# michezo (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 4 feeds in the RSS Amplifier directory that cover michezo.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/michezo/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/michezo/blogs.md>

---

## [TUNDU LISSU AKUTWA NA KESI YA KUJIBU](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/21/tundu-lissu-akutwa-na-kesi-ya-kujibu/)

_2026-08-21 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na MWANDISHI WETU MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemkuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ana kesi ya kujibu katika shauri la uhaini linalomkabili. Akisoma uamuzi huo Leo Agosti 21, 2026, Jaji Ndunguru, anayeongoza jopo la majaji linalosikiliza shauri hilo, amesema mahakama imejiridhisha kuwa upande wa \[…\]

## [KUNENGE: JNHPP KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME NCHINI](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/21/kunenge-jnhpp-kuimarisha-upatikanaji-umeme-nchini/)

_2026-08-21 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Pwani Na Mwamvua Mwinyi MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema uzinduzi wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), utakaofanyika kesho wilayani Rufiji mkoani hapa, ni atua kubwa ya kihistoria katika kuimarisha upatikanaji nishati ya uhakika nchini. Mradi huo wenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme unaotekelezwa kwa asilimia 60 katika \[…\]

## [CCM YATAKA VIONGOZI WASIOYUMBA -WASIRA](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/21/ccm-yataka-viongozi-wasioyumba-wasira/)

_2026-08-21 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Iramba NA MWANDISHI WETU MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amekemea viongozi wasiokuwa na msimamo ndani ya Chama, akisisitiza umuhimu wa kuzingatia haki kwa kutoegemea maslahi binafsi. Amesema CCM inahitaji viongozi wasioyumba katika masuala ya msingi, hivyo wanachama wanapaswa kuwapa uongozi watu wenye sifa za uadilifu. Wasira aliyasema hayo alipozungumza na \[…\]

## [REDESO, VETA WAFUNDISHA WAKUFUNZI NISHATI SAFI](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/redeso-veta-wafundisha-wakufunzi.html)

_2026-08-20 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Shirika la Relief to Development Society (REDESO) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) limetoa mafunzo kwa wakufunzi 12 kutoka vyuo vya VETA kuwa wakufunzi wa wakufunzi (Trainers of Trainers - ToT) katika teknolojia za nishati safi. Wakufunzi…

## [MWENGE WA UHURU WAZINDUA TAWI LA CRDB TINDE](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/mwenge-wa-uhuru-wazindua-tawi-la-crdb.html)

_2026-08-20 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Mwenge wa Uhuru ukiwa katika Tawi la Benki ya CRDB Tinde mkoani Shinyanga wakati wa uzinduzi rasmi wa tawi hilo. Mwenge wa Uhuru ukiwa katika Tawi la Benki ya CRDB Tinde mkoani Shinyanga wakati wa uzinduzi rasmi wa tawi hilo. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo…

## [CCM INAHESHIMU UPINZANI–KIHONGOSI](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/20/ccm-inaheshimu-upinzani-kihongosi/)

_2026-08-20 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na REHEMA MAIGALA KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema Chama kinaheshimu maoni ya wanasiasa na vyama vyote vya upinzani. MAWAZO MBADALA Pia, CCM imesisitiza iko tayari kuyafanyia kazi mawazo yenye msingi kutoka kwa vyama vya upinzani kwa maslahi mapana ya nchi. Kihongosi alisema hayo jijini Dar \[…\]

## [PROF. KABUDI AWATAKA WANANCHI KUZINGATIA TAHADHARI ZA MAAFA](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/20/prof-kabudi-awataka-wananchi-kuzingatia-tahadhari-za-maafa/)

_2026-08-20 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na, Mwandishi wetu – Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu–Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka wananchi kuzingatia tahadhari na maelekezo yanayotolewa na wataalamu na mamlaka husika ili kupunguza madhara yanayotokana na majanga na maafa. Prof. Kabudi ametoa wito huo Agosti 19, 2026, akizungumza katika maadhimisho ya Siku \[…\]

## [JAB YATOA ELIMU YA SHERIA NA MAADILI KWA WAANDISHI CROWN MEDIA](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/waandishi-crown-media-watakiwa.html)

_2026-08-20 · Unknown · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili…

## [THPS YATAMBULISHA MRADI WA TANZANIA FAST HEALTH MANISPAA YA KAHAMA KUIMARISHA HUDUMA ZA VVU](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/thps-yatambulisha-mradi-wa-tanzania.html)

_2026-08-19 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Honoratha Rutatinisibwa, akizungumza wakati wa utambulisho wa Mradi wa Tanzania FAST Health unaotekelezwa na THPS katika Manispaa ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Agosti 19, 2026. Picha na Kadama Malunde Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dkt.…

## [WASIRA ATAKA WANA CCM WAKUTANE, WASIINGIE MKENGE KWA MANENO YA MITANDAONI](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/19/wasira-ataka-wana-ccm-wakutane-wasiingie-mkenge-kwa-maneno-ya-mitandaoni/)

_2026-08-19 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na Mwandishi Wetu – Singida MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM kukutana mara kwa mara katika vikao rasmi vya chama ili kujadili masuala muhimu na kuepuka kupotoswa na taarifa zisizo na ukweli zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Akizungumza leo Agosti 19, 2026 Wilaya ya Ikungi mkoani Singida \[…\]

## [Every Channel. One Login. (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/yCT8PPJDU9IH)

_2026-08-19 · **Sponsored**_

17,000+ live channels, movies and sports on any device. Free trial, no IP lock.

## [Watu Saba Wafariki Baada ya Ndege Kuanguka Samburu East](https://ngasumedia.co.ke/watu-saba-wafariki-baada-ya-ndege-kuanguka-samburu-east/)

_2026-08-19 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Watu saba, akiwemo rubani, wamefariki dunia baada ya ndege ndogo kuanguka katika eneo la Sabache Hills, Samburu East. Kwa mujibu wa taarifa za polisi, ndege hiyo iliyotambuliwa kwa jina Lady Lorry, ilianguka majira ya saa 3:13 asubuhi, ikiwa njiani kutoka Suyian, Laikipia, kuelekea Loisaba Conservancy. Waliofariki wametajwa kuwa Josh Outran, Roger Duarte, Adam Navaty, Stephen \[…\] The post Watu…

## [TUTAENDELEA KUONGEZA NGUVU MAPAMBANO YA UKIMWI &#8211; YONAZI](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/19/tutaendelea-kuongeza-nguvu-mapambano-ya-ukimwi-yonazi/)

_2026-08-19 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na MWANDISHI MAALUMU, Shinyanga SERIKALI imesema itaendelea kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), kwa kuboresha vituo vya huduma, kuwezesha vikundi na kuimarisha ushirikiano na wadau, kuhakikisha Tanzania inatokomeza virusi hivyo ifikapo mwaka 2030.Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu na…

## [KETE NGUMU SIMBA, PAMBA JIJI](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/19/kete-ngumu-simba-pamba-jiji/)

_2026-08-19 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na NASRA KITANA KIKOSI cha Simba leo kinashuka dimbani katika mchezo namba mbili, kumenyana na Pamba Jiji katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Simba itakuwa ugenini kupepetana na Pamba Jiji katika mechi itakayopigwa dimba la CCM Kirumba, Mwanza kuanzia majira ya saa 10:00 jioni. Timu hiyo yenye maskani yake Mtaa \[…\]

## [Omar Artan Aweka Historia, Aitwa na UEFA kwa Mafunzo ya Waamuzi](https://ngasumedia.co.ke/omar-artan-aweka-historia-aitwa-na-uefa-kwa-mafunzo-ya-waamuzi/)

_2026-08-19 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Mwamuzi wa kimataifa kutoka Somalia, Omar Artan Abdulkadir, amepewa nafasi ya kipekee baada ya UEFA kumwalika kushiriki kozi maalum ya mafunzo kwa waamuzi wa kiume itakayofanyika Geneva, Uswisi, kuanzia Agosti 31 hadi Septemba 2, 2026. UEFA imewasiliana rasmi na CAF pamoja na Shirikisho la Soka la Somalia kuhusu ushiriki wa Artan katika mafunzo hayo. Baada \[…\] The post Omar Artan Aweka Historia,…

## [MATOKEO CHANYA YA MRADI WA ELIMU WA BARRICK-TWIGA FUTURE FOWARD EDUCATION PROGRAM YAANZA KUONEKANA](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/matokeo-chanya-ya-mradi-wa-elimu-wa.html)

_2026-08-19 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Muonekano wa bweni la kisasa lililojengwa kupitia mradi wa elimu wa Barrick -Twiga Muonekano wa sehemu ya madarasa ya kisasa yaliyojengwa kwa fedha kutoka Barrick Muonekano wa sehemu ya madarasa ya kisasa yaliyojengwa kwa fedha kutoka Barrick Viongozi wa CCM na Serikali na…

## [SERIKALI KUONGEZA NGUVU MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI](https://www.habarika24.co.tz/2026/08/serikali-kuongeza-nguvu-mapambano-dhidi.html)

_2026-08-19 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu - Shinyanga SERIKALI imesema itaendelea kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU), kwa kuboresha vituo vya huduma, kuwezesha vikundi na kuimarisha ushirikiano na wadau, ili kuhakikisha Tanzania inafikia lengo la kutokomeza UKIMWI ifikapo mwaka 2030. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera,…

## [MIAKA 50 YA UPUNGUFU WA MAFUTA YA KULA](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/19/miaka-50-ya-upungufu-wa-mafuta-ya-kula/)

_2026-08-19 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na JOE NAKAJUMO MOJA ya malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni Tanzania kuwa mzalishaji mkuu wa chakula Afrika na kuwa miongoni mwa nchi 10 bora katika uzalishaji wa chakula. Kwa miaka kadhaa mfululizo, uzalishaji wa mazao ya chakula umekuwa ukiongezeka. Tani milioni 18 za mazao ya chakula zilizalishwa mwaka 2020/2021 na ziliongezeka hadi tani milioni \[…\]

## [CRDB YAZINDUA TAWI JIPYA MAGANZO](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/crdb-yazindua-tawi-jipya-maganzo.html)

_2026-08-18 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026 ukiwa katika Benki ya CRDB Maganzo, Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, wakati wa uzinduzi wa tawi hilo, Agosti 18, 2026. Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya CRDB, Xavery Makwi, akitoa taarifa kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt.…

## [NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA BWAWA LA JULIUS NYERERE YA CHALINZE &#8211; DODOMA IMEKAMILIKA: MRAMBA](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/18/njia-ya-kusafirisha-umeme-kutoka-bwawa-la-julius-nyerere-ya-chalinze-dodoma-imekamilika-mramba/)

_2026-08-18 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na MWANDISHI WETU KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba, amesema Njia ya Kusafirisha Umeme ya Msongo wa Kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma imekamilika hatua itakayowezesha umeme unaozalishwa katika Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) kufika Dodoma kupitia Chalinze. Mramba ameyasema hayo leo, Agosti 18, 2026, akikagua hatua \[…\]

## [TANZANITE ROYAL GIN YAWAKUTANISHA WASANII NA MANYARA TANZANITE MARATHON](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/tanzanite-royal-gin-yawakutanisha.html)

_2026-08-18 · Unknown · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Na Mwandishi Wetu, Manyara Manyara Tanzanite Marathon 2026 inatarajiwa kuwa na burudani ya aina yake baada ya wasanii maarufu nchini, Dully Sykes, Banana Zoro na Mr Blue, kuthibitisha kushiriki na kutumbuiza katika tukio hilo litakalofanyika Agosti 22, 2026 mjini Babati, mkoani…

## [Trade Bitcoin and Ethereum Today (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/0cn9lO8NbJmU)

_2026-08-18 · **Sponsored**_

Buy, sell, and margin trade BTC and ETH with EUR, USD, CAD, GBP, or JPY.

## [SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA AFUA ZA UKIMWI NCHINI](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/18/serikali-kuendelea-kuimarisha-afua-za-ukimwi-nchini/)

_2026-08-18 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na Mwandishi Wetu, MWANZA SERIKALI imesema imedhamiria kuendelea kuimarisha afua za ukimwi nchini kwa kuboresha mazingira ya utekelezaji wa shughuli hizo, huku ikihimiza ushirikiano na wadau katika kuendeleza mapambano dhidi ya virusi hivyo. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dk. Jim Yonazi, alipotembelea na \[…\]

## [TRAMEPRO YAHIMIZA UTAFITI WA TIBA ASILIA KWA AFYA ENDELEVU AFRIKA](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/tramepro-yahimiza-utafiti-wa-tiba.html)

_2026-08-18 · Unknown · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limezitaka Serikali za Afrika kuingiza tiba asilia, utafiti wa kisayansi na uhifadhi wa mazingira katika ajenda ya afya ya bara hilo, likisema hatua hiyo ni muhimu katika kujenga…

## [FVS MWAROBAINI TLP KUPUNGUZA MAKOSA](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/18/fvs-mwarobaini-tlp-kupunguza-makosa/)

_2026-08-18 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

ABDUL DUNIA Na NASRA KITANA WAKATI mechi za mzunguko wa kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara, msimu huu, zikimalizika mwisho mwa wiki, Teknolojia ya Usaidizi wa Video (FVS), imeelezwa inaweza kuwa tiba ya makosa ya waamuzi na kuleta usawa kwa timu katika kuamua matukio uwanjani. FVS ilianza kutumika katika mechi ya Ngao ya Jamii, iliyochezwa wiki \[…\]

## [MKUCHIKA, LUBINGA, MNDOLWA WASIFU USHIRIKIANO CCM, SWAPO](https://uhurupublications.co.tz/2026/08/17/mkuchika-lubinga-mndolwa-wasifu-ushirikiano-ccm-swapo/)

_2026-08-17 · Abdurahman Jumanne · Uhuru Publication_

Na SIMON NYALOBI BAADHI ya wanasiasa wakongwe nchini, wamesema ushirikiano baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vya ukombozi Kusini mwa Afrika, umezidi kuimarika. Waliyasema hayo zikiwa ni siku chache baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, kufanya mazungumzo na Katibu wa Chama cha SWAPO cha Namibia, Sophia Shaningwa. Dk. Migiro na \[…\]

## [WANAHABARI WAHIMIZWA KUSAIDIA WAKULIMA WA PAMBA KUZALISHA KWA TIJA](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/waandishi-wanolewa-kuhusu-pamba-tcb.html)

_2026-08-17 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Picha ya pamoja ya washiriki wa mafunzo ya siku moja kwa waandishi wa habari kuhusu uandishi na uripoti wa habari za zao la pamba, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Bodi ya Pamba, Mjini Shinyanga, Agosti 17, 2026. Picha na Kadama Malunde Washiriki wa mafunzo ya siku moja kwa…

## [TRA YAZINDUA KLABU YA KODI SHULE YA WASICHANA SHINYANGA](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/tra-yazindua-klabu-ya-kodi-shule-ya.html)

_2026-08-17 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Maro, akiwa pamoja na Mkuu wa Shule ya Wasichana Shinyanga, Mwalimu Nurah Kamuntu, wakati wa uzinduzi rasmi wa Klabu ya Kodi katika shule hiyo, Agosti 17, 2026. P icha na Elizabeth Cosmas Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Maro,…

## [MAKALA; KWANINI UNAWEZA KUAMBIWA NDEGE IMEJAA ILA VITI VIKO TUPU NA HAVINA ABIRIA?](https://www.habarika24.co.tz/2026/08/makala-kwanini-unaweza-kuambiwa-ndege.html)

_2026-08-16 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

. VIDEO YA MAKALA 👇👇 MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA-TCAA Kwanini Ndege inaweza kuwa na viti vya abiria vilivyo wazi lakini ikaelezwa kwamba Ndege Imejaa? Umewahi kusafiri na ndege ya abiria halafu ukakuta baadhi ya viti vipo wazi bila abiria lakini ukaambiwa ndege imejaa? Leo Tunakuletea Ufafanuzi na elimu ya kutosha kuhusu Hali hiyo. TCAA

## [Guinness World Records Yamtunuku Erling Haaland Vyeti kwa Rekodi Nne za Kipekee](https://ngasumedia.co.ke/guinness-world-records-yamtunuku-erling-haaland-vyeti-kwa-rekodi-nne-za-kipekee/)

_2026-08-13 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Guinness World Records imemtunuku mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland, vyeti vinne vya kutambua rekodi mbalimbali alizoweka katika soka, wakati msimu mpya wa Ligi Kuu ya England ukikaribia kuanza. Haaland ametambuliwa kwa rekodi hizi: Haaland, mwenye umri wa miaka 26, sasa anaendelea kuongeza rekodi katika historia ya soka huku akijiandaa kuanza msimu mwingine akiwa na \[…\] The post…

## [Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez Sasa ni Mume na Mke](https://ngasumedia.co.ke/cristiano-ronaldo-na-georgina-rodriguez-sasa-ni-mume-na-mke/)

_2026-08-11 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Nyota wa soka wa Ureno, Cristiano Ronaldo, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, Georgina Rodríguez, katika sherehe ya kiraia iliyofanyika Cascais, Portugal, tarehe 11 Agosti 2026. Tukio hilo lilikuwa la faragha na la kifamilia, likihudhuriwa na watoto wao. Wanandoa hao pia walithibitisha ndoa yao kupitia picha wakiwa wamevalia mavazi meupe na kuonekana wakiwa \[…\] The post Cristiano Ronaldo…

## [Bashar al-Assad Apatikana na Hatia ya Uhalifu wa Kivita na Uhalifu dhidi ya Binadamu](https://ngasumedia.co.ke/bashar-al-assad-apatikana-na-hatia-ya-uhalifu-wa-kivita-na-uhalifu-dhidi-ya-binadamu/)

_2026-08-11 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Aliyekuwa Rais wa Syria, Bashar al-Assad, amepatikana na hatia ya mauaji ya kukusudia, mateso, ukamataji holela na uhalifu dhidi ya binadamu uliofanyika wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria. Mahakama ya Jinai ya Damascus imemhukumu kifo akiwa hayupo mahakamani, kwa kuwa Assad anaishi uhamishoni nchini Urusi tangu kuondolewa madarakani mwaka 2024. Ndugu yake, \[…\] The post Bashar…

## [Open directory of blogs (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/BhlZbnJOp1c3)

_2026-08-11 · **Sponsored**_

Drop URLs or OPML — get per-blog pages plus machine-readable JSON, OPML, text

## [Construction of Proposed Lamu Oil Refinery Set to Begin in October 2026 — Dangote](https://ngasumedia.co.ke/construction-of-proposed-lamu-oil-refinery-set-to-begin-in-october-2026-dangote/)

_2026-08-08 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Construction of the proposed oil refinery in Lamu is expected to begin in October 2026, according to Nigerian billionaire and businessman Aliko Dangote. Dangote said the refinery will serve Kenya and other countries across East Africa, with the project expected to take less than four years to complete once construction begins. He said preparations for \[…\] The post Construction of Proposed Lamu Oil…

## [JAB YAPOKEA OMBI LA KUTOA MAFUNZO KWA BLOGGERS ZAIDI YA 200](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/jab-yapokea-ombi-la-kutoa-mafunzo-kwa.html)

_2026-07-16 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na Mwandishi Wetu, JAB Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imepokea ombi kutoka Mtandao wa Mabloga Tanzania (TBN) la kutoa mafunzo kwa wanachama wake zaidi ya 200 kuhusu Sheria ya Huduma za Habari, Maadili ya Uandishi wa Habari na umuhimu wa kupata ithibati. Ombi hilo limetolewa leo, tarehe 16 Julai, 2026, na Mwenyekiti wa Mtandao wa Mabloga Tanzania, Bw. Beda Msimbe, alipokutana na…

## [MKUU WA MKOA WA TANGA ATOA WITO WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LA OWM SABASABA](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/mkuu-wa-mkoa-wa-tanga-atoa-wito.html)

_2026-07-12 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu - Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian ametoa wito kwa wananchi kuendelea kujitokeza kupata elimu ya masuala mbalimbali katika Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba 2026) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Ametoa wito huo hii leo…

## [DKT. MWIGULU ATAKA USHIRIKIANO WA KITAIFA KULINDA AMANI](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/dkt-mwigulu-ataka-ushirikiano-wa.html)

_2026-07-12 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu - Dar es Salaam SERIKALI imewataka Watanzania kuendelea kulinda na kudumisha amani ya nchi kwa kutambua kuwa ndiyo msingi wa maendeleo ya taifa, huku ikisisitiza kuwa jukumu hilo linamhusu kila mwananchi bila kujali dini, kabila au itikadi za kisiasa. Wito huo umetolewa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Waziri wa Nchi, Ofisi ya…

## [PROF. NAGU ARIDHISHWA NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA BANDA JUMUISHI LA OFISI YA WAZIRI MKUU SABASABA](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/prof-nagu-aridhishwa-na-huduma.html)

_2026-07-11 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu - Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya katika Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Prof. Tumaini Nagu, ametembelea Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba 2026) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, na kupongeza ubora wa huduma zinazotolewa kwa wananchi.…

## [TANZANIA IPO TAYARI KUELEKEA AFCON 2027](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/tanzania-ipo-tayari-kuelekea-afcon-2027.html)

_2026-07-03 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu - Arusha Tanzania ipo tayari kwa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) ikiwa mwenyeji kwa kushirikiana na Kenya na Uganda ambapo maandalizi yamefikia hatua nzuri kwa kuzingatia viwango vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) vinavyotakiwa. Akizungumza hii leo Julai 3, 2026 Jijini Arusha kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu…

## [MICHUANO YA AFCON 2027 KUFUNGAMANISHA UCHUMI WA ZANZIBAR](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/michuano-ya-afcon-2027-kufungamanisha.html)

_2026-07-02 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi wetu – Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inafungamanisha uchumi wake na Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kupitia uwekezaji mkubwa uliofanywa ikiwemo kujengwa kwa miundombinu katika viwanja vya michezo vitakavyotumika wakati wa michuano hiyo. Hayo yamelezwa leo Julai 02, 2026 na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu)…

## [“TUTUMIE AFCON KAMA FURSA YA KUJITANGAZA KIMATAIFA”DKT. YONAZ](https://www.habarika24.co.tz/2026/07/tutumie-afcon-kama-fursa-ya-kujitangaza.html)

_2026-07-01 · www.habarika24.blogspots.com · Habarika24_

Na. Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Makatibu Wakuu ya Maandalizi ya Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027), Dkt. Jim Yonazi, amesema michuano ya AFCON ni fursa adhimu ya kuitangaza Tanzania Kimataifa kupitia sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii na uwekezaji hivyo ni…

