# habari (news sources) — RSS Amplifier

Recent posts from the 6 feeds in the RSS Amplifier directory that cover habari.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/habari/news>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/habari/news.md>

---

## [Rais Ruto kuongoza hafla ya kuhitimu ya maafisa wa magereza](https://swahili.kbc.co.ke/rais-ruto-kuongoza-hafla-ya-kuhitimu-ya-maafisa-wa-magereza/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-ruto-kuongoza-hafla-ya-kuhitimu-ya-maafisa-wa-magereza)

_2026-08-23 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Itafanyika kesho katika Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Magereza huko Ruiru kuanzia saa 3:00 asubuhi. The post Rais Ruto kuongoza hafla ya kuhitimu ya maafisa wa magereza appeared first on KBC Swahili .

## [Makamu wa Rais wa zamani Kijana Wamalwa akumbukwa](https://swahili.kbc.co.ke/makamu-wa-rais-wa-zamani-kijana-wamalwa-akumbukwa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=makamu-wa-rais-wa-zamani-kijana-wamalwa-akumbukwa)

_2026-08-23 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuhudhuria hafla hiyo ambayo pia itatumiwa kuzindua kitabu kuhusu marehemu The post Makamu wa Rais wa zamani Kijana Wamalwa akumbukwa appeared first on KBC Swahili .

## [Mercy Awuonda achaguliwa kuwa Miss Afrikana Kenya](https://swahili.kbc.co.ke/mercy-awuonda-achaguliwa-kuwa-miss-afrikana-kenya/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=mercy-awuonda-achaguliwa-kuwa-miss-afrikana-kenya)

_2026-08-23 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Atawakilisha Kenya kama Miss Afrikana Kenya 2027 katika jukwaa la Miss Afrikana International. The post Mercy Awuonda achaguliwa kuwa Miss Afrikana Kenya appeared first on KBC Swahili .

## [Jemutai arejea mitandaoni](https://swahili.kbc.co.ke/jemutai-arejea-mitandaoni/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=jemutai-arejea-mitandaoni)

_2026-08-23 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Katika chapisho lake la kwanza ameshangaa kwamba mashabiki zake wanampenda huku akishukuru kwa upendo. The post Jemutai arejea mitandaoni appeared first on KBC Swahili .

## [Murkomen azungumzia usalama katika ziara ya Isiolo](https://swahili.kbc.co.ke/murkomen-azungumzia-usalama-katika-ziara-ya-isiolo/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=murkomen-azungumzia-usalama-katika-ziara-ya-isiolo)

_2026-08-23 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Alikuwa katika eneo hilo, kushiriki mchango wa kuwawezesha wanawake na kusaidia vyama vya wanafunzi The post Murkomen azungumzia usalama katika ziara ya Isiolo appeared first on KBC Swahili .

## [Matete avuta kumbukumbu ya baada ya ushindi wa TPF 5](https://swahili.kbc.co.ke/matete-avuta-kumbukumbu-ya-baada-ya-ushindi-wa-tpf-5/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=matete-avuta-kumbukumbu-ya-baada-ya-ushindi-wa-tpf-5)

_2026-08-23 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Alizungumzia jinsi alipatiwa mlinzi wa kibinafsi hali iliyobadili mtindo wake wa maisha. The post Matete avuta kumbukumbu ya baada ya ushindi wa TPF 5 appeared first on KBC Swahili .

## [Iran yaonya majirani kutojiunga na vita vya kiuchumi vya Marekani](https://swahili.kbc.co.ke/iran-yaonya-majirani-kutojiunga-na-vita-vya-kiuchumi-vya-marekani/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=iran-yaonya-majirani-kutojiunga-na-vita-vya-kiuchumi-vya-marekani)

_2026-08-23 · Marion Bosire · KBC Swahili_

Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran Mohsen Rezaei alitoa onyo hilo katika mahojiano. The post Iran yaonya majirani kutojiunga na vita vya kiuchumi vya Marekani appeared first on KBC Swahili .

## [Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake 669 kutoka Afrika Kusini](https://swahili.kbc.co.ke/tanzania-kuwarejesha-nyumbani-raia-wake-669-kutoka-afrika-kusini/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tanzania-kuwarejesha-nyumbani-raia-wake-669-kutoka-afrika-kusini)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Ubalozi wa Tanzania mjini Pretoria umetangaza kuwa utawahamisha raia wake kwa awamu kuanzia Jumatano ijayo Agosti 26. The post Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake 669 kutoka Afrika Kusini appeared first on KBC Swahili .

## [Wauguzi waapa kuendelea na mgomo](https://swahili.kbc.co.ke/wauguzi-waapa-kuendelea-na-mgomo/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=wauguzi-waapa-kuendelea-na-mgomo)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Chama hicho kimesema kuwa serikali imepuuzilia mbali matakwa yao na kufeli kusaini mwafaka wa kurejea kazini wa mwaka 2017 waliokuwa wameafikiana. The post Wauguzi waapa kuendelea na mgomo appeared first on KBC Swahili .

## [VIONGOZI GEITA WATAKA USHIRIKIANO WA POLISI JAMII UDUMISHWE KUPUNGUZA UHALIFU](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/viongozi-geita-wataka-ushirikiano-wa.html)

_2026-08-22 · Ahmad Michuzi · MICHUZI BLOG_

Wananchi wa Mkoa wa Geita wametakiwa kuendelea kudumisha na kuimarisha ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la Polisi Jamii na wananchi, ili kupunguza uhalifu katika maeneo mbalimbali mkoani humo. Wito huo umetolewa leo Agosti 22, 2026 wakati wa maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa mfumo wa Polisi Jamii nchini, yaliyofanyika katika Viwanja vya CCM Kalangalala mjini Geita.= Akizungumza katika…

## [AI Summaries & Audio Briefings (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/vo8NOsvsd0il)

_2026-08-22 · **Sponsored**_

Read AI summaries and listen to concise audio briefings for the latest stories.

## [Gor Mahia na Tusker kukabana koo Jumapili kuwania kombe la Super](https://swahili.kbc.co.ke/gor-mahia-na-tusker-kukabana-koo-jumapili-kuwania-kombe-la-super/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=gor-mahia-na-tusker-kukabana-koo-jumapili-kuwania-kombe-la-super)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Mabingwa wa Ligi kuu Kenya Gor Mahia FC na mabingw wa Kombe la Mozzart watashuka dimbani Nyayo siku ya Jumapili Agosti 23, kuwania kombe la Super ambalo ni fungua pazia ya msimu mpya wa Ligi. Timu zote pia zinajiandaa kwa majukumu yaliyo mbele yao ya kuiwakilisha Kenya katika ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la \[…\] The post Gor Mahia na Tusker kukabana koo Jumapili kuwania kombe la Super appeared…

## [Rais Samia Awaagiza Viongozi Kujiandaa Kukabiliana na Mvua Kubwa Zinazotarajiwa](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/rais-samia-awaagiza-viongozi-kujiandaa.html)

_2026-08-22 · Ahmad Michuzi · MICHUZI BLOG_

Na Janeth Raphael - MichuziTv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi katika ngazi mbalimbali za Serikali kuanza mara moja maandalizi ya kukabiliana na mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha nchini katika kipindi kijacho. Rais Samia amesema utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) unaashiria uwezekano wa kuwepo kwa mvua kubwa, hivyo amewataka…

## [JNHPP Yaweka Msingi Mpya wa Nishati, Tanzania Yaongeza Nguvu ya Uzalishaji Umeme](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/jnhpp-yaweka-msingi-mpya-wa-nishati.html)

_2026-08-22 · Ahmad Michuzi · MICHUZI BLOG_

Na Janeth Raphael - MichuziTv PWANI: Tanzania imeingia katika hatua mpya ya sekta ya nishati baada ya Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) kuzinduliwa rasmi, huku mradi huo ukitarajiwa kuwa kichocheo muhimu cha shughuli za kiuchumi na kijamii nchini. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo leo, Jumamosi, Agosti 22, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia…

## [VETA YAJIPANGA UTEKELEZAJI WA DIRA YA TAIFA 2050, KUTUMIA NGUZO TATU MUHIMU.](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/veta-yajipanga-utekelezaji-wa-dira-ya.html)

_2026-08-22 · Ahmad Michuzi · MICHUZI BLOG_

Na Belinda Joseph – Tanga Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetajwa kuwa moja ya taasisi muhimu katika utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, kutokana na mchango wake katika kuwaandaa Watanzania wenye ujuzi unaohitajika katika uzalishaji na shughuli mbalimbali za kiuchumi. Akizungumza na Michuzi TV Agosti 21, 2026, Meneja Mahusiano na Masoko wa VETA, Sitta Peter, amesema…

## [TFS YATUMIA JOGGING KAMA SEHEMU YA KUJIIMARISHA KIAFYA](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/tfs-yatumia-jogging-kama-sehemu-ya.html)

_2026-08-22 · MICHUZI TV · MICHUZI BLOG_

WAFANYAKAZI wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Kanda ya Mashariki wamefanya mazoezi ya kukimbia umbali wa takribani kilomita saba katika eneo la Coco Beach jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kujiweka katika hali nzuri ya kiafya na utayari wa kutekeleza majukumu yao. Akizungumza baada ya zoezi hilo leo Agosti 22, 2026 Jijini Dar es Salaam, Mhifadhi Mwandamizi wa TFS, Sunday Nachule,…

## [Ruto amwomboleza Jaji Joseph Mutava Mbalu](https://swahili.kbc.co.ke/ruto-amwomboleza-jaji-joseph-mutava-mbalu/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ruto-amwomboleza-jaji-joseph-mutava-mbalu)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Rais ametuma risala za rambi rambi kwa mjane na pia jamii yote ya marehemu. The post Ruto amwomboleza Jaji Joseph Mutava Mbalu appeared first on KBC Swahili .

## [NDOTO IMETIMIA NA MPANGO WA KUWA NA UMEME WA UHAKIKA UMEWEZEKANA- RAIS SAMIA](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/ndoto-imetimia-na-mpango-wa-kuwa-na.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kukamilika kwa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere ni utekelezaji wa ndoto ya muda mrefu ya Tanzania ya kuwa na umeme wa uhakika kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Rais Samia amesema Serikali ilitekeleza mradi huo kwa uzito unaostahili kutokana na umuhimu wake mkubwa kwa maendeleo ya…

## [NJIA ZA KUSAFIRISHA UMEME KUWA NGUZO YA KUPELEKA UMEME WA JNHPP KOTE NCHINI - NDEJEMBI](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/njia-za-kusafirisha-umeme-kuwa-nguzo-ya.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema Serikali imeendelea kuimarisha miundombinu ya kusafirisha umeme ili kuhakikisha ongezeko la uzalishaji, hususan kutoka katika Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), linafika kwa uhakika katika maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza leo Jumamosi, Agosti 22, 2026, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha kuzalisha umeme cha Julius Nyerere, mgeni rasmi akiwa…

## [Rais Ruto awataka viongozi wa makanisa kuongoza mijadala ya kitaifa](https://swahili.kbc.co.ke/rais-ruto-awataka-viongozi-wa-makanisa-kuongoza-mijadala-ya-kitaifa/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-ruto-awataka-viongozi-wa-makanisa-kuongoza-mijadala-ya-kitaifa)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Akiwahutubia waumini wa kanisa la African Brotherhood Church (ABC) Women of Faith Congress katika chuo kikuu cha Machakos, siku ya Jumamosi,Rais alisema masuala muhimu ya taifa kama vile ruwaza ya mwaka 2030 yanapaswa kuwa kati ya masuala muhimu yanayoongozwa na kanisa. The post Rais Ruto awataka viongozi wa makanisa kuongoza mijadala ya kitaifa appeared first on KBC Swahili .

## [MANYARA TANZANITE MARATHON YALENGA SH1.5 BILIONI KUOKOA WATOTO NJITI](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/manyara-tanzanite-marathon-2026-mbio-za.html)

_2026-08-22 · MICHUZI TV · MICHUZI BLOG_

Manyara Tanzanite Marathon 2026, mbio za hisani zenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi na uwezeshaji wa wodi maalum ya kuwahudumia watoto njiti, zimefanyika leo katika Mji wa Babati, zikiwa na kaulimbiu “Hatua Moja, Okoa Maisha ya Mtoto Njiti.” Mbio hizo za hisani zimeongozwa na Mgeni Rasmi kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mhe. Mwigulu Nchemba, Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Daniel Sillo,…

## [Crush Every Threat in Real Time (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/2vjO7iHuQ0RT)

_2026-08-22 · **Sponsored**_

One agent for real-time detection, exposure tracking, and active defense.

## [Tanzania yatoa msaada wa vifaa vya matibabu kwa DRC kukabiliana na Ebola](https://swahili.kbc.co.ke/tanzania-yatoa-msaada-wa-vifaa-vya-matibabu-kwa-drc-kukabiliana-na-ebola/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tanzania-yatoa-msaada-wa-vifaa-vya-matibabu-kwa-drc-kukabiliana-na-ebola)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

DRC inatarajiwa pia kupokea dozi za chanjo Everbo kutoka Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kusaidia kukabiliana na maambukizi mapya ya Ebola. The post Tanzania yatoa msaada wa vifaa vya matibabu kwa DRC kukabiliana na Ebola appeared first on KBC Swahili .

## [VIJIJI NA VITONGOJI VYOTE TANZANIA BARA KUWA NA UMEME KABLA YA MWAKA 2030](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/vijiji-na-vitongoji-vyote-tanzania-bara.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa hatua kubwa iliyofikiwa katika kusambaza umeme nchini, huku akiwataka kuongeza kasi ya kufikisha huduma hiyo kwenye maeneo yaliyosalia. Rais Samia amesema Serikali imeendelea kupanua wigo wa upatikanaji wa umeme kwa wananchi kote nchini, ambapo hadi sasa vijiji vyote 12,318 na…

## [Rais Samia aagiza wakuu wa Mikoa kujiandaa na udhibiti wa Athari za El Nino](https://timesmajira.co.tz/rais-samia-aagiza-wakuu-wa-mikoa-kujiandaa-na-udhibiti-wa-athari-za-el-nino/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-samia-aagiza-wakuu-wa-mikoa-kujiandaa-na-udhibiti-wa-athari-za-el-nino)

_2026-08-22 · Penina Malundo · Timesmajira_

Na Penina Malundo,Timesmajira Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka... The post Rais Samia aagiza wakuu wa Mikoa kujiandaa na udhibiti wa Athari za El Nino appeared first on Timesmajira .

## [WADAU WA USAFIRI WAIOMBA SERIKALI KURUHUSU MABASI KUSHUSHA ABIRIA MTAANI](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/wadau-wa-usafiri-waiomba-serikali.html)

_2026-08-22 · MICHUZI TV · MICHUZI BLOG_

Na Mwandishi Wetu TAKRIBANI wiki moja tangu agizo la kuondoa Stendi za Mabasi mitaani lianze kutekelezwa Jijini Dar es Salaam, wadau mbalimbali wamedai kushangazwa na hatua hiyo na kuiomba Serikali kurejesha huduma hiyo ili kuwaondolea usumbufu wananchi. Wamesema hatua hiyo inatokana na ukweli kuwa wananchi wameanza 'kuonja joto la jiwe' kutokana na umbali kati ya mahali kilipo Kituo cha Mabasi…

## [NEMC NA JNHPP: USIMAMIZI WA MAZINGIRA KATIKA MIRADI YA KIMKAKATI](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/nemc-na-jnhpp-usimamizi-wa-mazingira.html)

_2026-08-22 · OSCAR ASSENGA · MSUMBA NEWS BLOG_

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki kikamilifu katika uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), unaofanywa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa jukumu la lake la kusimamia na kudhibiti masuala ya mazingira katika miradi ya maendeleo nchini. Ushiriki wa NEMC katika…

## [Mwanangu Wa Kiume Alijiunga na Magenge ya Uhalifu na Dawa za Kulevya, Mpaka Tiba ya Asili Ilipombadilisha Mtabia](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/mwanangu-wa-kiume-alijiunga-na-magenge.html)

_2026-08-22 · Zawadi · MSUMBA NEWS BLOG_

Kulea mtoto kwa maadili mema na kumpa kila hitaji la msingi ni ndoto na furaha ya kila mzazi, lakini pale mwanao anapogeuka kuwa janga la familia, ukaidi unapotawala, na anapojiunga na magenge ya uhalifu na matumizi ya dawa za kulevya, maisha ya wazazi hugeuka kuwa msiba wa kila siku. Kwa zaidi ya miaka mitatu, mwanangu wa kiume aliyekuwa mwenye nidhamu na aliyefanya vizuri shuleni alibadilika…

## [Mume Wangu Aliyenikimbia na Michepuko Alirudi Nyumbani na Kupiga Magoti Baada ya Tiba ya Asili](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/mume-wangu-aliyenikimbia-na-michepuko.html)

_2026-08-22 · Zawadi · MSUMBA NEWS BLOG_

Kujenga ndoa na kuweka matumaini yako yote kwa mume ni hatua inayohitaji upendo na uaminifu mkubwa, lakini pale mwanaume uliyehangayika naye kuanzia chini anapokugeuka, kukutelekeza, na kumfuata mchepuko, maisha hugeuka kuwa jehanum. Kwa zaidi ya miaka sita ya ndoa yetu, tuliaishi kwa amani na mafanikio na mume wangu. Hata hivyo, mambo yalibadilika ghafla pale alipopata uwezo wa kifedha na kuanza…

## [Ndugu Zangu Walitaka Kunidhulumu Eneo la Urithi Baada ya Baba Kufariki, Mpaka Tiba ya Asili Iliporudisha Haki Yangu](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/ndugu-zangu-walitaka-kunidhulumu-eneo.html)

_2026-08-22 · Zawadi · MSUMBA NEWS BLOG_

Kupoteza mzazi aliyekuwa nguzo ya familia ni pigo kubwa linaloacha simanzi nzito, lakini pale ambapo ndugu na jamaa wa karibu wanapotumia msiba huo kama fursa ya kukudhulumu eneo la urithi, uchungu na maumivu huongezeka mara dufu. Baada ya msiba wa baba yangu mzazi, niliacha majukumu yangu yote na kurejea kijijini ili kusimamia ardhi na shamba la familia ambalo baba aliniachia mimi rasmi kabla ya…

## [InnoIP Tanzania yazinduliwa kuimarisha ulinzi wa ubunifu](https://timesmajira.co.tz/innoip-tanzania-yazinduliwa-kuimarisha-ulinzi-wa-ubunifu/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=innoip-tanzania-yazinduliwa-kuimarisha-ulinzi-wa-ubunifu)

_2026-08-22 · joyce kasiki · Timesmajira_

Na Joyce Kasiki, Tanga MKUU wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian, amezindua rasmi Programu... The post InnoIP Tanzania yazinduliwa kuimarisha ulinzi wa ubunifu appeared first on Timesmajira .

## [Ndejembi:Tanzania sasa inaziada ya Umeme Megawati 2375](https://timesmajira.co.tz/ndejembitanzania-sasa-inaziada-ya-umeme-megawati-2375/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=ndejembitanzania-sasa-inaziada-ya-umeme-megawati-2375)

_2026-08-22 · Penina Malundo · Timesmajira_

Na Penina Malundo,Timesmajira WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema uzinduzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme... The post Ndejembi:Tanzania sasa inaziada ya Umeme Megawati 2375 appeared first on Timesmajira .

## [CLI-first decentralized compute (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/gDG71v5xYYEV)

_2026-08-22 · **Sponsored**_

Run and pay spare GPUs from the CLI — transcode, coinpay (DID+escrow), infernet (AI).

## [Rais Samia azindua kituo cha JNHPP](https://timesmajira.co.tz/rais-samia-azindua-kituo-cha-jnhpp/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-samia-azindua-kituo-cha-jnhpp)

_2026-08-22 · Penina Malundo · Timesmajira_

Na Penina Malundo,Timesmajira RaisDkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi Agosti 22, 2026, amezindua rasmi Kituo... The post Rais Samia azindua kituo cha JNHPP appeared first on Timesmajira .

## [RAIS SAMIA AZINDUA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA JULIUS NYERERE](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/rais-samia-azindua-kituo-cha-kuzalisha.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia ySuluhu Hassan, leo Jumamosi Agosti 22, 2026, amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), kilichopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. JNHPP ni mradi mkubwa wa kimkakati katika sekta ya nishati nchini, wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 kupitia mitambo tisa, kila mmoja ukiwa na uwezo wa Megawati 235. Mradi huo umegharimu…

## [PICHA: RAIS SAMIA AWASILI JNHPP](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/picha-rais-samia-awasili-jnhpp.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi na viongozi wengine wakati alipowasili katika eneo la Mradi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP). Rais Samia atazindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 leo tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo…

## [ASKARI WA TAWA WAMDHIBITI SIMBA ALIYEZUA TAHARUKI MKARANGO](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/askari-wa-tawa-wamdhibiti-simba.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

- Msako wa Simba Mwingine Waendelea Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kumdhibiti simba mmoja dume aliyekuwa akihusishwa na matukio ya kushambulia mifugo na kuzua taharuki katika Kitongoji cha Songea, Kijiji cha Mkarango, Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi leo Agosti 21, 2026, huku operesheni ya kumtafuta simba mwingine aliyekuwa pamoja naye ikiendelea. Simba huyo amekamatwa…

## [Atlas yazalisha gesi kwa maji](https://timesmajira.co.tz/atlas-yazalisha-gesi-kwa-maji/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=atlas-yazalisha-gesi-kwa-maji)

_2026-08-22 · joyce kasiki · Timesmajira_

Na Joyce Kasiki, Tanga MBUNIFU Luqman Luvanda ametambulisha mashine ya Atlas, inayozalisha gesi kwa kutumia... The post Atlas yazalisha gesi kwa maji appeared first on Timesmajira .

## [Absa Tanzania Yaongeza Juhudi za Kuwawezesha Wasichana katika Teknolojia kupitia GirlCode Hackathon](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/absa-tanzania-yaongeza-juhudi-za.html)

_2026-08-22 · Ahmad Michuzi · MICHUZI BLOG_

Benki ya Absa Tanzania, kwa kushirikiana na GirlCode, shirika lisilo la kiserikali lenye makao yake nchini Afrika Kusini linalolenga kuwawezesha wasichana kutoka mazingira yenye changamoto kwa kuwapatia ujuzi na rasilimali za kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika sekta ya teknolojia, imetangaza kurejea kwa mashindano ya GirlCode Tanzania Hackathon kwa mwaka wa pili mfululizo. Hatua hiyo…

## [Mbunifu wa dawa salama apunguza uharibifu wa mayai](https://timesmajira.co.tz/mbunifu-wa-dawa-salama-apunguza-uharibifu-wa-mayai/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=mbunifu-wa-dawa-salama-apunguza-uharibifu-wa-mayai)

_2026-08-22 · joyce kasiki · Timesmajira_

Na Joyce Kasiki, TangaMBUNIFU na mfugaji wa kuku kutoka Mbeya, Nemo Omar, ameibuka na suluhisho... The post Mbunifu wa dawa salama apunguza uharibifu wa mayai appeared first on Timesmajira .

## [Meridianbet Yatengeneza Tabasamu kwa Vitendo Tabata](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/meridianbet-yatengeneza-tabasamu-kwa.html)

_2026-08-22 · Othman Michuzi · MICHUZI BLOG_

AFYA bora ni mtaji wa maisha, lakini kwa baadhi ya makundi katika jamii, kupata mahitaji muhimu ya kila siku bado ni changamoto kubwa. Kwa kutambua hilo, Meridianbet imeendelea kuonyesha kuwa mchezo hauishii uwanjani pekee, bali pia una nafasi kubwa ya kugusa maisha ya watu nje ya uwanja. Safari hii, kampuni hiyo imepeleka nguvu zake za kijamii hadi Tabata Kisukuru, Dar es Salaam, ambapo…

## [RAIS SAMIA AWASILI JNHPP KWA UZINDUZI WA KITUO CHA UMEME](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/rais-samia-awasili-jnhpp-kwa-uzinduzi.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika eneo la Mradi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), Rufiji, Mkoa wa Pwani, kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa kituo hicho. Rais Samia alipowasili katika eneo la mradi, alisalimiana na Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria tukio hilo. Uzinduzi wa…

## [VIONGOZI WAWASILI JNHPP KUSHUHUDIA UZINDUZI WA KITUO CHA UMEME](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/viongozi-wawasili-jnhpp-kushuhudia.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Viongozi mbalimbali wamewasili katika Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), kilichopo Rufiji, mkoani Pwani, kushuhudia uzinduzi rasmi wa kituo hicho. JNHPP kina uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 za umeme , hatua inayotarajiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa Tanzania katika uzalishaji wa nishati ya umeme. Uzinduzi wa kituo hicho unaashiria hatua muhimu katika juhudi za Serikali…

## [DKT. YONAZI AWAKUMBUSHA VIJANA KULINDA AFYA ZAO KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/dkt-yonazi-awakumbusha-vijana-kulinda.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dkt. Jim Yonazi, Amewaasa vijana kulinda afya zao na kuepuka tabia hatarishi ili kupunguza maambukizi mapya ya VVU, kwa kuzingatia kuwa ni kundi linaloongoza kuwa hatarini zaidi nchini Tanzania. Dkt. Yonazi ameyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa…

## [Tulia Trust kuja kivingine,tamasha ngoma za asili](https://timesmajira.co.tz/tulia-trust-kuja-kivinginetamasha-ngoma-za-asili/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=tulia-trust-kuja-kivinginetamasha-ngoma-za-asili)

_2026-08-22 · zena chitwanga · Timesmajira_

Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online, Mbeya TAASISI ya Tulia Trust imesema Tamasha la Ngoma za... The post Tulia Trust kuja kivingine,tamasha ngoma za asili appeared first on Timesmajira .

## [Rais Samia kuandika historia mpya leo uzinduzi wa JNHPP](https://timesmajira.co.tz/rais-samia-kuandika-historia-mpya-leo-uzinduzi-wa-jnhpp/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=rais-samia-kuandika-historia-mpya-leo-uzinduzi-wa-jnhpp)

_2026-08-22 · Penina Malundo · Timesmajira_

Na Penina Malundo,Timesmajira RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa leo, Agosti 22, 2026, kuandika historia... The post Rais Samia kuandika historia mpya leo uzinduzi wa JNHPP appeared first on Timesmajira .

## [UZINDUZI WA JNHPP KUWEKA HISTORIA MPYA KATIKA SEKTA YA NISHATI TANZANIA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/uzinduzi-wa-jnhpp-waweka-historia-mpya.html)

_2026-08-22 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rufiji, Pwani — Agosti 22, 2026: Tanzania leo inaweka hatua nyingine muhimu katika sekta ya nishati kufuatia uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) unaofanyika katika eneo la Rufiji, Mkoa wa Pwani. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan , anatarajiwa kuongoza hafla hiyo ya uzinduzi wa mradi wenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 (MW) . Mradi huo…

## [Hull City dhidi ya Manchester United Siku ya Ufunguzi wa Ligi Kuu England 2026/27](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/hull-city-dhidi-ya-manchester-united.html)

_2026-08-22 · Othman Michuzi · MICHUZI BLOG_

LEO Jumamosi, tarehe 22 Agosti 2026, Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) inaanza rasmi msimu wa 2026/27, na mchezo mkubwa wa kufungua msimu ni ule wa Hull City dhidi ya Manchester United. Mchezo huu utachezwa katika uwanja wa MKM Stadium, jijini Hull, ukianza saa 14:30. Hii ni fursa kubwa kwa Hull City kuonyesha uwezo wao mbele ya mashabiki wao wa nyumbani dhidi ya moja ya vilabu maarufu zaidi duniani.…

## [Arsenal waanza kutetea ubingwa wa EPL kwa kishindo](https://swahili.kbc.co.ke/arsenal-waanza-kutetea-ubingwa-wa-epl-kwa-kishindo/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=arsenal-waanza-kutetea-ubingwa-wa-epl-kwa-kishindo)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Arsenal walishinda taji hilo kwa mara ya kwanza Mei mwaka huu baada ya subira ya miaka 22, wakizoa pointi 82, kushinda mechi 25, kupiga sare saba na kupoteza tano. The post Arsenal waanza kutetea ubingwa wa EPL kwa kishindo appeared first on KBC Swahili .

## [Wanyonyi awika Laussane Diamond League](https://swahili.kbc.co.ke/wanyonyi-awika-laussane-diamond-league/?utm_source=rss&#038;utm_medium=rss&#038;utm_campaign=wanyonyi-awika-laussane-diamond-league)

_2026-08-22 · Dismas Otuke · KBC Swahili_

Wanyonyi alitumia muda wa dakika 1 sekunde 42.19, kuvuka mstari wa mwisho na kudumisha uongozi wake msimu huu ambapo sasa amezoa pointi 35. The post Wanyonyi awika Laussane Diamond League appeared first on KBC Swahili .

## [PROF. SHEMDOE AWAASA VIONGOZI SERIKALI ZA MITAA KUEPUKA MIGOGORO ILI KUONGEZA UFANISI WA HUDUMA KWA WANANCHI](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/prof-shemdoe-awaasa-viongozi-serikali.html)

_2026-08-22 · MSUMBA · MSUMBA NEWS BLOG_

Na: OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali pa kazi inakwamisha ufanisi na azma ya Serikali ya kuwapelekea wananchi…

## [PROF. NOMBO ATEMBELEA BANDA LA TUME YA TAIFA YA UNESCO MAONESHO YA WIKI YA ELIMU,TANGA](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/prof-nombo-atembelea-banda-la-tume-ya.html)

_2026-08-22 · Othman Michuzi · MICHUZI BLOG_

Na Julitha Mlay ,NATCOM KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, ametembelea Banda la Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika maadhimisho ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu Kitaifa yanayoendelea jijini Tanga. Katika ziara hiyo, Prof. Nombo alipata fursa ya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Tume hiyo, pamoja na maudhui…

## [NEEMA: MKONDO WA AMALI WATOA FURSA KWA VIJANA KUJIAJIRI](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/neema-mkondo-wa-amali-watoa-fursa-kwa.html)

_2026-08-22 · Othman Michuzi · MICHUZI BLOG_

MWANAFUNZI wa Kidato cha Tatu katika Shule ya Ufundi Tanga, Neema Bundala akionesha uwezo wake wa kujua mfumo wa nchini unafavyofanya kazi kwenye Banda la NACTVET ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu inayoendelea katika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara, jijini Tanga. Na Mwandishi Wetu, Tanga MWANAFUNZI wa Kidato cha Tatu katika Shule ya Ufundi Tanga, Neema Bundala, amesema…

