# moa (news sources) — RSS Amplifier

Recent posts from the 1 feeds in the RSS Amplifier directory that cover moa.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/moa/news>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/moa/news.md>

---

## [IEBC yachapisha notisi, ratiba kuelekea Uchaguzi Mkuu 2027](https://swahili.kbc.co.ke/iebc-yachapisha-notisi-ratiba-kuelekea-uchaguzi-mkuu-2027/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=iebc-yachapisha-notisi-ratiba-kuelekea-uchaguzi-mkuu-2027)

_2026-08-20 · Martin Mwanje · KBC Swahili_

Uchaguzi Mkuu 2027 kuandaliwa Agosti 10 huku IEBC ikitenga muda rasmi wa kampeni kuwa Mei 29 - Agosti 7. The post IEBC yachapisha notisi, ratiba kuelekea Uchaguzi Mkuu 2027 appeared first on KBC Swahili .

## [Mahakama yamnusuru Omboko Milemba kutimuliwa KUPPET](https://swahili.kbc.co.ke/mahakama-yamnusuru-omboko-milemba-kutimuliwa-kuppet/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=mahakama-yamnusuru-omboko-milemba-kutimuliwa-kuppet)

_2026-08-20 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Aidha,kesi hiyo inahoji uhalali wa Milemba kushikilia afisi hiyo na pia kiti cha Ubunge. The post Mahakama yamnusuru Omboko Milemba kutimuliwa KUPPET appeared first on KBC Swahili .

## [Kipchoge aunga mkono kampeni ya kuwafaa watoto walemavu](https://swahili.kbc.co.ke/kipchoge-aunga-mkono-kampeni-ya-kuwafaa-watoto-walemavu/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kipchoge-aunga-mkono-kampeni-ya-kuwafaa-watoto-walemavu)

_2026-08-20 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Kipchoge alitangaza kujiunga na kampeni hiyo siku ya Alhamisi alipomtembelea Panther afisini mwake. The post Kipchoge aunga mkono kampeni ya kuwafaa watoto walemavu appeared first on KBC Swahili .

## [Mudavadi asisitiza umuhimu wa kunoa ujuzi wa vijana](https://swahili.kbc.co.ke/mudavadi-asisitiza-umuhimu-wa-kunoa-ujuzi-wa-vijana/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=mudavadi-asisitiza-umuhimu-wa-kunoa-ujuzi-wa-vijana)

_2026-08-20 · Martin Mwanje · KBC Swahili_

Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi ameelezea umuhimu wa mfumo wa elimu nchini kuwapa vijana ujuzi, maarifa na imani ili kuwawezesha kushindana mahali popote duniani. Ili kufikia hilo, amesema mageuzi mbalimbali kwa sasa yamewasilishwa bungeni kwa lengo la kuuboresha mfumo huo. “Ili kuhakikisha mageuzi haya ni sahihi inahitaji Serikali, Vyuo Vikuu, taasisi za kidini na washikadau \[…\] The post…

## [Kenya na Austria zaimarisha uhusiano](https://swahili.kbc.co.ke/kenya-na-austria-zaimarisha-uhusiano/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kenya-na-austria-zaimarisha-uhusiano)

_2026-08-20 · Martin Mwanje · KBC Swahili_

Nchi hizo mbili zinashirikiana katika kubuni nafasi za ajira ughaibuni, na katika nyanja kama vile nishati mbadala, kilimo na teknolojia. The post Kenya na Austria zaimarisha uhusiano appeared first on KBC Swahili .

## [Wamiliki wa Vyombo vya Habari waomboleza waliofariki ajali ya helikopta](https://swahili.kbc.co.ke/wamiliki-wa-vyombo-vya-habari-waomboleza-waliofariki-ajali-ya-helikopta/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=wamiliki-wa-vyombo-vya-habari-waomboleza-waliofariki-ajali-ya-helikopta)

_2026-08-20 · Martin Mwanje · KBC Swahili_

Saba hao walifariki katika ajali ya helikopta iliyotokea katika kaunti ya Samburu mapema Agosti 19. The post Wamiliki wa Vyombo vya Habari waomboleza waliofariki ajali ya helikopta appeared first on KBC Swahili .

## [Serikali yatoa onyo kali kwa watengenezaji saruji Tanzania](https://swahili.kbc.co.ke/serikali-yatoa-onyo-kali-kwa-watengezaji-saruji-tanzania/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=serikali-yatoa-onyo-kali-kwa-watengezaji-saruji-tanzania)

_2026-08-20 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Serikali ilitoa makataa hayo siku ya Jumatano baada ya kukutana na wenye viwanda vinavyotengeza saruji. The post Serikali yatoa onyo kali kwa watengenezaji saruji Tanzania appeared first on KBC Swahili .

## [Kiongozi wa upinzani Zambia apinga matokeo ya uchaguzi mkuu](https://swahili.kbc.co.ke/kiongozi-wa-upinzani-zambia-apinga-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kiongozi-wa-upinzani-zambia-apinga-matokeo-ya-uchaguzi-mkuu)

_2026-08-20 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Wachunguzi wa uchaguzi huo kutoka Umoja wa Ulaya pia wametilia shaka matokeo ya uchaguzi huo wakisema haukuwa huru. The post Kiongozi wa upinzani Zambia apinga matokeo ya uchaguzi mkuu appeared first on KBC Swahili .

## [Watu zaidi ya laki mbili watoroka makwao huko Kordofan nchini Sudan](https://swahili.kbc.co.ke/watu-zaidi-ya-laki-mbili-watoroka-makwao-huko-kordofan-nchini-sudan/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=watu-zaidi-ya-laki-mbili-watoroka-makwao-huko-kordofan-nchini-sudan)

_2026-08-20 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Katika eneo la Blue Nile, watu wapatao 78,000 wamekimbia makwao huku 18,000 wakitoroka eneo la magharibi mwa Darfur katika nusu ya kwanza ya mwezi huu wa Agosti. The post Watu zaidi ya laki mbili watoroka makwao huko Kordofan nchini Sudan appeared first on KBC Swahili .

## [Web Coding With AI, Live (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/w4Cd0E5kCGCJ)

_2026-08-20 · **Sponsored**_

Collaborative screen sharing with simultaneous remote control, open source.

## [Samidoh kuwania ubunge Ol Joro Orok](https://swahili.kbc.co.ke/samidoh-kuwania-ubunge-ol-joro-orok/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=samidoh-kuwania-ubunge-ol-joro-orok)

_2026-08-20 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Uamuzi huo anasema umechangiwa na maisha yake ya unyenyekevu, utumishi wake katika Idara ya Polisi ya Kenya na baadaye kazi yake katika muziki The post Samidoh kuwania ubunge Ol Joro Orok appeared first on KBC Swahili .

