# kimataifa (news sources) — RSS Amplifier

Recent posts from the 2 feeds in the RSS Amplifier directory that cover kimataifa.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/kimataifa/news>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/kimataifa/news.md>

---

## [Matete avuta kumbukumbu ya baada ya ushindi wa TPF 5](https://swahili.kbc.co.ke/matete-avuta-kumbukumbu-ya-baada-ya-ushindi-wa-tpf-5/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=matete-avuta-kumbukumbu-ya-baada-ya-ushindi-wa-tpf-5)

_2026-08-23 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Alizungumzia jinsi alipatiwa mlinzi wa kibinafsi hali iliyobadili mtindo wake wa maisha. The post Matete avuta kumbukumbu ya baada ya ushindi wa TPF 5 appeared first on KBC Swahili .

## [Iran yaonya majirani kutojiunga na vita vya kiuchumi vya Marekani](https://swahili.kbc.co.ke/iran-yaonya-majirani-kutojiunga-na-vita-vya-kiuchumi-vya-marekani/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=iran-yaonya-majirani-kutojiunga-na-vita-vya-kiuchumi-vya-marekani)

_2026-08-23 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran Mohsen Rezaei alitoa onyo hilo katika mahojiano. The post Iran yaonya majirani kutojiunga na vita vya kiuchumi vya Marekani appeared first on KBC Swahili .

## [Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake 669 kutoka Afrika Kusini](https://swahili.kbc.co.ke/tanzania-kuwarejesha-nyumbani-raia-wake-669-kutoka-afrika-kusini/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tanzania-kuwarejesha-nyumbani-raia-wake-669-kutoka-afrika-kusini)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Ubalozi wa Tanzania mjini Pretoria umetangaza kuwa utawahamisha raia wake kwa awamu kuanzia Jumatano ijayo Agosti 26. The post Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake 669 kutoka Afrika Kusini appeared first on KBC Swahili .

## [Wauguzi waapa kuendelea na mgomo](https://swahili.kbc.co.ke/wauguzi-waapa-kuendelea-na-mgomo/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=wauguzi-waapa-kuendelea-na-mgomo)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Chama hicho kimesema kuwa serikali imepuuzilia mbali matakwa yao na kufeli kusaini mwafaka wa kurejea kazini wa mwaka 2017 waliokuwa wameafikiana. The post Wauguzi waapa kuendelea na mgomo appeared first on KBC Swahili .

## [Gor Mahia na Tusker kukabana koo Jumapili kuwania kombe la Super](https://swahili.kbc.co.ke/gor-mahia-na-tusker-kukabana-koo-jumapili-kuwania-kombe-la-super/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=gor-mahia-na-tusker-kukabana-koo-jumapili-kuwania-kombe-la-super)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Mabingwa wa Ligi kuu Kenya Gor Mahia FC na mabingw wa Kombe la Mozzart watashuka dimbani Nyayo siku ya Jumapili Agosti 23, kuwania kombe la Super ambalo ni fungua pazia ya msimu mpya wa Ligi. Timu zote pia zinajiandaa kwa majukumu yaliyo mbele yao ya kuiwakilisha Kenya katika ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la \[…\] The post Gor Mahia na Tusker kukabana koo Jumapili kuwania kombe la Super appeared…

## [Ruto amwomboleza Jaji Joseph Mutava Mbalu](https://swahili.kbc.co.ke/ruto-amwomboleza-jaji-joseph-mutava-mbalu/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ruto-amwomboleza-jaji-joseph-mutava-mbalu)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Rais ametuma risala za rambi rambi kwa mjane na pia jamii yote ya marehemu. The post Ruto amwomboleza Jaji Joseph Mutava Mbalu appeared first on KBC Swahili .

## [Rais Ruto awataka viongozi wa makanisa kuongoza mijadala ya kitaifa](https://swahili.kbc.co.ke/rais-ruto-awataka-viongozi-wa-makanisa-kuongoza-mijadala-ya-kitaifa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-ruto-awataka-viongozi-wa-makanisa-kuongoza-mijadala-ya-kitaifa)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Akiwahutubia waumini wa kanisa la African Brotherhood Church (ABC) Women of Faith Congress katika chuo kikuu cha Machakos, siku ya Jumamosi,Rais alisema masuala muhimu ya taifa kama vile ruwaza ya mwaka 2030 yanapaswa kuwa kati ya masuala muhimu yanayoongozwa na kanisa. The post Rais Ruto awataka viongozi wa makanisa kuongoza mijadala ya kitaifa appeared first on KBC Swahili .

## [Tanzania yatoa msaada wa vifaa vya matibabu kwa DRC kukabiliana na Ebola](https://swahili.kbc.co.ke/tanzania-yatoa-msaada-wa-vifaa-vya-matibabu-kwa-drc-kukabiliana-na-ebola/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tanzania-yatoa-msaada-wa-vifaa-vya-matibabu-kwa-drc-kukabiliana-na-ebola)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

DRC inatarajiwa pia kupokea dozi za chanjo Everbo kutoka Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kusaidia kukabiliana na maambukizi mapya ya Ebola. The post Tanzania yatoa msaada wa vifaa vya matibabu kwa DRC kukabiliana na Ebola appeared first on KBC Swahili .

## [VIJIJI NA VITONGOJI VYOTE TANZANIA BARA KUWA NA UMEME KABLA YA MWAKA 2030](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/vijiji-na-vitongoji-vyote-tanzania-bara.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa hatua kubwa iliyofikiwa katika kusambaza umeme nchini, huku akiwataka kuongeza kasi ya kufikisha huduma hiyo kwenye maeneo yaliyosalia. Rais Samia amesema Serikali imeendelea kupanua wigo wa upatikanaji wa umeme kwa wananchi kote nchini, ambapo hadi sasa vijiji vyote 12,318 na…

## [NEMC NA JNHPP: USIMAMIZI WA MAZINGIRA KATIKA MIRADI YA KIMKAKATI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/ndoto-imetimia-na-mpango-wa-kuwa-na.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki kikamilifu katika uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), unaofanywa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa jukumu la lake la kusimamia na kudhibiti masuala ya mazingira katika miradi ya maendeleo nchini. Ushiriki wa NEMC katika…

## [AI publishing with human taste (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/MXU5aj9p8adS)

_2026-08-22 · **Sponsored**_

Convert AI research into blogs, podcasts, and newsletters with optional human review.

## [NJIA ZA KUSAFIRISHA UMEME KUWA NGUZO YA KUPELEKA UMEME WA JNHPP KOTE NCHINI - NDEJEMBI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/njia-za-kusafirisha-umeme-kuwa-nguzo-ya.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema Serikali imeendelea kuimarisha miundombinu ya kusafirisha umeme ili kuhakikisha ongezeko la uzalishaji, hususan kutoka katika Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), linafika kwa uhakika katika maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza leo Jumamosi, Agosti 22, 2026, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha kuzalisha umeme cha Julius Nyerere, mgeni rasmi akiwa…

## [RAIS SAMIA AZINDUA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA JULIUS NYERERE](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/rais-samia-azindua-kituo-cha-kuzalisha.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi Agosti 22, 2026, amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), kilichopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. JNHPP ni mradi mkubwa wa kimkakati katika sekta ya nishati nchini, wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 kupitia mitambo tisa, kila mmoja ukiwa na uwezo wa Megawati 235. Mradi huo umegharimu…

## [RAIS SAMIA AWASILI JNHPP KWA UZINDUZI WA KITUO CHA UMEME](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/rais-samia-awasili-jnhpp-kwa-uzinduzi.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika eneo la Mradi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), Rufiji, Mkoa wa Pwani, kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa kituo hicho. Rais Samia alipowasili katika eneo la mradi, alisalimiana na Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria tukio hilo. Uzinduzi wa…

## [VIONGOZI WAWASILI JNHPP KUSHUHUDIA UZINDUZI WA KITUO CHA UMEME](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/viongozi-wawasili-jnhpp-kushuhudia.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Viongozi mbalimbali wamewasili katika Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), kilichopo Rufiji, mkoani Pwani, kushuhudia uzinduzi rasmi wa kituo hicho. JNHPP kina uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme , hatua inayotarajiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa Tanzania katika uzalishaji wa nishati ya umeme. Uzinduzi wa kituo hicho unaashiria hatua muhimu katika juhudi za Serikali…

## [UZINDUZI WA JNHPP KUWEKA HISTORIA MPYA KATIKA SEKTA YA NISHATI TANZANIA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/uzinduzi-wa-jnhpp-waweka-historia-mpya.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rufiji, Pwani — Agosti 22, 2026: Tanzania leo inaweka hatua nyingine muhimu katika sekta ya nishati kufuatia uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) unaofanyika katika eneo la Rufiji, Mkoa wa Pwani. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan , anatarajiwa kuongoza hafla hiyo ya uzinduzi wa mradi wenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 (MW) . Mradi huo…

## [Arsenal waanza kutetea ubingwa wa EPL kwa kishindo](https://swahili.kbc.co.ke/arsenal-waanza-kutetea-ubingwa-wa-epl-kwa-kishindo/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=arsenal-waanza-kutetea-ubingwa-wa-epl-kwa-kishindo)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Arsenal walishinda taji hilo kwa mara ya kwanza Mei mwaka huu baada ya subira ya miaka 22, wakizoa pointi 82, kushinda mechi 25, kupiga sare saba na kupoteza tano. The post Arsenal waanza kutetea ubingwa wa EPL kwa kishindo appeared first on KBC Swahili .

## [Wanyonyi awika Laussane Diamond League](https://swahili.kbc.co.ke/wanyonyi-awika-laussane-diamond-league/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=wanyonyi-awika-laussane-diamond-league)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Wanyonyi alitumia muda wa dakika 1 sekunde 42.19, kuvuka mstari wa mwisho na kudumisha uongozi wake msimu huu ambapo sasa amezoa pointi 35. The post Wanyonyi awika Laussane Diamond League appeared first on KBC Swahili .

## [MEZA YA MAGAZETI LEO AGOSTI 22, 2026: HAYA NDIO YANAYOTAWALA KWENYE VICHWA VYA HABARI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/meza-ya-magazeti-leo-agosti-22-2026.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Magazeti ya Tanzania leo, Jumamosi Agosti 22, 2026, yanaendelea kuangazia taarifa mbalimbali muhimu zinazogusa masuala ya kitaifa, uchumi, jamii, michezo na matukio yanayoendelea nchini na duniani. Katika Meza ya Magazeti ya Madelemo News , wasomaji wanapata muhtasari wa mada zinazovuta perhatian ya umma na ambazo zimepewa nafasi katika vyombo mbalimbali vya habari. UZINDUZI WA JNHPP RUFIJI…

## [TASAC YASHIRIKI MKUTANO WA NNE WA KIMATAIFA WA USAFIRISHAJI, LOJISTIKI NA USIMAMIZI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/tasac-yashiriki-mkutano-wa-nne-wa.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeshiriki katika Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Usafirishaji, Lojistiki na Usimamizi (ICTLM 2026), uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. Mkutano huo umewakutanisha wadau kutoka sekta za usafirishaji, lojistiki, biashara na uchukuzi kwa lengo la kujadili fursa, changamoto na maendeleo katika sekta hizo, pamoja na kubadilishana uzoefu…

## [RIHANNA AENDELEA KUFURAHIA MAISHA YA UMAMA NA WATOTO WAKE](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/rihanna-aendelea-kufurahia-maisha-ya.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Msanii maarufu wa muziki kutoka Barbados, Rihanna, ameendelea kuonyesha upande wake wa maisha ya familia huku akitumia muda zaidi pamoja na watoto wake. Baada ya kurejea kutoka Barbados, Rihanna alionekana kufurahia muda wa pamoja na watoto wake jijini New York. Wakati akiwa nchini kwao Barbados, msanii huyo aliwapa watoto wake nafasi ya kufurahia mazingira ya visiwani, ikiwemo kutembelea maeneo…

## [Stream Torrents and IPTV Instantly (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/Xxmq5iEpdzOe)

_2026-08-21 · **Sponsored**_

Search, index, and play music, movies, books, and live TV in your browser.

## [Kenya yaunga mkono ubunifu wa kidijitali](https://swahili.kbc.co.ke/kenya-yaunga-mkono-ubunifu-wa-kidijitali/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kenya-yaunga-mkono-ubunifu-wa-kidijitali)

_2026-08-21 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Kenya imethibitisha tena dhamira yake ya kuimarisha miundombinu ya kidijitali na kupokea teknolojia ibuka ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kuiweka nchi katika nafasi ya kuwa kitovu kinachoongoza cha kidijitali barani Afrika. Katibu wa idara ya Utangazaji na Mawasiliano, Steve Isaboke, alisema hayo katika mkutano wa FiberHome World Tour, Kenya, uliofanyika katika Hoteli ya JW \[…\] The post Kenya…

## [KITUO CHA KURASINI KUANZA KUHUDUMIA MIZIGO NOVEMBA, KUPUNGUZA MSONGAMANO BANDARI YA DAR ES SALAAM](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/kituo-cha-kurasini-kuanza-kuhudumia.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Kituo cha Lojistiki cha Kurasini kinachojengwa katika eneo la zamani la EPZA, Dar es Salaam, kinatarajiwa kuanza rasmi kuhudumia makasha ya mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam mwezi Novemba mwaka huu Prof. Mbarawa amesema hayo leo Agosti 21,2026,wakati akikagua maendeleo ya Mradi wa Upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo hilo, akieleza…

## [Serikali na wadau wa ubunifu wahimiza ushirikiano](https://swahili.kbc.co.ke/serikali-na-wadau-wa-ubunifu-wahimiza-ushirikiano/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=serikali-na-wadau-wa-ubunifu-wahimiza-ushirikiano)

_2026-08-21 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Wazo hilo lilitolewa na mkurugenzi wa Filamu katika Idara ya masuala ya vijana na uchumi wa ubunifu, kwenye kongamano la Behind the Scenes The post Serikali na wadau wa ubunifu wahimiza ushirikiano appeared first on KBC Swahili .

## [Wachimbaji madini Tanzania kuanzisha benki](https://swahili.kbc.co.ke/wachimbaji-madini-tanzania-kuanzisha-benki/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=wachimbaji-madini-tanzania-kuanzisha-benki)

_2026-08-21 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba, ameridhia kuanzishwa kwa Benki hiyo Maalum. The post Wachimbaji madini Tanzania kuanzisha benki appeared first on KBC Swahili .

## [Katibu Kipronoh asema serikali inanuia kuiboresha sekta ya chai](https://swahili.kbc.co.ke/katibu-kipronoh-asema-serikali-inanuia-kuiboresha-sekta-ya-chai/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=katibu-kipronoh-asema-serikali-inanuia-kuiboresha-sekta-ya-chai)

_2026-08-21 · Martin Mwanje · KBC Swahili_

Katika katika Wizara ya Kilimo Dkt. Kipronoh Ronoh leo Ijumaa amekutana na wakulima wa majani chai katika kiwanda cha Chelal katika kaunti ya Kericho. Ni wakati wa mkutano huo aliposisitiza dhamira ya serikali kuhakikisha sekta ya chai inakuwa ya kisasa, yenye ushindani na inayotoa kipaumbele kwa wakulima. Chelal ni miongoni mwa viwanda 17 vilivyo katika \[…\] The post Katibu Kipronoh asema serikali…

## [FIFA YATOA ADHABU KALI KUFUATIA TUKIO LA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/fifa-yatoa-adhabu-kali-kufuatia-tukio.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetoa adhabu kwa baadhi ya wachezaji na viongozi wa Argentina na Hispania kufuatia matukio yaliyotokea baada ya fainali ya Kombe la Dunia 2026 kati ya Hispania na Argentina. Tukio hilo lilitokea baada ya mchezo wa fainali, ambapo hali ya sintofahamu ilijitokeza kati ya baadhi ya wachezaji wa timu hizo. Miongoni mwa waliopewa adhabu kali ni kiungo wa Argentina,…

## [Arsenal kufungua Ligi Kuu Uingereza Ijumaa dhidi ya Coventry](https://swahili.kbc.co.ke/arsenal-kufungua-ligi-kuu-uingereza-ijumaa-dhidi-ya-coventry/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=arsenal-kufungua-ligi-kuu-uingereza-ijumaa-dhidi-ya-coventry)

_2026-08-21 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Arsenal walishinda taji hilo kwa mara ya kwanza Mei mwaka huu baada ya subira ya miaka 22, wakizoa pointi 82, kushinda mechi 25, kupiga sare saba na kupoteza tano. The post Arsenal kufungua Ligi Kuu Uingereza Ijumaa dhidi ya Coventry appeared first on KBC Swahili .

## [Vijana 3 wajeruhiwa Mombasa katika kisa cha ufyatuaji risasi](https://swahili.kbc.co.ke/vijana-3-wajeruhiwa-mombasa-katika-kisa-cha-ufyatuaji-risasi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=vijana-3-wajeruhiwa-mombasa-katika-kisa-cha-ufyatuaji-risasi)

_2026-08-21 · KBC Digital News · KBC Swahili_

Kamanda wa Polisi katika kaunti ya Mombasa Stella Jerono amethibitisha kisa cha ufyatuaji risasi kilichohusisha mlinzi wa Gavana wa Mombasa Abdullswamad Sherrif Nassir na vijana. Kisa hicho kilitokea leo Ijumaa wakati wa mkutano uliofanyika katika uwanja wa Bomu, kaunti ndogo ya Changamwe. Vijana hao walidaiwa kupigwa risasi mkutano huo ulipogeuka kuwa wenye vurugu walipoanza kutoa \[…\] The post…

## [Serikali yatenga bilioni 1.4 kwa usambazaji umeme Busia](https://swahili.kbc.co.ke/serikali-yatenga-bilioni-1-4-kwa-usambazaji-umeme-busia/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=serikali-yatenga-bilioni-1-4-kwa-usambazaji-umeme-busia)

_2026-08-21 · KBC Digital News · KBC Swahili_

Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi anasema serikali imetenga shilingi bilioni 1.46 za kuunganisha umeme katika zaidi ya nyumba 17,000 katika kaunti ya Busia. Akizungumza katika vijiji vya Mabunge na Muramia katika kaunti ndogo ya Nambale, Wandayi amesema hatua hiyo inalenga kupanua upatikanaji wa umeme na kuboresha mapato ya wakazi wa eneo hilo. Aliongeza kuwa eneo \[…\] The post Serikali yatenga…

## [Kindiki asema serikali iko katika mwelekeo sahihi wa maendeleo](https://swahili.kbc.co.ke/kindiki-asema-serikali-iko-katika-mwelekeo-sahihi-wa-maendeleo/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kindiki-asema-serikali-iko-katika-mwelekeo-sahihi-wa-maendeleo)

_2026-08-21 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Amewasihi Wakenya kuunga mkono Rais William Ruto katika azma yake ya kuchaguliwa tena. The post Kindiki asema serikali iko katika mwelekeo sahihi wa maendeleo appeared first on KBC Swahili .

## [Refer a Friend, Earn Rewards (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/evsD05Cu5OFm)

_2026-08-21 · **Sponsored**_

Earn rewards when a friend signs up for the Graphite Business Card

## [Maandalizi ya siku kuu ya Mashujaa yashika Kasi](https://swahili.kbc.co.ke/maandalizi-ya-siku-kuu-ya-mashujaa-yashika-kasi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=maandalizi-ya-siku-kuu-ya-mashujaa-yashika-kasi)

_2026-08-21 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Maandalizi ya sherehe za mwaka huu za siku kuu ya Mashujaa yamezidi kushika kasi, huku kaunti za Elgeyo-Marakwet, Nandi na Uasin Gishu zikitarajiwa kuandaa hafla hiyo ya kitaifa kwa pamoja. Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, alisema maandalizi yanaendelea vizuri baada ya kuanza ziara ya kukagua miradi inayohusishwa na sherehe hizo katika kaunti hizo \[…\] The post Maandalizi ya siku kuu…

## [Vinka aahidi burudani ya kipekee](https://swahili.kbc.co.ke/vinka-aahidi-burudani-ya-kipekee/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=vinka-aahidi-burudani-ya-kipekee)

_2026-08-21 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Anaandaa tamasha ya "Vinka Live and Loud", leo Ijumaa Agosti 21, 2026 katika uwanja wa Lugogo jijini Kampala. The post Vinka aahidi burudani ya kipekee appeared first on KBC Swahili .

## [Sahau kiti cha Naibu Rais, Kindiki awaambia wanaokinyemelea](https://swahili.kbc.co.ke/sahau-kiti-cha-naibu-rais-kindiki-awaambia-wanaokinyemelea/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=sahau-kiti-cha-naibu-rais-kindiki-awaambia-wanaokinyemelea)

_2026-08-21 · Martin Mwanje · KBC Swahili_

Chama cha ODM hasa kimeelezea nia ya kukabidhiwa wadhifa wa Naibu Rais baada ya kutangaza kuwa kitamuunga mkono Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. The post Sahau kiti cha Naibu Rais, Kindiki awaambia wanaokinyemelea appeared first on KBC Swahili .

## [Lissu ana kesi ya kujibu, mahakama yaamua](https://swahili.kbc.co.ke/lissu-ana-kesi-ya-kujibu-mahakama-yaamua/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=lissu-ana-kesi-ya-kujibu-mahakama-yaamua)

_2026-08-21 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Aliambia Mahakama kwamba atajitetea mwenyewe. The post Lissu ana kesi ya kujibu, mahakama yaamua appeared first on KBC Swahili .

## [RODRI AANZA MAZOEZI BARCELONA, MOURINHO ATOA MAONI KUHUSU USAJILI WAKE](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/rodri-aanza-mazoezi-barcelona-mourinho.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Kiungo Rodri ameanza mazoezi na kikosi cha Barcelona, huku mjadala ukiendelea kuhusu nafasi yake katika mipango ya klabu hiyo. Wakati huo huo, kocha José Mourinho ametoa mtazamo wake kuhusu usajili wa Rodri, akisisitiza kuwa kwa upande wake, Barcelona haikuwa na uhitaji wa haraka wa kuongeza mchezaji katika eneo hilo. Mourinho amesema Rodri angekuwa zaidi kama nyongeza ya ubora katika kikosi…

## [Wanyonyi kuwaongoza wakenya leo Laussane Diamond League](https://swahili.kbc.co.ke/wanyonyi-kuwaongoza-wakenya-leo-laussane-diamond-league/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=wanyonyi-kuwaongoza-wakenya-leo-laussane-diamond-league)

_2026-08-21 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Wanyonyi aanyeongoza msimamo Kwa alama 27, atakabiliana na Marco Arop wa Canada,Djamel Sedjati wa Algeria,Brandon Miller wa Marekani na Gabriel Tual wa Ufaransa. The post Wanyonyi kuwaongoza wakenya leo Laussane Diamond League appeared first on KBC Swahili .

## [JINSI TUKIO LA PAULO DIOGO LILIVYOCHANGIA KUBADILIKA KWA SHERIA YA VIFAA VYA WACHEZAJI UWANJANI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/jinsi-tukio-la-paulo-diogo.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

MICHEZO | HISTORIA YA SOKA Katika soka la zamani, wachezaji walikuwa wakionekana uwanjani wakiwa wamevaa baadhi ya vifaa vya mapambo kama pete, cheni na vipuli. Hata hivyo, kanuni za mchezo zilikuja kubadilika kwa msisitizo mkubwa zaidi kwenye usalama wa wachezaji. Moja ya matukio yaliyotajwa sana katika historia ya mabadiliko hayo ni tukio lililomhusisha Paulo Diogo , aliyekuwa akiichezea klabu…

## [WAKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI WAREJEA NYUMBANI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/wakaguzi-wa-hesabu-za-serikali-warejea.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Wakati Ngorongoro ikiendelea na Msimu wa utalii (high season), Ofisi ya mkaguzi mkuu wa Serikali imenogesha msimu huo kwa kurejea nyumbani wakiambatana na ugeni wa wajumbe takriban 70 kutoka nchi 12 zinazounda jumuiya ya kimataifa ya wakaguzi wakuu wa serikali (INTOSAI) Working group on the fight against corruption and Money Laundering (WGFACML). Akipokea ugeni huo, Naibu Kamishina wa Uhifadhi-…

## [MASHABIKI WA SOKA WATAKA GIANNI INFANTINO AJIUZULU URAIS WA FIFA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/mashabiki-wa-soka-wataka-gianni.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Mtandao wa Mashabiki wa Soka Barani Ulaya (FSE) umeunga mkono ombi la umma linalomtaka Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, kujiuzulu na kuitaka FIFA kufanya mageuzi makubwa katika mfumo wa uendeshaji wa taasisi hiyo. Ombi hilo, lililowasilishwa kupitia Change.org , linaungwa mkono na mashirika ya mashabiki kutoka maeneo mbalimbali duniani. Miongoni mwa makundi yaliyotajwa…

## [LIL DURK KIFUNGO CHA MAISHA KITAMUHUSU IWAPO ATAPATIKANA NA HATIA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/lil-durk-kifungo-cha-maisha-kitamuhusu.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rapa maarufu wa Marekani, Lil Durk , ambaye jina lake halisi ni Durk Devontay Banks , anakabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa kifungo cha maisha katika gereza la shirikisho iwapo atapatikana na hatia katika kesi inayohusisha tuhuma za kupanga mauaji kwa malipo. Kwa mujibu wa Wizara ya Sheria ya Marekani, adhabu ya juu kisheria kwa mashtaka yanayomkabili msanii huyo ni kifungo cha maisha . Waendesha…

## [TCAA YASHIRIKI KONGAMANO LA NNE LA KIMATAIFA LA SEKTA YA UCHUKUZI NA USAFIRISHAJI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/tcaa-yashiriki-kongamano-la-nne-la.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imepongezwa kwa kuendelea kusimamia sekta ya usafiri wa anga kwa ufanisi na kuimarisha utoaji wa huduma kupitia mifumo ya kisasa ya kidijitali. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof.Makame Mbarawa aliyekuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Nne la Kimataifa la Sekta ya Uchukuzi na Usafirishaji, linalofanyika tarehe 20 na 21 Agosti 2026…

## [DRC kupokea dozi 70,000 za chanjo ya Ebola](https://swahili.kbc.co.ke/drc-kupokea-dozi-70000-za-chanjo-ya-ebola/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=drc-kupokea-dozi-70000-za-chanjo-ya-ebola)

_2026-08-21 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Chanjo ya Everbo imethibitihswa kuzuia maambukizi mapya ya virusi vya Bundibugyo vinavyosababisha ugonjwa wa Ebola. The post DRC kupokea dozi 70,000 za chanjo ya Ebola appeared first on KBC Swahili .

## [MEZA YA MAGAZETI LEO AGOSTI 21, 2026](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/meza-ya-magazeti-leo-agosti-21-2026.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

DAR ES SALAAM: Magazeti mbalimbali ya Tanzania leo, Ijumaa Agosti 21, 2026, yameendelea kuangazia taarifa muhimu zinazohusu siasa, uchumi, jamii, michezo na masuala mengine yanayogusa maisha ya wananchi. Katika Meza ya Magazeti ya Madelemo News , wasomaji wanapata muhtasari wa vichwa vya habari vilivyopewa uzito katika magazeti ya leo. HABARI KUU Magazeti ya leo yameendelea kutoa nafasi kwa…

## [Uteuzi wa wagombeaji Urais kukamilika Mei 24, yasema IEBC](https://swahili.kbc.co.ke/uteuzi-wa-wagombeaji-urais-kukamilika-mei-24yasema-iebc/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=uteuzi-wa-wagombeaji-urais-kukamilika-mei-24yasema-iebc)

_2026-08-21 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

IEBC imepanga kuendesha uchaguzi mkuu wa mwaka ujao utakaoandaliwa Agosti 10. The post Uteuzi wa wagombeaji Urais kukamilika Mei 24, yasema IEBC appeared first on KBC Swahili .

## [TACAIDS YAWEKA MIKAKATI MADHUBUTI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/tacaids-yaweka-mikakati-madhubuti.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) inaendelea kuimarisha mikakati madhubuti ya kupambana na VVU na UKIMWI kupitia ushirikiano wa kisekta, kuhamasisha vyanzo vya fedha vya ndani, kusogeza huduma karibu na jamii ikiwemo Vituo vya Maarifa kwa madereva wa malori na kuwajengea uwezo vijana na wanawake ili kufikia lengo la kutokomeza kabisa janga hili ifikapo mwaka 2030. Hayo yamebainishwa na…

## [IEBC yachapisha notisi, ratiba kuelekea Uchaguzi Mkuu 2027](https://swahili.kbc.co.ke/iebc-yachapisha-notisi-ratiba-kuelekea-uchaguzi-mkuu-2027/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=iebc-yachapisha-notisi-ratiba-kuelekea-uchaguzi-mkuu-2027)

_2026-08-20 · Martin Mwanje · KBC Swahili_

Uchaguzi Mkuu 2027 kuandaliwa Agosti 10 huku IEBC ikitenga muda rasmi wa kampeni kuwa Mei 29 - Agosti 7. The post IEBC yachapisha notisi, ratiba kuelekea Uchaguzi Mkuu 2027 appeared first on KBC Swahili .

## [KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR YAZURU NEMC](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/kamati-ya-kudumu-ya-baraza-la.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Machano Othman Said, imezuru Ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Agosti 20, 2026, kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika uhifadhi na usimamizi wa mazingira. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Mwenyekiti wa Kamati…

## [Mahakama yamnusuru Omboko Milemba kutimuliwa KUPPET](https://swahili.kbc.co.ke/mahakama-yamnusuru-omboko-milemba-kutimuliwa-kuppet/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=mahakama-yamnusuru-omboko-milemba-kutimuliwa-kuppet)

_2026-08-20 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Aidha,kesi hiyo inahoji uhalali wa Milemba kushikilia afisi hiyo na pia kiti cha Ubunge. The post Mahakama yamnusuru Omboko Milemba kutimuliwa KUPPET appeared first on KBC Swahili .

## [Kipchoge aunga mkono kampeni ya kuwafaa watoto walemavu](https://swahili.kbc.co.ke/kipchoge-aunga-mkono-kampeni-ya-kuwafaa-watoto-walemavu/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kipchoge-aunga-mkono-kampeni-ya-kuwafaa-watoto-walemavu)

_2026-08-20 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Kipchoge alitangaza kujiunga na kampeni hiyo siku ya Alhamisi alipomtembelea Panther afisini mwake. The post Kipchoge aunga mkono kampeni ya kuwafaa watoto walemavu appeared first on KBC Swahili .

## [ARTETA ATOA UFAFANUZI KUHUSU MYLES LEWIS-SKELLY KUHAMA ARSENAL](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/arteta-atoa-ufafanuzi-kuhusu-myles.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, ameondoa hofu kuhusu mustakabali wa kiungo Myles Lewis-Skelly, akisisitiza kuwa mchezaji huyo ataendelea kubaki katika kikosi cha Arsenal baada ya dirisha la usajili la majira ya kiangazi kufungwa. Arteta alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa kuhusu taarifa zinazomhusisha Lewis-Skelly na Manchester United. Kocha huyo amesema ana imani kubwa kwamba kinda huyo…

