# nchini (audio feeds) — RSS Amplifier

Recent posts from the 7 feeds in the RSS Amplifier directory that cover nchini.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/nchini/audio>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/nchini/audio.md>

---

## [21 AGOSTI 2026](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193075)

_2026-08-21 · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nduha anakuletea-Julien Harneis, Mratibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Ebola amesema nchini DRC “Katika miezi mitatu iliyopita watu 2,500 wamekufa na nusu yao wamekufa katika kipindi cha siku tatu zilizopita na mlipuko unaendelea kusambaa zaidi, hivi sasa umesambaa katika eneo lenye ukubwa sawa na nchi ya Ufaransa.”-Hali ya ukosefu wa fedha…

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193075/sw/sites/default/files/audio/2026/08/un-daily-news-156-2026.mp3)

## [20 Agosti 2026](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193068)

_2026-08-20 · Anold Kayanda · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Tume ya UN: Uchaguzi Sudan Kusini usigeuke kuwa uwanja mwingine wa mapiganoWFP yaongeza operesheni za msaada kwa manusra wa teteko la ardhi ColombiaUmoja wa Mataifa na Sudan Kusini waimarisha maandalizi dhidi ya Ebola

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193068/sw/sites/default/files/audio/2026/08/1-un-daily-news-155-long.mp3)

## [Uchaguzi nchini Zambia, upinzani yalalamikia matokeo ya uchaguzi](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260819-uchaguzi-nchini-zambia-upinzani-yalalamikia-matoke-ya-uchaguzi?GJlXzGgqHj)

_2026-08-19 · Habari RFI-Ki_

Nchini Zambia, Rais Hakainde Hichilema, amechaguliwa kwa muhula wa pili, akimshinda mpinzani wake wa Karibu Brian Mundubile. Hata hivyo kumeshuhudiwa malalamiko ya dosari kadhaa ikiwemo udanganyifu, wizi wa kura na vitisho, mambo yanayoripotiwa wakati wa chaguzi nyingi barani Afrika.s

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/APPELS_ACTU_19-08-26.mp3?guid=ab033668-9be2-11f1-a7fe-db73b9e8d481&source=GJlXzGgqHj)

## [19 AGOSTI 2026](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193062)

_2026-08-19 · UN News/ Flora Nducha · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Leo katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataofa Flora Nducha anakuletea --Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wahudumu wa Kibinadamu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kuwalinda wahudumu wa kibinadamu wanaotoa msaada wa kuokoa maisha katika maeneo yenye migogoro-Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu na Misaada ya…

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193062/sw/sites/default/files/audio/2026/08/un-daily-news-154-2026.mp3)

## [Kuna uwezekano wa asilimia 81 Afrika kukumbwa na hali ya hewa ya Elnino](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260818-kuna-uwezekano-wa-asilimia-81-afrika-kukumbwa-na-hali-ya-hewa-ya-elnino?GJlXzGgqHj)

_2026-08-18 · Habari RFI-Ki_

Ripoti ya wataalam wa hali ya hewa imeonya kuwa Afrika inakabiliwa na uwezekano wa aslimia 81 wa kukumbwa na hali ya hewa ya El Nino. Katika ripoti hiyo, eneo la Kusini mwa Afrika linatarajiwa kukumbwa na

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/HABARI_RAFIKI_18-08-26_OK.mp3?guid=958b8d1e-9b13-11f1-bd0b-7fb2265490de&source=GJlXzGgqHj)

## [JIFUNZE KISWAHILI - NENO KARAKARA](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193054)

_2026-08-18 · UN News/ Flora Nducha · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Sasa umewadia wasaa wa kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. Anafafanua maana za neno "KARAKARA"

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193054/sw/sites/default/files/audio/2026/08/jifunze-kiswahili-karakara-onni-sigalla.mp3)

## [18 AGOSTI 2026](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193053)

_2026-08-18 · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea-Leo WHO imefanya mkutano wa pili wa kamati ya dharura ya kanuni za afya za Kimataifa mjini Geneva Uswisi kutathmini kuhusu mlipuko wa virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.-WHO pia imezungumza na waandshi wa habari DRC katika jitihada za kupambana na Ebola na pia kuhakikisha jamii…

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193053/sw/sites/default/files/audio/2026/08/un-daily-news-153-2026.mp3)

## [Vuguvugu la upinzani nchini DRC C64 kutangaza kufanya maandamano Septemba 15](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260818-vuguvugu-la-upinzani-nchini-drc-c64-kutangaza-kufanya-maandamano-septemba-15?GJlXzGgqHj)

_2026-08-18 · Habari RFI-Ki_

Mwishoni mwa juma lililopita, upinzani nchini DRC kupitia vuguvugu la C64 ulitangaza kuwa utafanya maandamano Septemba 15 kupinga mchakato wa marekebisho ya katiba. Tangazo lao walilitoa baada ya muda waliokuwa wameutoa kwa Rais Felix Tshisekedi kuitisha mazungumzo ya kitaifa kupita.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/HABARI_RAFIKI_17-08-26_OK.mp3?guid=590e3e82-9b12-11f1-9f33-8b1d9630ab60&source=GJlXzGgqHj)

## [Kwa nini bima ya afya ya msafiri ni sharti muhimu kwa mataifa ya Afrika](https://www.rfi.fr/sw/makala/siha-njema/20260818-kwa-nini-bima-ya-msafiri-ni-sharti-muhimu-kwa-mataifa-ya-afrika?GJlXzGgqHj)

_2026-08-18 · Siha Njema_

Umuhimu wa bima ya afya kwa wasafiri ni pamoja na kupunguza gharama kwa taifa mwenyeji haswa wakati huu nchi nyingi hususan za Afrika zinashuhudia ongezeko la milipuko wa magonjwa ya milipuko Sharti hilo pia linatoa fursa kwa nchi kuboresha mifumo ya afya ili kukidhi mahitaji ya wasafiri wanaohitaji huduma za afya kwa nchi wanazozitembelea.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/SIHA_NJEMA_18-08-26_OK.mp3?guid=c3cf0fac-9ad7-11f1-925a-5b2668a9d0ce&source=GJlXzGgqHj)

## [Sudan Kusini : Wakimbizi wako hatarini kukosa chakula yasema UN](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193049)

_2026-08-17 · Leah Mushi/ Feisal Kirwa · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Zaidi ya wakimbizi na waomba hifadhi 650,000 nchini Sudan Kusini wako katika hatari ya kupoteza msaada muhimu wa chakula na lishe kutokana na ukosefu mkubwa wa fedha, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, WFP, na lile linalohusika na masuala ya wakimbizi UNHCR zimeonya. Kupunguzwa kwa msaada kunaweza kuwaathiri wakimbizi 240,000 ndani ya wiki chache, wakati nchi hiyo yenyewe…

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193049/sw/sites/default/files/audio/2026/08/3.mp3)

## [Make any domain metal (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/suzCQI9XAUoJ)

_2026-08-17 · **Sponsored**_

Turn any domain into a blacked-out metal landing page with an email waitlist

## [FAO yawezesha wanawake na vijana katika sekta ya mwani Zanzibar](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193048)

_2026-08-17 · Leah Mushi / Assumpta Massoi · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Nchini Tanzania hususan visiwani Zanzibar, Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, (FAO) tangu mwaka 2019, kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wanaimarisha sekta ya mwani, kwa kuwekeza katika mafunzo yanayolenga kuongeza uzalishaji, tija na kipato. Miongoni mwa walionufaika zaidi ni vikundi vya wanawake, ambavyo vimejengewa uwezo kuhusu mbinu bora za uzalishaji,…

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193048/sw/sites/default/files/audio/2026/08/2_0.mp3)

## [Licha ya changamoto mijini, Somalia yafanikisha kampeni ya chanjo ya polio](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193047)

_2026-08-17 · Leah Mushi/ Flora Nducha · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Zoezi la siku tano la utoaji chanjo dhidi ya polio limekamilika katika mkoa wa Banadir nchini Somalia, likiwafikia watoto zaidi ya 122,000 walio chini ya umri wa miaka mitano. Kampeni hiyo imeendeshwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Somalia, mashirika ya Umoja wa Mataifa na wadau wengine. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Flora Nducha.(TAARIFA YA FLORA NDUCHA)Kampeni hiyo imetekelezwa katika wilaya…

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193047/sw/sites/default/files/audio/2026/08/1.mp3)

## [17 AGOSTI 2026](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193044)

_2026-08-17 · Leah Mushi · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Karibu usikilize jarida la habari za UN ambalo leo habari zake zote zimetoka barani Afrika. Utasikia kuhusu juhudi za kutoa chanjo wa watoto wenye umri wa chini ya miaka 5 huko nchini Somalia.Utasikia namna FAO inavyowasaidia wananchi huko Zanzibar kuongeza ubora wa zao la Mwani.Na mwisho utasikia ufinyu wa bajeti unavyoathiri utoaji wa misaada ya kibinadamu nchini Sudan Kusini.

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193044/sw/sites/default/files/audio/2026/08/un-daily-news-152-1.mp3)

## [Tanzania: Muziki wa reggae Asilia na Ramadhani Yahaya Shaaban](https://www.rfi.fr/sw/makala/nyumba-ya-sanaa/20260815-tanzania-muziki-wa-reggae-asilia-na-ramadhani-yahaya-shaaban?GJlXzGgqHj)

_2026-08-15 · Nyumba ya Sanaa_

Ramadhani Yahaya Shaaban Mwanamuziki wa Reggae aliyechanganya na Vionjo vya kabilala Wazaramo anajivunia sanaa ya Muziki wa Asili Tanzania.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/NYUMBA_YA_SANAA_Kuhusu_MUZIKI_WA_REGGAE_ASILIA_15AUG2026.mp3?guid=48c557be-9891-11f1-a139-f70db041340a&source=GJlXzGgqHj)

## [Uchaguzi wa nchini Zambia, siasa za DRC, Kenya naTanzania kushika kasi](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260815-uchaguzi-wa-nchini-zambia-siasa-za-drc-kenya-natanzania-kushika-kasi?GJlXzGgqHj)

_2026-08-15 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Uchaguzi wa urais na wabunge ulivyofanyika nchini Zambia wiki hii, na sasa wananchi wanasubiri matokeo rasmi, baada ya vurugu za siku ya Ijumaa, rais wa Kenya William Ruto aliongoza mazungumzo kuhusu ruwaza ya Kenya 2060, muungano wa upinzani nchini DRC watishia kuitisha maandamano kupinga marekebisho ya katiba; tutaangazia siasa za Tanzania, Sudan, Washington kuiwekea vikwazo Iran kuhusu udhibiti…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/SEMAINE_MONDE_15-08-26.mp3?guid=b08f0e76-987d-11f1-b739-65b2820ed99c&source=GJlXzGgqHj)

## [14 agosti 2026](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193039)

_2026-08-14 · Leah Mushi · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Karibu kusikiliza jarida ambapo leo utasikia mahojiano na kijana kutoka nchini Kenya Feisal Kirwa aliyekuwa akishiriki mafunzo kwa Vitendo katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani kwa muda wa miezi sita na sasa amehitimu mafunzo hayo. Pia utapata fursa ya kusikiliza muhtasari wa habari.

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193039/sw/sites/default/files/audio/2026/08/jarida-raw-14-agosti-2026-ijumaa.mp3)

## [13 AGOSTI 2026](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193032)

_2026-08-13 · UN News/ Flora Nducha · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Katika jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea-Harakati za kutokomeza Ebola ya virusi vya Bundibugyo huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, zinakumbwa na mkwamo kwani wananchi wamesema wanahitaji sio tu matibabu dhidi ya ugonjwa huo, bali pia maji, chakula, matibabu ya malaria, chanjo na huduma za afya uzazi, mama na mtoto.-hirika la Umoja wa Mataifa…

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193032/sw/sites/default/files/audio/2026/08/un-daily-news-150-2026.mp3)

## [12 AGOSTI 2026](https://news.un.org/feed/view/sw/audio/2026/08/1193027)

_2026-08-13 · Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu_

Katika Jarida la habari hii leo Flora Nducha anakuletea-Leo ni Siku ya vijana Duniani Umoja wa Mataifa wasisitiza umuhimu wa kuwasikiliza, kuwapa fursa na kuwasaidia vijana kuchangia na kushamiri katika jamii-Ripoti ya shirika la Umoja wa Mataifa la Kazi duniani, ILO kuhusu ajira kwa kundi la vijana inasema ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana duniani umeongezeka, huku ukuaji dhaifu wa uchumi na…

[Listen](https://news.un.org/feed/listen/1193027/sw/sites/default/files/audio/2026/08/un-daily-news-149-26.mp3)

## [Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya, yatoa kanuni mpya za ufadhili wa kampeni](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260811-tume-huru-ya-uchaguzi-nchini-kenya-yatoa-kanuni-mpya-za-ufadhili-wa-kampeni?GJlXzGgqHj)

_2026-08-11 · Habari RFI-Ki_

Mwaka mmoja kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imetoa kanuni mpya za ufadhili wa kampeni za wagombea mbalimbali.Mgombea urais atatakiwa kutumia kiasi cha shilingi za Kenya zisizozidi Bilioni 6 huku vyama vya siasa vikitakiwa kutokuvuka matumizi ya bilioni 25 za Kenya.Tumemuuliza mskilizaji ,anazungumzia vipi kanuni hii ?na nchini mwake , kuna utaratibu kama…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/HABARI_RAFIKI_11_08_2026_KENYA.mp3?guid=9e33eab6-959f-11f1-8189-41de3659ab5f&source=GJlXzGgqHj)

## [Unaweza kuendelea kunyonyesha hata baada ya kutenganishwa kwa muda na mwanao](https://www.rfi.fr/sw/makala/siha-njema/20260811-unaweza-kuendelea-kunyonyesha-hata-baada-ya-kutenganishwa-kwa-muda-na-mwanao?GJlXzGgqHj)

_2026-08-11 · Siha Njema_

Imani kuwa mama na mtoto wanapotenganishwa inaweza kuathiri ubora wa maziwa ya mama inapotosha. Watalaam wanasisitiza maziwa ya mama hayawezi kuharibika kwenye titi. Aidha kunyonyesha kwa uaminifu kunaweza kukuepusha na saratani na mbinu pia ya kupanga uzazi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/SIHA_NJEMA_11-08-26_OK.mp3?guid=c76cdf08-957e-11f1-99a3-7b9dab358cb5&source=GJlXzGgqHj)

## [Pirate.io on Google Play (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/4s3VPLH4t8ZH)

_2026-08-11 · **Sponsored**_

Open the Pirate.io listing on Google Play to view the app’s details.

## [Kenya: Familia hatarini kutokana na kupanda kwa kiwango cha maji ziwa Naivasha](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260810-kenya-familia-hatarini-kutokana-na-kupanda-kwa-kiwango-cha-maji-ziwa-naivasha?GJlXzGgqHj)

_2026-08-10 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Familia katika kijiji cha Kihoto mjini Naivasha, zimeendelea kutaabika kutokana na athari za kupanda kwa kiwango cha maji kwenye ziwa Naivasha, na kusababisha maji kuingia kwenye kijiji ambayo pia yamesababisha kuenea kwa magugumaji. Nikurejesha nchini kenya, katika eneo la bonde la ufa, ziwa Bogoria, ziwa Baringo na Ziwa Niavasha, ni mfano wa maziwa ambayo yameendelea kushuhudia kupanda kwa kina…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/MAG_DEV_DURABLE_10-08-26.mp3?guid=ca4772d2-94ad-11f1-b853-7d972a30fe03&source=GJlXzGgqHj)

## [Mahakama ya haki yaratibu vikao vya kusikiliza kesi iliyowasilishwa na DRC dhidi ya Rwanda](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260808-mahakama-ya-haki-yaratibu-vikao-vya-kusikiliza-kesi-iliyowasilishwa-na-drc-dhidi-ya-rwanda?GJlXzGgqHj)

_2026-08-08 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Mahakama ya Kimataifa ya Haki wiki hii iliratibu vikao vya kuskiliza kesi iliyowaislishwa na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo dhidi ya Rwanda, ambapo Kinshasa inaituhumu Kigali kwa kukiuka mikataba minne ya kimataifa ikiwemo mkataba wa mauaji ya kimbari, mkataba wa kupinga mateso na mkataba wa kutokomeza aina zote za ubaguzi dhidi ya wanawake.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/YALIO_JIRIWIKI_HII_08-08-26_OK.mp3?guid=b1ed2b90-9300-11f1-bd87-474c180e1155&source=GJlXzGgqHj)

## [Uchoraji wa pembe (Qubical Drawings) na Maria Magige kutoka Daria Arts](https://www.rfi.fr/sw/makala/nyumba-ya-sanaa/20260808-uchoraji-wa-pembe-qubical-drawings-na-maria-magige-kutoka-daria-arts?GJlXzGgqHj)

_2026-08-08 · Nyumba ya Sanaa_

Uchoraji wa pembe(Qubical Drawings) ni sanaa inayozingatia uwasilishwaji wa ujumbe zaidi kuliko uhalisia wa picha. Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Maria Magige kutoka Daria Arts.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/NYUMBA_YA_SANAA_08-08-26_OK.mp3?guid=977b9d4c-92ff-11f1-9770-fd0820079880&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Uchunguzi wabainisha uwepo wa kemikali hatari kwenye bidhaa za plastiki](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260804-kenya-uchunguzi-wabainisha-uwepo-wa-kemikali-hatari-kwenye-bidhaa-za-plastiki?GJlXzGgqHj)

_2026-08-04 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_YAKO_KESHO_13-07-26_OK.mp3?guid=72feedf2-8fee-11f1-ab0d-2ddc3fc82d0a&source=GJlXzGgqHj)

## [El Niño: Wataalam waonya kuhusu mvua kubwa, mafuriko na joto la kali](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260803-el-ni%C3%B1o-wataalam-waonya-kuhusu-mvua-kubwa-mafuriko-na-joto-la-kali?GJlXzGgqHj)

_2026-08-03 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Hali ya hewa ya El Niño inaendelea kuimarika kwa kasi na inatarajiwa kutawala katika kipindi cha kuanzia mwezi Agosti hadi Oktoba mwaka wa 2026, hali itakayoongeza uwezekano wa viwango vya joto kuzidi wastani katika maeneo mengi ya dunia na kusababisha mabadiliko makubwa katika mifumo ya mvua. Mashirika ya hali ya hewa likiwemo lile la dunia WMO na KMD nchini Kenya, yameongeza utaratibu, huduma za…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/MAG_DEV_DURABLE_03-08-26_OK.mp3?guid=c01c1234-8f55-11f1-a196-f790d80cc44e&source=GJlXzGgqHj)

## [Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260803-changamoto-za-wasichana-wanaopata-ujauzito-wakiwa-shuleni?GJlXzGgqHj)

_2026-08-03 · Jua Haki Zako_

Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne anapata ujauzito kabla ya kufikisha miaka 18. Ingawa sheria na sera katika nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zinatambua haki ya wasichana hao kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua, wengi bado…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/MAG_DROITS_HUMAINS_03-08-26_OK.mp3?guid=73f44386-8f50-11f1-b8e4-81cc075b0caa&source=GJlXzGgqHj)

## [Kuzirai kwa kiongozi wa upinzani Uganda, mahakama ya katiba nchini DRC yaamua](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260801-kuzirai-kwa-kiongozi-wa-upinzani-uganda-mahakama-ya-katiba-nchini-drc-yaamua?GJlXzGgqHj)

_2026-08-01 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Kinara wa upinzani nchini Uganda azirai akiwa mahakamani, mahakama ya katiba nchini DRC ilisema kwamba sheria iliyopendekezwa kuhusu kuandaa kura ya maoni katika nchi hiyo ni ya kikatiba, seneta wa Nairobi Edwin Sifuna autikisa mwamba wa siasa nchini Kenya kuelekea uchaguzi wa 2027, siasa za Tanzania, Sudan, na Morocco ambako wahamiaji waliamua kuogelea kuvuka kwenda ulaya, uhispania, Washington…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/YALIYOJIRI_WIKI_HII_01-08-26_OK.mp3?guid=064e6570-8d7d-11f1-95d0-f716cf42b3e4&source=GJlXzGgqHj)

## [Tanzania: Uigizaji Radio na Kudra Kwingi](https://www.rfi.fr/sw/makala/nyumba-ya-sanaa/20260801-tanzania-uigizaji-radio-na-kudra-kwingi?GJlXzGgqHj)

_2026-08-01 · Nyumba ya Sanaa_

Uigizaji Radio ni mbinu ya kisanii ya kusimulia hadithi, kutoa elimu, au kuburudisha kwa kutumia sauti pekee , Kudra Kwingi ni Miongoni mwa waigizaji wanawake wa mwanzo nchini tanzania anajivuia sana hii, katika Makala ya Nyumba ya Sanaa utamsikia.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/NYUMBA_YA_SANAA_na_KUDRA_WINGWI_UIGIZAJI_RADIO_01AUG2026.mp3?guid=2b6414ea-8d78-11f1-827f-552e004a9353&source=GJlXzGgqHj)

## [Kwa nini watalaam wanahoji maumivu makali wakati wa hedhi si kawaida](https://www.rfi.fr/sw/makala/siha-njema/20260731-kwa-nini-watalaam-wanahoji-maumivu-makali-wakati-wa-hedhi-si-kawaida?GJlXzGgqHj)

_2026-07-31 · Siha Njema_

Maumivu wakati msichana au mwanamke anapokuwa kwenye siku zake za hedhi, yanaweza kuwa ya kawaida ila maumivu haya yanapomfanya kushindwa na shughuli za kawaida si kawaida Dkt Dominic Osiemo anasema maumivu haya makali yanaweza kuwa dalili za baadhi ya changamoto za kiafya kama vile Uvimbe au ugonjwa wa Endometriosis.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/SIHA_NJEMA_28-07-26_OK.mp3?guid=38c77424-8cdd-11f1-8c87-0b9b6fc7e5a3&source=GJlXzGgqHj)

## [Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260728-safari-ya-akina-mama-wachanga-kutafuta-uraia-wao-na-watoto-wao-mipakani-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-07-28 · Jua Haki Zako_

Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi kaunti za miapakani kama vile Busia ,Turkana na Mandera, hali inayoendelea kuwanyika raia hao haki zao za kimsingi na kukosa huduma muhimu za serikali . Hii leo katika makala Jua haki zako tunaangazia akina mama hao na…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/JUA_HAKI_ZAKO_27-07-26_OK.mp3?guid=717d1330-8a6e-11f1-959b-032336fcdb0b&source=GJlXzGgqHj)

## [Auto-trade Cross-Exchange Gaps (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/PKUhh5gKTWwB)

_2026-07-28 · **Sponsored**_

Find cross-exchange spreads, backtest strategies, and execute automatically with risk controls.

## [Fahamu kuhusu chanzo cha wimbi la joto kali linaloshuhudiwa Ulaya.](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260728-fahamu-kuhusu-chanzo-cha-wimbi-la-joto-kali-linaloshuhudiwa-ulaya?GJlXzGgqHj)

_2026-07-28 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Wimbi la joto kali limekumba bara la Ulaya kwa muda sasa, hali iliyosababisha viwango vya juu vya joto katika nchi kadhaa na kusababisha maelfu ya vifo. Zaidi ya watu 300,000 wamehamishwa na angalau mtu mmoja alifariki dunia kutokana na moto wa nyika nchini Ufaransa na Uhispania, huku vikosi vya zimamoto vikipambana na mioto hiyo. Leo katika uchambuzi wetu tunaungana na Daktari Joyce Kimutai,…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAZINGIRA_YAKO_DUNIA_YAKO_KESHO_27-07-26_OK.mp3?guid=f4a4483a-8a6b-11f1-a675-990bbc2b046a&source=GJlXzGgqHj)

## [Sanaa ya ucheshi na msani Abdul Chacha maarufu headmaster](https://www.rfi.fr/sw/makala/nyumba-ya-sanaa/20260725-sanaa-ya-ucheshi-na-msani-abdul-chacha-maarufu-headmaster?GJlXzGgqHj)

_2026-07-25 · Nyumba ya Sanaa_

Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu headmaster ni msanii wa sanaa ya ucheshi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/NYUMBA_YA_SANAA_Kuhusu_UCHESHI_WIMA_na_ABDUL_CHACHA_HEADMASTER_25JULY2026.mp3?guid=00d9022e-87f3-11f1-86ee-e34480b4c363&source=GJlXzGgqHj)

## [Watu zaidi ya 20 kuuawa mashariki mwa DRC, mchakato wa katiba mpya Tanzania](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260725-watu-zaidi-ya-20-kuuawa-mashariki-mwa-drc-mchakato-wa-katiba-mpya-tanzania?GJlXzGgqHj)

_2026-07-25 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Shambulio la ADF laua zaidi ya 20 mashariki mwa DRC, ziara ya waziri mkuu Judith Suminwa huko Ituri, gavana wa zamani wa migori akutwa na hatia ya mauaji, huku rais Ruto akionya kuhusu matumizi ya wahuni kwenye mikutano ya kisiasa, siasa za Tanzania, Sudan na rais wa zamani wa Senegal Macky Sall, kuwasilisha maono yake mbele ya baraza la Umoja wa Mataifa, katibu mkuu wa UN Antonio Guteress atoa…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/YALIYOJIRI_WIKI_HII_25-07-26_OK.mp3?guid=10688776-87f0-11f1-a018-e34480b4c363&source=GJlXzGgqHj)

## [Sanaa ya ucheshi na ukuzaji wa vipaji kwa vijana wa Tanzania](https://www.rfi.fr/sw/makala/nyumba-ya-sanaa/20260725-sanaa-ya-ucheshi-na-ukuzaji-wa-vipaji-kwa-vijana-wa-tanzania?GJlXzGgqHj)

_2026-07-25 · Nyumba ya Sanaa_

Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku Mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu Headmaster ni msanii wa sanaa hiyo Ungana na Steven Mumbi akizungumza na msanii huyo.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/NYUMBA_YA_SANAA_25-07-26_OK.mp3?guid=f0039090-87ed-11f1-89ee-85ad6324ddca&source=GJlXzGgqHj)

## [Changamoto ya wanaume na wanawake kukosa hamu ya tendo la ndoa](https://www.rfi.fr/sw/makala/siha-njema/20260721-changamoto-ya-wanaume-na-wanawake-kukosa-hamu-ya-tendo-la-ndoa?GJlXzGgqHj)

_2026-07-21 · Siha Njema_

Raia mmoja wa Kenya amefika kwenye bunge la kitaifa nchini Kenya akitaka swala la wanaume na wanawake kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa kuorodheshwa kuwa ulemavu Kwa mujibu wa daktari Dominic Osiemo ,tatizo hilo linachangiwa na maswala kadhaa yakiwemo matumizi ya dawa za kisukari ,shinikizo la damu na msongo wa mawazo.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/SIHA_NJEMA_21-07-26_OK.mp3?guid=7086cafc-851e-11f1-87df-b529d8dcc1bf&source=GJlXzGgqHj)

## [Visa vya kung'atwa na Nyoka vyaongezeka kaunti ya Turkana Nchini Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/siha-njema/20260721-visa-vya-kung-atwa-na-nyoka-vyaongezeka-kaunti-ya-turkana-nchini-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-07-21 · Siha Njema_

Kaunti ya Turkana inaongoza nchini Kenya kwa visa vya watu kung'atwa na nyoka. Wataalamu wa afya wanasema mabadiliko ya tabianchi, joto kali na changamoto za upatikanaji wa huduma za afya vinaongeza hatari kwa wakazi wa maeneo mengi ya kaunti hiyo,huku shirika la afya duniani WHO likisema visa vya kuumwa na nyoka vinapuuzwa wakati huu karibia watu 32000 wakifariki kila mwaka kutokana na sumu ya…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/SIHA_NJEMA_14-07-26_OK.mp3?guid=38d06aca-84e5-11f1-81de-1d36bc2bd5dc&source=GJlXzGgqHj)

## [Juhudi za akina mama kuhifadhi fukwe za bahari pwani ya Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260721-juhudi-za-akina-mama-kuhifadhi-fukwe-za-bahari-pwani-ya-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-07-21 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Wakati mataifa mbalimbali duniani yakiongeza juhudi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na uchafuzi wa bahari, nchini Kenya akina mama wamejitokeza mstari wa mbele kulinda mazingira. Katika Kaunti ya Mombasa, wameanzisha kampeni ya kupanda miti ya asili na kurejesha uoto uliopotea kwenye maeneo ya pwani. .Hii leo katika makala mazingira leo dunia yako kesho ,tunaangazia juhudi za…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_YAKO_KESHO_20-07-26_OK.mp3?guid=06d9234c-84e3-11f1-b9fc-1d36bc2bd5dc&source=GJlXzGgqHj)

## [Sanaa ya muziki wa asili ya walega nchini DRC](https://www.rfi.fr/sw/makala/nyumba-ya-sanaa/20260718-sanaa-ya-muziki-wa-asili-ya-walega-nchini-drc?GJlXzGgqHj)

_2026-07-18 · Nyumba ya Sanaa_

Nyumba ya sanaa juma hili imeangazia umuhimu wa kuwafundisha watoto lugha, usanii wamuziki za asili, na kujenga utamaduni wa kudumisha lugha za asili, mwanahabari wetu Reuben Lukumbuka anazungumza na msanii wa muziki za kilega, kutoka mjini Goma huko mashariki mwa Jamahuri ya kidemokrasia ya Congo Ngolis Mwindulwa Ngoma

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/NYUMBA_YA_SANAA_18-07-26_OK.mp3?guid=6569afd0-8281-11f1-b584-45facf4300bb&source=GJlXzGgqHj)

## [Matokeo ya uchaguzi mdogo Ol Kalou Kenya; rais wa DRC aitisha mazungumzo jumuishi](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260718-matokeo-ya-uchaguzi-mdogo-ol-kalou-kenya-rais-wa-drc-aitisha-mazungumzo-jumuishi?GJlXzGgqHj)

_2026-07-18 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni wapiga kura na wanahabari walivyoshambuliwa wakati wa uchaguzi mdogo Ol Kalau na kuzua hofu kuhusu uchaguzi wa 2027 nchini Kenya: wanafunzi wasiopungua 20 kupoteza maisha katika ajali ya barabarani kule Uganda, shambulio la waasi wa ADF huko Mangina mashariki mwa DRC, usalama kuzorota huko Sudan, ziara ya waziri mkuu wa Ufaransa Sebastien Lecornu kule Morocco,…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/SEMAINE_MONDE_18-07-26_OK.mp3?guid=bd6396a2-827b-11f1-87d2-85899a3b450f&source=GJlXzGgqHj)

## [Maoni ya mskilizaji Wiki hii kutokana na matangazo yetu](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260717-maoni-ya-mskilizaji-wiki-hii-kutokana-na-matangazo-yetu?GJlXzGgqHj)

_2026-07-17 · Habari RFI-Ki_

Na Hannah Nalianya Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusiana na matangazo yetu. Skiza maoni ya Juma hili

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_HABARI_RAFIKI_17_07_2026_KUHUSU_MADA_HURU.mp3?guid=9527ec56-81ef-11f1-bb47-357bd9b41020&source=GJlXzGgqHj)

## [Argentina kuvaana na Uhuspania kwenye fainali](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260716-argentina-kuvaana-na-uhuspania-kwenye-fainali?GJlXzGgqHj)

_2026-07-16 · Habari RFI-Ki_

Fainali ya kombe la dunia katika mchezo wa soka, itawakutanisha mabingwa watetezi Argentina na Hispania waliowahi kushinda taji hili mwaka 2010. Mechi hiyo itapigwa siku ya Jumapili nchini Marekani. Unatarajia nani ataibuka mshindi katika mechi hiyo na kwanini. Skiza ya mskilizaji

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_16-07-26_OK.mp3?guid=c7dc6642-812a-11f1-8cf2-79394af737f0&source=GJlXzGgqHj)

## [Ufaransa yaondolewa kwenye kombe la dunia](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260715-ufaransa-yaondolewa-kwenye-kombe-la-dunia?GJlXzGgqHj)

_2026-07-15 · Habari RFI-Ki_

Na Hannah Naliaka Safari ya Ufaransa kutinga fainali za kombe la dunia imefikia tamati baada ya kushindwa mabao 2-0 na Uhispania katika nusu fainali ya kwanza. Unazungumziaje mechi hiyo ? Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/HABARI_RAFIKI_15-07-26_OK.mp3?guid=931824d6-8059-11f1-8e3b-b7c298cf2416&source=GJlXzGgqHj)

## [Bara Ulaya linatathimini kudhibiti mitandao kwa watoto](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260714-bara-ulaya-linatathimini-kudhibiti-mitandao-kwa-watoto?GJlXzGgqHj)

_2026-07-14 · Habari RFI-Ki_

Umoja wa Ulaya unatathmini kuweka marufuku ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto kutokana na athari za mitandao hiyo kwa watoto. Unazungumziaje pendekezo hili? Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_HABARI_RAFIKI_14_07_2026_KUHUSU_WATOTO.mp3?guid=30e50a3a-7f9c-11f1-bdf8-77b4e25bc2d2&source=GJlXzGgqHj)

## [Nani atabeba kombe la dunia mwaka huu](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260713-nani-atabeba-kombe-la-dunia-mwaka-huu?GJlXzGgqHj)

_2026-07-13 · Habari RFI-Ki_

Fainali za kombe la dunia zimefikia hatua ya nusu fainali, huku timu nne zikisalia kwenye mbio za kutwaa ubingwa. Uhispania itacheza na Ufaransa, wakati Uingereza itapambana na mabingwa watetezi Argentina. Unatathmini vipi hatua iliyofikia? Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_HABARI_RAFIKI_13_07_2026_KUHUSU_WORLD_CUP.mp3?guid=81eb9306-7ec8-11f1-8311-dbb701fa6098&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Mawakili waandamana kudai haki](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260713-kenya-mawakili-waandamana-kudai-haki?GJlXzGgqHj)

_2026-07-13 · Jua Haki Zako_

Nchini Kenya, mawakili wameandamana kudai haki kufuatia vifo vya wenzao wawili ambao wameuawa katika mazingira tata. Kwenye makala haya tunaangazia malalamishi ya mawakili hao. Sikiliza makala kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/JUA_HAKI_ZAKO_13-07-26_OK.mp3?guid=e659fcee-7ec6-11f1-8382-dbb701fa6098&source=GJlXzGgqHj)

## [Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasher](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260712-sudan-amnesty-international-yasema-rsf-ilikiuka-sheria-el-fasher?GJlXzGgqHj)

_2026-07-12 · Jua Haki Zako_

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeangazia namna gani wapiganaji wa rsf walikiuka sheria wakati wakiteka mji wa El Fasher. Skiza makala haya kufamu mengi

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_06_07_2026_KUHUSU_SUDAN.mp3?guid=22a6c112-7c71-11f1-bf72-e107db1ef8df&source=GJlXzGgqHj)

## [Makubaliano kati ya Marekani na Iran kuvunjika, maandamano ya mawakili wa Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/mtazamo-wako-kwa-yaliyojiri-wiki-hii/20260711-makubaliano-kati-ya-marekani-na-iran-kuvunjika-maandamano-ya-mawakili-wa-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-07-11 · Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii_

Yaliyojiri wiki hii ni kuvunjika kwa makubaliano kati ya Marekani na Iran, mazishi ya kiongozi wa kiroho wa Iran A.Khamenei, rais wa Tanzania Samia Suluhu kuwaonya wanaharakati dhidi ya kuchochea vurugu-wanasiasa wa upinzani, wanahabari pamoja na wanaharakati, Uganda waishi kwa hofu kutokana na vitisho vya mkuu wa majeshi, wapinzani wa jukwaa la C64 DRC walikutana na rais wa Burundi Evariste…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/SEMAINE_MONDE_11-07-26_OK.mp3?guid=aba6c9a4-7cf2-11f1-9b3f-efb3cb34a019&source=GJlXzGgqHj)

## [Haki za wakimbizi awamu ya pili](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260710-haki-za-wakimbizi-awamu-ya-pili?GJlXzGgqHj)

_2026-07-10 · Jua Haki Zako_

Awamu ya pili makala haya yanaendelea kuangazia haki za wakimbizi mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki hizo. Skiza kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_29_06_2026_KUHUSU_WAKIMBIZI.mp3?guid=5a2ddee2-7c6f-11f1-a1c1-e107db1ef8df&source=GJlXzGgqHj)

## [Maoni yako katika makala ya Habari rafiki Mada huru](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260710-maoni-yako-katika-makala-ya-habari-rafiki-mada-huru?GJlXzGgqHj)

_2026-07-10 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_10-07-26.mp3?guid=aa0b97be-7c6b-11f1-a012-8db244004842&source=GJlXzGgqHj)

## [Mashirika ya kiraia Afrika yaanza kampeni dhidi ya madeni ya umma](https://www.rfi.fr/sw/makala/siha-njema/20260710-mashirika-ya-kiraia-afrika-yaanza-kampeni-dhidi-ya-madeni-ya-umma?GJlXzGgqHj)

_2026-07-10 · Siha Njema_

Mashirika ya kiraia yanasema nchi za Afrika zinalipa deni na kuachwa na kiasi kidogo cha pesa kuendesha shughuli muhimu za serikali ,sekta ya afya ikiathirika zaidi Mashirika haya yanataka umoja wa Afrika kuja na jopo ambalo litakuwa linaangazia maswala yote kuhusu mikopo ili kupunguza dhulma kwa nchi zinazoendelea

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/SIHA_NJEMA_07-07-26_OK.mp3?guid=45541bfe-7c55-11f1-8cda-9380539ec062&source=GJlXzGgqHj)

