# biashara (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 4 feeds in the RSS Amplifier directory that cover biashara.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/biashara/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/biashara/blogs.md>

---

## [KAHAMA: MWENGE WA UHURU WAZINDUA JENGO LA WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/kahama-mwenge-wa-uhuru-wazindua-jengo.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Neema Nkumbi, Kahama Mkuu wa wilaya ya Kahama Frank Nkinda ameupokea mwenge wa uhuru leo agosti 21, 2026 kutoka wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius Mtatiro. Mwenge wa Uhuru umezindua jengo maalumu la kuhudumia waraibu wa dawa za kulevya lililopo katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga, lililogharimu zaidi ya Shilingi milioni 467. Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa…

## [Lissu akutwa na kesi ya kujibu, akitaja mashahidi 11](https://nukta.co.tz/lissu-akutwa-na-kesi-ya-kujibu-akitaja-mashahidi-11)

_2026-08-21 · Lucy Samson · Nukta Habari_

Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania imemkuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu na kesi ya kujibu katika mashtaka ya uhaini yanayomkabili, hatua itakayomfanya aendelee tena kusota mahabusu huku akijitetea kujinasua katika shtaka hilo. Uamuzi huo, uliotolewa na Jaji Dunstan Ndunguru kwa niaba ya majaji wenzie wawili, ni pigo kwa \[…\] The post Lissu akutwa na…

## [MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA KAHAMA, MIRADI 21 YENYE THAMANI YA BILIONI 5.4 YAKAGULIWA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/mwenge-wa-uhuru-wapokelewa-kahama.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Neema Nkumbi, Kahama Mwenge wa Uhuru umepokelewa katika Wilaya ya Kahama na kufanya ziara ya kukagua miradi 21 ya maendeleo yenye thamani ya Shilingi bilioni 5.4. Katika ziara hiyo, Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi katika ujenzi wa madarasa matatu katika Shule ya Sekondari Kagongwa, mradi wenye thamani ya Shilingi milioni 70.4. Kati ya fedha hizo, Shilingi milioni 63 zimetokana na mapato…

## [Dola yaendelea kudhoofika, Euro, Pauni kuimarika](https://nukta.co.tz/dola-yaendelea-kudhoofika-euro-pauni-kuimarika)

_2026-08-21 · Fatuma Hussein · Nukta Habari_

The post Dola yaendelea kudhoofika, Euro, Pauni kuimarika appeared first on Nukta Habari .

## [MAGAZETI YA LEO IJUMAA AGOSTI 21, 2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-ijumaa-agosti-21-2026.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [(untitled)](http://www.huheso.co.tz/2026/08/mboi-mhita-shinyanga-kuhakikisha-hakuna.html)

_2026-08-20 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

MBOI MHITA: SHINYANGA KUHAKIKISHA HAKUNA UHABA WA MADARASA, MADAWATI NA VITI Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amesema mkoa huo unaendelea kukagua na kuboresha miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo miradi ambayo Mwenge wa Uhuru utapita, huku akisisitiza kuhakikisha hakuna uhaba wa madarasa, viti, meza na madawati katika shule za mkoa huo. Mboni amesema baada ya kukabidhiwa Mwenge wa Uhuru…

## [NMB YAINGIA AWAMU MPYA YA UBORA WA HUDUMA KWA WATEJA](https://pesatu.co.tz/nmb-yaingia-awamu-mpya-ya-ubora-wa-huduma-kwa-wateja/)

_2026-08-20 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

NMB yaingia awamu mpya ya ubora wa huduma kwa Wateja.Katika hatua kubwa inayotarajiwa kubadilisha mwelekeo wa sekta ya fedha nchini Tanzania, Benki ya NMB imekamilisha rasmi mchakato wa kuhamisha shughuli zake zote za kibenki kwenda kwenye mfumo mkuu mpya wa teknolojia. Hatua hii ya kihistoria inalenga kuleta mapinduzi makubwa kwenye huduma kwa wateja NMB, huku...

## [PSSSF YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI](https://pesatu.co.tz/psssf-yatoa-mafunzo-kwa-waandishi-wa-habari/)

_2026-08-20 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

PSSSF yatoa mafunzo kwa waandishi wa habari.Sekta ya PSSSF na hifadhi ya jamii Tanzania imepiga hatua nyingine kubwa katika kuhakikisha wananchi na watumishi wa umma wanapata taarifa sahihi, za kina, na zisizo na upotoshaji. Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeratibu na kuendesha mafunzo maalum ya siku mbili kwa waandishi wa...

## [BLOCKCHAIN FESTIVAL 2026 KUUNGANISHA AFRIKA](https://pesatu.co.tz/blockchain-festival-2026-kuunganisha-afrika/)

_2026-08-20 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

BLOCKCHAIN FESTIVAL 2026 KUUNGANISHA AFRIKA.Hatua zinazochukuliwa na Tanzania kuelekea kuweka mfumo rasmi wa udhibiti wa sarafu na mali za kidijitali zinaweza kufungua ukurasa mpya katika uchumi wa kidijitali nchini. Wabunifu wa teknolojia, kampuni za fintech, wawekezaji, watengenezaji wa mifumo ya blockchain pamoja na wadau wa Web3 nchini sasa wanahimizwa kwa dhati kushiriki katika mkutano wa...

## [MAGAZETI YA LEO ALHAMISI AGOSTI 20, 2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-alhamisi-agosti-20-2026.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [Watch Chovy Code Live (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/5Hht99d2r5g1)

_2026-08-19 · **Sponsored**_

Join live coding streams with real-time collaborative screen sharing, open source and free.

## [Tanzania Yaahidi Kulinda Haki za Wafanyakazi na Kuboresha Mazingira Salama ya Kazi](http://www.huheso.co.tz/2026/08/tanzania-yaahidi-kulinda-haki-za.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Tanzania imeahidi kuhakikisha inalinda haki za wafanyakazi wanaohamia nje na kuwapatia mazingira salama ya kazi. Ahadi hiyo imetolewa Agosti 18, 2026 jijini Dodoma na Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu, wakati akizungumza katika mkutano wa Jukwaa la Mawaziri na Kamati ya Kikanda ya Ushauri wa Kitaalamu na Sekretarieti kuhusu Uhamaji wa Nguvu Kazi. Alisisitiza…

## [TANZANIA NA DRC ZAKUBALIANA KUONGEZA KASI YA MIRADI YA UCHUKUZI NA BIASHARA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/tanzania-na-drc-zakubaliana-kuongeza.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia makubaliano rasmi ya kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya uchukuzi inayounganisha nchi hizo mbili kwa lengo la kupunguza muda na gharama za usafirishaji wa mizigo sambamba na kupanua wigo wa biashara na uwekezaji kwa manufaa ya pande zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa leo katika Ikulu Ndogo iliyopo Zanzibar wakati wa mazungumzo rasmi…

## [LUKA Yapongeza Tanzania kwa Kushirikisha Wataalamu wa Afrika kwenye Tume ya UchunguziL](http://www.huheso.co.tz/2026/08/luka-yapongeza-tanzania-kwa.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Jumuiya ya Kifalme ya Afrika (League of United Kingdom of Africa - LUKA) imepongeza uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kuwashirikisha wataalamu wa sheria na majaji kutoka nchi nyingine za Afrika katika Tume ya Uchunguzi wa Kijinai inayochunguza matukio ya vurugu na uhalifu yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika tamko lake, Jumuiya hiyo imesema kuwa hatua hiyo ni…

## [Bilioni 600 Zilizowekezwa Chalinze-Dodoma: Mapinduzi ya Kiuchumi na Usalama wa Nishati Nchini](http://www.huheso.co.tz/2026/08/bilioni-600-zilizowekezwa-chalinze.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Kukamilika kwa mradi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma kunaashiria hatua kubwa ya kimkakati yenye tija za kipekee kwa maendeleo ya kiuchumi na ufanisi wa huduma nchini. Kupitia uwekezaji huu uliogharamiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Tanzania kwa takribani Shilingi bilioni 600, nchi inaonesha uwezo mkubwa wa kujitegemea katika kutekeleza miradi…

## [Chalamila kutegua kitendawili cha mabasi stendi ya Magufuli](https://nukta.co.tz/chalamila-kutegua-kitendawili-cha-mabasi-stendi-ya-magufuli)

_2026-08-19 · Fatuma Hussein · Nukta Habari_

Ahadi hiyo ilipokelewa kwa shangwe na Wananchi waliokuwa katika eneo hilo kuanzia saa nne asubuhi wakisubiri ujio wa mkuu wa mkoa. The post Chalamila kutegua kitendawili cha mabasi stendi ya Magufuli appeared first on Nukta Habari .

## [MADAKTARI SRI LANKA WAONDOA JIWE LA KILO 3.1 KWENYE KIBOFU CHA MWANAUME](http://www.huheso.co.tz/2026/08/madaktari-sri-lanka-waondoa-jiwe-la.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Madaktari Nchini Sri Lanka wamefanya upasuaji wa kuliondoa jiwe lenye uzito wa kilo 3.1 kwenye kibofu cha mkojo cha Mwanaume mwenye umri wa miaka 55. Upasuaji huo umefanyika katika Hospitali Kuu ya Trincomalee, Mashariki mwa Sri Lanka, baada ya Mwanaume huyo kulazwa hospitalini kufuatia kupata kiharusi ambapo Madaktari waligundua tatizo hilo baada ya kubaini kuwa alikuwa akipata changamoto wakati…

## [VIKUNDI VYA CBRM VYATAKIWA KUWA WALINZI WA BARABARA ITILIMA ‎](http://www.huheso.co.tz/2026/08/vikundi-vya-cbrm-vyatakiwa-kuwa-walinzi.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

‎Itilima, Simiyu ‎ ‎Vikundi vya kijamii vinavyotekeleza matengenezo ya kawaida ya barabara kupitia Mpango wa CBRM unaotekelezwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) vimetakiwa kushirikiana na wananchi katika kulinda na kutunza miundombinu ya barabara ili iweze kudumu na kuendelea kutoa huduma kwa jamii. ‎ ‎Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mhe. Anna Gidarya wakati wa…

## [Agizo la Chalamila Stendi ya Magufuli laibua maoni mseto](https://nukta.co.tz/agizo-la-chalamila-stendi-ya-magufuli-laibua-maoni-mseto)

_2026-08-19 · Waandishi Wetu · Nukta Habari_

Baadhi ya Wananchi wametoa maoni mseto kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, lililozitaka shughuli za mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani kuhamia katika stendi kuu ya mabasi ya Magufuli. The post Agizo la Chalamila Stendi ya Magufuli laibua maoni mseto appeared first on Nukta Habari .

## [Pauni yashuka thamani dhidi ya Shilingi ya Tanzania](https://nukta.co.tz/pauni-yashuka-thamani-dhidi-ya-shilingi-ya-tanzania)

_2026-08-19 · Fatuma Hussein · Nukta Habari_

Leo, mteja anayenunua Pauni NMB analipa chini ya CRDB, wakati anayezibadilisha kwenda Shilingi anapata kiwango cha juu zaidi CRDB. The post Pauni yashuka thamani dhidi ya Shilingi ya Tanzania appeared first on Nukta Habari .

## [MAGAZETI YA LEO JUMATANO AGOSTI 19,2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-jumatano-agosti-192026.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [Ship software peacefully (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/LfGdUwK8qQGt)

_2026-08-19 · **Sponsored**_

Deploy apps from your repo with auto-config, instant previews, scaling, and monitoring.

## [DIWANI ZACHARIA SOKO AKABIDHI PHOTOCOPY MACHINE YA SH MILIONI 3.5 KWA SHULE YA MSINGI ANDERSON MSUMBA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/diwani-zacharia-soko-akabidhi-photocopy.html)

_2026-08-18 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Diwani wa Kata ya Majengo, Zacharia Soko, akabidhi mashine ya kisasa ya photocopy yenye thamani ya Sh milioni 3.5 kwa Shule ya Msingi Anderson Msumba Na Neema Nkumbi Diwani wa Kata ya Majengo, Zacharia Soko, amekabidhi mashine ya kisasa ya photocopy yenye thamani ya Sh milioni 3.5 kwa Shule ya Msingi Anderson Msumba, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia…

## [Euro yaimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Agosti 18, 2026](https://nukta.co.tz/euro-yaimarika-dhidi-ya-shilingi-ya-tanzania-leo-agosti-18-2026)

_2026-08-18 · Fatuma Hussein · Nukta Habari_

Kwa mtu anayekwenda kununua Euro leo, NMB inauza Euro kwa Sh3,196, ambayo ni Sh24.29 chini ya CRDB inayouza kwa Sh3,220.29. The post Euro yaimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Agosti 18, 2026 appeared first on Nukta Habari .

## [TANTRADE YASHIRIKI MAONESHO YA WAKULIMA ZANZIBAR](https://pesatu.co.tz/tantrade-yashiriki-maonesho-ya-wakulima-zanzibar/)

_2026-08-17 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

TANTRADE YASHIRIKI MAONESHO YA WAKULIMA ZANZIBAR.Hafla ya ufungaji wa Maonesho ya Wakulima Zanzibar imekamilika kwa mafanikio makubwa, ikishuhudia msukumo mpya katika kuimarisha sekta ya kilimo na biashara nchini. Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imeshiriki kikamilifu katika hafla hii muhimu iliyoadhimisha miaka kumi ya maonesho hayo, ikionyesha mchango wake mkubwa katika…

## [Euro yaendelea kuimarika dhidi ya shilingi ya Tanzania](https://nukta.co.tz/euro-yaendelea-kuimarika-dhidi-ya-shilingi-ya-tanzania-2)

_2026-08-17 · Fatuma Hussein · Nukta Habari_

Anayehitaji kununua Euro atalipa zaidi kupitia CRDB, ambako Euro moja inanunuliwa kwa Sh3,213.75, ikilinganishwa na Sh3,188 kwa NMB. The post Euro yaendelea kuimarika dhidi ya shilingi ya Tanzania appeared first on Nukta Habari .

## [NMB YATIA NGUVU TAMASHA LA KIZIMKAZI](https://pesatu.co.tz/nmb-yatia-nguvu-tamasha-la-kizimkazi/)

_2026-08-15 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

NMB yatia nguvu Tamasa la Kizimkazi.Benki ya NMB imehitimisha rasmi ushiriki wake wa kihistoria katika Tamasha la Kizimkazi 2026 visiwani Zanzibar, huku ikionyesha dhamira ya dhati ya kuendelea kuunganisha wananchi na huduma za kifedha za kisasa pamoja na fursa za kipekee za kukuza biashara na uwekezaji. Tamasha hili maarufu, lililofikia kilele chake Agosti 14, 2026...

## [Tanzania inavyoweza kunufaika na ongezeko la simu janja](https://nukta.co.tz/tanzania-inavyoweza-kunufaika-na-ongezeko-la-simu-janja)

_2026-08-15 · Kelvin Makwinya · Nukta Habari_

Mamilioni ya simu inamaanisha mamilioni ya ‘units’ zinazofanya kazi ndani ya uchumi wetu wa kidijitali ambapo kwamwekezaji, hilo ni soko. The post Tanzania inavyoweza kunufaika na ongezeko la simu janja appeared first on Nukta Habari .

## [MIRADI YA MAENDELEO KUSINI UNGUJA YAPATIWA MSUKUMO](https://pesatu.co.tz/miradi-ya-maendeleo-kusini-unguja-yapatiwa-msukumo/)

_2026-08-14 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Miradi ya maendeleo kusini unguja yapatiwa Msukumo. Kipindi cha ushereheshaji wa utamaduni, fursa za kiuchumi, na mshikamano wa kijamii kimefikia kilele chake kikiwa na ujumbe mzito wa maendeleo na uwajibikaji. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka kwa dhati wananchi wa Kizimkazi na maeneo yote ya Mkoa wa Kusini...

## [Samir Yassine ateuliwa CEO mpya BOA Tanzania](https://nukta.co.tz/samir-yassine-ateuliwa-ceo-mpya-boa-tanzania)

_2026-08-14 · Kelvin Makwinya · Nukta Habari_

Kabla ya kuteuliwa kuwa bosi wa juu wa BOA Tanzania, Yassine alikuwa ni sehemu ya uongozi wa benki hiyo akihudumu kama Naibu Mkurugenzi Mtendaji anayesimamia biashara kwa kipindi cha miaka mitano kabla ya kutangazwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa BOA Uganda mwaka 2024. The post Samir Yassine ateuliwa CEO mpya BOA Tanzania appeared first on Nukta Habari .

## [Shilingi yaimarika dhidi ya Euro na Pauni yabaki tulivu dhidi ya dola](https://nukta.co.tz/shilingi-yaimarika-dhidi-ya-euro-na-pauni-yabaki-tulivu-dhidi-ya-dola-2)

_2026-08-14 · Kelvin Makwinya · Nukta Habari_

Wanunuzi wa sarafu hizo wataendelea kununua sarafu hiyo kwa bei nafuu huku wauzaji wakinufaika kwa kupata kiasi kikubwa cha shilingi. The post Shilingi yaimarika dhidi ya Euro na Pauni yabaki tulivu dhidi ya dola appeared first on Nukta Habari .

## [Nukta AI, Pawa AI zaungana kuimarisha teknolojia ya lugha za Kiafrika](https://nukta.co.tz/nukta-ai-pawa-ai-zaungana-kuimarisha-teknolojia-ya-lugha-za-kiafrika)

_2026-08-13 · Fatuma Hussein · Nukta Habari_

Afisa Maendeleo ya Biashara wa Nukta Africa, amesema ushirikiano huo utasaidia kampuni kuendeleza bidhaa zake. The post Nukta AI, Pawa AI zaungana kuimarisha teknolojia ya lugha za Kiafrika appeared first on Nukta Habari .

## [Save with community-voted codes (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/OsIpxQZnNFXj)

_2026-08-13 · **Sponsored**_

Search thousands of community-verified coupon codes — 100% free, no account needed.

## [SERIKALI YATANGAZA KUANZA KUKAGUA MIKATABA YA MADINI](https://pesatu.co.tz/serikali-yatangaza-kuanza-kukagua-mikataba-ya-madini/)

_2026-08-13 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Serikali yatangaza kuanza kukagua Mikataba ya Madini.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechukua hatua madhubuti na za kimkakati zenye lengo la kuleta uwazi, haki, na tija katika usimamizi wa rasilimali za madini nchini. Katika muendelezo wa jitihada hizo, Wizara ya Madini imetangaza rasmi maandalizi ya operesheni maalum ya ukaguzi wa mikataba ya msaada wa...

## [MITAMBO YA KUCHENJUA DHAHABU KUTENGEWA KUTENGEWA ENEO LAKE](https://pesatu.co.tz/mitambo-ya-kuchenjua-dhahabu-kutengewa-eneo-lake/)

_2026-08-13 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Mitambo ya Kuchenjua dhahabu kutengewa eneo lake.Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kimkakati katika kupanga mji na kulinda afya za wakazi wake, huku ikiimarisha sekta ya uchimbaji na uchenjuaji wa madini. Katika kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, Hoja nzito imeibuliwa ikitaka eneo maalum...

## [The story that changed my career](https://nukta.co.tz/the-story-that-changed-my-career)

_2026-08-13 · Fatuma Hussein · Nukta Habari_

As I dug deeper into research, studied scientific publications and spent hours speaking with medical experts, the story began to grow. The post The story that changed my career appeared first on Nukta Habari .

## [BITEKO ASEMA TANZANIA YAPIGA HATUA NISHATI SAFI YA KUPIKIA](https://pesatu.co.tz/tanzania-yapiga-hatua-nishati-safi-ya-kupikia/)

_2026-08-12 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Biteko Asema Tanzania Yapiga hatua nishati Safi ya Kupikia.Katika kuhakikisha afya ya jamii na hifadhi ya mazingira vinazingatiwa kwa kiwango cha juu, Tanzania imeendelea kupiga hatua kubwa na za kihistoria katika utekelezaji wa ajenda ya nishati safi ya kupikia. Hatua hizi ni matokeo ya juhudi za makusudi zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya Sasa, zikilenga...

## [DIPLOMASIA YA UCHUMI YAONGEZA FURSA ZA TANZANIA](https://pesatu.co.tz/diplomasia-ya-uchumi-yaongeza-fursa-za-tanzania/)

_2026-08-12 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Diplomasia ya Uchumi yaongeza fursa za Tanzania.Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inaendelea kudhihirisha kuwa ni nguzo kuu katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania. Kupitia utendaji kazi uliotukuka wa Balozi zake zilizotawanyika katika pembe mbalimbali za dunia, wizara hii imekuwa kiungo chenye tija kubwa katika...

## [MADINI NA GESI KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI TANZANIA](https://pesatu.co.tz/madini-na-gesi-kuchochea-ukuaji-wa-uchumi-tanzania/)

_2026-08-12 · Peninah · PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania_

Madini na gesi kuchochea ukuaji wa uchumi Tanzania.Uchumi wa Tanzania unaendelea kuonyesha ustahimilivu na kasi kubwa ya kuimarika, huku sekta kuu za uzalishaji zikitarajiwa kuwa injini kuu ya kuendesha gurudumu la maendeleo nchini. Katika kipindi hiki ambacho mataifa mengi duniani yanakabiliana na changamoto mbalimbali za kiuchumi na kimfumo, Tanzania imefanikiwa kudumisha uwezo wake wa…

## [Watu 11 wafariki, 14 wajeruhiwa katika tukio la mauaji Pretoria, Afrika Kusini](https://observer.co.tz/ufyatuaji-risasi-pretoria-afrika-kusini-watu-11-wafariki/)

_2025-12-06 · OBA · Observer Africa_

Takribani watu 11 wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa baada ya tukio la ufyatuaji risasi lililotokea mapema Jumamosi asubuhi Afrika Kusini. Tukio hilo limesababisha mauaji jijini Pretoria. Kwa mujibu wa polisi, tukio hilo lilitokea majira ya saa 4:00 asubuhi katika hosteli ya Saulsville, iliyopo Atteridgeville, magharibi mwa Pretoria. Miongoni mwa waliopoteza maisha ni watoto watatu. \[…\] The…

## [Baadhi ya Nchi Kushindwa Kupeleka Mashabiki Kombe la Dunia 2026](https://observer.co.tz/kombe-la-dunia-2026-sera-za-usafiri-marekani/)

_2025-12-06 · OBA · Observer Africa_

Huu ni muhtasari wa nchi zinazoweza kushindwa kupeleka mashabiki nchini Marekani kutokana na sera mpya za usafiri. Fainali za kombe la Dunia 2026 ni mwakani mwezi June. Kadri zinavyokaribia, suala la usafiri wa kimataifa kuelekea Marekani limeanza kujitokeza kama changamoto kwa baadhi ya mataifa. Mashindano hayo yataandaliwa kwa pamoja na Marekani, Kanada na Mexico, huku \[…\] The post Baadhi ya…

## [Rais Ruto aipongeza Marekani kwa mpango wa kuongeza muda wa AGOA](https://observer.co.tz/rais-ruto-aipongeza-marekani-trump-kuongeza-muda-agoa/)

_2025-12-06 · OBA · Observer Africa_

Rais wa Kenya, William Ruto, ameipongeza serikali ya Marekani kwa mpango wa kuongeza muda wa Mpango wa AGOA. Amesema hatua hiyo italinda mafanikio ya kibiashara ambayo tayari yamepatikana. Mpango huo wa AGOA ulianzishwa mwaka 2000. Unaziwezesha nchi kadhaa za Afrika kupata soko la Marekani bila ushuru kwa bidhaa zilizochaguliwa. AGOA imekuwa nguzo muhimu kwa sekta \[…\] The post Rais Ruto aipongeza…

## [Tume ya Uchaguzi Guinea Bissau CNE Yatangaza Matokeo ya Uchaguzi Kuharibika](https://observer.co.tz/guinea-bissau-matokeo-yameharibiwa-mapinduzi-2025/)

_2025-12-04 · OBA · Observer Africa_

Muhtasari wa Matukio Tume ya uchaguzi ya Guinea-Bissau imesema haiwezi kutangaza matokeo ya uchaguzi wa 23 Novemba 2025. Ballots, fomu za hesabu na vifaa vya kompyuta vilikamatwa. Server iliyohifadhi matokeo pia iliharibiwa. Makao ya CNE yalishambuliwa siku moja kabla ya kutangaza matokeo ya muda. Baada ya tukio hilo, jeshi lilitangaza kujidhibiti serikalini. Jeshi lilimtangaza Horta \[…\] The post…

## [Donald Trump awaita Paul Kagame na Felix Tshisekedi kwa ajili ya kusaini makubaliano ya amani kati ya Rwanda na Congo DRC](https://observer.co.tz/donald-trump-kagame-tshisekedi-makubaliano-ya-amani-rwanda-drc/)

_2025-12-04 · OBA · Observer Africa_

Katika hatua yenye umuhimu mkubwa kwa Mustakabali wa eneo la Afrika ya Maziwa Makuu, Rais wa Marekani, Donald J. Trump, ametangaza kuwa atawaalika viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Rais Paul Kagame na Rais Felix Tshisekedi – watashiriki katika tukio rasmi la kusaini makubaliano mapya ya amani na uchumi. Makubaliano hayo, \[…\] The post Donald Trump awaita Paul Kagame na…

## [Vodacom Yachukua Udhibiti wa Safaricom kwa Makubaliano ya Dola 2.4 Bilioni](https://observer.co.tz/vodacom-yachukua-udhibiti-wa-safaricom-kwa-muamala-bilioni-2-4/)

_2025-12-04 · OBA · Observer Africa_

Muhtasari wa Makubaliano Kampuni ya simu ya kusini mwa Afrika, Vodacom, imefanikiwa kununua nafasi ya udhibiti katika kampuni ya uwasilishaji mawasiliano ya Kenya, Safaricom, kwa bei ya dola za Marekani 2.4 bilioni. Hii ni mojawapo ya miamala mikubwa kabisa katika sekta ya telekomunikasiyo barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Kupitia mkataba huu, Vodacom hatimaye \[…\] The post Vodacom…

## [Siku ya Kumbukizi ya UKIMWI Duniani: Kuna Sera Mpya Kuelekea 2026?](https://observer.co.tz/siku-ya-ukimwi-barani-afrika-mabadiliko-ya-sera-na-upatikanaji-wa-arvs/)

_2025-12-01 · OBA · Observer Africa_

USAID Yasitisha Misaada, Sera Mpya za Sekta ya Afya Afrika, Upatikanaji wa ARV na Kondomu, na Takwimu Halisi Utangulizi Katika siku ya kumbukizi ya UKIMWI, barabara ya kupambana na ugonjwa huu imefika tena mahali pa kuangalia kinagaubaga. Hata baada ya miongo ya maendeleo, kukatika ghafla kwa msaada wa kimataifa kunaleta wasiwasi mkubwa. Hii ni tofauti \[…\] The post Siku ya Kumbukizi ya UKIMWI…

## [OPEC+ Kusitisha Ongezeko la Uzalishaji Mafuta Hadi Machi 2026](https://observer.co.tz/opec-plus-yasitisha-ongezeko-la-uzalishaji-utabiri-bei-za-mafuta-2026/)

_2025-12-01 · OBA · Observer Africa_

Katika Habari hii Tunaangazia Nini Kinafuata kwa Bei za Mafuta Kuelekea 2026? OPEC+ imetangaza rasmi kuwa itaendeleza mpango wake wa kusitisha ongezeko la uzalishaji hadi kufikia Machi 2026, hatua ambayo imeleta maswali mapya kuhusu mwelekeo wa bei za mafuta duniani. Uamuzi huu umefikiwa wakati masoko yakipitia mabadiliko makubwa: mahitaji ya mafuta yanaongezeka taratibu, ukuaji wa \[…\] The post…

## [Benjamin Netanyahu aomba msamaha wa Rais katika kesi ya rushwa](https://observer.co.tz/benjamin-netanyahu-aomba-msamaha-wa-rais-kesi-ya-rushwa/)

_2025-11-30 · OBA · Observer Africa_

Kwa nini sasa?—Mzizi wa ombi lake la msamaha Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameomba rasmi msamaha wa rais kutoka kwa Rais Isaac Herzog. Kesi hiyo inahusisha mashtaka ya rushwa, udanganyifu, na matumizi mabaya ya mamlaka. Ombi hili limewasilishwa wakati kesi ikiwa bado haijasikilizwa kikamilifu, huku ikiwa imepita miaka sita. Hatua hiyo imeibua maswali mengi \[…\] The post Benjamin…

## [Dizeli ya Dangote Yapigwa Chini Barani Ulaya](https://observer.co.tz/kukataliwa-dizeli-dangote-ulaya-kiwango-cha-salfuri-vikwazo-vya-baridi/)

_2025-11-29 · OBA · Observer Africa_

Huu ni Uchunguzi, Takwimu na Athari kwa Soko la Mafuta Duniani Changamoto ni Ubora: Sulfuri na Viwango vya Baridi Dizeli kutoka Dangote Refinery imekabiliwa na mashaka makubwa kutoka kwa wanunuzi wa Ulaya. Sampuli zilizochunguzwa katikati ya Novemba 2025 zilionyesha kwamba mafuta hayo hayana kiwango cha salfuri na kemikali nyingine kinachokidhi vigezo vinavyokubalika kwa “dizeli ya \[…\] The post…

