# bungeni (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 2 feeds in the RSS Amplifier directory that cover bungeni.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/bungeni/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/bungeni/blogs.md>

---

## [KAHAMA: MWENGE WA UHURU WAZINDUA JENGO LA WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/kahama-mwenge-wa-uhuru-wazindua-jengo.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Neema Nkumbi, Kahama Mkuu wa wilaya ya Kahama Frank Nkinda ameupokea mwenge wa uhuru leo agosti 21, 2026 kutoka wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius Mtatiro. Mwenge wa Uhuru umezindua jengo maalumu la kuhudumia waraibu wa dawa za kulevya lililopo katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga, lililogharimu zaidi ya Shilingi milioni 467. Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa…

## [MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA KAHAMA, MIRADI 21 YENYE THAMANI YA BILIONI 5.4 YAKAGULIWA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/mwenge-wa-uhuru-wapokelewa-kahama.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Neema Nkumbi, Kahama Mwenge wa Uhuru umepokelewa katika Wilaya ya Kahama na kufanya ziara ya kukagua miradi 21 ya maendeleo yenye thamani ya Shilingi bilioni 5.4. Katika ziara hiyo, Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi katika ujenzi wa madarasa matatu katika Shule ya Sekondari Kagongwa, mradi wenye thamani ya Shilingi milioni 70.4. Kati ya fedha hizo, Shilingi milioni 63 zimetokana na mapato…

## [MAGAZETI YA LEO IJUMAA AGOSTI 21, 2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-ijumaa-agosti-21-2026.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [(untitled)](http://www.huheso.co.tz/2026/08/mboi-mhita-shinyanga-kuhakikisha-hakuna.html)

_2026-08-20 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

MBOI MHITA: SHINYANGA KUHAKIKISHA HAKUNA UHABA WA MADARASA, MADAWATI NA VITI Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amesema mkoa huo unaendelea kukagua na kuboresha miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo miradi ambayo Mwenge wa Uhuru utapita, huku akisisitiza kuhakikisha hakuna uhaba wa madarasa, viti, meza na madawati katika shule za mkoa huo. Mboni amesema baada ya kukabidhiwa Mwenge wa Uhuru…

## [TACAIDS YAWEKA MIKAKATI MADHUBUTI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/tacaids-yaweka-mikakati-madhubuti.html)

_2026-08-20 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) inaendelea kuimarisha mikakati madhubuti ya kupambana na VVU na UKIMWI kupitia ushirikiano wa kisekta, kuhamasisha vyanzo vya fedha vya ndani, kusogeza huduma karibu na jamii ikiwemo Vituo vya Maarifa kwa madereva wa malori na kuwajengea uwezo vijana na wanawake ili kufikia lengo la kutokomeza kabisa janga hili ifikapo mwaka 2030. Hayo yamebainishwa na…

## [MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/makamu-wa-rais-afanya-mazungumzo-na.html)

_2026-08-20 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia, Meja Jenerali Mbaraka Mkeremy, Mazungumzo yaliyofanyika mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Agosti 2026. Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amempongeza Balozi Mkeremy kwa imani aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.…

## [SERIKALI YAWASILISHA RASIMU YA MWONGOZO WA URATIBU MAHUSIANO KWA WADAU](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/serikali-yawasilisha-rasimu-ya-mwongozo.html)

_2026-08-20 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Serikali imewasilisha rasimu ya Mwongozo wa Uratibu wa Mahusiano baina ya Serikali na Makundi ya Kijamii wa mwaka 2026 kwa wadau mbalimbali ili kupokea maoni na ushauri wao wa mwisho kabla ya mwongozo huo kukamilishwa rasmi na kutolewa kwa umma. Akizungumza katika warsha maalum jijini Dar es Salaam kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Bi. Mary…

## [PROF. KABUDI AWATAKA WANANCHI KUZINGATIA TAHADHARI ZA MAAFA](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/prof-kabudi-awataka-wananchi-kuzingatia.html)

_2026-08-20 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu–Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka wananchi kuzingatia tahadhari na maelekezo yanayotolewa na wataalamu na mamlaka husika ili kupunguza madhara yanayotokana na majanga na maafa. Prof. Kabudi ametoa wito huo tarehe 19 Agosti, 2026 wakati akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Watoa Huduma za Misaada ya Kibinadamu…

## [MAGAZETI YA LEO ALHAMISI AGOSTI 20, 2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-alhamisi-agosti-20-2026.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [Tanzania Yaahidi Kulinda Haki za Wafanyakazi na Kuboresha Mazingira Salama ya Kazi](http://www.huheso.co.tz/2026/08/tanzania-yaahidi-kulinda-haki-za.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Tanzania imeahidi kuhakikisha inalinda haki za wafanyakazi wanaohamia nje na kuwapatia mazingira salama ya kazi. Ahadi hiyo imetolewa Agosti 18, 2026 jijini Dodoma na Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu, wakati akizungumza katika mkutano wa Jukwaa la Mawaziri na Kamati ya Kikanda ya Ushauri wa Kitaalamu na Sekretarieti kuhusu Uhamaji wa Nguvu Kazi. Alisisitiza…

## [Save with community-voted codes (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/k11ksp8ZwXN4)

_2026-08-19 · **Sponsored**_

Search thousands of community-verified coupon codes — 100% free, no account needed.

## [TANZANIA NA DRC ZAKUBALIANA KUONGEZA KASI YA MIRADI YA UCHUKUZI NA BIASHARA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/tanzania-na-drc-zakubaliana-kuongeza.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia makubaliano rasmi ya kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya uchukuzi inayounganisha nchi hizo mbili kwa lengo la kupunguza muda na gharama za usafirishaji wa mizigo sambamba na kupanua wigo wa biashara na uwekezaji kwa manufaa ya pande zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa leo katika Ikulu Ndogo iliyopo Zanzibar wakati wa mazungumzo rasmi…

## [LUKA Yapongeza Tanzania kwa Kushirikisha Wataalamu wa Afrika kwenye Tume ya UchunguziL](http://www.huheso.co.tz/2026/08/luka-yapongeza-tanzania-kwa.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Jumuiya ya Kifalme ya Afrika (League of United Kingdom of Africa - LUKA) imepongeza uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kuwashirikisha wataalamu wa sheria na majaji kutoka nchi nyingine za Afrika katika Tume ya Uchunguzi wa Kijinai inayochunguza matukio ya vurugu na uhalifu yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika tamko lake, Jumuiya hiyo imesema kuwa hatua hiyo ni…

## [Bilioni 600 Zilizowekezwa Chalinze-Dodoma: Mapinduzi ya Kiuchumi na Usalama wa Nishati Nchini](http://www.huheso.co.tz/2026/08/bilioni-600-zilizowekezwa-chalinze.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Kukamilika kwa mradi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma kunaashiria hatua kubwa ya kimkakati yenye tija za kipekee kwa maendeleo ya kiuchumi na ufanisi wa huduma nchini. Kupitia uwekezaji huu uliogharamiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Tanzania kwa takribani Shilingi bilioni 600, nchi inaonesha uwezo mkubwa wa kujitegemea katika kutekeleza miradi…

## [WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA SADC](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/waziri-wa-ulinzi-na-jkt-amwakilisha.html)

_2026-08-19 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa 46 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Mkutano huo ulifanyika tarehe 16 na 17 Agosti 2026, jijini Durban, Afrika Kusini, ambapo Mhe. Dkt. Nyansaho aliongoza ujumbe wa Serikali ya…

## [MADAKTARI SRI LANKA WAONDOA JIWE LA KILO 3.1 KWENYE KIBOFU CHA MWANAUME](http://www.huheso.co.tz/2026/08/madaktari-sri-lanka-waondoa-jiwe-la.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Madaktari Nchini Sri Lanka wamefanya upasuaji wa kuliondoa jiwe lenye uzito wa kilo 3.1 kwenye kibofu cha mkojo cha Mwanaume mwenye umri wa miaka 55. Upasuaji huo umefanyika katika Hospitali Kuu ya Trincomalee, Mashariki mwa Sri Lanka, baada ya Mwanaume huyo kulazwa hospitalini kufuatia kupata kiharusi ambapo Madaktari waligundua tatizo hilo baada ya kubaini kuwa alikuwa akipata changamoto wakati…

## [VIKUNDI VYA CBRM VYATAKIWA KUWA WALINZI WA BARABARA ITILIMA ‎](http://www.huheso.co.tz/2026/08/vikundi-vya-cbrm-vyatakiwa-kuwa-walinzi.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

‎Itilima, Simiyu ‎ ‎Vikundi vya kijamii vinavyotekeleza matengenezo ya kawaida ya barabara kupitia Mpango wa CBRM unaotekelezwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) vimetakiwa kushirikiana na wananchi katika kulinda na kutunza miundombinu ya barabara ili iweze kudumu na kuendelea kutoa huduma kwa jamii. ‎ ‎Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mhe. Anna Gidarya wakati wa…

## [MAGAZETI YA LEO JUMATANO AGOSTI 19,2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-jumatano-agosti-192026.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [DIWANI ZACHARIA SOKO AKABIDHI PHOTOCOPY MACHINE YA SH MILIONI 3.5 KWA SHULE YA MSINGI ANDERSON MSUMBA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/diwani-zacharia-soko-akabidhi-photocopy.html)

_2026-08-18 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Diwani wa Kata ya Majengo, Zacharia Soko, akabidhi mashine ya kisasa ya photocopy yenye thamani ya Sh milioni 3.5 kwa Shule ya Msingi Anderson Msumba Na Neema Nkumbi Diwani wa Kata ya Majengo, Zacharia Soko, amekabidhi mashine ya kisasa ya photocopy yenye thamani ya Sh milioni 3.5 kwa Shule ya Msingi Anderson Msumba, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia…

## [CHEREKO CHEREKO BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/chereko-chereko-baraza-la-wafugaji.html)

_2026-08-18 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Kamati tendaji ya Baraza la Wafugaji tarafa ya Ngorongoro imekutana leo tarehe 18 Agosti, 2026 ambapo pamoja na mambo mengine imechambua na kupitisha orodha ya majina ya wanafunzi wa kidato cha tano kutoka kata 11 za tarafa ya Ngorongoro wanaofadhiliwa na Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro Majina ya wanafunzi wanaofadhiliwa na Ngorongoro yanatokana na mapendekezo ya kata zote 11 zenye Vijiji…

## [NI DHAMBI KUBWA KWA MWANAUME WA KIHADZABE KUTAHIRIWA](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/ni-dhambi-kubwa-kwa-mwanaume-wa.html)

_2026-08-16 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Wahadzabe ni kabila linalopatikana mkabala na ziwa Eyasi pembezoni mwa hifadhi ya Ngorongoro na habari za maisha yao zimehifadhiwa katika makumbusho ya Urithi Jiopaki liyopo Karatu Mkoani Arusha. Pamoja na mabadiliko ya ulimwengu na elimu kutolewa lakini kabila hili bado haliamini katika tohara kwa kijana wa kiume, kwao hiyo ni mwiko wakiamini binadamu anastahili kuwa kama alivyozaliwa. Sababu…

## [Real SIMs for AI Agents (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/1MFlsGUt4PVI)

_2026-08-16 · **Sponsored**_

Pass 2FA and verifications with real carrier numbers via our API.

## [JESHI LA POLISI LINAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA KUU](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/jeshi-la-polisi-linamshikilia-wakili.html)

_2026-08-14 · Habarifasternews · HabariFaster News_

## [NGORONGORO MAMBO NI SUPER TAMASHA LA KIZIMKAZI](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/ngorongoro-mambo-ni-super-tamasha-la.html)

_2026-08-14 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Wazanzibar husema, Zanzibar ni njema atakaye aje, Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro ni miongoni mwa taasisi zilizoshiriki tamasha la Kizimkazi 2026 na kukakabidhiwa cheti kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutambua ushiriki wa mamlaka hiyo ambayo imevutia maelefu ya wananchi kushuhudia vivutio vya utalii mubashara katika viwanja vya…

## [UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/utabiri-wa-hali-ya-hewa-kwa-saa-24_0926061596.html)

_2026-08-14 · Habarifasternews · HabariFaster News_

