# biashara (audio feeds) — RSS Amplifier

Recent posts from the 1 feeds in the RSS Amplifier directory that cover biashara.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/biashara/audio>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/biashara/audio.md>

---

## [Je, Nchi Inaweza Kuendelea Bila Dira ya Maendeleo?](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260812-je-nchi-inaweza-kuendelea-bila-dira-ya-maendeleo?GJlXzGgqHj)

_2026-08-12 · Gurudumu la Uchumi_

Msikilizaji taifa linaweza kuishi siku moja baada ya nyingine bila kujua linaelekea wapi. Lakini taifa linalotaka kujenga uchumi imara, ajira bora na maisha bora kwa wananchi wake, linahitaji zaidi ya mipango ya leo, kwa kifupî linahitaji dira. Kwenye makala ya wiki hii tunaangazia dira ya taifa ni nini.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202608/MAG_ECONOMIE_12-08-26.mp3?guid=d106a06c-964b-11f1-aeb0-7d99e01fd3b0&source=GJlXzGgqHj)

## [Sehemu ya Pili: Hatifungani ni nini na kwanini inakuhusu](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260805-sehemu-ya-pili-hatifungani-ni-nini-na-kwanini-inakuhusu?GJlXzGgqHj)

_2026-08-05 · Gurudumu la Uchumi_

Mara kadhaa tumesikia serikali zetu zikitangaza kuwa zinauza hati fungani za Serikali za muda mfupi na muda mrefu, yaani Government Bonds na Treasury bill, serikali zikikusanya mabilioni ya fedha kutoka kwa wawekezaji. Sasa je, hatifungani ni nini? Je, mwananchi wa kawaida anaweza kuwekeza?

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAG_ECONOMIE_05-08-26.mp3?guid=779d9fd0-8b42-11f1-b1b5-550ac6cc2a27&source=GJlXzGgqHj)

## [Hatifungani za serikali na hazina: Kwa nini zinahusu kila mwananchi?](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260729-hatifungani-za-serikali-na-hazina-kwa-nini-zinahusu-kila-mwananchi?GJlXzGgqHj)

_2026-07-29 · Gurudumu la Uchumi_

Mara kadhaa tumesikia serikali zetu zikitangaza kuwa zinauza hati fungani za Serikali za muda mfupi na muda mrefu, yaani Government Bonds na Treasury bill, serikali zikikusanya mabilioni ya fedha kutoka kwa wawekezaji. Sasa je, hatifungani ni nini? Je, mwananchi wa kawaida anaweza kuwekeza?

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAG_ECONOMIE_29-07-26.mp3?guid=add5281a-8b3e-11f1-aca8-77c54ba7030c&source=GJlXzGgqHj)

## [Migogoro ya kimataifa inavyoathiri uchumi wa wananchi Afrika](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260722-migogoro-ya-kimataifa-inavyoathiri-uchumi-wa-wananchi-afrika?GJlXzGgqHj)

_2026-07-22 · Gurudumu la Uchumi_

Katika Makala haya hivi leo tunajadili uhusiano kati ya siasa za kimataifa na uchumi wa wananchi wa Afrika, mara yingi tunasikia taarifa za vita, migogoro ya kisiasa au mivutano kati ya mataifa makubwa kama Urusi na Ukraine, Mashariki ya Kati, au migogoro inayovuruga usafirishaji wa bidhaa duniani. Kuzungumzia hili, hivi leo nimemualika Safari Fungo, mtaalamu wa masuala ya uchumi, utangamano wa…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAG_ECONOMIE_22-07-26.mp3?guid=b3a7fed4-85d5-11f1-8777-c7f48c98c05f&source=GJlXzGgqHj)

## [Sarafu za kidijitali ‘Cryptocurrency’ uwekezaji wa kisasa wenye fursa na hatari](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260715-sarafu-za-kidijitali-cryptocurrency-uwekezaji-wa-kisasa-wenye-fursa-na-hatari?GJlXzGgqHj)

_2026-07-15 · Gurudumu la Uchumi_

Katika miaka ya hivi karibuni, sarafu za kidijitali maarufu kama cryptocurrency zimezidi kuvutia watu wengi duniani. Wapo waliopata faida kubwa, lakini pia wapo waliopoteza fedha nyingi kutokana na kushuka kwa thamani ya sarafu hizo. Leo katika Makala ya Gurudumu la Uchumi, tunajiuliza: Je, sarafu za kidijitali ‘cryptocurrency’ ni uwekezaji wa kweli, au ni uwekezaji wenye hatari kubwa ambao watu…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAG_ECONOMIE_15-07-26.mp3?guid=42245d0e-8056-11f1-998b-b7c298cf2416&source=GJlXzGgqHj)

## [Kodi na Maendeleo: Je, tunapata thamani ya kodi tunazolipa?](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260708-kodi-na-maendeleo-je-tunapata-thamani-ya-kodi-tunazolipa?GJlXzGgqHj)

_2026-07-08 · Gurudumu la Uchumi_

Katika makala ya Gurudumu la Uchumi hivi leo, tunajadili nafasi ya kodi katika maendeleo ya uchumi, umuhimu wa kulipa kodi, na jinsi serikali na wananchi wanavyoweza kushirikiana kujenga uchumi imara na wenye manufaa kwa wote.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202607/MAG_ECONOMIE_08-07-26.mp3?guid=c7b833ec-7aba-11f1-8941-8115b569da94&source=GJlXzGgqHj)

## [Je, kukopa kunasaidia ukuaji wa uchumi au kunaleta hatari za siku zijazo?](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260624-je-kukopa-kunasaidia-ukuaji-wa-uchumi-au-kunaleta-hatari-za-siku-zijazo?GJlXzGgqHj)

_2026-06-24 · Gurudumu la Uchumi_

Msikilizaji nchi nyingi za Afrika Mashariki zimeendelea kukopa ili kufadhili maendeleo, na huku wadau wengine wakisema mikopo ni muhimu kwa ukuaji wa uchumi, Wengine wanaonya kuwa madeni yanapoongezeka kupita kiasi, serikali hulazimika kutumia fedha nyingi kulipa madeni hayo badala ya kuboresha huduma muhimu kama vile afya, elimu na ajira. Katika Makala ya Gurumu la Uchumi hivi leo, tunauliza: Je,…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/MAG_ECONOMIE_24-06-26.mp3?guid=a4549596-6fb4-11f1-b599-895fd0b87d64&source=GJlXzGgqHj)

## [Kutoka taslimu hadi kidijitali: Namna simu zinavyobadili mfumo wa malipo Afrika](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260610-kutoka-taslimu-hadi-kidijitali-namna-simu-zinavyobadili-mfumo-wa-malipo-afrika?GJlXzGgqHj)

_2026-06-10 · Gurudumu la Uchumi_

Ufanyaji biashara na utumaji wa fedha kwa njia ya simu za kiganjani barani Afrika unakua kwa kasi, pochi za simu zimerekodi takriban asilimia 19 ya uingiaji wa pesa kwenye eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara, huku wastani wa gharama ya utumaji pesa ukishuka hadi karibu asilimia 3.54 hii ni kwa mujibu wa benki ya dunia. Kwanye Makala ya Gurudumu la uchumi wiki hii, tunaangazia matumizi ya…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/MAG_ECONOMIE_10-06-26.mp3?guid=60e4df82-64e7-11f1-93cd-5fe2d538edcb&source=GJlXzGgqHj)

## [Sekta ya maua Kenya yatikiswa na gharama na kuyumba kwa masoko ya kimataifa](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260604-sekta-ya-maua-kenya-yatikiswa-na-gharama-na-kuyumba-kwa-masoko-ya-kimataifa?GJlXzGgqHj)

_2026-06-04 · Gurudumu la Uchumi_

Msikilizaji Sekta ya maua nchini Kenya, ambayo kwa muda mrefu imekuwa miongoni mwa nguzo muhimu za uchumi na chanzo kikuu cha mapato ya fedha za kigeni, ikiingizia nchi zaidi ya dola bilioni moja za Marekani kila mwaka, sasa inakabiliwa na changamoto zinazotia wasiwasi kuhusu mustakabali wake.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/GURUDUMU_LA_UCHUMI_03-06-26_OK.mp3?guid=fd4abef6-5f32-11f1-82c8-b33e19b329b6&source=GJlXzGgqHj)

## [Umuhimu wa bara la Afrika kufanya biashara za ndani](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260603-umuhimu-wa-bara-la-afrika-kufanya-biashara-za-ndani?GJlXzGgqHj)

_2026-06-03 · Gurudumu la Uchumi_

Katika makala ya wiki hii, tunajadili ni kwanini nchi za Afrika zinapaswa kuongeza kasi ya ufanyaji wa biashara za wenyewe kwa wenyewe kukuza utangamano wa kikanda.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202606/MAG_ECONOMIE_27-05-26_OK.mp3?guid=09fb0366-5f1c-11f1-9cbc-2b93b3f534c3&source=GJlXzGgqHj)

## [profullstack on Ko‑fi (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/NR3SXpHYjVxL)

_2026-06-03 · **Sponsored**_

Open the creator's Ko‑fi page.

## [Mkutano wa 'Africa Forward' una maana gani kwa mustakabali wa Afrika](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260506-mkutano-wa-africa-forward-una-maana-gani-kwa-mustakabali-wa-afrika?GJlXzGgqHj)

_2026-05-06 · Gurudumu la Uchumi_

Tarehe 11 na 12 ya wiki ijayo, Jiji la Nairobi, Kenya litakuwa mwenyeji wa mkutano wa kwanza wa kihistoria wa ‘Africa Forward’ kati ya Ufaransa na Afrika, mkutano ambao unafanyika kwenye nchi inazungumza Kingereza, ambapo viongozi wa Afrika, wafanyabiashara na wabunifu vijana kutoka Afrika na Ufaransa watakongamana kwa siku mbili. Kwenye Makala ya Gurudumu la Uchumi hivi leo tunaangazia uhusiano…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202605/MAG_ECONOMIE_06-05-26.mp3?guid=6598f854-492d-11f1-abf4-8175f73bbc21&source=GJlXzGgqHj)

## [Akili unde na mustakabali wa uchumi wa Afrika: Fursa mpya kwa vijana wabunifu](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260422-akili-unde-na-mustakabali-wa-uchumi-wa-afrika-fursa-mpya-kwa-vijana-wabunifu?GJlXzGgqHj)

_2026-04-22 · Gurudumu la Uchumi_

Katika kipindi ambacho Afrika inaendelea kukabiliana na changamoto za kiuchumi na kijamii, teknolojia ya Akili Unde (AI) inaibuka kama nyenzo muhimu ya kuleta mabadiliko. Kutoka kilimo hadi afya, na kutoka elimu hadi utawala bora, ubunifu wa kidijitali unaanza kubadilisha namna matatizo ya muda mrefu yanavyotatuliwa.Katika makala hii, tunazungumza na Kevin Obote kijana mbunifu wa teknolojia ambaye…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/GURUDUMU_LA_UCHUMI_22-04-26_OK.mp3?guid=6f4a51e6-3e50-11f1-8fc0-99e2a425be2f&source=GJlXzGgqHj)

## [Kwa nini vikwazo vya usafirishaji ni kizuizi kikubwa cha biashara Afrika Mashariki](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260401-kwa-nini-vikwazo-vya-usafirishaji-ni-kizuizi-kikubwa-cha-biashara-afrika-mashariki?GJlXzGgqHj)

_2026-04-01 · Gurudumu la Uchumi_

Kupitia ripoti iliyozinduliwa juma hili na shirikisho la wazalishaji nchini Kenya, inaonyesha kuwa kusafirisha bidhaa katika njia muhimu za biashara za Afrika bado ni ghali na haitabiriki, ambapo wakati mwingine hugharimu hadi dola 7,000 za Marekani kwa kontena moja kati ya Nairobi na Lusaka. Kwenye Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, tumezungumza na Tobias Alando, mkurugenzi mtendaji wa…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202604/MAG_ECONOMIE_01-04-26.mp3?guid=e854d1b6-2de7-11f1-bd11-d9952f3f17ee&source=GJlXzGgqHj)

## [Uwazi kwenye ubinafsishaji wa mashirika ya uma ni muhimu kwa maendeleo](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260311-uwazi-kwenye-ubinafsishaji-wa-mashirika-ya-uma-ni-muhimu-kwa-maendeleo-1?GJlXzGgqHj)

_2026-03-11 · Gurudumu la Uchumi_

Msikilizaji Katika miaka ya hivi karibuni, nchi nyingi za Afrika Mashariki zimekuwa zikifanya mageuzi makubwa ya kiuchumi. Mojawapo ya mageuzi hayo ni ubinafsishaji wa mashirika ya umma. Leo tunajiuliza, Je, ubinafsishaji ni kweli unasaidia uchumi kukua, au serikali inapaswa kubaki na umiliki wa mashirika muhimu?

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/MAG_ECONOMIE_11-03-26.mp3?guid=800edcba-1d38-11f1-9b23-010280a9f8c9&source=GJlXzGgqHj)

## [Vita ya Iran: Afrika imejipangaje kukabiliana na athari za kiuchumi](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260304-vita-ya-iran-afrika-imejipangaje-kukabiliana-na-athari-za-kiuchumi?GJlXzGgqHj)

_2026-03-04 · Gurudumu la Uchumi_

Msikilizaji mara zote mgogoro wa mashariki ya kati, umekuwa na athari hasi za kiuchumi na biashara duniani, Swali kubwa tunajiuliza hivi leo ni Je, Afrika iko salama kiasi gani? Vita hivi vitaathiri vipi uchumi wa dunia — na gharama za maisha kwa mwananchi wa kawaida barani Afrika?

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202603/GURUDUMU_LA_UCHUMI_04-03-26_OK.mp3?guid=86458400-17c8-11f1-9822-d5119f629946&source=GJlXzGgqHj)

## [Ushirikishwaji wa wanawake katika sekta za kiuchumi chanzo cha ukuaji wa uchumi](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260225-ushirikishwaji-wa-wanawake-katika-sekta-za-kiuchumi-chanzo-cha-ukuaji-wa-uchumi?GJlXzGgqHj)

_2026-02-25 · Gurudumu la Uchumi_

Benki ya Dunia inasema hata katika nchi zenye sheria za kisasa kuhusu usawa kazini, nchi hizo zimeshindwa kuzitekeleza, hadi sasa hakuna nchi iliyofikia kiwango cha juu cha usawa kazini, n ani asilimia kidogo tu ya wanawake wanaishi kwenye nchi zenye angalau sheria bora, huku mataifa 70 ikiwemo Misri, Madagascra na Somalia zikipiga hatua katika kuboresha mazingira ya usawa kati yam waka 2023 na…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/MAG_ECONOMIE_25-02-26.mp3?guid=9174eb6c-122e-11f1-96e7-cb8cb9bafc7c&source=GJlXzGgqHj)

## [Ushirikiano wa kikanda hatarini: Nakisi ya bajeti yaibua maswali mapya](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260218-ushirikiano-wa-kikanda-hatarini-nakisi-ya-bajeti-yaibua-maswali-mapya?GJlXzGgqHj)

_2026-02-18 · Gurudumu la Uchumi_

Juma hili tunajadili kuhusu mustakabali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa wakati huu kukiwa na taarifa kuwa inakabiliwa na mgogoro wa kifedha. Taarifa zinaonesha kuwa Jumuiya hiyo inakabiliwa na upungufu wa bajeti unaofikia karibu dola za marekani milioni 89, pengo ambalo huenda likatatiza shughuli za Jumuiya hiyo, jambo ambalo limemfanya rais wa Kenya William Ruto ambaye ni mwenyekiti wa…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/GURUDUMU_LA_UCHUMI18-02-26_OK.mp3?guid=fc6206b6-0cd0-11f1-a459-bb75fc12b609&source=GJlXzGgqHj)

## [Dubai: Viongozi wa dunia waangazia mageuzi ya sera, ubunifu na mifumo mipya ya utawala](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260205-dubai-viongozi-wa-dunia-waangazia-mageuzi-ya-sera-ubunifu-na-mifumo-mipya-ya-utawala?GJlXzGgqHj)

_2026-02-05 · Gurudumu la Uchumi_

Mkutano wa siku tatu wa Serikali za Dunia mwaka 2026 huko Dubai umesisitiza kuhusu udhibiti wa Akili Mnemba, AI, mageuzi ya kidijitali, uchumi endelevu na thabiti duniani. Viongozi mbalimbali wametoa wito wa kuwepo ushirikiano thabiti wa kimataifa na mifumo mipya ya utawala inayoweza kutazamia changamoto za siku zijazo lakini pia kushughulikia masuala ya pamoja kama vile mabadiliko ya hali ya…

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202602/GURUDUMU_LA_UCHUMI_04_02_26_JUPITER.mp3?guid=2187528e-02a4-11f1-a719-2f3e87276ffe&source=GJlXzGgqHj)

## [Ushindani wa mataifa makubwa na mustakabali wa uchumi wa Dunia](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260121-ushindani-wa-mataifa-makubwa-na-mustakabali-wa-uchumi-wa-dunia?GJlXzGgqHj)

_2026-01-21 · Gurudumu la Uchumi_

Msikilizaji mataifa makubwa kama Marekani, China, Urusi na Ulaya yanaendelea kushindana kiuchumi, kuanzia kwenye biashara, teknolojia, nishati na rasilimali. Lakini je, ushindani wao unaathiri vipi uchumi wa dunia? Leo kwenye Makala ya Gurudumu la Uchumi tunajadili, “Athari za Kiuchumi kwa Dunia Zitokanazo na Ushindani wa Maslahi ya Kiuchumi kati ya Mataifa Makubwa.”

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202601/MAG_ECONOMIE_21-01-26.mp3?guid=68c28808-f6ba-11f0-92c5-731240bcb641&source=GJlXzGgqHj)

## [Kenya Kuwa Singapore ya Afrika: Ndoto au Uhalisia?](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260114-kenya-kuwa-singapore-ya-afrika-ndoto-au-uhalisia?GJlXzGgqHj)

_2026-01-14 · Gurudumu la Uchumi_

Msikilizaji Rais wa Kenya, William Ruto, ameendelea kusisitiza azma ya kuifanya nchi yake kuwa Singapore ya Afrika, suala ambalo limeibua mjadala mkali nchini humo baadhi wakisema ni suala ambalo halitawezekana chini ya utawala wake na wengine wakiona ni jambo linalowezekana. Kwenye makala yetu leo tunajiuliza, je, Kenya inaelekea huko? Ndoto hii inawezekana au ni siasa?

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202601/MAG_ECONOMIE_14-01-26.mp3?guid=70c74dc0-f12b-11f0-96dc-15c19c4aebdd&source=GJlXzGgqHj)

## [ThreatCrush on GitHub (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/kvqeedZko9uC)

_2026-01-14 · **Sponsored**_

View the ThreatCrush listing on the GitHub Marketplace.

## [Kutoka Ufugaji wa Mifugo hadi Samaki: Mabadiliko ya Kiuchumi Kajiado](https://www.rfi.fr/sw/makala/gurudumu-la-uchumi/20260107-kutoka-ufugaji-wa-mifugo-hadi-samaki-mabadiliko-ya-kiuchumi-kajiado?GJlXzGgqHj)

_2026-01-07 · Gurudumu la Uchumi_

Msikilizaji jamii ya Wamaasai kwa muda mrefu imekuwa ikitegemea ufugaji wa mifugo kama chanzo kikuu cha riziki na chakula, hata hivyo, mabadiliko ya tabianchi yaliyoambatana na ukame wa mara kwa mara yamilazimisha jamii hii kutafuta mbinu mbadala za kujipatia kipato, mojawapo ni ufugaji wa samaki.

[Listen](https://audio.audiomeans.fr/pfx/b035a7c4-de15-11ef-9e7b-cfc4fb0c91f4/aod-rfi.akamaized.net/rfi/swahili/audio/modules/actu/202601/MAG_ECONOMIE_07-01-26.mp3?guid=d73987a0-ebac-11f0-9f3b-b1f0837b8b0d&source=GJlXzGgqHj)

