# makala haya (audio feeds) — RSS Amplifier

Recent posts from the 2 feeds in the RSS Amplifier directory that cover makala haya.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/makala-haya/audio>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/makala-haya/audio.md>

---

## [Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260803-changamoto-za-wasichana-wanaopata-ujauzito-wakiwa-shuleni?GJlXzGgqHj)

_2026-08-03 · Jua Haki Zako_

Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne anapata ujauzito kabla ya kufikisha miaka 18. Ingawa sheria na sera katika nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zinatambua haki ya wasichana hao kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua, wengi bado…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/MAG_DROITS_HUMAINS_03-08-26_OK.mp3?guid=73f44386-8f50-11f1-b8e4-81cc075b0caa&source=GJlXzGgqHj)

## [Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260728-safari-ya-akina-mama-wachanga-kutafuta-uraia-wao-na-watoto-wao-mipakani-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-07-28 · Jua Haki Zako_

Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi kaunti za miapakani kama vile Busia ,Turkana na Mandera, hali inayoendelea kuwanyika raia hao haki zao za kimsingi na kukosa huduma muhimu za serikali . Hii leo katika makala Jua haki zako tunaangazia akina mama hao na…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/JUA_HAKI_ZAKO_27-07-26_OK.mp3?guid=717d1330-8a6e-11f1-959b-032336fcdb0b&source=GJlXzGgqHj)

## [Burudani ya Muziki ijumaa na Billy Bilali Julai 24 2026](https://www.rfi.fr/sw/makala/muziki-ijumaa/20260724-burudani-ya-muziki-ijumaa-na-billy-bilali-julai-24-2026?GJlXzGgqHj)

_2026-07-24 · Muziki Ijumaa_

Ambatana naye Billy Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa julai 24 2026, Kumbuka pia kumfuatilia @billybilali

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MUZIKI_IJUMAA_24-07-26_OK.mp3?guid=dd66e06e-8747-11f1-8df4-0bec271135f9&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Mawakili waandamana kudai haki](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260713-kenya-mawakili-waandamana-kudai-haki?GJlXzGgqHj)

_2026-07-13 · Jua Haki Zako_

Nchini Kenya, mawakili wameandamana kudai haki kufuatia vifo vya wenzao wawili ambao wameuawa katika mazingira tata. Kwenye makala haya tunaangazia malalamishi ya mawakili hao. Sikiliza makala kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/JUA_HAKI_ZAKO_13-07-26_OK.mp3?guid=e659fcee-7ec6-11f1-8382-dbb701fa6098&source=GJlXzGgqHj)

## [Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasher](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260712-sudan-amnesty-international-yasema-rsf-ilikiuka-sheria-el-fasher?GJlXzGgqHj)

_2026-07-12 · Jua Haki Zako_

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeangazia namna gani wapiganaji wa rsf walikiuka sheria wakati wakiteka mji wa El Fasher. Skiza makala haya kufamu mengi

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_06_07_2026_KUHUSU_SUDAN.mp3?guid=22a6c112-7c71-11f1-bf72-e107db1ef8df&source=GJlXzGgqHj)

## [Haki za wakimbizi awamu ya pili](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260710-haki-za-wakimbizi-awamu-ya-pili?GJlXzGgqHj)

_2026-07-10 · Jua Haki Zako_

Awamu ya pili makala haya yanaendelea kuangazia haki za wakimbizi mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki hizo. Skiza kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_29_06_2026_KUHUSU_WAKIMBIZI.mp3?guid=5a2ddee2-7c6f-11f1-a1c1-e107db1ef8df&source=GJlXzGgqHj)

## [EAC : Haki za wakimbizi duniani](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260622-eac-haki-za-wakimbizi-duniani?GJlXzGgqHj)

_2026-06-22 · Jua Haki Zako_

Kila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki za wakimbizi. Skiza makala haya kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/JUA_HAKI_ZAKO_22-06-26_OK.mp3?guid=6ec0855e-6e4a-11f1-ab81-eb362ec83cdc&source=GJlXzGgqHj)

## [Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026](https://www.rfi.fr/sw/makala/changu-chako-chako-changu/20260612-burudani-ya-muziki-ijumaa-na-mtangazaji-asiependa-makuu-billy-bilali-juni-12-2026?GJlXzGgqHj)

_2026-06-12 · Muziki Ijumaa_

Sikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii. @billy bilali

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/BURUDANI_YA_MUZIKI_IJUMAA_JUNI_12_2026.mp3?guid=506e4e2e-6643-11f1-bc54-6f802fd6525d&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpya](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260610-kenya-harakati-za-kupambana-na-mimba-za-utoto-zapata-sura-mpya?GJlXzGgqHj)

_2026-06-10 · Jua Haki Zako_

Lydia Mwende mwanamitindo na mwanaharakati ni mchanga ambaye amejitokeza kupinga mimba wa utotoni nchini na pia kulelewa na mzazi mmoja. Sikiliza makala haya kufahamu msimamo wa Mwende.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_08_06_2026_KUHUSU_MIMBA.mp3?guid=8ff81dc8-6345-11f1-87c3-451e844ede77&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260608-kenya-ukatili-wa-kijinsia-kizungu-mkuti?GJlXzGgqHj)

_2026-06-08 · Jua Haki Zako_

Wanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa elimu kuhusu haki za waathiriwa unawazuia wengi kupata haki. wanaharakati hao wanasema hali hiyo imechangia wahusika wa vitendo vya ubakaji, ulawiti na unyanyasaji wa kingono kuendelea kutenda makosa bila kuwajibishwa. Skiza makala haya kufahamu…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_01_06_2026_KUHUSU_HAKI_YA_KIJINSIA.mp3?guid=f8b94d9c-6344-11f1-88d6-5921246ed811&source=GJlXzGgqHj)

## [One platform, from silicon to agent (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/uCI7SVxqfGmA)

_2026-06-08 · **Sponsored**_

Serverless inference plus Inference Router to optimize cost and latency at scale.

## [KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani Mathare](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260530-kenya-dhulma-wanazopitia-kina-mama-mtaani-mathare?GJlXzGgqHj)

_2026-05-30 · Jua Haki Zako_

Katika makala ya Jua Haki zako, tiunazumgumza na waathiriwa waili wa ukatili wajinsia katika mtaa wa Mathare, Benedicta Musalizi na Cathrene Maina pamoja na mwanaharakati ambaye anapigania hazi za waathiriwahawa katika mtaa wa Mathare Bi. Beatrice Karore.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/JUA_HAKI_ZAKO_18-05-26_OK.mp3?guid=abdc87e2-5c1d-11f1-b51a-834d84eee7dd&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Haki ya wanamziki chipukizi ndani ya Eleve8](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260525-kenya-haki-ya-wanamziki-chipukizi-ndani-ya-eleve8?GJlXzGgqHj)

_2026-05-25 · Jua Haki Zako_

Mzalishaji wa muziki nchini Kenya Motive Di Don kwa ushirikiano na benko moja nchini humo wameanzisha ushirikiano wa kuwasaidia wanamziki chipkizi ndani ya mradi wa Eleve8. Skiza makala haya kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/JUA_HAKI_ZAKO_25-05-26_OK.mp3?guid=87697b9e-584f-11f1-836f-db431f4a4642&source=GJlXzGgqHj)

## [Pata Burudani ya Muziki Ijumaa rfi Kiswahili na Billy Bilali](https://www.rfi.fr/sw/makala/changu-chako-chako-changu/20260522-pata-burudani-ya-muziki-ijumaa-rfi-kiswahili-na-billy-bilali?GJlXzGgqHj)

_2026-05-22 · Muziki Ijumaa_

Makala haya Muziki Ijumaa mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki Ijumaa leo Mei 22 2026. Kumbuka pia kumfollow @billy bilali

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/BURUDANI_MUZIKI_IJUMAA_MEI_22_2026.mp3?guid=de407186-55fa-11f1-9861-87695af2da34&source=GJlXzGgqHj)

## [Siku ya Mama duniani, je unamtambua mama](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260515-siku-ya-mama-duniani-je-unamtambua-mama?GJlXzGgqHj)

_2026-05-15 · Jua Haki Zako_

Kila mwezi mei dunia huduadimisha siku ya mama duniani, je unatambua mchango wa mama duniani. Skiza makala haya kufahamu mengi skiza makala haya

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/JUA_HAKI_ZAKO_11-05-26_OK.mp3?guid=23c71d80-4d0f-11f1-a1cd-f95590e35bad&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Uhuru wa wanahabari si mjadala](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260511-kenya-uhuru-wa-wanahabari-si-mjadala?GJlXzGgqHj)

_2026-05-11 · Jua Haki Zako_

Kila mwezi Mei dunia huadimsha siku ya uhuru wa nyombo vya habari na wanahabari. Katika makala haya tunaangazia changamoto wanazopitia wanahabari wakati wakitekeleza majukumu yao.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_04_05_2026_KUHUSU_WANAHABARI.mp3?guid=bc5cac74-4d08-11f1-b6fb-f1b1e7824df2&source=GJlXzGgqHj)

## [Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuu](https://www.rfi.fr/sw/makala/muziki-ijumaa/20260508-burudani-ya-muziki-ijumaa-na-ali-bilali-mtangazaji-wako-asipenda-makuu?GJlXzGgqHj)

_2026-05-08 · Muziki Ijumaa_

Ijumaa Hii mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Ijumaa. ambatana naye mwanzo hadi tamati na usikose kumuandikia @billy bilali

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/MUZIKI_IJUMAA_MEI_8_2026_NA_BILLY_BILALI.mp3?guid=06b9eaae-4aeb-11f1-ba91-bd83cf137792&source=GJlXzGgqHj)

## [Reuben Kigame na harakati zake kupigia haki](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260430-rueben-kigame-na-harakati-zake-kupigia-haki?GJlXzGgqHj)

_2026-04-30 · Jua Haki Zako_

Msanii Reuben Kigame anafafanua harakati zake za kisiasa na ndoto yake kuongoza Kenya. Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_27_04_2026_KUHUSU_KIGAME.mp3?guid=85c7e220-44af-11f1-a993-e73c8ce0c2cd&source=GJlXzGgqHj)

## [Makala Muziki Ijumaa, pata burudani](https://www.rfi.fr/sw/makala/muziki-ijumaa/20260424-makala-muziki-ijumaa-pata-burudani?GJlXzGgqHj)

_2026-04-24 · Muziki Ijumaa_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MUZIKI_IJUMAA_24-04-26_OK.mp3?guid=9a476272-3ff3-11f1-a69e-fbda7419021c&source=GJlXzGgqHj)

## [Unyanyasaji na kunyimwa haki kwa wanawake katika biashara za kimataifa](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260417-unyanyasaji-na-kunyimwa-haki-kwa-wanawake-katika-biashara-za-kimataifa?GJlXzGgqHj)

_2026-04-17 · Jua Haki Zako_

Licha ya kuongezeka kwa idadi ya wanawake wanaojihusisha na biashara za kimataifa nchini Kenya, wengi wao bado wanakumbana na changamoto kubwa,ikiwemo kudhalilishwa, ubaguzi wa kijinsia na kunyimwa haki zao za msingi wanapojaribu kuingia au kushindana katika masoko ya nje. Katika maeneo ya mashambani hadi mipakani, wanawake hawa wanapambana si tu kukuza biashara zao, bali pia kupigania heshima na…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MAKALA_JUA_HAKI_ZAKO_-_UNYANYASAJI_WA_HAKI_ZA_WANAWAKE_KWENYE_4_17_2026-14.mp3?guid=53e40166-3a6f-11f1-bb32-7fac69129a04&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Mchango wa masharika ya kiraia kwa jamii](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260408-kenya-mchango-wa-masharika-ya-kiraia-kwa-jamii?GJlXzGgqHj)

_2026-04-08 · Jua Haki Zako_

Katika makala haya tunajikita kuangazia mchango wa mashariki yasiokuwa ya kiserikali kwenye jamii zetu. Tunaliangazia shirika la Corps Africa ambalo kwa ushirikiano jamii mbali mbali nchini Kenya limeendelea kuleta mageuzi kwa raia. Ili jamii kuendelea na kujitegemea inahitaji watu wa kufanikisha baadhi ya maswala kwa jamii kuja na mbinu ya namna gani ya kuwezesha jamii kujiendeleza. Kutokana na…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_06_04_2026_KUHUSU_CORE_AFRICA.mp3?guid=08e11520-3333-11f1-850f-096413bf9721&source=GJlXzGgqHj)

## [Chovy's Blog: Agentic Coding (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/FOyv3QQv1ciq)

_2026-04-08 · **Sponsored**_

Personal posts on agentic coding, moshcode CLI, and security findings.

## [Burudani ndani ya makala Muziki Ijumaa](https://www.rfi.fr/sw/makala/muziki-ijumaa/20260403-burudani-ndani-ya-makala-muziki-ijumaa?GJlXzGgqHj)

_2026-04-03 · Muziki Ijumaa_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MUZIKI_IJUMAA_03-04-26_OK.mp3?guid=e8291212-2f34-11f1-8c2a-65f0e4c10114&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Pesa za majanga haziwafikii waathiriwa](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260331-kenya-pesa-za-majanga-haziwafikii-waathiriwa?GJlXzGgqHj)

_2026-03-31 · Jua Haki Zako_

Katika makala haya tunaangazia ripoti kuhusu ufadhili wa majanga na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo kame, iliochapishwa na masharika kadhaa likiwemo lile la Oxfarm. shaba ikilenga taifa la Kenya, Ripoti hii inaonyesha kuwa licha ya maeneo haya kuathirika zaidi na ukame, mafuriko na mabadiliko ya tabianchi, bado fedha nyingi hazifiki moja kwa moja kwa wananchi wanaohitaji msaada huo zaidi.…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_30_03_2026_KUHSU_UKAME_OXFARM.mp3?guid=88360180-2c46-11f1-8d0b-c14891ab3b45&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Haki za wafanyibiashara wa soko la Kigomba](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260328-kenya-haki-za-wafanyibiashara-wa-soko-la-kigomba?GJlXzGgqHj)

_2026-03-28 · Jua Haki Zako_

Katika makala haya tunaangazia haki za wafanyibiashara katika soko la Gikomba nchini Kenya. Kwa muda wafanyibiashara hao wamekuwa wakizozana na serikali kuhusu kipande cha ardhi cha soko hiyo. Skiza makala haya kufamu mengi zaidi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_23_03_2026_KUHUSU_GIKOMBA.mp3?guid=27478f56-29ad-11f1-be32-71a75101deaf&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Haki za watoto wa kurandaranda mitaani](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260327-kenya-haki-za-watoto-wa-kurandaranda-mitaani?GJlXzGgqHj)

_2026-03-27 · Jua Haki Zako_

Kila mtotto ana haki kwa mjibu wa katiba za kila nchi na maazio ya kimataifa. Katika makala haya tunaanhazia haki za watoto wa kurandaranda mitaani. Skiza makala haya kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_16_03_2026_KUHUSU_WATOTO_WA_MITAANI.mp3?guid=d976b974-29ab-11f1-89cb-994d570b1423&source=GJlXzGgqHj)

## [Msikie galacha wa Muziki wa Rhumba Fally Ipupa na Okelleo Max kutoka Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/muziki-ijumaa/20260313-msikie-galacha-wa-muziki-wa-rhumba-fally-ipupa-na-okelleo-max-kutoka-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-03-13 · Muziki Ijumaa_

Wiki hii mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amekuandalia burudani murua, toka kwa wasanii kama vile Fally Ipupa, Acid Vokoz, Chella, Okello Max na Harmonize

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/VENDREDI_MUSICAL_13-03-26.mp3?guid=814345e2-1ea2-11f1-ad7b-9be2913e44cf&source=GJlXzGgqHj)

## [EAC : Wanawake wasilia nyuma katika harakati za amani](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260309-eac-wanawake-wasilia-nyuma-katika-harakati-za-amani?GJlXzGgqHj)

_2026-03-09 · Jua Haki Zako_

Kila Machi nane dunia, huadimisha siku ya kimataifa ya wanawake, katika makala haya tunaangazia sababu ambazo zimechangia wanawake kuachwa nyuma katika harakati za kutafuta amani. Skiza makala haya kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_09_03_2026.mp3?guid=38f5ea80-1bcb-11f1-97e9-e59bd1bff51a&source=GJlXzGgqHj)

## [Haki za wakimbizi wanapokimbilia mataifa ya kigeni](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260226-haki-za-wakimbizi-wanapokimbilia-mataifa-ya-kigeni?GJlXzGgqHj)

_2026-02-26 · Jua Haki Zako_

Je ni masaibu gani wanayopitia wakimbizi wakati wanapokimbia nchi zao? Skiza makala haya kufahamu mengi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_23_02_2026_KUHUSU_WAKIMBIZI.mp3?guid=a44bc4c8-1098-11f1-868f-e5565101dd4b&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Mchakato wa kutoa taarifa za rushwa kwa tume ya EACC](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260223-kenya-mchakato-wa-kutoa-taarifa-za-rushwa-kwa-tume-ya-eacc?GJlXzGgqHj)

_2026-02-23 · Jua Haki Zako_

Nchini Kenya tume ya kupambana na rushwa EACC imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha mali ya umma haiporwi. Ila ni mchakato upi mtu anastahili kufuata kutoa taarifa kwa tume. Benson Wakoli alikiti chini Kipsang Sambae afisa wa EACC, tawi la Nakuru kufahamu mchakato wa kutoa taarifa kwa EACC.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_16_02_2026_KUHUSU_EACC.mp3?guid=bf4a01b4-1097-11f1-b2e8-e5565101dd4b&source=GJlXzGgqHj)

## [Haki ya kuhifadhi taarifa za Siri](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260209-haki-ya-kuhifadhi-taarifa-za-siri?GJlXzGgqHj)

_2026-02-09 · Jua Haki Zako_

Je unafahamu kuhusu haki ya taarifa zako za siri kuhifadhiwa? na je unatambua hatua unazostahili kufuata iwapo zitatolewa? .

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_02_02_2026_KUHUSU_DATA_PROTECTION.mp3?guid=621c2624-0585-11f1-ae52-07faaa538473&source=GJlXzGgqHj)

## [Human Right Watch : Haki zinakandamizwa pembe ya Africa](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260209-human-right-watch-haki-zinakandamizwa-pembe-ya-africa?GJlXzGgqHj)

_2026-02-09 · Jua Haki Zako_

Makala haya yanaangazia ripoti ya Human Rights Watch iliyochapishwa tarehe 4 Februari 2026, inayozungumzia hali ya kutisha ya haki za binadamu katika eneo la Pembe ya Africa. Ripoti hiyo inaonyesha kuwa raia wa Sudan , Sudan Kusini na Ethiopia ndio wanaobeba mzigo mkubwa wa vita vya silaha vinavyoendeshwa kwa ukatili, ambapo pande zinazopigana mara nyingi hulenga raia kimakusudi. Human Rights…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAKALA_YA_JUA_HAKI_ZAKO_09_02_2025_KUHUSU_HUMAN_RIGHT_WATCH.mp3?guid=95e67ce4-0584-11f1-9486-d797a0db50bd&source=GJlXzGgqHj)

## [A Friend Gave You $30 (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/iEthxENC3JTP)

_2026-02-09 · **Sponsored**_

Sign up, deposit $5 within 30 days, and start investing with expert guidance.

## [Kenya: Hatua za kutafuta haki kwa dhulma za kinadada mtaani Mathare](https://www.rfi.fr/sw/makala/jua-haki-zako/20260127-kenya-hatua-za-kutafuta-haki-kwa-dhulma-za-kinadada-mtaani-mathare?GJlXzGgqHj)

_2026-01-27 · Jua Haki Zako_

Kwa miaka mingi Beatrice Karole amekuwa akijitolea kuhamasisha jamii kuhusiana na hatua za kuchukua wakati wanapokabiliana na unyanyasaji wa jinsia. Akiwa na shirika la kinamama la Wanawake Mashinani Initiative katika eneo la Mathare Jijini Nairobi, amefanikiwa kuwaokoa jumla ya wanawake na watoto 30 katika mwaka 2025 ambao anajivunia kuwa licha ya kunyanyaswa, walipata haki yao.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202601/JUA_HAKI_ZAKO_26-01-26_OK.mp3?guid=3694a50c-fb5e-11f0-a284-c16244f41973&source=GJlXzGgqHj)

## [Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na Kati](https://www.rfi.fr/sw/makala/muziki-ijumaa/20260109-muziki-ijumaa-safari-ya-vibao-vya-klasiki-kutoka-marekani-hadi-afrika-mashariki-na-kati?GJlXzGgqHj)

_2026-01-09 · Muziki Ijumaa_

Karibu katika muziki Ijumaa, makala maalumu ya RFI Kiswahili inayokuletea vibao vya kukumbukwa vilivyoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dunia. Wiki hii tunasafiri kimuziki kutoka Marekani, kupitia Karibiani, hadi Afrika Mashariki na Afrika ya Kati, tukifurahia nyimbo zenye ujumbe wa furaha, mapenzi, imani na utu. Safari yetu inaanza nchini Marekani kwa kibao “Celebration” cha kundi la…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202601/MUZIKI_IJUMAA_09_10_2025.mp3?guid=6a6f917a-ed3f-11f0-adb0-699e7040e663&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Muziki ndani ya rfi Kiswahili](https://www.rfi.fr/sw/makala/muziki-ijumaa/20251224-kenya-muziki-ndani-ya-rfi-kiswahili?GJlXzGgqHj)

_2025-12-24 · Muziki Ijumaa_

Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchagua muziki ndani ya makala ya muziki Ijumaa. Skiza makala ya jumaa hili.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202512/MUZIKI_IJUMAA_19_12_2025.mp3?guid=98cf7d36-e0ac-11f0-b275-8dfae35bf5c2&source=GJlXzGgqHj)

## [Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali](https://www.rfi.fr/sw/makala/changu-chako-chako-changu/20251213-burudani-ya-muziki-ijumaa-na-mtangazaji-wako-asipenda-makuu-billy-bilali?GJlXzGgqHj)

_2025-12-13 · Muziki Ijumaa_

Katika Makala haya mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Juma hili.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202512/BURUDANI_YA_MUZIKI_IJUMAA_DEC_12_2025.mp3?guid=de9e8716-d838-11f0-9226-43bd9f60982a&source=GJlXzGgqHj)

## [Muziki Ijumaa ambapo tunakupa fursa kuomba muziki unaoupenda](https://www.rfi.fr/sw/makala/muziki-ijumaa/20250221-muziki-ijumaa-ambapo-tunakupa-fursa-kuomba-muziki-unaoupenda?GJlXzGgqHj)

_2025-02-21 · Muziki Ijumaa_

Kenya kipindi hiki,ungana na Victor Moturi ,ambaye atamekuandalia burudani tosha ,burudikaa

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202502/MUZIKI_IJUMAA_21_02_2025.mp3?guid=7f4b0e42-f067-11ef-b52b-005056bf762b&source=GJlXzGgqHj)

## [Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali](https://www.rfi.fr/sw/makala/muziki-ijumaa/20241227-burudani-ya-muziki-ijumaa-rfi-kiswahili-iliondaliwa-na-ali-bilali?GJlXzGgqHj)

_2024-12-27 · Muziki Ijumaa_

Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202412/MUZIKI_IJUMAA_YA_MWISHO_WA_MWAKA_DEC_28_2024_NA_BILLY_BILALI.mp3?guid=56ba0d74-c471-11ef-89f1-005056bf1351&source=GJlXzGgqHj)

## [Muziki iliyoombwa na waskilizaji msimu wa maadhimisho ya Jamhuri nchini Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/muziki-ijumaa/20241213-muziki-iliyoombwa-na-waskilizaji-msimu-wa-maadhimisho-ya-jamhuri-nchini-kenya?GJlXzGgqHj)

_2024-12-13 · Muziki Ijumaa_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202412/MAKALA_MUZIKI_IJUMAA_13_12_2024.mp3?guid=f6f90632-b940-11ef-80b4-005056a97652&source=GJlXzGgqHj)

## [Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizaji](https://www.rfi.fr/sw/makala/muziki-ijumaa/20240831-makala-ya-muziki-ijumaa-na-machaguo-ya-msikilizaji?GJlXzGgqHj)

_2024-08-31 · Muziki Ijumaa_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202408/MUZIKI_IJUMAA_30-08-24_OK.mp3?guid=442bd048-6760-11ef-945a-005056a97652&source=GJlXzGgqHj)

