# mwandishi (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 6 feeds in the RSS Amplifier directory that cover mwandishi.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/mwandishi/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/mwandishi/blogs.md>

---

## [Askari wa TAWA wamdhibiti Simba aliyezua taharuki Mkarango](https://www.jamhurimedia.co.tz/askari-wa-tawa-wamdhibiti-simba-aliyezua-taharuki-mkarango/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=askari-wa-tawa-wamdhibiti-simba-aliyezua-taharuki-mkarango)

_2026-08-23 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

📍 Msako wa Simba Mwingine Waendelea Na Mwandishi Wetu, Lindi Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kumdhibiti simba mmoja dume aliyekuwa akihusishwa na matukio ya kushambulia mifugo na kuzua taharuki katika Kitongoji cha Songea, Kijiji cha Mkarango, Wilaya...

## [TMDA yatakiwa kutoa adhabu kali](https://www.jamhurimedia.co.tz/tmda-yatakiwa-kutoa-adhabu-kali/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tmda-yatakiwa-kutoa-adhabu-kali)

_2026-08-23 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Dennisi Luambano, JamhuriMedia, Babati Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameitaka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kutoa adhabu kali kwa wanaoingiza dawa bandia, duni na zisizosajiliwa na iendelee kuwaelimisha wananchi kuhusu matumizi sahihi ya dawa na...

## [Rais Samia: JNHPP ndoto ya umeme wa uhakika yatimia](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/22/rais-samia-jnhpp-ndoto-ya-umeme-wa-uhakika-yatimia/)

_2026-08-22 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, Rufiji RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema ndoto ya muda mrefu ya Tanzania ya kuwa na chanzo kikubwa na cha uhakika cha nishati imetimia baada ya kukamilika na kuzinduliwa rasmi kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP). Amesema kukamilika kwa mradi huo ni uthibitisho wa uwezo wa Tanzania kutekeleza miradi \[…\] The post Rais Samia: JNHPP ndoto ya umeme wa uhakika…

## [HATIMAYE](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/22/hatimaye/)

_2026-08-22 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na Waandishi Wetu HATIMAYE ile siku iliyosubiriwa kwa hamu na Watanzania, ni leo, ambayo Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amezindua Bwawa la kihistoria la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHHP). JNHPP ni maono ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, aliyoyajenga na waasisi wenzake kuanzia mwaka 1976, hatimaye leo yametimia chini ya uongozi imara wa Rais \[…\]

## [Rais Samia aagiza ma -RC, ma- DC kujiandaa mapema kukabiliana na athari za Elnino](https://www.jamhurimedia.co.tz/rais-samia-aagiza-ma-rc-ma-dc-kujiandaa-mapema-kukabiliana-na-athari-za-elnino/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-samia-aagiza-ma-rc-ma-dc-kujiandaa-mapema-kukabiliana-na-athari-za-elnino)

_2026-08-22 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Taasisi mbalimbali za serikali kujiandaa mapema kukabiliana na mvua kubwa zinazotabiriwa nchini, ili kuepusha maafa na madhara kwa wananchi....

## [SAFARI KUTOKA STIEGLER’S GORGE HADI BWAWA LA JULIUS NYERERE](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/22/safari-kutoka-stieglers-gorge-hadi-bwawa-la-julius-nyerere/)

_2026-08-22 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na Ramadhani Semtawa ILIKUWA ndoto sasa ni halisi. Ndicho kinachoshuhudiwa na kusikika leo, kwa taifa kuzindua mradi mkubwa wa umeme wa Julius Nyerere, ambao awali ulijulikana Stiegler’s Gorge. Ni mradi wa kihistoria unaoendeleza msingi wa taifa kujitegemea, kwani unapunguza utegemezi wa ununuzi wa umeme kutoka nchi jirani na kulifanya taifa kuwa na zaida ya kuuza \[…\]

## [NEMC na JNHPP: usimamizi wa mazingira katika miradi ya kimkakati](https://www.jamhurimedia.co.tz/nemc-na-jnhpp-usimamizi-wa-mazingira-katika-miradi-ya-kimkakati/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=nemc-na-jnhpp-usimamizi-wa-mazingira-katika-miradi-ya-kimkakati)

_2026-08-22 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki kikamilifu katika uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), unaofanywa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni...

## [TANZANIA SASA INA ZIADA YA MEGAWATI 2,375 ZA UMEME, KUANZA KUUZA NJE- NDEJEMBI](https://taifatanzania.co.tz/2026/08/22/tanzania-sasa-ina-ziada-ya-megawati-2375-za-umeme-kuanza-kuuza-nje-ndejembi/)

_2026-08-22 · Aziza Masoud · Taifa Tanzania_

Na Mwandishi Wetu,Rufiji Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema uzinduzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere ni matokeo ya juhudi kubwa za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha mradi huo unakamilika na kuongeza uwezo wa Taifa wa kuzalisha umeme. Ndejembi amesema hayo leo Jumamosi, Agosti 22, 2026, wakati akizungumza... The post TANZANIA SASA INA ZIADA…

## [JNHPP YAONGEZA UMEME,TANZANIA YAGEUKIA FURSA ZA UCHUMI](https://taifatanzania.co.tz/2026/08/22/jnhpp-yaongeza-umemetanzania-yageukia-fursa-za-uchumi/)

_2026-08-22 · Aziza Masoud · Taifa Tanzania_

Na Mwandishi Wetu,Rufiji TANZANIA imeingia katika hatua mpya ya uzalishaji na matumizi ya nishati baada ya kukamilika kwa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), unaotarajiwa kuongeza upatikanaji wa umeme na kuchochea uwekezaji, viwanda na biashara ndani na nje ya nchi. Mradi huo umeongeza uwezo wa uzalishaji wa umeme nchini na kuiwezesha Tanzania kuwa... The post JNHPP YAONGEZA…

## [Rais Samia azindua rasmi kituo cha kuzalidha umeme cha Julius Nyerere](https://www.jamhurimedia.co.tz/rais-samia-azindua-rasmi-kituo-cha-kuzalidha-umeme-cha-julius-nyerere/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-samia-azindua-rasmi-kituo-cha-kuzalidha-umeme-cha-julius-nyerere)

_2026-08-22 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani....

## [A Friend Gave You $30 (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/TpOpklCAKsMY)

_2026-08-22 · **Sponsored**_

Sign up, deposit $5 within 30 days, and start investing with expert guidance.

## [ZAIDI YA 95% YA WALIOHUSIKA NA UJENZI BWAWA LA MWALIMU NYERERE NI WATANZANIA- TWANGE](https://taifatanzania.co.tz/2026/08/22/zaidi-ya-95-ya-waliohusika-na-ujenzi-bwawa-la-mwalimu-nyerere-ni-watanzania-twange/)

_2026-08-22 · Aziza Masoud · Taifa Tanzania_

Na Mwandishi Wetu,Rufiji Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Lazaro Jacob Twange, amesema ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere umewezesha Watanzania kupata ujuzi na uzoefu mkubwa katika utekelezaji wa miradi mikubwa, jambo litakalowaongezea uwezo wa kushindana katika soko la ajira ndani na nje ya nchi. Twange amesema hayo leo Jumamosi,... The post ZAIDI YA…

## [RAIS SAMIA AZINDUA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA JULIUS NYERERE](https://taifatanzania.co.tz/2026/08/22/rais-samia-azindua-kituo-cha-kuzalisha-umeme-cha-julius-nyerere/)

_2026-08-22 · Aziza Masoud · Taifa Tanzania_

Na Mwandishi Wetu,Rufiji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi Agosti 22, 2026, amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), kilichopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. JNHPP ni mradi mkubwa wa kimkakati katika sekta ya nishati nchini, wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 kupitia mitambo tisa, kila... The post RAIS SAMIA AZINDUA KITUO CHA…

## [TFS yatumia jogging kama sehemu ya kujiimarisha kiafya](https://www.jamhurimedia.co.tz/tfs-yatumia-jogging-kama-sehemu-ya-kujiimarisha-kiafya/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tfs-yatumia-jogging-kama-sehemu-ya-kujiimarisha-kiafya)

_2026-08-22 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

WAFANYAKAZI wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Mashariki wamefanya mazoezi ya kukimbia umbali wa takribani kilomita saba katika eneo la Coco Beach jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kujiweka katika hali nzuri ya kiafya...

## [Historia ya Mradi wa JNHPP](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/22/historia-ya-mradi-wa-jnhpp/)

_2026-08-22 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu HAYATI Mwalimu Julius Nyerere ndiye aliyetoa msukumo mkubwa wa awali wa kuendeleza mradi huu katika miaka ya 1970. Serikali yake ilifanya tafiti mbalimbali za kitaalamu na upembuzi yakinifu ili kubaini uwezekano wa kujenga bwawa na kituo kikubwa cha kuzalisha umeme katika eneo la Stiegler’s Gorge. Eneo hilo lilitambuliwa kuwa na uwezo mkubwa \[…\] The post Historia ya Mradi wa…

## [Rais Samia awasili JNHPP](https://www.jamhurimedia.co.tz/rais-samia-awasili-jnhpp/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-samia-awasili-jnhpp)

_2026-08-22 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi na viongozi wengine wakati alipowasili katika eneo la Mradi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP). Rais Samia atazindua rasmi...

## [RAIS DK. SAMIA AWASILI JNHPP](https://taifatanzania.co.tz/2026/08/22/rais-dk-samia-awasili-jnhpp/)

_2026-08-22 · Aziza Masoud · Taifa Tanzania_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi na viongozi wengine wakati alipowasili katika eneo la Mradi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP). Rais Samia atazindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 leo... The post RAIS DK. SAMIA AWASILI…

## [Rais Samia kuzindua kituo cha kuzalisha umeme JNHPP, historia yaandikwa](https://www.jamhurimedia.co.tz/rais-samia-kuzindua-kituo-cha-kuzalisha-umeme-jnhpp-historia-yaandikwa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-samia-kuzindua-kituo-cha-kuzalisha-umeme-jnhpp-historia-yaandikwa)

_2026-08-22 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Rais Samia kuzindua rasmi kituo cha kuzalisha umeme cha JNHPP Agosti 22 Uzinduzi huo unaashiria hatua kubwa katika safari ya Tanzania ya kuimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika, kuchochea shughuli za uzalishaji na kuimarisha uchumi wa Taifa. Tayari mitambo yote...

## [WANANCHI WAFURIKA KUSHUHUDIA UZINDUZI WA KITUO CHA KIHISTORIA CHA JNHPP](https://taifatanzania.co.tz/2026/08/22/wananchi-wafurika-kushuhudia-uzinduzi-wa-kituo-cha-kihistoria-cha-jnhpp/)

_2026-08-22 · Aziza Masoud · Taifa Tanzania_

Na Mwandishi Wetu, Rufiji RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 22, 2026 anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), kilichopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. Kutokana na umuhimu wa kituo hicho hasa katika kuendelea kuchechemu sekta ya nishati nchini kwakupata umeme wa uhakika viongozi mbalimbali... The post WANANCHI WAFURIKA…

## [Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuongeza ruzuku kwa TBA](https://www.jamhurimedia.co.tz/kamati-ya-bunge-yaishauri-serikali-kuongeza-ruzuku-kwa-tba/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kamati-ya-bunge-yaishauri-serikali-kuongeza-ruzuku-kwa-tba)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiomba Serikali kuongeza ruzuku kwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), ili kuwezesha kuongeza kasi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya watumishi wa umma nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo,...

## [Waziri wa Fedha aishukuru IMF kwa mchango wake](https://www.jamhurimedia.co.tz/waziri-wa-fedha-aishukuru-imf-kwa-mchango-wake/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=waziri-wa-fedha-aishukuru-imf-kwa-mchango-wake)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na. Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, amelishukuru Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mchango wake kwa Tanzania tangu kuanza kwa ushirikiano kati yake na Shirika hilo, akieleza kuwa ushirikiano huo umeendelea kuwa...

## [Sync bookmarks across every browser (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/k1BFugW3z5U8)

_2026-08-21 · **Sponsored**_

Two-way sync across Chrome, Firefox and Safari; built-in ad and tracker blocker.

## [Prof. Shemdoe awaasa viongozi Serikali za mitaa kuepuka migogoro ili kuongeza ufanisi wa huduma kwa wananchi](https://www.jamhurimedia.co.tz/prof-shemdoe-awaasa-viongozi-serikali-za-mitaa-kuepuka-migogoro-ili-kuongeza-ufanisi-wa-huduma-kwa-wananchi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=prof-shemdoe-awaasa-viongozi-serikali-za-mitaa-kuepuka-migogoro-ili-kuongeza-ufanisi-wa-huduma-kwa-wananchi)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao...

## [PROFESA MBARAWA:ENEO LA KUHIFADHIA KONTENA KURASINI KUANZA KAZI NOVEMBA 2026](https://taifatanzania.co.tz/2026/08/21/profesa-mbarawaeneo-la-kuhifadhia-kontena-kurasini-kuanza-kazi-novemba-2026/)

_2026-08-21 · Aziza Masoud · Taifa Tanzania_

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema eneo jipya la kuhifadhia makontena linaloandaliwa kwa upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam (Port Extension) linatarajiwa kuanza kutoa huduma ifikapo Novemba 2026, hatua inayolenga kupunguza msongamano bandarini na kurahisisha upatikanaji wa mizigo kwa wafanyabiashara. Profesa Mbarawa alisema hayo jana wakati wa...…

## [WAZIRI KAIRUKI AITAKA TTCL KUONGEZA KASI YAKUUNGANISHA FIBER MAJUMBANI](https://taifatanzania.co.tz/2026/08/21/waziri-kairuki-aitaka-ttcl-kuongeza-kasi-yakuunganisha-fib/)

_2026-08-21 · Aziza Masoud · Taifa Tanzania_

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angela Kairuki, ameitaka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuongeza kasi ya kuwaunganisha wananchi na intaneti ya mkongo wa nyuzi majumbani (FTTH), huku akilenga huduma hiyo kuwafikia nyumba milioni moja ifikapo Juni 2028. Kairuki alitoa agizo hilo leo Agosti 21, 2026 ,jijini Dar... The post WAZIRI KAIRUKI AITAKA…

## [Mwambene awataka walimu wapya kushirikiana na wenzao](https://www.jamhurimedia.co.tz/mwambene-awataka-walimu-wapya-kushirikiana-na-wenzao/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=mwambene-awataka-walimu-wapya-kushirikiana-na-wenzao)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Atupele Mwambene ametoa wito kwa walimu walioshiriki mafunzo ya somo la Elimu ya Biashara kuonesha ushirikiano kwa walimu wataowakuta katika vituo vyao vya kazi ili kuwasaidia watoto katika malezi pamoja na...

## [Benki ya Dunia kufikiria kuunga mkono maboresho ya ziada Bandari ya Dar es Salaam](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/21/benki-ya-dunia-kufikiria-kuunga-mkono-maboresho-ya-ziada-bandari-ya-dar-es-salaam/)

_2026-08-21 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam BENKI ya Dunia imesifu uhusiano kati yake na Tanzania na kusifu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kusimamia vizuri wa utekelezaji wa awamu ya kwanza ya ujenzi na maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam chini ya mpango unaofadhiliwa na benki hiyo. Mpango huo unajulikana kwa jina \[…\] The post Benki ya Dunia kufikiria kuunga mkono maboresho ya ziada…

## [Balozi Salum azitaka FCC, TBS na WMA kupambana na bidhaa bandia na duni](https://www.jamhurimedia.co.tz/balozi-salum-azitaka-fcc-tbs-na-wma-kupambana-na-bidhaa-bandia-na-duni/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=balozi-salum-azitaka-fcc-tbs-na-wma-kupambana-na-bidhaa-bandia-na-duni)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Mameneja wa Kanda na Mikoa wa Taasisi za Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Tume ya Ushindani (FCC) pamoja na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) wameagizwa kuhakikisha hakuna bidhaa bandia na duni katika maeneo yao wanayoyasimamia kiutendaji. Maelekezo hayo yametolewa na...

## [Airtel Africa yaandika historia kwa kuzindua intaneti ya satelaiti kwa simu DRC](https://www.jamhurimedia.co.tz/airtel-africa-yaandika-historia-kwa-kuzindua-intaneti-ya-satelaiti-kwa-simu-drc/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=airtel-africa-yaandika-historia-kwa-kuzindua-intaneti-ya-satelaiti-kwa-simu-drc)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Kinshasa, 17 Agosti 2026: Airtel Africa imeandika historia baada ya kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiliano barani Afrika kuzindua kibiashara intaneti ya satelaiti kwa simu nchini Jamhuriya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ikifungua ukurasa mpya katika upatikanaji wa mawasilianokatika maeneo yasiyofikiwa...

## [Port Extension kuanza kutumika Novemba, kupunguza msongamano Bandari ya Dar](https://www.jamhurimedia.co.tz/port-extension-kuanza-kutumika-novemba-kupunguza-msongamano-bandari-ya-dar/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=port-extension-kuanza-kutumika-novemba-kupunguza-msongamano-bandari-ya-dar)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam ENEO la Kurasini Logistics Park linaloandaliwa kuwa Port Extension ya Bandari ya Dar es Salaam linatarajiwa kuanza kutumika rasmi Novemba mwaka huu, hatua inayolenga kupunguza msongamano wa makontena na malori katika bandari hiyo. Akizungumza...

## [Mbarawa awataka watafiti kubadili tafiti kuwa suluhisho la changamoto za usafiri](https://www.jamhurimedia.co.tz/mbarawa-awataka-watafiti-kubadili-tafiti-kuwa-suluhisho-la-changamoto-za-usafiri/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=mbarawa-awataka-watafiti-kubadili-tafiti-kuwa-suluhisho-la-changamoto-za-usafiri)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amewataka watafiti nchini kuhakikisha tafiti wanazofanya katika sekta ya usafiri na usafirishaji zinatoa suluhisho la changamoto halisi na kuchangia maendeleo ya kiuchumi, badala ya kuishia kwenye makabrasha...

## [Dk Mwigulu aagiza kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vya AFCON](https://www.jamhurimedia.co.tz/dk-mwigulu-aagiza-kasi-ya-ujenzi-wa-viwanja-vya-mazoezi-vya-afcon/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=dk-mwigulu-aagiza-kasi-ya-ujenzi-wa-viwanja-vya-mazoezi-vya-afcon)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

\*Awataka wakandarasi kukamilisha mikataba ya wafanyakazi na kushughulikia stahiki zao ndani ya wiki moja. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili...

## [Transcript-Driven Stock Discovery (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/j7IVSEIECaEO)

_2026-08-21 · **Sponsored**_

Ranked, evidence-backed watchlists from indexed executive transcripts for 1–2 quarter horizons

## [NMB yawainua wafanyabiashara tisa wa Lumumba kwa fidia ya Sh1.072 bilioni](https://www.jamhurimedia.co.tz/nmb-yawainua-wafanyabiashara-tisa-wa-lumumba-kwa-fidia-ya-sh1-072-bilioni/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=nmb-yawainua-wafanyabiashara-tisa-wa-lumumba-kwa-fidia-ya-sh1-072-bilioni)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

●NMB yawawezesha wafanyabiashara tisa wa Lumumba kuanza upya Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Wafanyabiashara tisa wa mtaa wa Lumumba jijini Mwanza wamepata nafasi ya kujenga upya biashara zao baada ya NMB Bank, kwa kushirikiana na Reliance Insurance, kuwalipa fidia ya...

## [Meneja Mkuu: Huduma bora kwa mteja ndio kipaumbele cha shirika](https://www.jamhurimedia.co.tz/meneja-mkuu-huduma-bora-kwa-mteja-ndio-kipaumbele-cha-shirika/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=meneja-mkuu-huduma-bora-kwa-mteja-ndio-kipaumbele-cha-shirika)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo CPA. Ashraph Abdulkarim amewataka watumishi kuhakikisha kuwa wanakuwa suluhu ya changamoto za wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kwa kusikiliza, kutoa majawabu ya uhakika kwa wakati na kutoa mrejesho kwa wafanyabiashara hao...

## [TUNDU LISSU AKUTWA NA KESI YA KUJIBU](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/21/tundu-lissu-akutwa-na-kesi-ya-kujibu/)

_2026-08-21 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na MWANDISHI WETU MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemkuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ana kesi ya kujibu katika shauri la uhaini linalomkabili. Akisoma uamuzi huo Leo Agosti 21, 2026, Jaji Ndunguru, anayeongoza jopo la majaji linalosikiliza shauri hilo, amesema mahakama imejiridhisha kuwa upande wa \[…\]

## [KUNENGE: JNHPP KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME NCHINI](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/21/kunenge-jnhpp-kuimarisha-upatikanaji-umeme-nchini/)

_2026-08-21 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Pwani Na Mwamvua Mwinyi MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema uzinduzi wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), utakaofanyika kesho wilayani Rufiji mkoani hapa, ni atua kubwa ya kihistoria katika kuimarisha upatikanaji nishati ya uhakika nchini. Mradi huo wenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme unaotekelezwa kwa asilimia 60 katika \[…\]

## [CCM YATAKA VIONGOZI WASIOYUMBA -WASIRA](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/21/ccm-yataka-viongozi-wasioyumba-wasira/)

_2026-08-21 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Iramba NA MWANDISHI WETU MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amekemea viongozi wasiokuwa na msimamo ndani ya Chama, akisisitiza umuhimu wa kuzingatia haki kwa kutoegemea maslahi binafsi. Amesema CCM inahitaji viongozi wasioyumba katika masuala ya msingi, hivyo wanachama wanapaswa kuwapa uongozi watu wenye sifa za uadilifu. Wasira aliyasema hayo alipozungumza na \[…\]

## [Serikali yaweka mkazo chanjo ya polio, watoto milioni 6.5 kulengwa](https://www.jamhurimedia.co.tz/serikali-yaweka-mkazo-chanjo-ya-polio-watoto-milioni-6-5-kulengwa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=serikali-yaweka-mkazo-chanjo-ya-polio-watoto-milioni-6-5-kulengwa)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka mkazo katika kuzuia ugonjwa wa kupooza (Polio) kwa kuendesha kampeni maalum ya chanjo itakayowafikia watoto zaidi ya milioni 6.5 katika mikoa nane nchini. Kampeni hiyo inatarajiwa kufanyika Agosti 27 hadi 30, 2026, ambapo chanjo...

## [Kamati ya Bunge yaipongeza WRRB, yaitaka kuongeza kasi matumizi ya WRS](https://www.jamhurimedia.co.tz/kamati-ya-bunge-yaipongeza-wrrb-yaitaka-kuongeza-kasi-matumizi-ya-wrs/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kamati-ya-bunge-yaipongeza-wrrb-yaitaka-kuongeza-kasi-matumizi-ya-wrs)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na.Mwandishi Wetu- Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake na kuitaka kuharakisha matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRS)...

## [Wasira asisitiza misimamo, haki CCM](https://www.jamhurimedia.co.tz/wasira-asisitiza-misimamo-haki-ccm/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=wasira-asisitiza-misimamo-haki-ccm)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

\*Akemea viongozi wasiokuwa na msimamo ndani ya Chama MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesisitiza umuhimu wa kuzingatia haki kwa kutoegemea maslahi binafsi huku akikemea viongozi wasiokuwa na msimamo ndani ya CCM. Wasira aliyasema hayo alipozungumza...

## [TBS yapongezwa kwa kuimarisha udhibiti wa ubora wa bidhaa](https://www.jamhurimedia.co.tz/tbs-yapongezwa-kwa-kuimarisha-udhibiti-wa-ubora-wa-bidhaa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tbs-yapongezwa-kwa-kuimarisha-udhibiti-wa-ubora-wa-bidhaa)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,Biashara,Kilimo na Mifugo imeipongeza TBS kwa kutekeleza majukumu yake ya udhibiti ubora kwa ufanisi. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Deogratias Mwanyika kwaniaba ya kamati wakati wa...

## [Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Balozi wa Marekani wakutana kujadii ushirikiano](https://www.jamhurimedia.co.tz/mwanasheria-mkuu-wa-serikali-balozi-wa-marekani-wakutana-kujadii-ushirikiano/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=mwanasheria-mkuu-wa-serikali-balozi-wa-marekani-wakutana-kujadii-ushirikiano)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz, na ujumbe wake kwa ajili ya kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania...

## [Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara ya Viwanda na Taasisi zake kwa ufanisi](https://www.jamhurimedia.co.tz/kamati-ya-bunge-yaipongeza-wizara-ya-viwanda-na-taasisi-zake-kwa-ufanisi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kamati-ya-bunge-yaipongeza-wizara-ya-viwanda-na-taasisi-zake-kwa-ufanisi)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, kupitia Mwenyekiti wake Mhe.Deodatus Mwanyika, ameipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na taasisi zake kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake ya udhibiti ubora kwa ufanisi . Mhe. Mwanyika...

## [Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yazuru NEMC](https://www.jamhurimedia.co.tz/kamati-ya-kudumu-ya-baraza-la-wawakilishi-zanzibar-yazuru-nemc/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kamati-ya-kudumu-ya-baraza-la-wawakilishi-zanzibar-yazuru-nemc)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

📌Yafurahishwa na Mradi wa Kituo cha Gesi Asilia kwa matumizi ya Nishati Safi Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Machano Othman Said, imezuru Ofisi za Baraza...

## [CCM kuimarisha uhusiano na chama cha kikomonisti cha China](https://tanzanialeo.co.tz/ccm-kuimarisha-uhusiano-na-chama-cha-kikomonisti-cha-china/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ccm-kuimarisha-uhusiano-na-chama-cha-kikomonisti-cha-china)

_2026-08-20 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Aggrey Mwanri, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) nchini Tanzania, Xu…

## [Waandishi Oman, JOWUTA, kuandaa kongamano la kimataifa](https://tanzanialeo.co.tz/waandishi-oman-jowuta-kuandaa-kongamano-la-kimataifa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=waandishi-oman-jowuta-kuandaa-kongamano-la-kimataifa)

_2026-08-20 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam UJUMBE maalum kutoka Chama cha Waandishi wa Habari wa Ufalme wa Oman (OJA), uliopo nchini leo Agosti 19, 2026 umefanya mazungumzo na Chama cha wafanyakazi…

## [Serengeti awards 2026 usajili wafunguliwa kwa wadau wa utalii](https://www.lajiji.co.tz/2026/08/20/serengeti-awards-2026-usajili-wafunguliwa-kwa-wadau-wa-utalii/)

_2026-08-20 · Esther Mnyika · LAJIJI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WIZARA ya Maliasili na Utalii imetangaza rasmi dirisha la usajili kwa wadau wa uhifadhi na utalii kuwania Serengeti Awards 2026, huku ikiwasisitiza kutumia fursa hiyo kuonyesha kazi, ubunifu na mafanikio yao katika uhifadhi wa wanyamapori, maliasili na uendelezaji wa utalii. Dirisha hilo litafunguliwa Agosti 20, 2026 na litafungwa Septemba \[…\] The post Serengeti…

## [Benki ya Dunia yaahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kuendeleza miradi ya kimkakati](https://www.jamhurimedia.co.tz/benki-ya-dunia-yaahidi-kuendelea-kushirikiana-na-tanzania-kuendeleza-miradi-ya-kimkakati/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=benki-ya-dunia-yaahidi-kuendelea-kushirikiana-na-tanzania-kuendeleza-miradi-ya-kimkakati)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na. Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Benki ya Dunia imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kuendeleza miradi ya kimkakati inayolenga kutumia fursa zilizopo katika Ushoroba wa Kati (Central Corridor) ili kuchochea ukuaji wa uchumi, kuongeza ajira na kuleta maendeleo kwa wananchi...

## [Kunenge: Uzinduzi wa JNHPP ni historia mpya ya nishati Tanzania](https://www.jamhurimedia.co.tz/kunenge-uzinduzi-wa-jnhpp-ni-historia-mpya-ya-nishati-tanzania/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kunenge-uzinduzi-wa-jnhpp-ni-historia-mpya-ya-nishati-tanzania)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Mwamvua Mwinyi, JamhiriMedia, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), unaofanyika Agosti 22, mwaka huu, wilayani Rufiji, ni hatua kubwa ya kihistoria katika kuimarisha upatikanaji wa nishati...

## [PROFESA MBARAWA:SERIKALI HAITAKI TAFITI ZINAZOISHIA KWENYE MAKABRASHA](https://taifatanzania.co.tz/2026/08/20/profesa-mbarawaserikali-haitaki-tafiti-zinazoishia-kwenye-makabrasha/)

_2026-08-20 · Aziza Masoud · Taifa Tanzania_

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amewataka watafiti nchini kuhakikisha tafiti wanazofanya katika sekta ya usafiri na usafirishaji zinatoa suluhisho la changamoto halisi, badala ya kuishia kwenye makabrasha na mikutano. Akizungumza leo Agosti 20, 2026 wakati akifungua mkutano wa kimataifa unaohusu usafiri, lojistiki na usimamizi, kuwa mafanikio ya…

## [NeST yatoa zabuni za trilioni 40.4/-, makundi maalum yanufaika bilioni 56/-](https://www.jamhurimedia.co.tz/nest-yatoa-zabuni-za-trilioni-40-4-makundi-maalum-yanufaika-bilioni-56/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=nest-yatoa-zabuni-za-trilioni-40-4-makundi-maalum-yanufaika-bilioni-56)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Dot Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma MFUMO wa Ununuzi wa Umma Kielektroniki (NeST) umewezesha kutolewa kwa zabuni 397,395 zenye thamani ya Sh40.4 trilioni tangu kuanza kutumika, huku vikundi maalum 27,946 vikinufaika na zabuni zenye thamani ya Sh56 bilioni. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka...

## [CCM INAHESHIMU UPINZANI–KIHONGOSI](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/20/ccm-inaheshimu-upinzani-kihongosi/)

_2026-08-20 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na REHEMA MAIGALA KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema Chama kinaheshimu maoni ya wanasiasa na vyama vyote vya upinzani. MAWAZO MBADALA Pia, CCM imesisitiza iko tayari kuyafanyia kazi mawazo yenye msingi kutoka kwa vyama vya upinzani kwa maslahi mapana ya nchi. Kihongosi alisema hayo jijini Dar \[…\]

