# kombe (audio feeds) — RSS Amplifier

Recent posts from the 2 feeds in the RSS Amplifier directory that cover kombe.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/kombe/audio>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/kombe/audio.md>

---

## [Uchaguzi nchini Zambia, upinzani yalalamikia matokeo ya uchaguzi](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260819-uchaguzi-nchini-zambia-upinzani-yalalamikia-matoke-ya-uchaguzi?GJlXzGgqHj)

_2026-08-19 · Habari RFI-Ki_

Nchini Zambia, Rais Hakainde Hichilema, amechaguliwa kwa muhula wa pili, akimshinda mpinzani wake wa Karibu Brian Mundubile. Hata hivyo kumeshuhudiwa malalamiko ya dosari kadhaa ikiwemo udanganyifu, wizi wa kura na vitisho, mambo yanayoripotiwa wakati wa chaguzi nyingi barani Afrika.s

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/APPELS_ACTU_19-08-26.mp3?guid=ab033668-9be2-11f1-a7fe-db73b9e8d481&source=GJlXzGgqHj)

## [Kuna uwezekano wa asilimia 81 Afrika kukumbwa na hali ya hewa ya Elnino](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260818-kuna-uwezekano-wa-asilimia-81-afrika-kukumbwa-na-hali-ya-hewa-ya-elnino?GJlXzGgqHj)

_2026-08-18 · Habari RFI-Ki_

Ripoti ya wataalam wa hali ya hewa imeonya kuwa Afrika inakabiliwa na uwezekano wa aslimia 81 wa kukumbwa na hali ya hewa ya El Nino. Katika ripoti hiyo, eneo la Kusini mwa Afrika linatarajiwa kukumbwa na

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/HABARI_RAFIKI_18-08-26_OK.mp3?guid=958b8d1e-9b13-11f1-bd0b-7fb2265490de&source=GJlXzGgqHj)

## [Vuguvugu la upinzani nchini DRC C64 kutangaza kufanya maandamano Septemba 15](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260818-vuguvugu-la-upinzani-nchini-drc-c64-kutangaza-kufanya-maandamano-septemba-15?GJlXzGgqHj)

_2026-08-18 · Habari RFI-Ki_

Mwishoni mwa juma lililopita, upinzani nchini DRC kupitia vuguvugu la C64 ulitangaza kuwa utafanya maandamano Septemba 15 kupinga mchakato wa marekebisho ya katiba. Tangazo lao walilitoa baada ya muda waliokuwa wameutoa kwa Rais Felix Tshisekedi kuitisha mazungumzo ya kitaifa kupita.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/HABARI_RAFIKI_17-08-26_OK.mp3?guid=590e3e82-9b12-11f1-9f33-8b1d9630ab60&source=GJlXzGgqHj)

## [Malawi na Cameroon zatinga fainali michuano ya WAFCON 2026 nchini Morocco](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260815-malawi-na-cameroon-zatinga-fainali-michuano-ya-wafcon-2026-nchini-morocco?GJlXzGgqHj)

_2026-08-15 · Jukwaa la Michezo_

Tuliyoangazia leo ni pamoja na uchambuzi wa matokeo na matukio ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada inayofikia tamati wikendi hii, mechi za kufuzu kombe la dunia la basketboli chini ya miaka 18, Kenya yawasilisha nia ya kuandaa mashindano ya dunia ya riadha 2029. Je, Yanga itatetea ubingwa wa ligi kuu Tanzania baada ya kushinda ngao ya jamii?, PSG yashinda taji la UEFA Super Cup, tetesi za…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/jukwaa_15th_aug_2026.mp3?guid=ebfa9d3a-98c4-11f1-85ee-d7c37b4cc29f&source=GJlXzGgqHj)

## [Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya, yatoa kanuni mpya za ufadhili wa kampeni](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260811-tume-huru-ya-uchaguzi-nchini-kenya-yatoa-kanuni-mpya-za-ufadhili-wa-kampeni?GJlXzGgqHj)

_2026-08-11 · Habari RFI-Ki_

Mwaka mmoja kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC, imetoa kanuni mpya za ufadhili wa kampeni za wagombea mbalimbali.Mgombea urais atatakiwa kutumia kiasi cha shilingi za Kenya zisizozidi Bilioni 6 huku vyama vya siasa vikitakiwa kutokuvuka matumizi ya bilioni 25 za Kenya.Tumemuuliza mskilizaji ,anazungumzia vipi kanuni hii ?na nchini mwake , kuna utaratibu kama…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/HABARI_RAFIKI_11_08_2026_KENYA.mp3?guid=9e33eab6-959f-11f1-8189-41de3659ab5f&source=GJlXzGgqHj)

## [WAFCON yaingia mtoano, Rayon mabingwa wa CECAFA, CAF yamuunga mkono Infantino](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260808-wafcon-yaingia-mtoano-rayon-mabingwa-wa-cecafa-caf-yamuunga-mkono-infantino?GJlXzGgqHj)

_2026-08-08 · Jukwaa la Michezo_

Tumeangazia uchambuzi wa matokeo na matukio kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika kina dada inayoingia kwenye mtoano, droo ya michuano ya klabu bingwa, CAF yamuunga mkono rais Infantino, Rayon yashinda ubingwa CECAFA baada ya miaka 28, Simba Day ni leo, mshindi wa medali ya fedha mbio za kutembea mita 10,000 kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola 2026 Stephen Ndangiri apigwa marufuku kwa tuhuma za…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/S_PORTS_MAKALA.mp3?guid=48ffdf34-9327-11f1-bec5-6133779e0a1a&source=GJlXzGgqHj)

## [Darubini ya mashindano ya Wafcon, Jumuiya ya Madola na Cecafa Kagame Cup](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260801-darubini-ya-mashindano-ya-wafcon-jumuiya-ya-madola-na-cecafa-kagame-cup?GJlXzGgqHj)

_2026-08-01 · Jukwaa la Michezo_

Leo kwenye kipindi tunaangazia WAFCON inayoendelea nchini Morocco - Kenya yaaga mashindano huku Tanzania ikisalia na matumaini lakini Nigeria na Afrika Kusini zimeanza kwa kusuasua, wanariadha wanaendelea kunyakua medali katika mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Scotland, wakati mashindano ya Cecafa Kagame Cup yakiingia nusu fainali.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/jukwaa_01st_aug.mp3?guid=536799ec-8dc5-11f1-887b-9973daf882d0&source=GJlXzGgqHj)

## [CAF: Wafcon, mashindano ya jumuiya ya madola na Kombe la Cecafa yaanza](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260725-caf-wafcon-mashindano-ya-jumuiya-ya-madola-na-kombe-la-cecafa-yaanza?GJlXzGgqHj)

_2026-07-25 · Jukwaa la Michezo_

Tuliyokuandalia leo ni pamoja na kuanza kwa mashindano ya kina dada ya Afcon, Kombe la Cecafa, mashindano ya Jumuiya ya Madola, tetesi za uhamisho Ulaya na Afrika Mashariki, mahakama ya kutatua migogoro duniani kuskiza kesi ya kubaini bingwa wa Afcon 2025 mwezi Oktoba tarehe nane.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/jukwaa_25th_july.mp3?guid=656565c4-8844-11f1-bd06-8df5cb2cc9d2&source=GJlXzGgqHj)

## [Ufaransa na Uingereza zaondolewa kwenye nusu fainali Kombe la Dunia](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260718-ufaransa-na-uingereza-zaondolewa-kwenye-nusu-fainali-kombe-la-dunia?GJlXzGgqHj)

_2026-07-18 · Jukwaa la Michezo_

Tuliyokuandalia leo ni pamoja uchambuzi wa nusu fainali, mechi ya mshindi wa tatu na taarifa kuu kuhusu Kombe la Dunia kuhusu washindi kutuzwa pete pamoja na medali na kombe huku Ballon d'Or yatangaza mchezaji anayecheza nje ya Ulaya ana uwezo wa kushinda tuzo hiyo. Timu ya taifa ya kina dada ya Kenya na Tanzania zasafiri kwa ajili ya Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Morocco, fainali ya Congo Cup…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/jukwaa_18th_july.mp3?guid=a20a6954-82c5-11f1-ae6d-c5cf415204d3&source=GJlXzGgqHj)

## [Maoni ya mskilizaji Wiki hii kutokana na matangazo yetu](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260717-maoni-ya-mskilizaji-wiki-hii-kutokana-na-matangazo-yetu?GJlXzGgqHj)

_2026-07-17 · Habari RFI-Ki_

Na Hannah Nalianya Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusiana na matangazo yetu. Skiza maoni ya Juma hili

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_HABARI_RAFIKI_17_07_2026_KUHUSU_MADA_HURU.mp3?guid=9527ec56-81ef-11f1-bb47-357bd9b41020&source=GJlXzGgqHj)

## [Finnish Seedboxes — Up to 20Gbps (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/ymKdijkJvhvs)

_2026-07-17 · **Sponsored**_

Private Finnish seedboxes with 1–20Gbps speeds, RAID storage and 14‑day refund

## [Argentina kuvaana na Uhuspania kwenye fainali](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260716-argentina-kuvaana-na-uhuspania-kwenye-fainali?GJlXzGgqHj)

_2026-07-16 · Habari RFI-Ki_

Fainali ya kombe la dunia katika mchezo wa soka, itawakutanisha mabingwa watetezi Argentina na Hispania waliowahi kushinda taji hili mwaka 2010. Mechi hiyo itapigwa siku ya Jumapili nchini Marekani. Unatarajia nani ataibuka mshindi katika mechi hiyo na kwanini. Skiza ya mskilizaji

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_16-07-26_OK.mp3?guid=c7dc6642-812a-11f1-8cf2-79394af737f0&source=GJlXzGgqHj)

## [Ufaransa yaondolewa kwenye kombe la dunia](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260715-ufaransa-yaondolewa-kwenye-kombe-la-dunia?GJlXzGgqHj)

_2026-07-15 · Habari RFI-Ki_

Na Hannah Naliaka Safari ya Ufaransa kutinga fainali za kombe la dunia imefikia tamati baada ya kushindwa mabao 2-0 na Uhispania katika nusu fainali ya kwanza. Unazungumziaje mechi hiyo ? Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/HABARI_RAFIKI_15-07-26_OK.mp3?guid=931824d6-8059-11f1-8e3b-b7c298cf2416&source=GJlXzGgqHj)

## [Bara Ulaya linatathimini kudhibiti mitandao kwa watoto](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260714-bara-ulaya-linatathimini-kudhibiti-mitandao-kwa-watoto?GJlXzGgqHj)

_2026-07-14 · Habari RFI-Ki_

Umoja wa Ulaya unatathmini kuweka marufuku ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto kutokana na athari za mitandao hiyo kwa watoto. Unazungumziaje pendekezo hili? Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_YA_HABARI_RAFIKI_14_07_2026_KUHUSU_WATOTO.mp3?guid=30e50a3a-7f9c-11f1-bdf8-77b4e25bc2d2&source=GJlXzGgqHj)

## [Nani atabeba kombe la dunia mwaka huu](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260713-nani-atabeba-kombe-la-dunia-mwaka-huu?GJlXzGgqHj)

_2026-07-13 · Habari RFI-Ki_

Fainali za kombe la dunia zimefikia hatua ya nusu fainali, huku timu nne zikisalia kwenye mbio za kutwaa ubingwa. Uhispania itacheza na Ufaransa, wakati Uingereza itapambana na mabingwa watetezi Argentina. Unatathmini vipi hatua iliyofikia? Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAKALA_HABARI_RAFIKI_13_07_2026_KUHUSU_WORLD_CUP.mp3?guid=81eb9306-7ec8-11f1-8311-dbb701fa6098&source=GJlXzGgqHj)

## [Mbio za nusu fainali Kombe la Dunia, Kocha mpya wa Yanga ni nani?](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260711-mbio-za-nusu-fainali-kombe-la-dunia-kocha-mpya-wa-yanga-ni-nani?GJlXzGgqHj)

_2026-07-11 · Jukwaa la Michezo_

Tuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa raundi ya 16 bora na robo fainali michuano ya Kombe la Dunia, Misri na Morocco zikiaga mashindano, Mbappe na Messi wang'ang'ania kiatu cha dhahabu, Yanga yapata kocha mpya Manqoba Mngqithi kutoka Afrika Kusini, Emmanuel Wanyonyi avunja rekodi ya mita 1000m mashindano ya Diamond League, mchezo mpya wa Flag Football waendelea kukua na kupata umaarufu…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/Jukwaa_11th_july.mp3?guid=a3fdf860-7d44-11f1-90be-3d1ed36326f4&source=GJlXzGgqHj)

## [Maoni yako katika makala ya Habari rafiki Mada huru](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260710-maoni-yako-katika-makala-ya-habari-rafiki-mada-huru?GJlXzGgqHj)

_2026-07-10 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_10-07-26.mp3?guid=aa0b97be-7c6b-11f1-a012-8db244004842&source=GJlXzGgqHj)

## [DRC: Muungano wa upinzani wa C64 kutangaza kuendelea na maandamano yake ya amani Julai 22](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260709-drc-muungano-wa-upinzani-wa-c64-kutangaza-kuendelea-na-maandamano-yake-ya-amani-julai-22?GJlXzGgqHj)

_2026-07-09 · Habari RFI-Ki_

Tangazo hilo limetolewa licha ya kushiriki kwenye mazungumzo ya kisiasa na rais wa Burundi Évariste Ndayishimiye, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_08-07-26.mp3?guid=ffffa514-7b8c-11f1-8494-f9a2c7cb99bd&source=GJlXzGgqHj)

## [Siku ya Kiswahili duniani Juni 07 2026](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260707-siku-ya-kiswahili-duniani-juni-07-2026?GJlXzGgqHj)

_2026-07-07 · Habari RFI-Ki_

Dunia hivi leo inaadhimisha siku ya Kiswahili Duniani, kutambua mchango wa lugha ya Kiswahili katika kuunganisha watu, tamaduni na mataifa mbalimbali, kauli mbiu ikiwa Kiswahili Lugha ya kimataifa ya amani, mshikamano na diplomasia ya kiuchumi.” Siku hii inafanyika wakati pia RFI Kiswahili tunatimiza miaka 16 tangu tulipoanza kurusha matangazo yetu, una ujumbe gani kwetu?

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_07-07-26.mp3?guid=c5942848-7a22-11f1-b844-319e252bcfee&source=GJlXzGgqHj)

## [Je, serikali ya Afrika Kusini ilichukua hatua za kutosha kulinda usalama wa raia wa kigeni?](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260706-je-serikali-ya-afrika-kusini-ilichukua-hatua-za-kutosha-kulinda-usalama-wa-raia-wa-kigeni?GJlXzGgqHj)

_2026-07-06 · Habari RFI-Ki_

Wiki iliyopita, maelfu ya raia wa mataifa mbalimbali ya Afrika waliondoka Afrika Kusini kutokana na hofu ya usalama baada ya maandamano yaliyolenga wageni. Baadhi ya nchi zimeikosoa serikali ya Afrika Kusini kwa kushindwa kudhibiti hali hiyo.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_06-07-26_OK.mp3?guid=aa1630ea-794e-11f1-9578-71106e32aecc&source=GJlXzGgqHj)

## [Kombe La Dunia 2026: Raundi ya 32 yakamilika, Morocco na Misri zafuzu 16 bora](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260704-kombe-la-dunia-2026-raundi-ya-32-yakamilika-morocco-na-misri-zafuzu-16-bora?GJlXzGgqHj)

_2026-07-04 · Jukwaa la Michezo_

Tuliyokuandalia leo ni mkusanyiko wa matukio ya raundi ya 32, je ni wakati timu changa kuanza kutamba? Timu mbili tu za Afrika kati ya tisa zafuzu kumi na sita bora, nini kimeiponza Afrika? uchambuzi wa raundi ya 16 bora inaanza leo, kiatu cha dhahabu na mechi za kufuzu Kombe la Dunia la wasichana chini ya miaka 17. Yanga yashinda ubingwa wa Tanzania kwa mara ya 32 huku DRC ikifuzu raundi ya pili…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/jukwaa_04_july.mp3?guid=2e8daade-77c3-11f1-82d7-f9d3412b6fa2&source=GJlXzGgqHj)

## [Dissecting Series A Rounds (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/d9ANUh0d0Af1)

_2026-07-04 · **Sponsored**_

Two real Series A cases: timelines, investor sequencing, and common founder mistakes.

## [Timu ya DRC ya Leopard yaondolewa na Uingereza kwenye mashindano ya kombe la dunia](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260703-timu-ya-drc-ya-leopard-yaondolewa-na-uingereza-kwenye-mashindano-ya-kombe-la-dunia?GJlXzGgqHj)

_2026-07-03 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/APPELS_ACTU_02-07-26.mp3?guid=2d7e81c2-76ec-11f1-a8b9-1d81afdc4925&source=GJlXzGgqHj)

## [Maandamano ya Afrika Kusini kushinikiza wageni kuondoka yaibua maswali](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260703-maandamano-ya-afrika-kusini-kushinikiza-wageni-kuondoka-yaibua-maswali?GJlXzGgqHj)

_2026-07-03 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/HABARI_RAFIKI_01-07-26_OK.mp3?guid=fe9655de-76ea-11f1-b73f-2d617bb3142b&source=GJlXzGgqHj)

## [Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yaadhimisha miaka 66 ya Uhuru](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260703-jamhuri-ya-kidemokrasia-ya-congo-yaadhimisha-miaka-66-ya-uhuru?GJlXzGgqHj)

_2026-07-03 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/HABARI_RAFIKI_30-06-26_OK.mp3?guid=4fea8ece-76ea-11f1-a081-1d81afdc4925&source=GJlXzGgqHj)

## [Uganda : Yamfurusha wakili na mwanaharakati Martha Karua](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260701-uganda-yamfurusha-wakili-na-mwanaharakati-martha-karua?GJlXzGgqHj)

_2026-07-01 · Habari RFI-Ki_

Tunaangazia serikali ya Uganda kumfurusha wakili na mwanaharakati wa Kenya, Martha Karua nchini humo, ikiwa ni mwendelezo wa matukio ambayo yamekuwa yakishuhudiwa hapa Afrika Mashariki. Skiza maoni ya waskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_24-06-26_OK.mp3?guid=41b1f360-6fce-11f1-9cdc-8b18087b57bb&source=GJlXzGgqHj)

## [Mkuu wa majeshi nchini Uganda kuamuru kufungwa runinga ya NTV](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260630-mkuu-wa-majeshi-nchini-uganda-kuamuru-kufungwa-runinga-ya-ntv?GJlXzGgqHj)

_2026-06-30 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_29-06-26_OK.mp3?guid=3214934c-747c-11f1-acdf-e3536907b568&source=GJlXzGgqHj)

## [Kombe la Dunia 2026: Timu saba za Afrika zafuzu hatua ya muondoano](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260627-kombe-la-dunia-2026-timu-saba-za-afrika-zafuzu-hatua-ya-muondoano?GJlXzGgqHj)

_2026-06-27 · Jukwaa la Michezo_

Hatua ya makundi kwenye Kombe la Dunia inafikia kilele hii leo, ni timu gani zimefuzu hatua ya mtoano? Wiki ya pili ya michuano hii imeshuhudia rekodi zikiwekwa na kuvunjwa huku mataifa ya Afrika yakiendelea kufanya vizuri zaidi, lakini pia tutakupa uchambuzi wa mechi za kesho asubuhi. Aidha tumeangazia michuano ya Afrika Mashariki mchezo wa Baseball, tetesi za uhamisho na mashindano ya Paris…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/Jukwaa_27th_june.mp3?guid=fd986404-723c-11f1-bb68-3d610b7cd326&source=GJlXzGgqHj)

## [Kila Ijumaa unapata nafasi kutoa maoni ndani ya rfi Kiswahili](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260626-kila-ijumaa-unapata-nafasi-kutoa-maoni-ndani-ya-rfi-kiswahili?GJlXzGgqHj)

_2026-06-26 · Habari RFI-Ki_

Kila Ijumaa unapata nafasi kuchangia chochote kile, pengine ulikiskia kwenye matangazo yetu au kile kinafanyika hapo uliopo. Skiza maoni ya mskilizaji

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_26-06-26_OK.mp3?guid=823d855c-7177-11f1-a3f0-9b37fc2e51ce&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya : Miaka miwili baada ya maandamano ya Gen Z](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260625-kenya-miaka-miwili-baada-ya-maandamano-ya-gen-z?GJlXzGgqHj)

_2026-06-25 · Habari RFI-Ki_

Shaba yetu leo inalenga nchini Kenya mbapo raia nchini humo wameadimisha miaka miwili tangu kutokea kwa maandamano ya mwaka 2024 ya vijana waliokuwa wapigigania mageuzi nchini humo. Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_25-06-26_OK.mp3?guid=ec199ee8-70af-11f1-b8e1-a3b5228db9b9&source=GJlXzGgqHj)

## [Waziri wa Uingereza kuondoka afisini Septemba](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260623-waziri-wa-uingereza-kuondoka-afisini-septemba?GJlXzGgqHj)

_2026-06-23 · Habari RFI-Ki_

Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer ametangaza kujiuzulu baada ya shinikizo kutoka ndani ya chama chake na kupungua kwa uungwaji mkono wa raia. Je, viongozi wanapaswa kujiuzulu wanapopoteza uungwaji mkono wa wananchi? Skiza makala ya maoni ya waskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_23-06-26_OK.mp3?guid=3e51db6e-6f0a-11f1-9239-1b80738d4fd8&source=GJlXzGgqHj)

## [Msongo wa mawazo changamoto kwa wanaume](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260622-msongo-wa-mawazo-changamoto-kwa-wanaume?GJlXzGgqHj)

_2026-06-22 · Habari RFI-Ki_

Ulimwengu umeadhimisha wiki ya afya ya akili kwa wanaume, wataalamu wanaonya kuwa msongo wa mawazo na matumizi ya dawa za kulevya vinachangia matatizo ya afya ya akili miongoni mwa wanaume. Unafikiri kwa nini wanaume wengi huumia kimya bila kutafuta msaada? Skiza maoni ya mskilizaji.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_22-06-26_OK.mp3?guid=f29fcd78-6e48-11f1-8661-914084b50d42&source=GJlXzGgqHj)

## [Reach prospects with real signals (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/f8ihCSb0qcxj)

_2026-06-22 · **Sponsored**_

Find prospects talking about your problem and get context-backed moments to engage

## [Wiki ya kwanza Kombe la Dunia 2026. Matokeo na Matukio yaliyojiri](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260620-wiki-ya-kwanza-kombe-la-dunia-2026-matokeo-na-matukio-yaliyojiri?GJlXzGgqHj)

_2026-06-20 · Jukwaa la Michezo_

Leo tumeangazia kwa undani matukio na matokeo yote ya wiki ya kwanza michuano ya Kombe la Dunia 2026 - Mbappe, Messi waweka historia wakati Cape Verde na DRC zikihangaisha miamba wa soka wa ulaya, Tunisia yamfuta kazi kocha, uchambuzi wa mechi za leo. Aidha ni mwaka mmoja kuelekea Kombe la Mataifa ya Africa 2027, matokeo ya tenisi kombe la Davis Cup, Police fc ya Rwanda yamfuta kazi kocha wake,…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/Jukwaa_Leo_20th.mp3?guid=2f459ee6-6cc4-11f1-bafd-1d07b89971bd&source=GJlXzGgqHj)

## [Maendeleo ya timu za Afrika kwenye mechi kuwania kombe la dunia 2026](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260619-maendeleo-ya-timu-za-afrika-kwenye-mechi-kuwania-kombe-la-dunia-2026?GJlXzGgqHj)

_2026-06-19 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_18-06-26_OK.mp3?guid=a722c546-6ba3-11f1-a47f-5f84c6f3b9ac&source=GJlXzGgqHj)

## [Je ,Haki za mtoto wa Kiafrika zinaheshimiwa au ni maadhimisho tu ?](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260619-je-haki-za-mtoto-wa-kiafrika-zinaheshimiwa-au-ni-maadhimisho-tu?GJlXzGgqHj)

_2026-06-19 · Habari RFI-Ki_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_17-06-26_OK.mp3?guid=ae2f5a58-6ba2-11f1-ac99-074fc410fdc3&source=GJlXzGgqHj)

## [Marekani na Iran zimekubaliana kufikia makubaliano ya kukomesha vita](https://www.rfi.fr/sw/makala/habari-rfi-ki/20260616-marekani-na-iran-zimekubaliana-kufikia-makubaliano-ya-kukomesha-vita?GJlXzGgqHj)

_2026-06-16 · Habari RFI-Ki_

Rais Donald Trump anasema Mlango Bahari wa Hormuz pia utafunguliwa tena hivi karibuni.Mkataba wa amani, unatarajiwa kutiwa saini siku ya Ijumaa, wiki hii nchini Uswizi

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/HABARI_RAFIKI_16-06-26_OK.mp3?guid=a4079276-6994-11f1-b0f8-156fe55e2899&source=GJlXzGgqHj)

## [Kombe la Dunia laanza likitatizika kuwasha msisimko Marekani, Mexico na Canada](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260613-kombe-la-dunia-laanza-likitatizika-kuwasha-msisimko-marekani-mexico-na-canada?GJlXzGgqHj)

_2026-06-13 · Jukwaa la Michezo_

Tumeangazia Kombe la Dunia 2026 kuanza kwa vikwazo kadhaa, raia wa Afrika waiunga mkono Mexico dhidi ya Afrika Kusini, uchambuzi wa mechi ya leo Brazili dhidi ya Morocco, DRC wakijiandaa kupambana na Ureno wiki ijayo, maandalizi ya mbio za Kigali Marathon zakamilika, klabu ya Gor Mahia nchini Kenya yaamrishwa kufanya uchaguzi upya,

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/jukwaa_leo.mp3?guid=4dbc8014-6743-11f1-9b1a-333cf0a1e988&source=GJlXzGgqHj)

## [Siku Tano tu kuelekea Kombe la Dunia: Mambo muhimu ya kufahamu](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260606-siku-tano-tu-kuelekea-kombe-la-dunia-mambo-muhimu-ya-kufahamu?GJlXzGgqHj)

_2026-06-06 · Jukwaa la Michezo_

Tuliyokuandalia leo ni mambo muhimu ya kufahamu kuelekea Kombe la Dunia, timu ya Iran na mwamuzi wa Somalia hatimaye wapokea visa zao, namna mataifa ya Afrika yamecheza kwenye mechi za kirafiki kuelekea Kombe la Dunia, Riquelme na Florentino kupambania urais wa Real Madrid, Kenya kuandaa Davis Cup, kocha wa Kenya ajitetea baada ya sare dhidi ya Lesotho, tuzo za Ligi Kuu Kenya, kocha Flaurent…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/jukwaa_6th_june.mp3?guid=e9d9d1bc-61c2-11f1-83e7-23a7f98cd6d0&source=GJlXzGgqHj)

## [Arsenal yashinda ubingwa wa Uingereza baada ya miaka 22, Fainali za BAL zikianza](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260523-arsenal-yashinda-ubingwa-wa-uingereza-baada-ya-miaka-22-fainali-za-bal-zikianza?GJlXzGgqHj)

_2026-05-23 · Jukwaa la Michezo_

Leo tumeangazia Arsenal kushinda ubingwa wa Ligi Kuu baada ya miaka 22, kocha wa Uingereza Tuchel azomewa kuwaacha nje wachezaji kadhaa, kocha wa DRC Desabre ataja kikosi cha Kombe la Dunia, Aston Villa yashinda Kombe la Europa, Droo ya kufuzu michuano ya AFCON 2027 yakamilika huku AFCON U17 ikiendelea, fainali za BAL zaanza Kigali, Kipchoge kukimbia marathon ya kwanza Afrika, Motsengo Omba…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/JUKWAA_23RD_MAY.mp3?guid=56dc3d56-56c2-11f1-b7f6-f74bb6ba6ca7&source=GJlXzGgqHj)

## [Michezo kwenye mkutano wa Africa Forward Summit, Ghana yakosolewa mpangilio duni](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260516-michezo-kwenye-mkutano-wa-africa-forward-summit-ghana-yakosolewa-mpangilio-duni?GJlXzGgqHj)

_2026-05-16 · Jukwaa la Michezo_

Leo tunaangazia baadhi ya matukio ya michezo yaliyozungumziwa kwenye mkutano wa Africa Forward Summit uliokamilika hiki hii, uchambuzi wa Ghana kukosolewa kuandaa mashindano duni ya Afrika ya riadha, Al Hilal ya Sudan yatwaa ubingwa wa soka Rwanda, Motsengo Omba akizindua nguzo zake tano za uongozi wa Fecofa, fainali ya Kombe la Shirikisho, Afcon U17 yaanza huko Morocco, mataifa yaanza kuzindua…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/Jukwaa_16th_may_2025.mp3?guid=ec879d3a-5142-11f1-802b-678c29426026&source=GJlXzGgqHj)

## [Ni kwa nini Young Africans imemfuta kazi kocha Pedro Goncalves?](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260509-ni-kwa-nini-young-africans-imemfuta-kazi-kocha-pedro-goncalves?GJlXzGgqHj)

_2026-05-09 · Jukwaa la Michezo_

Tuliyokuandalia leo ni kufutwa kazi kwa kocha wa Yanga Pedro Goncalves, wawaniaji wengine wawili wajiondoa uchaguzi wa urais DRC, mashindano ya magari ya Africa yangoa nanga nchini Uganda, fainali ya Kombe la Shirikisho mkondo wa kwanza kupigwa leo usiku, mechi za kufuzu Kombe la Dunia la wasichana chini ya miaka 20, FIFA imetoa orodha ya wasanii wa kutumbuiza mechi za ufunguzi Kombe la Dunia,…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/Jukwaa_9th_may.mp3?guid=0b7d8d40-4bbb-11f1-8630-c93e1da212b8&source=GJlXzGgqHj)

## [FIFA Series: Kenya ni mwenyeji wa michuano hii ya kwanza kabisa ya kina dada](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260411-fifa-series-kenya-ni-mwenyeji-wa-michuano-hii-ya-kwanza-kabisa-ya-kina-dada?GJlXzGgqHj)

_2026-04-11 · Jukwaa la Michezo_

Leo tumeangazia mashindano ya kwanza kabisa ya kina dada ya FIFA Series inayoandaliwa nchini Kenya, timu tano zimetinga mchujo wa ligi kuu, ziara ya rais wa CAF Motsepe nchini Senegal, ligi ya mabingwa Afrika yaingia hatua ya nusu fainali, kocha Aliou Cisse atua nchini Angola, michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la wasichana chini ya miaka 17, droo ya Afcon U17, michuano ya shule za upili za Afrika…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/Jukwaa_La_Michezo_leo.mp3?guid=14c67042-35c2-11f1-a95f-89afefb2d35b&source=GJlXzGgqHj)

## [DR Congo wafuzu Kombe la Dunia, Wanyama astaafu soka, Ghana yafuta kocha](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260404-dr-congo-wafuzu-kombe-la-dunia-wanyama-astaafu-soka-ghana-yafuta-kocha?GJlXzGgqHj)

_2026-04-04 · Jukwaa la Michezo_

Leo tumeangazia kufuzu kwa DRC michuano ya kombe la dunia tukiwa na mgeni wetu Felly Mulumba, mchezaji wa soka kutoka DRC, Ghana yamfuta kocha Otto Addo, mageuzi katika kamati andalizi ya AFCON 2027 nchini Kenya, Tigers na Petro de Luanda zafuzu fainali ya BAL, Algeria mabingwa wa basketboli ya vitimagu Afrika, kustaafu kwa Victor Wanyama huku ligi ya Kenya ikilenga kuwa bora Afrika, je De Zerbi…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/jukwaa_leo_4th_april.mp3?guid=8c629b96-3043-11f1-843a-7f2fa0a74683&source=GJlXzGgqHj)

## [Senegal yakataa rufaa rasmi, msimu mpya wa BAL waanza, FIFA Series yashika moto](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260328-senegal-yakataa-rufaa-rasmi-msimu-mpya-wa-bal-waanza-fifa-series-yashika-moto?GJlXzGgqHj)

_2026-03-28 · Jukwaa la Michezo_

Leo kwenye jukwaa tumeangazia rufaa ya Senegal kwa mahakama kuu ya spoti, ripoti ya CAF yasema Afrika Mashariki haipo tayari kuandaa Afcon 2027, Afrika Kusini na Kenya zafuzu Kombe la Dunia la gofu ya chipukizi, ripoti maalum ya FIFA Series mjini Kigali, mashindano ya KipKeino Classic yapata sura mpya, ni kwa nini Djigui Diarra amepigwa marufuku ya mechi tatu nchini Tanzania?, vikwazo vipya vya…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/jukwaa_leo_28th_march.mp3?guid=e1707a80-2ac2-11f1-8cc9-b370d29de42a&source=GJlXzGgqHj)

## [Senegal yavuliwa ubingwa wa Afrika, Kenya na Ufaransa zashirikiana kwenye tenisi](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260321-senegal-yavuliwa-ubingwa-wa-afrika-kenya-na-ufaransa-zashirikiana-kwenye-tenisi?GJlXzGgqHj)

_2026-03-21 · Jukwaa la Michezo_

Leo kwenye kipindi tunaangazia hisia za baada ya Caf kuivua Senegal ubingwa wa Afrika, kwenye tenisi Kenya na Ufaransa zimeingia kwenye ushirikiano, hatma ya Kenya kaundaa Afcon 2027, FIFA yaweka vikwazo kwa Nigeria na DRC, robo fainali ligi ya klabu bingwa Afrika kuanza leo, DRC yashindwa ubingwa wa dunia kwenye basketboli ya vitimagu, ushirikiano wa FIFA na YouTube, Ronaldo kukosa mechi za…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/JUKWAA_LA_MICHEZO_21_03.mp3?guid=71a077b4-253b-11f1-a057-73b71f308e2b&source=GJlXzGgqHj)

## [Mashindano ya dunia ya kukimbiza Magari-Kenya Safari Rally yapamba moto Naivasha](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260314-mashindano-ya-dunia-ya-kukimbiza-magari-kenya-safari-rally-yapamba-moto-naivasha?GJlXzGgqHj)

_2026-03-14 · Jukwaa la Michezo_

Mashindano ya dunia ya kukimbiza Magari, Kenya Safari Rally, yanaendelea kushika kasi mjini Naivasha ambapo madereva mbalimbali duniani, wanachuana kutafuta ubingwa. Nani ataibuka bingwa ?

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/JUKWAA_LA_MICHEZO_MARCH_14_2026.mp3?guid=01ab475a-1fc2-11f1-8ba3-a1ccda77403a&source=GJlXzGgqHj)

## [Regragui aondoka Morocco huku CAF ikiahirisha AFCON ya kina dada](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260307-regragui-aondoka-morocco-huku-caf-ikiahirisha-afcon-ya-kina-dada?GJlXzGgqHj)

_2026-03-07 · Jukwaa la Michezo_

Kwenye kipindi cha leo tumeangazia kuondoka kwa kocha mkuu wa Morocco Walid Regragui, Burkina Fason yapata kocha mpya, athari ya kuahirishwa kwa michuano ya WAFCON, vikwazo vya CAF dhidi ya Al Ahly, Faith Kipyegon aorodheshwa kwa mara ya tatu kuwania tuzo ya dunia ya Laureus. FIFA yatangaza sheria mpya za soka kuelekea Kombe la Dunia. Fred Kerley apigwa marufuku ya miaka miwili. Je, ni suala la…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/JUKWAA_3RD_MARCH.mp3?guid=ecc749c2-1a41-11f1-9891-dfed5538ee01&source=GJlXzGgqHj)

## [Gofu: Mkenya Njoroge Kibugu afuzu mchujo wa Magical Kenya Open](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260221-gofu-mkenya-njoroge-kibugu-afuzu-mchujo-wa-magical-kenya-open?GJlXzGgqHj)

_2026-02-21 · Jukwaa la Michezo_

Mkenya Njoroge Kibugu alifuzu mchujo wa mashindano ya dunia ya gofu ya Magical Kenya Open wakati mnyarwanda Celestin Nsazuwera akiweka historia, uchambuzi wa droo ya michuano ya klabu bingwa Afrika, mashindano ya wanawake ya COSAFA, wakenya wang'ara katika michuano ya fencing ya Afrika, TFF yafungua zabuni ya haki za kamari katika debi la kariakor, Fifa kufadhili ujenzi wa viwanja vya soka huko…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/jukwaa_leo.mp3?guid=06371584-0f40-11f1-9143-fb84acc8c396&source=GJlXzGgqHj)

## [Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 zitafanyika Juni-Julai](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260214-fainali-za-kombe-la-mataifa-ya-afrika-2027-zitafanyika-juni-julai?GJlXzGgqHj)

_2026-02-14 · Jukwaa la Michezo_

Leo tumeangazia CAF kudhibitisha kuwa AFCON 2027 itaandaliwa Afrika Mashariki licha ya tetesi za kuahirishwa au kuhamishwa, uchambuzi wa raundi ya mwisho ya hatua ya makundi mechi za klabu bingwa, mechi za kufuzu kombe la dunia la wasichana U20, siku ya kwanza ya michuano ya raga ya wachezaji saba kila upande divisheni ya pili ya HSBC, mfumo mpya wa mashindano ya Tour du Rwanda, kiungo wa Ghana…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/JUKWAA_LEO.mp3?guid=4205f024-09c0-11f1-be8c-815cc1ada960&source=GJlXzGgqHj)

## [Yanga yalenga ushindi muhimu kukaribia robo fainali michuano ya klabu bingwa](https://www.rfi.fr/sw/makala/jukwaa-la-michezo/20260207-yanga-yalenga-ushindi-muhimu-kukaribia-robo-fainali-michuano-ya-klabu-bingwa?GJlXzGgqHj)

_2026-02-07 · Jukwaa la Michezo_

Leo tumeangazia mechi za klabu bingwa Afrika, Yanga itachuana na FAR Rabat nayo Azam ikicheza na Maniema, matukio kuelekea michuano ya gofu ya Magical Kenya Open, mechi za kufuzu kombe la dunia la kina dada chini ya miaka ishirini, rais wa soka DR Congo asimamisha shughuli zote katika uwanja wa Tata Raphael, Rais wa FIFA Infantino asema marufuku dhidi yz Urusi hayajasaidia chochote, mzozo kati ya…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/jukwaa_leo_07th_feb.mp3?guid=9af070aa-043f-11f1-8c9d-e53b7b116e70&source=GJlXzGgqHj)

