# madini (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 2 feeds in the RSS Amplifier directory that cover madini.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/madini/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/madini/blogs.md>

---

## [CCM kuimarisha uhusiano na chama cha kikomonisti cha China](https://tanzanialeo.co.tz/ccm-kuimarisha-uhusiano-na-chama-cha-kikomonisti-cha-china/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ccm-kuimarisha-uhusiano-na-chama-cha-kikomonisti-cha-china)

_2026-08-20 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Aggrey Mwanri, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) nchini Tanzania, Xu…

## [Waandishi Oman, JOWUTA, kuandaa kongamano la kimataifa](https://tanzanialeo.co.tz/waandishi-oman-jowuta-kuandaa-kongamano-la-kimataifa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=waandishi-oman-jowuta-kuandaa-kongamano-la-kimataifa)

_2026-08-20 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam UJUMBE maalum kutoka Chama cha Waandishi wa Habari wa Ufalme wa Oman (OJA), uliopo nchini leo Agosti 19, 2026 umefanya mazungumzo na Chama cha wafanyakazi…

## [NMB YAINGIA AWAMU MPYA YA UBORA WA HUDUMA KWA WATEJA](https://pesatu.co.tz/nmb-yaingia-awamu-mpya-ya-ubora-wa-huduma-kwa-wateja/)

_2026-08-20 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

NMB yaingia awamu mpya ya ubora wa huduma kwa Wateja.Katika hatua kubwa inayotarajiwa kubadilisha mwelekeo wa sekta ya fedha nchini Tanzania, Benki ya NMB imekamilisha rasmi mchakato wa kuhamisha shughuli zake zote za kibenki kwenda kwenye mfumo mkuu mpya wa teknolojia. Hatua hii ya kihistoria inalenga kuleta mapinduzi makubwa kwenye huduma kwa wateja NMB, huku...

## [PSSSF YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI](https://pesatu.co.tz/psssf-yatoa-mafunzo-kwa-waandishi-wa-habari/)

_2026-08-20 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

PSSSF yatoa mafunzo kwa waandishi wa habari.Sekta ya PSSSF na hifadhi ya jamii Tanzania imepiga hatua nyingine kubwa katika kuhakikisha wananchi na watumishi wa umma wanapata taarifa sahihi, za kina, na zisizo na upotoshaji. Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeratibu na kuendesha mafunzo maalum ya siku mbili kwa waandishi wa...

## [BLOCKCHAIN FESTIVAL 2026 KUUNGANISHA AFRIKA](https://pesatu.co.tz/blockchain-festival-2026-kuunganisha-afrika/)

_2026-08-20 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

BLOCKCHAIN FESTIVAL 2026 KUUNGANISHA AFRIKA.Hatua zinazochukuliwa na Tanzania kuelekea kuweka mfumo rasmi wa udhibiti wa sarafu na mali za kidijitali zinaweza kufungua ukurasa mpya katika uchumi wa kidijitali nchini. Wabunifu wa teknolojia, kampuni za fintech, wawekezaji, watengenezaji wa mifumo ya blockchain pamoja na wadau wa Web3 nchini sasa wanahimizwa kwa dhati kushiriki katika mkutano wa...

## [Songwe yafungua milango kwa Sekta Binafsi kwenye miradi](https://tanzanialeo.co.tz/songwe-yafungua-milango-kwa-sekta-binafsi-kwenye-miradi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=songwe-yafungua-milango-kwa-sekta-binafsi-kwenye-miradi)

_2026-08-20 · Zahoro mlanzi · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabir Makame, amepigia chapuo matumizi ya mfumo wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kama njia kuu…

## [Njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Nyerere Chalinze-Dodoma yakamilika](https://tanzanialeo.co.tz/njia-ya-kusafirisha-umeme-kutoka-bwawa-la-nyerere-chalinze-dodoma-yakamilika/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=njia-ya-kusafirisha-umeme-kutoka-bwawa-la-nyerere-chalinze-dodoma-yakamilika)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

– Umeme wa JNHPP kufika Dodoma kupitia Chalinze -SGR kupata njia yake maalum ya umeme, kuimarisha uhakika wa huduma Na Mwandishi Wetu, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia…

## [Serikali kuendelea kuimarisha afua za UKIMWI nchini](https://tanzanialeo.co.tz/serikali-kuendelea-kuimarisha-afua-za-ukimwi-nchini/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=serikali-kuendelea-kuimarisha-afua-za-ukimwi-nchini)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Mwanza SERIKALI imedhamiria kuendelea kuimarisha afua za masuala ya UKIMWI nchini kwa kuboresha mazingira ya utekelezaji wa shughuli hizo, huku ikihimiza ushirikiano na wadau mbalimbali katika kuendeleza…

## [TMDA na Mamlaka ya Dawa Denmark zimeingia makubaliano ya ushirikiano](https://tanzanialeo.co.tz/tmda-na-mamlaka-ya-dawa-denmark-zimeingia-makubaliano-ya-ushirikiano/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tmda-na-mamlaka-ya-dawa-denmark-zimeingia-makubaliano-ya-ushirikiano)

_2026-08-18 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Arusha MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA), imeingia mashirikiano na Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa ya Denmark, (Danish Medicines Agency-DKMA) katika nyanja ya udhibiti wa…

## [TANTRADE YASHIRIKI MAONESHO YA WAKULIMA ZANZIBAR](https://pesatu.co.tz/tantrade-yashiriki-maonesho-ya-wakulima-zanzibar/)

_2026-08-17 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

TANTRADE YASHIRIKI MAONESHO YA WAKULIMA ZANZIBAR.Hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Wakulima Zanzibar imekamilika kwa mafanikio makubwa, ikishuhudia msukumo mpya katika kuimarisha sekta ya kilimo na biashara nchini. Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeshiriki kikamilifu katika hafla hii muhimu iliyoadhimisha miaka kumi ya maonesho hayo, ikionyesha mchango wake mkubwa katika…

## [Licensed Dispensaries, Pay with Crypto (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/MoBtYNYn5KM1)

_2026-08-17 · **Sponsored**_

Search verified licensed dispensaries and pay with Bitcoin, Lightning, or stablecoins.

## [Ujenzi meli mpya Kigoma kufungua soko la biashara kimataifa- Prof. Mbarawa](https://tanzanialeo.co.tz/ujenzi-meli-mpya-kigoma-kufungua-soko-la-biashara-kimataifa-prof-mbarawa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ujenzi-meli-mpya-kigoma-kufungua-soko-la-biashara-kimataifa-prof-mbarawa)

_2026-08-17 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Kigoma WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema uwekezaji wa kampuni ya kizawa ya Dar es Salaam Merchant Group katika ujenzi wa chelezo na meli mpya mkoani…

## [NMB YATIA NGUVU TAMASHA LA KIZIMKAZI](https://pesatu.co.tz/nmb-yatia-nguvu-tamasha-la-kizimkazi/)

_2026-08-15 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

NMB yatia nguvu Tamasa la Kizimkazi.Benki ya NMB imehitimisha rasmi ushiriki wake wa kihistoria katika Tamasha la Kizimkazi 2026 visiwani Zanzibar, huku ikionyesha dhamira ya dhati ya kuendelea kuunganisha wananchi na huduma za kifedha za kisasa pamoja na fursa za kipekee za kukuza biashara na uwekezaji. Tamasha hili maarufu, lililofikia kilele chake Agosti 14, 2026...

## [Rais Samia kuzindua Mradi wa JNHPP Agosti 22, 2026](https://tanzanialeo.co.tz/rais-samia-kuzindua-mradi-wa-jnhpp-agosti-22-2026/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-samia-kuzindua-mradi-wa-jnhpp-agosti-22-2026)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

-Ni Mradi wa JNHPP ni matokeo ya uwekezaji wa trilioni 7.4 Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu…

## [TOA kujadili utekelezaji Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuwanufaisha wananchi](https://tanzanialeo.co.tz/toa-kujadili-utekelezaji-dira-ya-taifa-ya-maendeleo-2050-ili-kuwanufaisha-wananchi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=toa-kujadili-utekelezaji-dira-ya-taifa-ya-maendeleo-2050-ili-kuwanufaisha-wananchi)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mkutano Mkuu wa 16 wa Mwaka wa Taasisi ya Maboresho katika Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA) unatarajiwa kujadili mchango wa ugatuzi wa madaraka katika kufikia…

## [Sekta ya madini yavutia uwekezaji wa trilioni 9 ndani ya miaka 4](https://tanzanialeo.co.tz/sekta-ya-madini-yavutia-uwekezaji-wa-trilioni-9-ndani-ya-miaka-4/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=sekta-ya-madini-yavutia-uwekezaji-wa-trilioni-9-ndani-ya-miaka-4)

_2026-08-15 · Mary Mashina · Tanzania Leo_

-Mikataba ya msingi 14 ya madini yasainiwa -Serikali yasaini Mkataba wa Bilioni 265 na Kampuni ya Henan Yudi Mining ya Mradi wa Graphite Morogoro Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa…

## [MIRADI YA MAENDELEO KUSINI UNGUJA YAPATIWA MSUKUMO](https://pesatu.co.tz/miradi-ya-maendeleo-kusini-unguja-yapatiwa-msukumo/)

_2026-08-14 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Miradi ya maendeleo kusini unguja yapatiwa Msukumo. Kipindi cha ushereheshaji wa utamaduni, fursa za kiuchumi, na mshikamano wa kijamii kimefikia kilele chake kikiwa na ujumbe mzito wa maendeleo na uwajibikaji. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka kwa dhati wananchi wa Kizimkazi na maeneo yote ya Mkoa wa Kusini...

## [SERIKALI YATANGAZA KUANZA KUKAGUA MIKATABA YA MADINI](https://pesatu.co.tz/serikali-yatangaza-kuanza-kukagua-mikataba-ya-madini/)

_2026-08-13 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Serikali yatangaza kuanza kukagua Mikataba ya Madini.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechukua hatua madhubuti na za kimkakati zenye lengo la kuleta uwazi, haki, na tija katika usimamizi wa rasilimali za madini nchini. Katika muendelezo wa jitihada hizo, Wizara ya Madini imetangaza rasmi maandalizi ya operesheni maalum ya ukaguzi wa mikataba ya msaada wa...

## [MITAMBO YA KUCHENJUA DHAHABU KUTENGEWA KUTENGEWA ENEO LAKE](https://pesatu.co.tz/mitambo-ya-kuchenjua-dhahabu-kutengewa-eneo-lake/)

_2026-08-13 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Mitambo ya Kuchenjua dhahabu kutengewa eneo lake.Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kimkakati katika kupanga mji na kulinda afya za wakazi wake, huku ikiimarisha sekta ya uchimbaji na uchenjuaji wa madini. Katika kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, Hoja nzito imeibuliwa ikitaka eneo maalum...

## [BITEKO ASEMA TANZANIA YAPIGA HATUA NISHATI SAFI YA KUPIKIA](https://pesatu.co.tz/tanzania-yapiga-hatua-nishati-safi-ya-kupikia/)

_2026-08-12 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Biteko Asema Tanzania Yapiga hatua nishati Safi ya Kupikia.Katika kuhakikisha afya ya jamii na hifadhi ya mazingira vinazingatiwa kwa kiwango cha juu, Tanzania imeendelea kupiga hatua kubwa na za kihistoria katika utekelezaji wa ajenda ya nishati safi ya kupikia. Hatua hizi ni matokeo ya juhudi za makusudi zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya Sasa, zikilenga...

## [DIPLOMASIA YA UCHUMI YAONGEZA FURSA ZA TANZANIA](https://pesatu.co.tz/diplomasia-ya-uchumi-yaongeza-fursa-za-tanzania/)

_2026-08-12 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Diplomasia ya Uchumi yaongeza fursa za Tanzania.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inaendelea kudhihirisha kuwa ni nguzo kuu katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania. Kupitia utendaji kazi uliotukuka wa Balozi zake zilizotawanyika katika pembe mbalimbali za dunia, wizara hii imekuwa kiungo chenye tija kubwa katika...

## [Stay updated on your professional world (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/nEmLRpoXXpxW)

_2026-08-12 · **Sponsored**_

Keep in touch with people you know, build your career.

## [MADINI NA GESI KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI TANZANIA](https://pesatu.co.tz/madini-na-gesi-kuchochea-ukuaji-wa-uchumi-tanzania/)

_2026-08-12 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Madini na gesi kuchochea ukuaji wa uchumi Tanzania.Uchumi wa Tanzania unaendelea kuonyesha ustahimilivu na kasi kubwa ya kuimarika, huku sekta kuu za uzalishaji zikitarajiwa kuwa injini kuu ya kuendesha gurudumu la maendeleo nchini. Katika kipindi hiki ambacho mataifa mengi duniani yanakabiliana na changamoto mbalimbali za kiuchumi na kimfumo, Tanzania imefanikiwa kudumisha uwezo wake wa…

