# muziki (news sources) — RSS Amplifier

Recent posts from the 1 feeds in the RSS Amplifier directory that cover muziki.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/muziki/news>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/muziki/news.md>

---

## [VIJIJI NA VITONGOJI VYOTE TANZANIA BARA KUWA NA UMEME KABLA YA MWAKA 2030](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/vijiji-na-vitongoji-vyote-tanzania-bara.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa hatua kubwa iliyofikiwa katika kusambaza umeme nchini, huku akiwataka kuongeza kasi ya kufikisha huduma hiyo kwenye maeneo yaliyosalia. Rais Samia amesema Serikali imeendelea kupanua wigo wa upatikanaji wa umeme kwa wananchi kote nchini, ambapo hadi sasa vijiji vyote 12,318 na…

## [NEMC NA JNHPP: USIMAMIZI WA MAZINGIRA KATIKA MIRADI YA KIMKAKATI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/ndoto-imetimia-na-mpango-wa-kuwa-na.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki kikamilifu katika uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), unaofanywa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa jukumu la lake la kusimamia na kudhibiti masuala ya mazingira katika miradi ya maendeleo nchini. Ushiriki wa NEMC katika…

## [NJIA ZA KUSAFIRISHA UMEME KUWA NGUZO YA KUPELEKA UMEME WA JNHPP KOTE NCHINI - NDEJEMBI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/njia-za-kusafirisha-umeme-kuwa-nguzo-ya.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema Serikali imeendelea kuimarisha miundombinu ya kusafirisha umeme ili kuhakikisha ongezeko la uzalishaji, hususan kutoka katika Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), linafika kwa uhakika katika maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza leo Jumamosi, Agosti 22, 2026, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha kuzalisha umeme cha Julius Nyerere, mgeni rasmi akiwa…

## [RAIS SAMIA AZINDUA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA JULIUS NYERERE](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/rais-samia-azindua-kituo-cha-kuzalisha.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi Agosti 22, 2026, amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), kilichopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. JNHPP ni mradi mkubwa wa kimkakati katika sekta ya nishati nchini, wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 kupitia mitambo tisa, kila mmoja ukiwa na uwezo wa Megawati 235. Mradi huo umegharimu…

## [RAIS SAMIA AWASILI JNHPP KWA UZINDUZI WA KITUO CHA UMEME](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/rais-samia-awasili-jnhpp-kwa-uzinduzi.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika eneo la Mradi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), Rufiji, Mkoa wa Pwani, kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa kituo hicho. Rais Samia alipowasili katika eneo la mradi, alisalimiana na Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria tukio hilo. Uzinduzi wa…

## [VIONGOZI WAWASILI JNHPP KUSHUHUDIA UZINDUZI WA KITUO CHA UMEME](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/viongozi-wawasili-jnhpp-kushuhudia.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Viongozi mbalimbali wamewasili katika Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), kilichopo Rufiji, mkoani Pwani, kushuhudia uzinduzi rasmi wa kituo hicho. JNHPP kina uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme , hatua inayotarajiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa Tanzania katika uzalishaji wa nishati ya umeme. Uzinduzi wa kituo hicho unaashiria hatua muhimu katika juhudi za Serikali…

## [UZINDUZI WA JNHPP KUWEKA HISTORIA MPYA KATIKA SEKTA YA NISHATI TANZANIA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/uzinduzi-wa-jnhpp-waweka-historia-mpya.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rufiji, Pwani — Agosti 22, 2026: Tanzania leo inaweka hatua nyingine muhimu katika sekta ya nishati kufuatia uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) unaofanyika katika eneo la Rufiji, Mkoa wa Pwani. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan , anatarajiwa kuongoza hafla hiyo ya uzinduzi wa mradi wenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 (MW) . Mradi huo…

## [MEZA YA MAGAZETI LEO AGOSTI 22, 2026: HAYA NDIO YANAYOTAWALA KWENYE VICHWA VYA HABARI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/meza-ya-magazeti-leo-agosti-22-2026.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Magazeti ya Tanzania leo, Jumamosi Agosti 22, 2026, yanaendelea kuangazia taarifa mbalimbali muhimu zinazogusa masuala ya kitaifa, uchumi, jamii, michezo na matukio yanayoendelea nchini na duniani. Katika Meza ya Magazeti ya Madelemo News , wasomaji wanapata muhtasari wa mada zinazovuta perhatian ya umma na ambazo zimepewa nafasi katika vyombo mbalimbali vya habari. UZINDUZI WA JNHPP RUFIJI…

## [TASAC YASHIRIKI MKUTANO WA NNE WA KIMATAIFA WA USAFIRISHAJI, LOJISTIKI NA USIMAMIZI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/tasac-yashiriki-mkutano-wa-nne-wa.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeshiriki katika Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Usafirishaji, Lojistiki na Usimamizi (ICTLM 2026), uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. Mkutano huo umewakutanisha wadau kutoka sekta za usafirishaji, lojistiki, biashara na uchukuzi kwa lengo la kujadili fursa, changamoto na maendeleo katika sekta hizo, pamoja na kubadilishana uzoefu…

## [RIHANNA AENDELEA KUFURAHIA MAISHA YA UMAMA NA WATOTO WAKE](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/rihanna-aendelea-kufurahia-maisha-ya.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Msanii maarufu wa muziki kutoka Barbados, Rihanna, ameendelea kuonyesha upande wake wa maisha ya familia huku akitumia muda zaidi pamoja na watoto wake. Baada ya kurejea kutoka Barbados, Rihanna alionekana kufurahia muda wa pamoja na watoto wake jijini New York. Wakati akiwa nchini kwao Barbados, msanii huyo aliwapa watoto wake nafasi ya kufurahia mazingira ya visiwani, ikiwemo kutembelea maeneo…

## [CLI-first decentralized GPU compute (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/PiB3Rca6glfx)

_2026-08-21 · **Sponsored**_

Pay workers or run your GPU for FFmpeg transcode and AI inference.

## [KITUO CHA KURASINI KUANZA KUHUDUMIA MIZIGO NOVEMBA, KUPUNGUZA MSONGAMANO BANDARI YA DAR ES SALAAM](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/kituo-cha-kurasini-kuanza-kuhudumia.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Kituo cha Lojistiki cha Kurasini kinachojengwa katika eneo la zamani la EPZA, Dar es Salaam, kinatarajiwa kuanza rasmi kuhudumia makasha ya mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam mwezi Novemba mwaka huu Prof. Mbarawa amesema hayo leo Agosti 21,2026,wakati akikagua maendeleo ya Mradi wa Upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo hilo, akieleza…

## [FIFA YATOA ADHABU KALI KUFUATIA TUKIO LA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/fifa-yatoa-adhabu-kali-kufuatia-tukio.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetoa adhabu kwa baadhi ya wachezaji na viongozi wa Argentina na Hispania kufuatia matukio yaliyotokea baada ya fainali ya Kombe la Dunia 2026 kati ya Hispania na Argentina. Tukio hilo lilitokea baada ya mchezo wa fainali, ambapo hali ya sintofahamu ilijitokeza kati ya baadhi ya wachezaji wa timu hizo. Miongoni mwa waliopewa adhabu kali ni kiungo wa Argentina,…

## [RODRI AANZA MAZOEZI BARCELONA, MOURINHO ATOA MAONI KUHUSU USAJILI WAKE](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/rodri-aanza-mazoezi-barcelona-mourinho.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Kiungo Rodri ameanza mazoezi na kikosi cha Barcelona, huku mjadala ukiendelea kuhusu nafasi yake katika mipango ya klabu hiyo. Wakati huo huo, kocha José Mourinho ametoa mtazamo wake kuhusu usajili wa Rodri, akisisitiza kuwa kwa upande wake, Barcelona haikuwa na uhitaji wa haraka wa kuongeza mchezaji katika eneo hilo. Mourinho amesema Rodri angekuwa zaidi kama nyongeza ya ubora katika kikosi…

## [JINSI TUKIO LA PAULO DIOGO LILIVYOCHANGIA KUBADILIKA KWA SHERIA YA VIFAA VYA WACHEZAJI UWANJANI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/jinsi-tukio-la-paulo-diogo.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

MICHEZO | HISTORIA YA SOKA Katika soka la zamani, wachezaji walikuwa wakionekana uwanjani wakiwa wamevaa baadhi ya vifaa vya mapambo kama pete, cheni na vipuli. Hata hivyo, kanuni za mchezo zilikuja kubadilika kwa msisitizo mkubwa zaidi kwenye usalama wa wachezaji. Moja ya matukio yaliyotajwa sana katika historia ya mabadiliko hayo ni tukio lililomhusisha Paulo Diogo , aliyekuwa akiichezea klabu…

## [WAKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI WAREJEA NYUMBANI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/wakaguzi-wa-hesabu-za-serikali-warejea.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Wakati Ngorongoro ikiendelea na Msimu wa utalii (high season), Ofisi ya mkaguzi mkuu wa Serikali imenogesha msimu huo kwa kurejea nyumbani wakiambatana na ugeni wa wajumbe takriban 70 kutoka nchi 12 zinazounda jumuiya ya kimataifa ya wakaguzi wakuu wa serikali (INTOSAI) Working group on the fight against corruption and Money Laundering (WGFACML). Akipokea ugeni huo, Naibu Kamishina wa Uhifadhi-…

## [MASHABIKI WA SOKA WATAKA GIANNI INFANTINO AJIUZULU URAIS WA FIFA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/mashabiki-wa-soka-wataka-gianni.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Mtandao wa Mashabiki wa Soka Barani Ulaya (FSE) umeunga mkono ombi la umma linalomtaka Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, kujiuzulu na kuitaka FIFA kufanya mageuzi makubwa katika mfumo wa uendeshaji wa taasisi hiyo. Ombi hilo, lililowasilishwa kupitia Change.org , linaungwa mkono na mashirika ya mashabiki kutoka maeneo mbalimbali duniani. Miongoni mwa makundi yaliyotajwa…

## [LIL DURK KIFUNGO CHA MAISHA KITAMUHUSU IWAPO ATAPATIKANA NA HATIA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/lil-durk-kifungo-cha-maisha-kitamuhusu.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rapa maarufu wa Marekani, Lil Durk , ambaye jina lake halisi ni Durk Devontay Banks , anakabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa kifungo cha maisha katika gereza la shirikisho iwapo atapatikana na hatia katika kesi inayohusisha tuhuma za kupanga mauaji kwa malipo. Kwa mujibu wa Wizara ya Sheria ya Marekani, adhabu ya juu kisheria kwa mashtaka yanayomkabili msanii huyo ni kifungo cha maisha . Waendesha…

## [TCAA YASHIRIKI KONGAMANO LA NNE LA KIMATAIFA LA SEKTA YA UCHUKUZI NA USAFIRISHAJI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/tcaa-yashiriki-kongamano-la-nne-la.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imepongezwa kwa kuendelea kusimamia sekta ya usafiri wa anga kwa ufanisi na kuimarisha utoaji wa huduma kupitia mifumo ya kisasa ya kidijitali. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof.Makame Mbarawa aliyekuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Nne la Kimataifa la Sekta ya Uchukuzi na Usafirishaji, linalofanyika tarehe 20 na 21 Agosti 2026…

## [MEZA YA MAGAZETI LEO AGOSTI 21, 2026](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/meza-ya-magazeti-leo-agosti-21-2026.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

DAR ES SALAAM: Magazeti mbalimbali ya Tanzania leo, Ijumaa Agosti 21, 2026, yameendelea kuangazia taarifa muhimu zinazohusu siasa, uchumi, jamii, michezo na masuala mengine yanayogusa maisha ya wananchi. Katika Meza ya Magazeti ya Madelemo News , wasomaji wanapata muhtasari wa vichwa vya habari vilivyopewa uzito katika magazeti ya leo. HABARI KUU Magazeti ya leo yameendelea kutoa nafasi kwa…

## [TACAIDS YAWEKA MIKAKATI MADHUBUTI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/tacaids-yaweka-mikakati-madhubuti.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) inaendelea kuimarisha mikakati madhubuti ya kupambana na VVU na UKIMWI kupitia ushirikiano wa kisekta, kuhamasisha vyanzo vya fedha vya ndani, kusogeza huduma karibu na jamii ikiwemo Vituo vya Maarifa kwa madereva wa malori na kuwajengea uwezo vijana na wanawake ili kufikia lengo la kutokomeza kabisa janga hili ifikapo mwaka 2030. Hayo yamebainishwa na…

## [Crypto Payments, No Custody (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/QYVSWDqYdjCw)

_2026-08-20 · **Sponsored**_

Send crypto to merchant wallets via API with real-time updates and automatic fees.

## [KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR YAZURU NEMC](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/kamati-ya-kudumu-ya-baraza-la.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Machano Othman Said, imezuru Ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Agosti 20, 2026, kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika uhifadhi na usimamizi wa mazingira. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Mwenyekiti wa Kamati…

## [ARTETA ATOA UFAFANUZI KUHUSU MYLES LEWIS-SKELLY KUHAMA ARSENAL](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/arteta-atoa-ufafanuzi-kuhusu-myles.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, ameondoa hofu kuhusu mustakabali wa kiungo Myles Lewis-Skelly, akisisitiza kuwa mchezaji huyo ataendelea kubaki katika kikosi cha Arsenal baada ya dirisha la usajili la majira ya kiangazi kufungwa. Arteta alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa kuhusu taarifa zinazomhusisha Lewis-Skelly na Manchester United. Kocha huyo amesema ana imani kubwa kwamba kinda huyo…

## [BENFICA YAKUBALIANA NA BAYERN KUMSAJILI JOÃO PALHINHA KWA €14 MILIONI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/benfica-yakubaliana-na-bayern-kumsajili.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Klabu ya Benfica imefikia makubaliano ya awali na Bayern Munich kwa ajili ya kumsajili kiungo wa kati João Palhinha. Kwa mujibu wa taarifa za uhamisho, makubaliano ya klabu kwa klabu yamefikiwa kwa ada ya msingi ya €14 milioni , huku Benfica ikiwa na uwezekano wa kulipa hadi €5 milioni zaidi kupitia bonasi zinazohusiana na utendaji wa mchezaji na masharti mengine ya mkataba. Taarifa zinaeleza kuwa…

## [ELIMU YA MABADILIKO YA SHERIA ZA KODI YAWAFIKIA WAFANYABIASHARA WA KARAGWE](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/elimu-ya-mabadiliko-ya-sheria-za-kodi.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Wafanyabiashara wa wilaya ya Karagwe mkoani Kagera wamepatiwa elimu kuhusu mabadiliko ya sheria za kodi kwa mwaka wa fedha 2026/27, katika semina iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano. Semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa ELCT Kayanga, mjini Kayanga ambapo maafisa wa TRA wamewapatia wafanyabiashara uelewa kuhusu mabadiliko…

## [MOURINHO ATOA KAULI KUHUSU LAMINE YAMAL NA REAL MADRID](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/mourinho-atoa-kauli-kuhusu-lamine-yamal.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Kocha wa Real Madrid, José Mourinho, amesema hana mpango wa kumsajili nyota wa Barcelona, Lamine Yamal, akisisitiza kuwa kikosi alichonacho kwa sasa kina ubora wa kutosha. Mourinho alitoa kauli hiyo alipoulizwa iwapo angependa kumleta Yamal katika kikosi cha Real Madrid. Kocha huyo alijibu kwa kifupi kuwa hana mpango huo, licha ya kukiri ubora wa kinda huyo wa Barcelona. “Je, nitamsajili Lamine…

## [GARY NEVILLE NA JAMIE CARRAGHER WATANIANA KUHUSU MARCUS RASHFORD](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/gary-neville-na-jamie-carragher.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Gary Neville na Jamie Carragher wamezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutaniana kuhusu jina la mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, wakati wa mazungumzo yao ya podcast. Neville alimtaja Rashford na kuuliza kuhusu mtazamo wa Carragher juu ya mchezaji huyo, jambo lililomfanya Carragher kucheka na kueleza kuwa ni vigumu kufanya podcast bila jina la Rashford kutajwa.…

## [FISTON MAYELE AJIUNGA RASMI NA AL AHLI TRIPOLI KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/fiston-mayele-ajiunga-rasmi-na-al-ahli.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Klabu ya Al Ahli Tripoli ya Libya imetangaza rasmi kumsajili mshambuliaji Fiston Mayele kwa mkataba wa miaka miwili. Mayele, ambaye anatokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), amejiunga na Al Ahli Tripoli baada ya kuondoka katika klabu ya Pyramids FC ya Misri. Usajili huo unatajwa kuwa ni nyongeza muhimu katika kikosi cha Al Ahli Tripoli, hasa katika safu ya ushambuliaji, wakati klabu hiyo…

## [PROF. KABUDI AWATAKA WANANCHI KUZINGATIA TAHADHARI ZA MAAFA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/prof-kabudi-awataka-wananchi-kuzingatia.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu–Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka wananchi kuzingatia tahadhari na maelekezo yanayotolewa na wataalamu na mamlaka husika ili kupunguza madhara yanayotokana na majanga na maafa. Prof. Kabudi ametoa wito huo tarehe 19 Agosti, 2026 wakati akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Watoa Huduma za Misaada ya Kibinadamu…

