# magazeti (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 3 feeds in the RSS Amplifier directory that cover magazeti.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/magazeti/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/magazeti/blogs.md>

---

## [MRADI WA UPANUZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM ENEO LA KURASINI WAFIKIA ASILIMIA 98](http://www.huheso.co.tz/2026/08/mradi-wa-upanuzi-wa-bandari-ya-dar-es.html)

_2026-08-22 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo la zamani la EPZA Kurasini umefikia asilimia 98 na unatarajiwa kuanza kutoa huduma rasmi baada ya miezi miwili. Akizungumza wakati wa ziara yake katika eneo hilo la mradi, Waziri Mbarawa alieleza kuwa kukamilika kwa mradi huo kutaiwezesha bandari hiyo kuongeza uwezo wake…

## [SERIKALI YAANDAA MPANGO WA MATUMIZI YA MAENEO YA MAJI KUTEKELEZA UCHUMI WA BULUU](http://www.huheso.co.tz/2026/08/serikali-yaandaa-mpango-wa-matumizi-ya.html)

_2026-08-22 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Serikali inaandaa mpango wa matumizi ya maeneo ya maji ikiwa ni mkakati wa utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu kwa lengo la kuhakikisha sekta hiyo inakuwa endelevu na yenye kuleta manufaa makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Mpango huo wa matumizi ya maeneo ya maji maarufu kama Marine Spatial Plan utasaidia kubainisha maeneo ya kimkakati yatakayochagiza shughuli mbalimbali…

## [VIJANA WAAMBIWA NI WAKATI KUBADILISHA UBUNIFU KUWA UTAJIRI](http://www.huheso.co.tz/2026/08/vijana-waambiwa-ni-wakati-kubadilisha.html)

_2026-08-22 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Maonyesho ya Mashariki Creative Economy Expo 2026 yaliyohitimishwa hivi karibuni katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam yalikuwa zaidi ya jukwaa la burudani na badala yake yaligeuka kuwa chuo kikuu cha wazi cha uchumi wa ubunifu, ambapo viongozi, wataalamu na nguli wa tasnia hiyo walijadiliana kwa kina jinsi ya kuwafanya vijana wanaoahangaika mitaani kutafuta ajira kujikita kwenye…

## [MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AGOSTI 22,2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-jumamosi-agosti-222026.html)

_2026-08-22 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

n https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [KAHAMA YAVUKA LENGO LA USAJILI WA MAKUNDI MAALUM NeST, YAFIKIA ASILIMIA 217, KIONGOZI WA MWENGE AMKABIDHI TUZO MD KIBETU](http://www.huheso.co.tz/2026/08/kahama-yavuka-lengo-la-usajili-wa.html)

_2026-08-22 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Neema Nkumbi, Kahama Halmashauri ya Manispaa ya Kahama imefanikiwa kusajili jumla ya vikundi 326 vya makundi maalum katika Mfumo wa Manunuzi ya Umma kwa Njia ya Kielektroniki (NeST), sawa na asilimia 217 ya lengo lililowekwa, huku ikifanikiwa pia kutoa zabuni kwa vikundi hivyo. Mafanikio hayo yameifanya Halmashauri ya Manispaa ya Kahama kutunukiwa tuzo na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma…

## [WAZIRI KAIRUKI AZINDUA AWAMU YA PILI YA FAIBA MLANGONI KWAKO, ATOA MAELEKEZO MANNE KWA TTCL](http://www.huheso.co.tz/2026/08/waziri-kairuki-azindua-awamu-ya-pili-ya.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki, ametoa maelekezo manne kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), akilitaka kuhakikisha Awamu ya Pili ya Mradi wa Faiba Mlangoni Kwako (Fiber to the Home – FTTH) inawanufaisha wananchi kwa kuwapatia huduma yenye ubora, uhakika na gharama nafuu. Waziri Kairuki ametoa maelekezo hayo…

## [KAHAMA: MWENGE WA UHURU WAZINDUA JENGO LA WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/kahama-mwenge-wa-uhuru-wazindua-jengo.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Neema Nkumbi, Kahama Mkuu wa wilaya ya Kahama Frank Nkinda ameupokea mwenge wa uhuru leo agosti 21, 2026 kutoka wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius Mtatiro. Mwenge wa Uhuru umezindua jengo maalumu la kuhudumia waraibu wa dawa za kulevya lililopo katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga, lililogharimu zaidi ya Shilingi milioni 467. Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa…

## [Wapinzani wasifu ujasiri wa serikali miradi mikubwa ya kimkakati](http://www.huheso.co.tz/2026/08/wapinzani-wasifu-ujasiri-wa-serikali.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Makini, Coster Kibonde alisema uthubutu aliouonesha Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza mradi wa Kituo cha kuzalisha umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) kupitia fedha za ndani unadhihirisha serikali imejipanga kuongeza tija kwenye maendeleo ya nchi. Alisema hayo akizungumzia uzinduzi rasmi wa kituo hicho utakaofanywa na Rais Samia hapo kesho. “Naipongeza…

## [WASIRA ATAKA MAKUNDI YOTE TUME YA MARIDHIANO](http://www.huheso.co.tz/2026/08/wasira-ataka-makundi-yote-tume-ya.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ni muhimu kwa tume itakayoundwa kwa ajili ya mchakato wa maridhiano ishirikishe makundi yote ili kupata mwafaka wa kitaifa. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira alisema hayo alipozungumza na Kituo cha televisheni cha UTV cha Kampuni ya Azam Media ya Dar es Salaam juzi. “Maridhiano ya kweli ni kuwaleta Watanzania katika makundi mbalimbali pamoja..Tume lazima…

## [MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA KAHAMA, MIRADI 21 YENYE THAMANI YA BILIONI 5.4 YAKAGULIWA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/mwenge-wa-uhuru-wapokelewa-kahama.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Neema Nkumbi, Kahama Mwenge wa Uhuru umepokelewa katika Wilaya ya Kahama na kufanya ziara ya kukagua miradi 21 ya maendeleo yenye thamani ya Shilingi bilioni 5.4. Katika ziara hiyo, Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi katika ujenzi wa madarasa matatu katika Shule ya Sekondari Kagongwa, mradi wenye thamani ya Shilingi milioni 70.4. Kati ya fedha hizo, Shilingi milioni 63 zimetokana na mapato…

## [Non-custodial Crypto Payments & Escrow (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/SzEIQ07cqX2V)

_2026-08-21 · **Sponsored**_

Accept multi-chain crypto with trustless escrow, instant confirmations, and no KYC

## [MAGAZETI YA LEO IJUMAA AGOSTI 21, 2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-ijumaa-agosti-21-2026.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [REDESO, VETA WAFUNDISHA WAKUFUNZI NISHATI SAFI](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/redeso-veta-wafundisha-wakufunzi.html)

_2026-08-20 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Shirika la Relief to Development Society (REDESO) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) limetoa mafunzo kwa wakufunzi 12 kutoka vyuo vya VETA kuwa wakufunzi wa wakufunzi (Trainers of Trainers - ToT) katika teknolojia za nishati safi. Wakufunzi…

## [(untitled)](http://www.huheso.co.tz/2026/08/mboi-mhita-shinyanga-kuhakikisha-hakuna.html)

_2026-08-20 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

MBOI MHITA: SHINYANGA KUHAKIKISHA HAKUNA UHABA WA MADARASA, MADAWATI NA VITI Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amesema mkoa huo unaendelea kukagua na kuboresha miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo miradi ambayo Mwenge wa Uhuru utapita, huku akisisitiza kuhakikisha hakuna uhaba wa madarasa, viti, meza na madawati katika shule za mkoa huo. Mboni amesema baada ya kukabidhiwa Mwenge wa Uhuru…

## [MWENGE WA UHURU WAZINDUA TAWI LA CRDB TINDE](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/mwenge-wa-uhuru-wazindua-tawi-la-crdb.html)

_2026-08-20 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Mwenge wa Uhuru ukiwa katika Tawi la Benki ya CRDB Tinde mkoani Shinyanga wakati wa uzinduzi rasmi wa tawi hilo. Mwenge wa Uhuru ukiwa katika Tawi la Benki ya CRDB Tinde mkoani Shinyanga wakati wa uzinduzi rasmi wa tawi hilo. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo…

## [JAB YATOA ELIMU YA SHERIA NA MAADILI KWA WAANDISHI CROWN MEDIA](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/waandishi-crown-media-watakiwa.html)

_2026-08-20 · Unknown · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili…

## [MAGAZETI YA LEO ALHAMISI AGOSTI 20, 2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-alhamisi-agosti-20-2026.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [THPS YATAMBULISHA MRADI WA TANZANIA FAST HEALTH MANISPAA YA KAHAMA KUIMARISHA HUDUMA ZA VVU](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/thps-yatambulisha-mradi-wa-tanzania.html)

_2026-08-19 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Honoratha Rutatinisibwa, akizungumza wakati wa utambulisho wa Mradi wa Tanzania FAST Health unaotekelezwa na THPS katika Manispaa ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Agosti 19, 2026. Picha na Kadama Malunde Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dkt.…

## [Tanzania Yaahidi Kulinda Haki za Wafanyakazi na Kuboresha Mazingira Salama ya Kazi](http://www.huheso.co.tz/2026/08/tanzania-yaahidi-kulinda-haki-za.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Tanzania imeahidi kuhakikisha inalinda haki za wafanyakazi wanaohamia nje na kuwapatia mazingira salama ya kazi. Ahadi hiyo imetolewa Agosti 18, 2026 jijini Dodoma na Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu, wakati akizungumza katika mkutano wa Jukwaa la Mawaziri na Kamati ya Kikanda ya Ushauri wa Kitaalamu na Sekretarieti kuhusu Uhamaji wa Nguvu Kazi. Alisisitiza…

## [TANZANIA NA DRC ZAKUBALIANA KUONGEZA KASI YA MIRADI YA UCHUKUZI NA BIASHARA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/tanzania-na-drc-zakubaliana-kuongeza.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia makubaliano rasmi ya kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya uchukuzi inayounganisha nchi hizo mbili kwa lengo la kupunguza muda na gharama za usafirishaji wa mizigo sambamba na kupanua wigo wa biashara na uwekezaji kwa manufaa ya pande zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa leo katika Ikulu Ndogo iliyopo Zanzibar wakati wa mazungumzo rasmi…

## [LUKA Yapongeza Tanzania kwa Kushirikisha Wataalamu wa Afrika kwenye Tume ya UchunguziL](http://www.huheso.co.tz/2026/08/luka-yapongeza-tanzania-kwa.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Jumuiya ya Kifalme ya Afrika (League of United Kingdom of Africa - LUKA) imepongeza uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kuwashirikisha wataalamu wa sheria na majaji kutoka nchi nyingine za Afrika katika Tume ya Uchunguzi wa Kijinai inayochunguza matukio ya vurugu na uhalifu yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika tamko lake, Jumuiya hiyo imesema kuwa hatua hiyo ni…

## [Crush Every Threat in Real Time (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/SBHYpSHWLDB1)

_2026-08-19 · **Sponsored**_

One agent for real-time detection, exposure tracking, and active defense.

## [Bilioni 600 Zilizowekezwa Chalinze-Dodoma: Mapinduzi ya Kiuchumi na Usalama wa Nishati Nchini](http://www.huheso.co.tz/2026/08/bilioni-600-zilizowekezwa-chalinze.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Kukamilika kwa mradi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma kunaashiria hatua kubwa ya kimkakati yenye tija za kipekee kwa maendeleo ya kiuchumi na ufanisi wa huduma nchini. Kupitia uwekezaji huu uliogharamiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Tanzania kwa takribani Shilingi bilioni 600, nchi inaonesha uwezo mkubwa wa kujitegemea katika kutekeleza miradi…

## [MATOKEO CHANYA YA MRADI WA ELIMU WA BARRICK-TWIGA FUTURE FOWARD EDUCATION PROGRAM YAANZA KUONEKANA](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/matokeo-chanya-ya-mradi-wa-elimu-wa.html)

_2026-08-19 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Muonekano wa bweni la kisasa lililojengwa kupitia mradi wa elimu wa Barrick -Twiga Muonekano wa sehemu ya madarasa ya kisasa yaliyojengwa kwa fedha kutoka Barrick Muonekano wa sehemu ya madarasa ya kisasa yaliyojengwa kwa fedha kutoka Barrick Viongozi wa CCM na Serikali na…

## [MADAKTARI SRI LANKA WAONDOA JIWE LA KILO 3.1 KWENYE KIBOFU CHA MWANAUME](http://www.huheso.co.tz/2026/08/madaktari-sri-lanka-waondoa-jiwe-la.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Madaktari Nchini Sri Lanka wamefanya upasuaji wa kuliondoa jiwe lenye uzito wa kilo 3.1 kwenye kibofu cha mkojo cha Mwanaume mwenye umri wa miaka 55. Upasuaji huo umefanyika katika Hospitali Kuu ya Trincomalee, Mashariki mwa Sri Lanka, baada ya Mwanaume huyo kulazwa hospitalini kufuatia kupata kiharusi ambapo Madaktari waligundua tatizo hilo baada ya kubaini kuwa alikuwa akipata changamoto wakati…

## [VIKUNDI VYA CBRM VYATAKIWA KUWA WALINZI WA BARABARA ITILIMA ‎](http://www.huheso.co.tz/2026/08/vikundi-vya-cbrm-vyatakiwa-kuwa-walinzi.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

‎Itilima, Simiyu ‎ ‎Vikundi vya kijamii vinavyotekeleza matengenezo ya kawaida ya barabara kupitia Mpango wa CBRM unaotekelezwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) vimetakiwa kushirikiana na wananchi katika kulinda na kutunza miundombinu ya barabara ili iweze kudumu na kuendelea kutoa huduma kwa jamii. ‎ ‎Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mhe. Anna Gidarya wakati wa…

## [MAGAZETI YA LEO JUMATANO AGOSTI 19,2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-jumatano-agosti-192026.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [CRDB YAZINDUA TAWI JIPYA MAGANZO](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/crdb-yazindua-tawi-jipya-maganzo.html)

_2026-08-18 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026 ukiwa katika Benki ya CRDB Maganzo, Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, wakati wa uzinduzi wa tawi hilo, Agosti 18, 2026. Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya CRDB, Xavery Makwi, akitoa taarifa kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt.…

## [DIWANI ZACHARIA SOKO AKABIDHI PHOTOCOPY MACHINE YA SH MILIONI 3.5 KWA SHULE YA MSINGI ANDERSON MSUMBA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/diwani-zacharia-soko-akabidhi-photocopy.html)

_2026-08-18 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Diwani wa Kata ya Majengo, Zacharia Soko, akabidhi mashine ya kisasa ya photocopy yenye thamani ya Sh milioni 3.5 kwa Shule ya Msingi Anderson Msumba Na Neema Nkumbi Diwani wa Kata ya Majengo, Zacharia Soko, amekabidhi mashine ya kisasa ya photocopy yenye thamani ya Sh milioni 3.5 kwa Shule ya Msingi Anderson Msumba, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia…

## [TANZANITE ROYAL GIN YAWAKUTANISHA WASANII NA MANYARA TANZANITE MARATHON](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/tanzanite-royal-gin-yawakutanisha.html)

_2026-08-18 · Unknown · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Na Mwandishi Wetu, Manyara Manyara Tanzanite Marathon 2026 inatarajiwa kuwa na burudani ya aina yake baada ya wasanii maarufu nchini, Dully Sykes, Banana Zoro na Mr Blue, kuthibitisha kushiriki na kutumbuiza katika tukio hilo litakalofanyika Agosti 22, 2026 mjini Babati, mkoani…

## [TRAMEPRO YAHIMIZA UTAFITI WA TIBA ASILIA KWA AFYA ENDELEVU AFRIKA](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/tramepro-yahimiza-utafiti-wa-tiba.html)

_2026-08-18 · Unknown · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limezitaka Serikali za Afrika kuingiza tiba asilia, utafiti wa kisayansi na uhifadhi wa mazingira katika ajenda ya afya ya bara hilo, likisema hatua hiyo ni muhimu katika kujenga…

## [WANAHABARI WAHIMIZWA KUSAIDIA WAKULIMA WA PAMBA KUZALISHA KWA TIJA](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/waandishi-wanolewa-kuhusu-pamba-tcb.html)

_2026-08-17 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Picha ya pamoja ya washiriki wa mafunzo ya siku moja kwa waandishi wa habari kuhusu uandishi na uripoti wa habari za zao la pamba, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Bodi ya Pamba, Mjini Shinyanga, Agosti 17, 2026. Picha na Kadama Malunde Washiriki wa mafunzo ya siku moja kwa…

## [AI News Summaries & Audio (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/l4g0yCGSMFIw)

_2026-08-17 · **Sponsored**_

Tap an article for an AI summary and an audio briefing.

## [TRA YAZINDUA KLABU YA KODI SHULE YA WASICHANA SHINYANGA](https://www.bmgmedia.co.tz/2026/08/tra-yazindua-klabu-ya-kodi-shule-ya.html)

_2026-08-17 · Post · BMG Digital_

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Maro, akiwa pamoja na Mkuu wa Shule ya Wasichana Shinyanga, Mwalimu Nurah Kamuntu, wakati wa uzinduzi rasmi wa Klabu ya Kodi katika shule hiyo, Agosti 17, 2026. P icha na Elizabeth Cosmas Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Maro,…

## [You already have enough to build something valuable.](https://www.cyberswahili.co.tz/2026/07/you-already-have-enough-to-build.html)

_2026-07-19 · Alex Rweyemamu · CyberSwahili_

You already have enough to build something valuable. Claude → FREE (Brainstorming, writing & strategy) Canva → FREE (Design, branding & mockups) CapCut → FREE (Short-form video editing) Gumroad → FREE (Sell digital products) Threads → FREE (Organic reach & audience growth) Instagram → FREE (Personal branding & community building) ChatGPT → FREE (Research, planning & problem-solving) NotebookLM →…

## [Google Is Definitely Building an Entire AI Ecosystem](https://www.cyberswahili.co.tz/2026/07/google-is-definitely-building-entire-ai.html)

_2026-07-19 · Alex Rweyemamu · CyberSwahili_

AI Ecosystem! Gemini Gems → Custom AI agents for repetitive workflows Imagen 3 → High-quality AI image generation Nano Banana → AI image editing, enhancement, and transformations Lumiere → AI video generation from simple prompts Opal → Build AI-powered apps without heavy coding Whisk → Turn visual ideas into creative concepts and mood boards Google AI Studio → Prototype, test, and deploy AI…

## [AI Prompt Vault](https://www.cyberswahili.co.tz/2026/07/ai-prompt-vault_0979890456.html)

_2026-07-19 · Alex Rweyemamu · CyberSwahili_

Prompt: Use the uploaded portrait as the exact facial reference. Preserve 100% of my identity without altering my face in any way. Keep the same facial structure, hairstyle, skin tone, jawline, eyes, nose, lips, facial proportions, expression, age, and all distinctive features. Do not beautify, reshape, or replace my face. Create an ultra-realistic surreal editorial portrait of me floating against…

## [AI Prompt Vault](https://www.cyberswahili.co.tz/2026/07/ai-prompt-vault.html)

_2026-07-19 · Alex Rweyemamu · CyberSwahili_

PROMPT: Based on { TOPIC }, create a high-quality vertical “encyclopedia-style educational infographic image.” The Master Prompt You can swap the \[Subject\] (e.g., Honeybee, Blue Whale, Venus Flytrap) to create new entries in the series. Prompt: A professional educational infographic for a \[Subject\], designed in a modern "Terrestrial Life" series Style. The layout features a large, realistic 3D…

## [Everything you need for your scholarship application at zero cost](https://www.cyberswahili.co.tz/2026/07/everything-you-need-for-your.html)

_2026-07-02 · Alex Rweyemamu · CyberSwahili_

Just download and learn how it is done CLICKHERE:

## [40 SUMMER PROJECTS CYBERSECURITY](https://www.cyberswahili.co.tz/2026/06/40-summer-projects-cybersecurity.html)

_2026-06-24 · Alex Rweyemamu · CyberSwahili_

40 SUMMER PROJECTS CYBERSECURITY AI-Powered Phishing Detection System Network Intrusion Detection System (NIDS) SOC Home Lab with SIEM Monitoring Malware Analysis Sandbox Web Application Vulnerability Scanner Password Security Auditing Tool Threat Intelligence Aggregator Ransomware Detection Framework Secure File Sharing System DNS Tunneling Detection Tool Security Log Analysis Dashboard Wi-Fi…

## [Networking Domain Certifications](https://www.cyberswahili.co.tz/2026/06/networking-domain-certifications.html)

_2026-06-24 · Alex Rweyemamu · CyberSwahili_

Networking Domain Certifications CCNA: Cisco Certified Network Associate CCNP: Cisco Certified Network Professional CCIE: Cisco Certified Internetwork Expert Job Roles Network Engineer Network Architect Network Administrator Network Security Engineer NOC Engineer Systems & Network Engineer Infrastructure Engineer Wireless Network Engineer Cloud Network Engineer

## [Je Akili Mnemba (AI) Itachukua Nafasi za Wataalamu wa Usalama wa Mtandao?](https://www.cyberswahili.co.tz/2026/06/c.html)

_2026-06-24 · Alex Rweyemamu · CyberSwahili_

Je Akili Mnemba (AI) Itachukua Nafasi za Kazi Kila wiki nimekuwa nikikutana na swali hili kutoka kwa wanafanyakazi, vijana wanaochipukia kwenye teknolojia, na hata wataalamu waliopo kazini hapa nchini Tanzania na kote Afrika Mashariki. Hivi karibuni, mwanafunzi mmoja aliniuliza kwa wasiwasi mkubwa: "Ikiwa AI inaweza kugundua udukuzi, kuchambua kumbukumbu za mifumo (logs), na kufanya kazi za…

## [AI & Cybersecurity Quick Explain](https://www.cyberswahili.co.tz/2026/06/ai-cybersecurity-quick-explain.html)

_2026-06-22 · Alex Rweyemamu · CyberSwahili_

AI & Cybersecurity: Quick Explain 🔐 1. AI for Cybersecurity🤖 Basically AI acts like a security guard for the internet imagine a hacker trying to break into a system... AI is watching 24/7 and catches it before it causes damage It learns what's "normal" on a network... so the moment something weird happens (like ur account logging in from Russia at 3am 😂) it immediately raises the alarm 🚨 Ur…

## [Free Cybersecurity Certifications 2026](https://www.cyberswahili.co.tz/2026/06/free-cybersecurity-certifications-2026.html)

_2026-06-22 · Alex Rweyemamu · CyberSwahili_

Free Certifications Google Cybersecurity Certificate : Coursera Audit \[Free\] Cisco Introduction to Cybersecurity \[Free\] Cisco Networking Basics \[Free\] TryHackMe SOC Level 1 Badge \[Free\] Blue Team Labs Online Foundations \[Free\] Cybrary SOC Analyst Course Certificate \[Free\] Arcx Cyber Threat Intelligence 101 \[Free\] ISC2 Certified in Cybersecurity (CC) \[Free limited time\] SANS Cyber Aces Certificate…

