# jamii (podcasts) — RSS Amplifier

Recent posts from the 1 feeds in the RSS Amplifier directory that cover jamii.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/jamii/podcasts>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/jamii/podcasts.md>

---

## [Kenya: Familia hatarini kutokana na kupanda kwa kiwango cha maji ziwa Naivasha](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260810-kenya-familia-hatarini-kutokana-na-kupanda-kwa-kiwango-cha-maji-ziwa-naivasha?GJlXzGgqHj)

_2026-08-10 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Familia katika kijiji cha Kihoto mjini Naivasha, zimeendelea kutaabika kutokana na athari za kupanda kwa kiwango cha maji kwenye ziwa Naivasha, na kusababisha maji kuingia kwenye kijiji ambayo pia yamesababisha kuenea kwa magugumaji. Nikurejesha nchini kenya, katika eneo la bonde la ufa, ziwa Bogoria, ziwa Baringo na Ziwa Niavasha, ni mfano wa maziwa ambayo yameendelea kushuhudia kupanda kwa kina…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/MAG_DEV_DURABLE_10-08-26.mp3?guid=ca4772d2-94ad-11f1-b853-7d972a30fe03&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya: Uchunguzi wabainisha uwepo wa kemikali hatari kwenye bidhaa za plastiki](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260804-kenya-uchunguzi-wabainisha-uwepo-wa-kemikali-hatari-kwenye-bidhaa-za-plastiki?GJlXzGgqHj)

_2026-08-04 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_YAKO_KESHO_13-07-26_OK.mp3?guid=72feedf2-8fee-11f1-ab0d-2ddc3fc82d0a&source=GJlXzGgqHj)

## [El Niño: Wataalam waonya kuhusu mvua kubwa, mafuriko na joto la kali](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260803-el-ni%C3%B1o-wataalam-waonya-kuhusu-mvua-kubwa-mafuriko-na-joto-la-kali?GJlXzGgqHj)

_2026-08-03 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Hali ya hewa ya El Niño inaendelea kuimarika kwa kasi na inatarajiwa kutawala katika kipindi cha kuanzia mwezi Agosti hadi Oktoba mwaka wa 2026, hali itakayoongeza uwezekano wa viwango vya joto kuzidi wastani katika maeneo mengi ya dunia na kusababisha mabadiliko makubwa katika mifumo ya mvua. Mashirika ya hali ya hewa likiwemo lile la dunia WMO na KMD nchini Kenya, yameongeza utaratibu, huduma za…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/MAG_DEV_DURABLE_03-08-26_OK.mp3?guid=c01c1234-8f55-11f1-a196-f790d80cc44e&source=GJlXzGgqHj)

## [Fahamu kuhusu chanzo cha wimbi la joto kali linaloshuhudiwa Ulaya.](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260728-fahamu-kuhusu-chanzo-cha-wimbi-la-joto-kali-linaloshuhudiwa-ulaya?GJlXzGgqHj)

_2026-07-28 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Wimbi la joto kali limekumba bara la Ulaya kwa muda sasa, hali iliyosababisha viwango vya juu vya joto katika nchi kadhaa na kusababisha maelfu ya vifo. Zaidi ya watu 300,000 wamehamishwa na angalau mtu mmoja alifariki dunia kutokana na moto wa nyika nchini Ufaransa na Uhispania, huku vikosi vya zimamoto vikipambana na mioto hiyo. Leo katika uchambuzi wetu tunaungana na Daktari Joyce Kimutai,…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAZINGIRA_YAKO_DUNIA_YAKO_KESHO_27-07-26_OK.mp3?guid=f4a4483a-8a6b-11f1-a675-990bbc2b046a&source=GJlXzGgqHj)

## [Juhudi za akina mama kuhifadhi fukwe za bahari pwani ya Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260721-juhudi-za-akina-mama-kuhifadhi-fukwe-za-bahari-pwani-ya-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-07-21 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Wakati mataifa mbalimbali duniani yakiongeza juhudi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na uchafuzi wa bahari, nchini Kenya akina mama wamejitokeza mstari wa mbele kulinda mazingira. Katika Kaunti ya Mombasa, wameanzisha kampeni ya kupanda miti ya asili na kurejesha uoto uliopotea kwenye maeneo ya pwani. .Hii leo katika makala mazingira leo dunia yako kesho ,tunaangazia juhudi za…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_YAKO_KESHO_20-07-26_OK.mp3?guid=06d9234c-84e3-11f1-b9fc-1d36bc2bd5dc&source=GJlXzGgqHj)

## [Utengenezaji wa mkaa kutoka kwa mmea wa mianzi](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260706-utengenezaji-wa-mkaa-kutoka-kwa-mmea-wa-mianzi?GJlXzGgqHj)

_2026-07-06 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Misitu ni sehemu muhimu katika mapambano ya dunia dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, hata hivyo misitu mingi ipo hatarini kutokan ana shughuli za binadamu. Fahamu kuhu mkaa unaotengenezwa kutokana na mmea wa mianzi(Bamboo)

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_YAKO_KESHO_06-07-26_OK.mp3?guid=52e88b78-794f-11f1-9c79-71106e32aecc&source=GJlXzGgqHj)

## [Mkutano wa Innovate4cities: Kuharakisha hatua za kukabili mabadiliko ya tabianchi kwenye miji duniani.](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260629-mkutano-wa-innovate4cities-kengo-la-kuharakisha-hatua-za-kukabili-mabadiliko-ya-tabianchi-kwenye-miji-duniani?GJlXzGgqHj)

_2026-06-29 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Mkutano huo ulioandaliwa na Global Covenant of Mayors for Climate and Energy (GCoM kwa ushirikiano na UN-Habitat, ulijadili mada tofauti kama vile sayansi ya tabianchi, sera na namna ya kuangazia mianya iliopo katika elimu, data, ufadhili na utakelezaji zinazolemaza mikakati ya kukabili tabainchi kwenye miji. Katika makala yetu hivi leo, nimezungumza na Bi Maryam Wangeshi , ni msanifu wa majengo…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/MAG_DEV_DURABLE_29-06-26.mp3?guid=b9a8743a-738d-11f1-a8b9-7d8eb55a1ec6&source=GJlXzGgqHj)

## [Mjadala waibuka kuhusu jinamizi la taka za nguo kwa mazingira](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260615-mjadala-waibuka-kuhusu-jinamizi-la-taka-za-nguo-kwa-mazingira?GJlXzGgqHj)

_2026-06-15 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Kila wiki, mamilioni ya nguo za mitumba hufika katika masoko kama vile Gikomba jijini Nairobi, Kenya, au Kantamanto mjini Accra, Ghana. Takriban asilimia 40 ya bidhaa hizi zinazoagizwa kutoka nje haziwezi kuvaliwa kabisa, na hivyo kuhamishia mzigo wa udhibiti wa taka za nguo kwa jamii. Nguo nyingi zilitotengenezwa kwa kutumia poliesta na nailoni, huziba njia za maji za mijini, huchafua fuo za…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_KESHO_08-06-26_OK.mp3?guid=ac296b62-68b5-11f1-ad48-8b6d4a4f0025&source=GJlXzGgqHj)

## [Usimamizi endelevu wa taka kwenye mazingira hauwezi kufanikiwa bila mchango wa wakusanyaji taka](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260615-usimamizi-endelevu-wa-taka-kwenye-mazingira-hauwezi-kufanikiwa-bila-mchango-wa-wakusanyaji-taka?GJlXzGgqHj)

_2026-06-15 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Tunawaangazia wadau muhimu katika sekta ya usimamizi wa takan hapa tunazungumzia wakusanyaji taka, ambao mara nyingi mchango wao hupuuzwa nasa katika meza ya maamuzi kuhusu suala hili la cuhafuzi wa taka.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_KESHO_15-06-26_OK.mp3?guid=f8b81810-689d-11f1-8677-cf5cd4d065dd&source=GJlXzGgqHj)

## [Kuna haja ya serikali za Afrika kukumbatia mfumo endelevu ya kukabili taka ngumu kwenye mazingira.](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260601-kuna-haja-ya-serikali-za-afrika-kukumbatia-mfumo-endelevu-ya-kukabili-taka-ngumu-kwenye-mazingira?GJlXzGgqHj)

_2026-06-01 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Tatizo la uchafuzi wa mazingira kutokana na taka ngumu, bado ni changamoto katika miji mingi barani Afrika. Hata hivyo, hivi karibuni, kumekuwa na jitihada kwenye baadhi ya mataifa ambapo sasa nchi zimeanza kuwa na sheria na kanuni za kuhakkisha usimamizi endelevu wa taka, kwa kuwahusisha wazalishaji na waagizaji wa bidhaa.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/MAG_DEV_DURABLE_01-06-26.mp3?guid=14d95b9e-5d9f-11f1-bbcf-599c62b26a80&source=GJlXzGgqHj)

## [Open-source Screen Sharing with Control (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/yPXkN2VQcuYZ)

_2026-06-01 · **Sponsored**_

WebRTC screen sharing with simultaneous mouse & keyboard control; viewers join in browser.

## [Kongamano la siku mbili jijini Nairobi latoa wito wa kubadili simulizi kuhusu maeneo ya nyanda za malisho(Rangelands)](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260525-kongamano-la-siku-mbili-jijini-nairobi-latoa-wito-wa-kubadili-simulizi-kuhusu-maeneo-ya-nyanda-za-malisho-rangelands?GJlXzGgqHj)

_2026-05-25 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Kwa muda mrefu maeneo ya nyanda za malisho yamekuwa yakitazamwa kama yaliotengwa na yasio na umuhimu, licha ya kuwa na mifumoikolojia muhimu na chanzo cha riziki kwa takriban watu bilioni mbili duniani, Pamoja na kuhifadhi theluthi moja ya hewa ya kaboni duniani. Lakini sasa wadau wa mazingira, watunga sera, watafiti, wataalam na wawakilishi kutoka jamii za wafugaji baranai Afrika sasa wanatoa…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_YAKO_KESHO_25-05-26_OK.mp3?guid=3ab47898-57f6-11f1-b7a0-7515fe2bae4a&source=GJlXzGgqHj)

## [Juhudi za kijamii zilivyookoa msitu wa Karura uliokua umegeuka kuwa eneo la uhalifu](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260521-juhudi-za-kijamii-zilivyookoa-msitu-wa-karura-uliokua-umegeuka-kuwa-eneo-la-uhalifu?GJlXzGgqHj)

_2026-05-21 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Nairobi ni mwenyeji wa msitu mkubwa wa mvua ulio salama ndani ya mipaka yake: Hifadhi ya Karura yenye ukubwa wa hekari 1,000 ni mapafu muhimu ya mji mkuu wa Kenya, katika kuchuja uchafuzi wa mazingira kwa mamilioni. Ilikuwa ishara ya ukosefu wa usalama, sasa ni mfano mkuu wa kimataifa wa uhifadhi unaoongozwa na jamii haswa shirika la marafiki wa Karura maarufu Friends of Karura. Hata hivyo, msitu…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/MAZINGIRA_LEO_18_05_26_MSITU_WA_KARURA_FOR_WEBSITE.mp3?guid=251c65da-538d-11f1-a1f2-739820774ace&source=GJlXzGgqHj)

## [Nchini Colombia, mkutano wa kwanza wa kimataifa kuhusu mafuta ya visukuku](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260512-nchini-colombia-mkutano-wa-kwanza-wa-kimataifa-kuhusu-mafuta-ya-visukuku?GJlXzGgqHj)

_2026-05-12 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Msikilizaji, juma moja lililopita, mawaziri kutoka karibu mataifa 50 duniani walikutana nchini Colombia kwa mkutano wa mazingira uliolenga kujadili mbinu za mataifa kuachana kikamilifu na nishati zinachafua mazingira ikiwemo gesi na mafuta. Mjadala kuhusu mataifa kuachana na matumizi ya nishati chafu zinazochangia ongezeko la joto duniani, umekuwepo katika mikutano tofauti ya kimataifa ya…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/MAZINGIRA_LEO_11-05-26_OK.mp3?guid=33656676-4dc7-11f1-adbe-9d8b2c4de165&source=GJlXzGgqHj)

## [Jamii katika maeneo kame nchini kenya zawezeshwa ili kustahimili athari za mabadiliko ya tabianchi.](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260427-jamii-katika-maeneo-kame-nchini-kenya-zawezeshwa-ili-kustahimili-athari-za-mabadiliko-ya-tabianchi?GJlXzGgqHj)

_2026-04-27 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Nchini Kenya, mzozo wa rasilimali katika jamii zinazopatikana katika maeneo kame ni changamoto ya muda mrefu, na kumekuwa na jitihada ya mashirika tofauti kuziwezesha jamii hizo kustahimili changamoto zitokanazo na athari za mabadiliko ya tabianchi. Kupitia mradi wa IMARA, jamii ya wafugaji sasa wamegeukia ukulima wa aina tofauti ambao baadhi yao unawadsaidia hata kupata chakula ya mifugo wao.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_KESHO_27-04-26_OK.mp3?guid=44b540c8-4204-11f1-8ebb-f5913aa7cd4e&source=GJlXzGgqHj)

## [Sera za Mipango miji barani Afrika zinazingatia ustahimilivu wa majanga mijini?](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260420-sera-za-mipango-miji-barani-afrika-zinazingatia-ustahimilivu-wa-majanga-mijini?GJlXzGgqHj)

_2026-04-20 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Mkutano wa pili wa Umoja wa Afrika unaofahamika kama 'Jukwaa la Mijini Afrika (AUF) ulianzishwa kwa nia ya kuwezesha mazungumzo na uratibu wa ukuaji endelevu wa miji na makazi ya watu barani Afrika. Pamoja na Maryam Wangeshi , msanifu wa majengo, tunaangazia matokeo ya mkutano huo na ikiwa mataifa ya Afrika yana mipangilio ilio bora katika kuwezesha miji yetu kustahimili majanga ya kimazingira.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MAG_DEV_DURABLE_20-04-26.mp3?guid=28c2302c-3ccf-11f1-a6d6-c769bab30d61&source=GJlXzGgqHj)

## [Ukulima wa mianzi katika kutunza mazingira ya mito nchini Kenya.](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260410-ukulima-wa-mianzi-katika-kutunza-mazingira-ya-mito-nchini-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-04-10 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Mimea ya mianzi yaani Bamboo ni mojawapo ya mimea kote ulimwenguni inayoweza kupandwa katika mazingira tofauti kama vile sehemu tambarare au chemichemi. Ukulima wa mianzi unaboresha mazingira kwa kuzuia mmomonyoko wa udongo, kurejesha rotuba kwa udongo haswaa sehemu zilizo karibu na mito na hata kama kitega uchumi.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MAG_DEV_DURABLE_06-04-26.mp3?guid=1bf232ba-34c4-11f1-9b14-f97b4e57a2bf&source=GJlXzGgqHj)

## [Manufaa ya ardhi oevu ya Ondiri kwa jamii ya kikuyu](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260401-manufaa-ya-ardhi-oevu-ya-ondiri-kwa-jamii-ya-kikuyu?GJlXzGgqHj)

_2026-04-01 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Katika awamu ya kwanza tuliangazia uluhimu wa maeneo ya ardhi poevu katika mazingira, ikiwa ni pamoja na kutumika kama makazi ya aina tofauti ya spishi ya viumbe hai lakini pia ni mazalia ya samaki. Sasa ardhioevu ya Ondiri ni nyumbani kwa zaidi ya spishi 90 za ndege, Kwa mfano, tulifanikiwa kumuona ndege aina ya Korongo ambao mara nyingi wao hutoroka katika ardhioevu ambayo mazingira yake…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_YAKO_KESHO_30-03-26_OK.mp3?guid=4a2ab4d2-2dac-11f1-8aa4-0ddbd614af25&source=GJlXzGgqHj)

## [Uhifadhi wa kinamasi cha Ondiri mjini Kikuyu, nchini Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260324-uhifadhi-wa-kinamasi-cha-ondiri-mjini-kikuyu-nchini-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-03-24 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Vijana katika shirika la uhifadhi la Marafiki wa ardhi oevu ya Ondiri, ambayo ni nyumbani kwa viumbe hai na bayoanuai yenye umuhimu katika mazingira. Katika mazingira, maeneo haya yanya faida kama vile, kufanya kazi kama sponji ya kunyonya hewa ukaa kutoka kwenye anga zaidi ya misitu ya mvua. Hutumika kama makazi ya aina tofauti ya spishi ya viumbe hai lakini pia ni mazalia ya samaki. Ardhi oevu…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_YAKO_KESHO_23-03-26_OK.mp3?guid=d51a0c32-278f-11f1-a4b3-bd6b5c9ef445&source=GJlXzGgqHj)

## [Matumizi ya mitego ya wadudu inayotumia sola yaboresha parachichi na mazingira](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260224-matumizi-ya-mitego-ya-wadudu-inayotumia-sola-yaboresha-parachichi-na-mazingira?GJlXzGgqHj)

_2026-02-24 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Wakulima wa Meru kaskazini mashariki mwa Kenya wanakumbatia matumizi ya mitego ya wadudu inayotumia nishati ya jua ili kukabiliana na false codling moth (FCM), mdudu anayeharibu mazao ya parachichi. Eneo la kaskazi mashariki huzalisha kiwango kikubwa cha parachichi zinazouzwa ulaya na Asia Kupitia teknolojia hii, wakulima sasa wameanza kupata nafasi katika masoko ya nje....vile vile wamepunguza…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/WAV_MAKALA_MAZINGIRA_LEO_DUNIA_YAKO_KESHO_23_02_2026_-_MATUMIZI_YA_2_24_2026-14.mp3?guid=f7d34b38-118e-11f1-9554-1f50dff13348&source=GJlXzGgqHj)

## [Jukumu la redio katika kuelimisha kuhusu mazingira na tabianchi](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260217-jukumu-la-redio-katika-kuelimisha-kuhusu-mazingira-na-tabianchi?GJlXzGgqHj)

_2026-02-17 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Dunia inapokabiliwa na mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi na changamoto zingine za kimazingira, je redio imekuwa na mchango gani katika kuhakikisha jamii zinapata taarifa na habari wanazohitaji kufanya maamuzi muhimu kuhusu mazingira yao.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_16-02-26_OK.mp3?guid=f0cdd140-0c0d-11f1-a92e-d97ca467eaae&source=GJlXzGgqHj)

## [Auto-trade Cross-Exchange Gaps (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/plrS4aBZdHpn)

_2026-02-17 · **Sponsored**_

Find cross-exchange spreads, backtest strategies, and execute automatically with risk controls.

## [Hatau ya Marekani kujiondo kwenye mikataba ya mazingir na tabianchi na athari zake](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260215-hatau-ya-marekani-kujiondo-kwenye-mikataba-ya-mazingir-na-tabianchi-na-athari-zake?GJlXzGgqHj)

_2026-02-15 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Aliporejea madarakani Januari 20 2025, kwa mara ya pili Trump aliiondoa Marekani katika mkataba wa tabianchi wa Paris wa 2015. Mwaka wa 2025, Washington haikuwatuma maafisa wake wa juu katika mkutano wa tabianchi wa COP30, uliofanyika Belem, Brazil. Na sasa wiki chache zilizopita, utawala wa Trump ulitangaza kuiondoa Marekani katika mashirika 66 ya kimataifa, ikiwemo ile ya UNFCCC.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_KESHO_09-02-26_OK.mp3?guid=f8c349d0-0a54-11f1-af5c-71886e12d96c&source=GJlXzGgqHj)

## [Awamu ya pili Siku ya Kimataifa ya nishati safi 26 01 2026: Biogesi kama moja ya suluhisho](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260207-awamu-ya-pili-siku-ya-kimataifa-ya-nishati-safi-26-01-2026-biogesi-kama-moja-ya-suluhisho?GJlXzGgqHj)

_2026-02-07 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Upatikanaji wa nishati safi ya kupikia katika jamii kwenye vitongoji duni. Tumetembelea mtaa wa Kawangware, jijini Nairobi, kufahamu juhudi ambazo shirika la Umande Trust linafanya katika suala zima la upatikanaji wa nishati safi kwa kuzingatia usafi wa mazingira.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_KESHO_02-02-26_OK.mp3?guid=aa549cae-03e2-11f1-a6df-d1a39be2e969&source=GJlXzGgqHj)

## [Siku ya Kimataifa ya nishati safi 26 01 2026: Biogesi kama moja ya suluhisho](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260127-siku-ya-kimataifa-ya-nishati-safi-26-01-2026-biogesi-kama-moja-ya-suluhisho?GJlXzGgqHj)

_2026-01-27 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Upatikanaji wa nishati safi ya kupikia katika jamii kwenye vitongoji duni. Tumetembelea mtaa wa Kawangware, jijini Nairobi, kufahamu juhudi ambazo shirika la Umande Trust linafanya katika suala zima la upatikanaji wa nishati safi kwa kuzingatia usafi wa mazingira.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202601/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_YAKO_KESHO_26-01-26_OK.mp3?guid=25cff826-fb6c-11f0-b43f-b1019159206a&source=GJlXzGgqHj)

## [Mfumo wa sola tembezi wanufaisha wakulima maeneo kame nchini Kenya](https://www.rfi.fr/sw/makala/mazingira-leo-dunia-yako-kesho/20260122-mfumo-wa-sola-tembezi-wanufaisha-wakulima-maeneo-kame-nchini-kenya?GJlXzGgqHj)

_2026-01-22 · Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho_

Katika maeneo mengi ya kusini mashariki mwa Kenya, ukame na mvua zisizotabirika zimekuwa changamoto kubwa kwa wakulima. Hata hivyo, katika kijiji cha Gachuriri, Mbeere, teknolojia rahisi ya umwagiliaji mimea maji kwa kutumia sola tembezi inayotumia nishati ya jua inaanza kubadili kilimo na kurejesha matumaini kwa wakulima wadogo.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202601/MAZINGIRA_LEO_DUNIA_YAKO_KESHO_19-01-26_OK.mp3?guid=ad40c074-f770-11f0-992b-d580fb150b55&source=GJlXzGgqHj)

