# katika (news sources) — RSS Amplifier

Recent posts from the 1 feeds in the RSS Amplifier directory that cover katika.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/katika/news>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/katika/news.md>

---

## [Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kuongeza ruzuku kwa TBA](https://www.jamhurimedia.co.tz/kamati-ya-bunge-yaishauri-serikali-kuongeza-ruzuku-kwa-tba/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kamati-ya-bunge-yaishauri-serikali-kuongeza-ruzuku-kwa-tba)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiomba Serikali kuongeza ruzuku kwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), ili kuwezesha kuongeza kasi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya watumishi wa umma nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo,...

## [Waziri wa Fedha aishukuru IMF kwa mchango wake](https://www.jamhurimedia.co.tz/waziri-wa-fedha-aishukuru-imf-kwa-mchango-wake/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=waziri-wa-fedha-aishukuru-imf-kwa-mchango-wake)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na. Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, amelishukuru Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa mchango wake kwa Tanzania tangu kuanza kwa ushirikiano kati yake na Shirika hilo, akieleza kuwa ushirikiano huo umeendelea kuwa...

## [Prof. Shemdoe awaasa viongozi Serikali za mitaa kuepuka migogoro ili kuongeza ufanisi wa huduma kwa wananchi](https://www.jamhurimedia.co.tz/prof-shemdoe-awaasa-viongozi-serikali-za-mitaa-kuepuka-migogoro-ili-kuongeza-ufanisi-wa-huduma-kwa-wananchi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=prof-shemdoe-awaasa-viongozi-serikali-za-mitaa-kuepuka-migogoro-ili-kuongeza-ufanisi-wa-huduma-kwa-wananchi)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao...

## [Mwambene awataka walimu wapya kushirikiana na wenzao](https://www.jamhurimedia.co.tz/mwambene-awataka-walimu-wapya-kushirikiana-na-wenzao/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=mwambene-awataka-walimu-wapya-kushirikiana-na-wenzao)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Atupele Mwambene ametoa wito kwa walimu walioshiriki mafunzo ya somo la Elimu ya Biashara kuonesha ushirikiano kwa walimu wataowakuta katika vituo vyao vya kazi ili kuwasaidia watoto katika malezi pamoja na...

## [Balozi Salum azitaka FCC, TBS na WMA kupambana na bidhaa bandia na duni](https://www.jamhurimedia.co.tz/balozi-salum-azitaka-fcc-tbs-na-wma-kupambana-na-bidhaa-bandia-na-duni/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=balozi-salum-azitaka-fcc-tbs-na-wma-kupambana-na-bidhaa-bandia-na-duni)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Mameneja wa Kanda na Mikoa wa Taasisi za Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Tume ya Ushindani (FCC) pamoja na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) wameagizwa kuhakikisha hakuna bidhaa bandia na duni katika maeneo yao wanayoyasimamia kiutendaji. Maelekezo hayo yametolewa na...

## [Airtel Africa yaandika historia kwa kuzindua intaneti ya satelaiti kwa simu DRC](https://www.jamhurimedia.co.tz/airtel-africa-yaandika-historia-kwa-kuzindua-intaneti-ya-satelaiti-kwa-simu-drc/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=airtel-africa-yaandika-historia-kwa-kuzindua-intaneti-ya-satelaiti-kwa-simu-drc)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Kinshasa, 17 Agosti 2026: Airtel Africa imeandika historia baada ya kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiliano barani Afrika kuzindua kibiashara intaneti ya satelaiti kwa simu nchini Jamhuriya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ikifungua ukurasa mpya katika upatikanaji wa mawasilianokatika maeneo yasiyofikiwa...

## [Port Extension kuanza kutumika Novemba, kupunguza msongamano Bandari ya Dar](https://www.jamhurimedia.co.tz/port-extension-kuanza-kutumika-novemba-kupunguza-msongamano-bandari-ya-dar/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=port-extension-kuanza-kutumika-novemba-kupunguza-msongamano-bandari-ya-dar)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam ENEO la Kurasini Logistics Park linaloandaliwa kuwa Port Extension ya Bandari ya Dar es Salaam linatarajiwa kuanza kutumika rasmi Novemba mwaka huu, hatua inayolenga kupunguza msongamano wa makontena na malori katika bandari hiyo. Akizungumza...

## [Mbarawa awataka watafiti kubadili tafiti kuwa suluhisho la changamoto za usafiri](https://www.jamhurimedia.co.tz/mbarawa-awataka-watafiti-kubadili-tafiti-kuwa-suluhisho-la-changamoto-za-usafiri/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=mbarawa-awataka-watafiti-kubadili-tafiti-kuwa-suluhisho-la-changamoto-za-usafiri)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amewataka watafiti nchini kuhakikisha tafiti wanazofanya katika sekta ya usafiri na usafirishaji zinatoa suluhisho la changamoto halisi na kuchangia maendeleo ya kiuchumi, badala ya kuishia kwenye makabrasha...

## [Dk Mwigulu aagiza kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vya AFCON](https://www.jamhurimedia.co.tz/dk-mwigulu-aagiza-kasi-ya-ujenzi-wa-viwanja-vya-mazoezi-vya-afcon/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=dk-mwigulu-aagiza-kasi-ya-ujenzi-wa-viwanja-vya-mazoezi-vya-afcon)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

\*Awataka wakandarasi kukamilisha mikataba ya wafanyakazi na kushughulikia stahiki zao ndani ya wiki moja. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili...

## [NMB yawainua wafanyabiashara tisa wa Lumumba kwa fidia ya Sh1.072 bilioni](https://www.jamhurimedia.co.tz/nmb-yawainua-wafanyabiashara-tisa-wa-lumumba-kwa-fidia-ya-sh1-072-bilioni/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=nmb-yawainua-wafanyabiashara-tisa-wa-lumumba-kwa-fidia-ya-sh1-072-bilioni)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

●NMB yawawezesha wafanyabiashara tisa wa Lumumba kuanza upya Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Wafanyabiashara tisa wa mtaa wa Lumumba jijini Mwanza wamepata nafasi ya kujenga upya biashara zao baada ya NMB Bank, kwa kushirikiana na Reliance Insurance, kuwalipa fidia ya...

## [Ultra-Quiet Business Mini (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/SdFgqIXnGqw1)

_2026-08-21 · **Sponsored**_

Compact business mini, ultra-quiet for focused work.

## [Meneja Mkuu: Huduma bora kwa mteja ndio kipaumbele cha shirika](https://www.jamhurimedia.co.tz/meneja-mkuu-huduma-bora-kwa-mteja-ndio-kipaumbele-cha-shirika/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=meneja-mkuu-huduma-bora-kwa-mteja-ndio-kipaumbele-cha-shirika)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo CPA. Ashraph Abdulkarim amewataka watumishi kuhakikisha kuwa wanakuwa suluhu ya changamoto za wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kwa kusikiliza, kutoa majawabu ya uhakika kwa wakati na kutoa mrejesho kwa wafanyabiashara hao...

## [Serikali yaweka mkazo chanjo ya polio, watoto milioni 6.5 kulengwa](https://www.jamhurimedia.co.tz/serikali-yaweka-mkazo-chanjo-ya-polio-watoto-milioni-6-5-kulengwa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=serikali-yaweka-mkazo-chanjo-ya-polio-watoto-milioni-6-5-kulengwa)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka mkazo katika kuzuia ugonjwa wa kupooza (Polio) kwa kuendesha kampeni maalum ya chanjo itakayowafikia watoto zaidi ya milioni 6.5 katika mikoa nane nchini. Kampeni hiyo inatarajiwa kufanyika Agosti 27 hadi 30, 2026, ambapo chanjo...

## [Kamati ya Bunge yaipongeza WRRB, yaitaka kuongeza kasi matumizi ya WRS](https://www.jamhurimedia.co.tz/kamati-ya-bunge-yaipongeza-wrrb-yaitaka-kuongeza-kasi-matumizi-ya-wrs/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kamati-ya-bunge-yaipongeza-wrrb-yaitaka-kuongeza-kasi-matumizi-ya-wrs)

_2026-08-21 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na.Mwandishi Wetu- Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake na kuitaka kuharakisha matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRS)...

## [Wasira asisitiza misimamo, haki CCM](https://www.jamhurimedia.co.tz/wasira-asisitiza-misimamo-haki-ccm/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=wasira-asisitiza-misimamo-haki-ccm)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

\*Akemea viongozi wasiokuwa na msimamo ndani ya Chama MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesisitiza umuhimu wa kuzingatia haki kwa kutoegemea maslahi binafsi huku akikemea viongozi wasiokuwa na msimamo ndani ya CCM. Wasira aliyasema hayo alipozungumza...

## [TBS yapongezwa kwa kuimarisha udhibiti wa ubora wa bidhaa](https://www.jamhurimedia.co.tz/tbs-yapongezwa-kwa-kuimarisha-udhibiti-wa-ubora-wa-bidhaa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tbs-yapongezwa-kwa-kuimarisha-udhibiti-wa-ubora-wa-bidhaa)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,Biashara,Kilimo na Mifugo imeipongeza TBS kwa kutekeleza majukumu yake ya udhibiti ubora kwa ufanisi. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Deogratias Mwanyika kwaniaba ya kamati wakati wa...

## [Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Balozi wa Marekani wakutana kujadii ushirikiano](https://www.jamhurimedia.co.tz/mwanasheria-mkuu-wa-serikali-balozi-wa-marekani-wakutana-kujadii-ushirikiano/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=mwanasheria-mkuu-wa-serikali-balozi-wa-marekani-wakutana-kujadii-ushirikiano)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz, na ujumbe wake kwa ajili ya kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania...

## [Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara ya Viwanda na Taasisi zake kwa ufanisi](https://www.jamhurimedia.co.tz/kamati-ya-bunge-yaipongeza-wizara-ya-viwanda-na-taasisi-zake-kwa-ufanisi/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kamati-ya-bunge-yaipongeza-wizara-ya-viwanda-na-taasisi-zake-kwa-ufanisi)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, kupitia Mwenyekiti wake Mhe.Deodatus Mwanyika, ameipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na taasisi zake kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake ya udhibiti ubora kwa ufanisi . Mhe. Mwanyika...

## [Benki ya Dunia kufikiria kuunga mkono maboresho ya ziada Bandari ya Dar es Salaam](https://www.jamhurimedia.co.tz/benki-ya-dunia-kufikiria-kuunga-mkono-maboresho-ya-ziada-bandari-ya-dar-es-salaam/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=benki-ya-dunia-kufikiria-kuunga-mkono-maboresho-ya-ziada-bandari-ya-dar-es-salaam)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Benki ya Dunia imesifu uhusiano kati yake na Tanzania na kusifu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kusimamia vizuri wa utekelezaji wa awamu ya kwanza ya ujenzi na maboresho ya Bandari ya...

## [Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yazuru NEMC](https://www.jamhurimedia.co.tz/kamati-ya-kudumu-ya-baraza-la-wawakilishi-zanzibar-yazuru-nemc/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kamati-ya-kudumu-ya-baraza-la-wawakilishi-zanzibar-yazuru-nemc)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

📌Yafurahishwa na Mradi wa Kituo cha Gesi Asilia kwa matumizi ya Nishati Safi Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Machano Othman Said, imezuru Ofisi za Baraza...

## [Benki ya Dunia yaahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kuendeleza miradi ya kimkakati](https://www.jamhurimedia.co.tz/benki-ya-dunia-yaahidi-kuendelea-kushirikiana-na-tanzania-kuendeleza-miradi-ya-kimkakati/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=benki-ya-dunia-yaahidi-kuendelea-kushirikiana-na-tanzania-kuendeleza-miradi-ya-kimkakati)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na. Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Benki ya Dunia imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kuendeleza miradi ya kimkakati inayolenga kutumia fursa zilizopo katika Ushoroba wa Kati (Central Corridor) ili kuchochea ukuaji wa uchumi, kuongeza ajira na kuleta maendeleo kwa wananchi...

## [AI Summaries & Audio Briefings (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/Pny77QsqiTKD)

_2026-08-20 · **Sponsored**_

Read AI summaries and listen to concise audio briefings for the latest stories.

## [Kunenge: Uzinduzi wa JNHPP ni historia mpya ya nishati Tanzania](https://www.jamhurimedia.co.tz/kunenge-uzinduzi-wa-jnhpp-ni-historia-mpya-ya-nishati-tanzania/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=kunenge-uzinduzi-wa-jnhpp-ni-historia-mpya-ya-nishati-tanzania)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Mwamvua Mwinyi, JamhiriMedia, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), unaofanyika Agosti 22, mwaka huu, wilayani Rufiji, ni hatua kubwa ya kihistoria katika kuimarisha upatikanaji wa nishati...

## [NeST yatoa zabuni za trilioni 40.4/-, makundi maalum yanufaika bilioni 56/-](https://www.jamhurimedia.co.tz/nest-yatoa-zabuni-za-trilioni-40-4-makundi-maalum-yanufaika-bilioni-56/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=nest-yatoa-zabuni-za-trilioni-40-4-makundi-maalum-yanufaika-bilioni-56)

_2026-08-20 · Jamhuri · JAMHURI MEDIA_

Na Dot Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma MFUMO wa Ununuzi wa Umma Kielektroniki (NeST) umewezesha kutolewa kwa zabuni 397,395 zenye thamani ya Sh40.4 trilioni tangu kuanza kutumika, huku vikundi maalum 27,946 vikinufaika na zabuni zenye thamani ya Sh56 bilioni. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka...

