](https://tandaomedia.co.ke/index.php/2026/08/03/tmg-133/)

_2026-08-03 · Eugine Wabwile Juma · Tandao Media_

BY GELAS SITUMA More than fifteen years after its promulgation, the Constitution of Kenya 2010 remains one of The post Constitution of Kenya 2010 Continues to Shape Political Reporting and Democratic Governance appeared first on Tandao Media .

## [Katiba ya Kenya ya Mwaka 2010 Inaendelea Kubadilisha Uandishi wa Habari za Kisiasa na Utawala Bora](https://tandaomedia.co.ke/index.php/2026/08/03/tmg-swahili-43/)

_2026-08-03 · Eugine Wabwile Juma · Tandao Media_

BY GELAS SITUMA Zaidi ya miaka kumi na tano tangu ilipopitishwa, Katiba ya Kenya ya mwaka 2010 inaendelea The post Katiba ya Kenya ya Mwaka 2010 Inaendelea Kubadilisha Uandishi wa Habari za Kisiasa na Utawala Bora appeared first on Tandao Media .

## [Jukumu la vyama vya siasa: Nguzo za demokrasia au chanzo cha mgawanyiko nchini Kenya](https://tandaomedia.co.ke/index.php/2026/08/01/tmg-132/)

_2026-08-01 · Eugine Wabwile Juma · Tandao Media_

BY ALLAN BRADLEY Vyama vya siasa nchini Kenya vinashikilia nafasi yenye nguvu katika muundo wa demokrasia ya taifa. The post Jukumu la vyama vya siasa: Nguzo za demokrasia au chanzo cha mgawanyiko nchini Kenya appeared first on Tandao Media .

## [The 2022 test: How Kenya’s political parties shaped and strained democracy](https://tandaomedia.co.ke/index.php/2026/08/01/tmg-131/)

_2026-08-01 · Eugine Wabwile Juma · Tandao Media_

BY ALLAN BRADLEY Kenya’s political parties occupy a powerful position in the country’s democratic architecture. Every election cycle, The post The 2022 test: How Kenya’s political parties shaped and strained democracy appeared first on Tandao Media .

## [Katiba ya 2010: Uhuru wa habari na haki ya kupata taarifa nchini Kenya](https://tandaomedia.co.ke/index.php/2026/08/01/tmg-130/)

_2026-08-01 · Eugine Wabwile Juma · Tandao Media_

BY DAPHINE JUMAH Uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari na haki ya kupata taarifa ni haki The post Katiba ya 2010: Uhuru wa habari na haki ya kupata taarifa nchini Kenya appeared first on Tandao Media .

## [Jinsi mitandao ya kidijitali inavyoibadilisha habari za michezo nchini Kenya](https://tandaomedia.co.ke/index.php/2026/08/01/tmg-129/)

_2026-08-01 · Eugine Wabwile Juma · Tandao Media_

BY JOSEPH SIMIYU Vyombo vya Habari vya Kidijitali na Uandishi wa Habari za Michezo: Jinsi Majukwaa ya Kidijitali The post Jinsi mitandao ya kidijitali inavyoibadilisha habari za michezo nchini Kenya appeared first on Tandao Media .

## [Amani dhidi ya uwajibikaji: Changamoto ya maadili inayokabili uandishi wa habari wa uchaguzi Kenya](https://tandaomedia.co.ke/index.php/2026/08/01/tmg-128/)

_2026-08-01 · Eugine Wabwile Juma · Tandao Media_

BY MARK MABUSI Kuanzia mafunzo yaliyotokana na ghasia za baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2007 hadi vita The post Amani dhidi ya uwajibikaji: Changamoto ya maadili inayokabili uandishi wa habari wa uchaguzi Kenya appeared first on Tandao Media .

## [The fourth estate at the ballot: How Kenya&#8217;s media has navigated the ethics of election reporting](https://tandaomedia.co.ke/index.php/2026/08/01/tmg-127/)

_2026-08-01 · Eugine Wabwile Juma · Tandao Media_

BY MARK MABUSI From the painful lessons of the 2007 post-election violence to today’s battle against misinformation on The post The fourth estate at the ballot: How Kenya’s media has navigated the ethics of election reporting appeared first on Tandao Media .

## [Digital Media and Sports Coverage: How Digital Media Platforms Have Transformed Sports Journalism in Kenya.](https://tandaomedia.co.ke/index.php/2026/08/01/tmg-126/)

_2026-08-01 · Eugine Wabwile Juma · Tandao Media_

BY JOSEPH SIMIYU A Click Away: Digital Platforms Give Young Athletes in Kenya New Visibility Sports is no The post Digital Media and Sports Coverage: How Digital Media Platforms Have Transformed Sports Journalism in Kenya. appeared first on Tandao Media .

## [Marketplace for AI-Powered Professionals (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/2sdJkWKW0jYD)

_2026-08-01 · **Sponsored**_

Find professionals who use ChatGPT, Copilot, and Claude to deliver work faster.

## [Miaka 10 ya Ugatuzi: Kwa Nini Zahanati za Bungoma Zina Majengo Lakini Hazina Dawa?](https://tandaomedia.co.ke/index.php/2026/08/01/tmg-125/)

_2026-08-01 · Eugine Wabwile Juma · Tandao Media_

BY CYNTHIA ELIZABETH Zaidi ya muongo mmoja uliopita, Wakenya walipiga kura kuidhinisha Katiba Mpya iliyoleta mfumo wa ugatuzi. The post Miaka 10 ya Ugatuzi: Kwa Nini Zahanati za Bungoma Zina Majengo Lakini Hazina Dawa? appeared first on Tandao Media .

## [VIJANA WA KIZAZI CHA GEN Z KENYA WATISHIA KUJENGA HOSPITALI YAO.](https://www.lulufm.co.ke/vijana-wa-kizazi-cha-gen-z-kenya-watishia-kujenga-hospitali-yao/)

_2025-10-02 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Baadhi ya vijana wa kizazi cha Gen Z kupitia mtandao wa Tiktok, wametishia kuchangisha pesa mtandaoni na kujenga hospitali ya kisasa, itakayo toa huduma muhimu za matibabu na za bure kwa wakenya wanao hangaika. Kulingana na vijana hao, hatua hiyo itawawezesha kusaidia wakenya wanaokabiliwa na changamoto za kupata huduma za matibabu kitaifa. Hesabu za vijana \[…\] The post VIJANA WA KIZAZI CHA GEN Z…

## [IDARA YA POLISI YAHAKIKISHIA WAKENYA UHURU NA HAKI KATIKA ZOEZI LA USAJILI WA MAKURUTU.](https://www.lulufm.co.ke/idara-ya-polisi-yahakikishia-wakenya-uhuru-na-haki-katika-zoezi-la-usajili-wa-makurutu/)

_2025-10-02 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Idara ya polisi nchini imewahakikishia wakenya kuwa zoezi la kuwasajili makurutu elfu kumi kitaifa litakuwa huru na haki. Inspekta mkuu wa Polisi Douglas Kanja, amesema kuwa hakuna mtu yeyote anastahili kulipishwa ada zozote, ili kupata nafasi ya kujiunga na kikosi cha maafisa wa polisi nchini NPS. Akizungumza na waandishi wa habari, Kanja amesema kuwa wanalenga \[…\] The post IDARA YA POLISI…

## [SERIKALI KUU YAPANIA KUBORESHA MAGEREZA NCHINI.](https://www.lulufm.co.ke/serikali-kuu-yapania-kuboresha-magereza-nchini/)

_2025-09-10 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusiana na Utekelezaji wa Katiba (CIOC), imeanza msururu wa ziara za kukagua magereza, kama sehemu ya juhudi pana za kitaifa, kuleta utu na mageuzi ya maana, katika vituo vya kurekebisha tabia. Katika ziara hiyo, maafisa wa magereza wameibua wasiwasi mwingi, ikiwemo miundombinu ya zamani, uhaba mkubwa wa sare na mazingira \[…\] The post SERIKALI KUU YAPANIA KUBORESHA…

## [CHAMA CHA DCP KUUNGA MKONO WAGOMBEA WA VYAMA MBADALA KATIKA MUUNGANO WA UPINZANI.](https://www.lulufm.co.ke/chama-cha-dcp-kuunga-mkono-wagombea-wa-vyama-mbadala-katika-muungano-wa-upinzani/)

_2025-09-10 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Chama cha DCP kimeridhia kuunga mkono viongozi wa vyama tofauti katika mrengo upinzani, kwenye changuzi ndogo zinazo tayariwa kufanyika katika maeneo tofauti ya taifa, mwezi novemba mwaka huu wa 2025. Kinara wa chama hicho Rigathi Gachagua, amesema kuwa maeneo ambayo chama hicho kitaunga mkono vyama vingine, ni pamoja na Mbeere Kaskazini kaunti ya Embu, wadi \[…\] The post CHAMA CHA DCP KUUNGA MKONO…

## [MBUNGE WA MARAKWET MASHARIKI KAGONGO BOWEN AWATAKA WAPWANI KUKUMBATIA ELIMU.](https://www.lulufm.co.ke/mbunge-wa-marakwet-mashariki-kagongo-bowen-awataka-wapwani-kukumbatia-elimu/)

_2025-09-02 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Wazazi eneo la Pwani wamesisitizwa kuhakikisha kuwa wanao wanakumbatia masomo, hasa katika sekta ya ubaharia. Mwenyekiti wa kamati ya uchumi wa bahari kwenye bunge la kitaifa Kagongo Bowen, amesema kuwa ukosefu wa vyeti katika taasinia hiyo, kwa wananchi wa Pwani ndiyo chanzo cha baadhi ya vijana, kukosa nafasi hizo. Bowen amedai kuwa idadi kubwa ya \[…\] The post MBUNGE WA MARAKWET MASHARIKI…

## [SERIKALI YASEMA INA CHAKULA CHA KUTOSHA KUSAIDIA WAKENYA WOTE.](https://www.lulufm.co.ke/serikali-yasema-ina-chakula-cha-kutosha-kusaidia-wakenya-wote/)

_2025-09-02 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

“Hakuna mkenya atakaye lala njaa kutokana na ukosefu wa chakula”. Ni kauli ya waziri wa utumishi wa umma nchini Geoffrey Ruku, ambaye amesema kuwa serikali kuu, imeweka mikakati ya usambazaji wa chakula nchini. Waziri Ruku amesema mojawapo ya mikakati hiyo, ni kuhakikisha kuwa vyakula vimehifadhiwa vyema, kwenya maghala ya serikali ili kusaidia familia zilizo athirika. \[…\] The post SERIKALI YASEMA…

## [FAMILIA ZILIZO POTEZA WAPENDWA WAO ZATAKIWA KUJITOKEZA KUTAMBUA MIILI ILIYOFUKULIWA KWA BINZARO.](https://www.lulufm.co.ke/familia-zilizo-poteza-wapendwa-wao-zatakiwa-kujitokeza-kutambua-miili-iliyofukuliwa-kwa-binzaro/)

_2025-09-01 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Wito umetolewa kwa wakenya waliopoteza wapendwa wao kufika katika mahakafani ya hospitali kuu ya Malindi kaunti ya Kilifi ili kufanya fanyiwa uchunguzi wa chembechembe za DNA, kubaini iwapo wapendwa wao ni kati ya wale walioangamia katika msitu wa Kwa Binzaro. Haya ni kwa mujibu wa mshirikishi mkuu wa utawala kanda ya Pwani, Rhoda Onyancha ambaye \[…\] The post FAMILIA ZILIZO POTEZA WAPENDWA WAO…

## [VIJANA WATAKIWA KUTUMIA TALANTA ZAO KUJIIMARISHA KIUCHUMI.](https://www.lulufm.co.ke/vijana-watakiwa-kutumia-talanta-zao-kujiimarisha-kiuchumi/)

_2025-09-01 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Katibu wa masuala ya vijana nchini Fikirini Jacobs amewataka vijana kuendelea kujijenga kitaaluma, kisanaa na kibiashara ili kujiimarisha kiuchumi. Fikirini amesema kuwa kwa sasa serikali ya Kenya kwanza imeanzisha mpango wa kuwasaidia wasanii kupata fedha za kuwasaidia kujiendeleza kiuchumi. Fikirini amesisitiza vijana kutumia vyema vipaji vyao hasa katika masuala ya sanaa kwani vina uwezo wa \[…\]…

## [WAHUDUMU WA AFYA KATIKA MPANGO WA UHC WAPATA AFUENI.](https://www.lulufm.co.ke/wahudumu-wa-afya-katika-mpango-wa-afya-uhc-wapata-afueni/)

_2025-08-25 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Ni afueni kwa Wahudumu wa afya ambao waliajiriwa ili kufanikisha mpango wa afya kwa wote UHC, baada serikali kuu kutangaza kuwa sasa itawaajiri kwa mkataba wa kudumu, na ulio na malipo ya uzeeni yaani permanent and pensionable. Wahudumu hao zaidi ya elfu saba, waliajiriwa kwa kandarasi za muda wa mwaka, mnamo mwaka wa 2019 huku \[…\] The post WAHUDUMU WA AFYA KATIKA MPANGO WA UHC WAPATA AFUENI.…

## [WANAHARAKATI WATILISHAKA HATUA YA SERIKALI KUWALIPA FIDIA WAATHIRIWA WA MAANDAMANO.](https://www.lulufm.co.ke/wanaharakati-watilishaka-hatua-ya-serikali-kuwalipa-fidia-waathiriwa-wa-maandamano/)

_2025-08-25 · TONNY NGALA · Lulu FM Kenya_

Mwanaharakati wa shirika la Vocal Afrika, Hussein Khalid ametilia shaka tangazo la serikali ya kitaifa, kuhusiana na malipo ya fidia kwa waathiri wa maandano humu nchini. Hussein amesema kuwa serikali kuu, ilikosa kutoa maelezo kamili kuhusiana na waathiriwa wa maandamano yapi, watakao nufaika na fidia hiyo. Vile vile ameongeza kuwa serikali pia, ilikosa kutoa mwelekeo \[…\] The post WANAHARAKATI…

