# babari (news sources) — RSS Amplifier

Recent posts from the 1 feeds in the RSS Amplifier directory that cover babari.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/babari/news>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/babari/news.md>

---

## [NCHIMBI AFUKUZWA CCM, NDEJEMBI ATEULIWA KUMRITHI](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/nchimbi-afukuzwa-ccm-ndejembi-ateuliwa.html)

_2026-08-26 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemvua uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, hatua iliyochukuliwa leo, siku moja baada ya kutangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa. Uamuzi huo umefanywa na Halmashauri Kuu ya CCM katika kikao chake kilichofanyika leo, Agosti 26, 2026. Dkt. Nchimbi alitangaza kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais na kustaafu…

## [RC MAKALA ATAKA MAANDALIZI YA ELNINO](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/rc-makala-ataka-maandalizi-ya-elnino.html)

_2026-08-26 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA. Amos Makala ametoa wito kwa Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro ,wilaya na maeneo mengine ya hifadhi katika mkoa wa Arusha kujipanga kikamilifu kukarabati miundombinu ya barabara ili ziweze kupitika muda wote ikiwa ni hatua za kukabiliana na mvua za elnino zinazotarajiwa kunyesha kuanzia mwezi Septemba, 2026. Akiongoza kikao cha Kamati ya Usalama…

## [WEATHER FORECAST FOR THE NEXT 24 HOURS](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/weather-forecast-for-next-24-hours.html)

_2026-08-26 · Habarifasternews · HabariFaster News_

## [RAIS SAMIA APOKEA OMBI LA DKT. NCHIMBI KUJIUZULU](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/rais-samia-apokea-ombi-la-dkt-nchimbi.html)

_2026-08-25 · Habarifasternews · HabariFaster News_

## [WATANZANIA WAHIMIZWA KUENDELEA KULINDA AMANI](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/watanzania-wahimizwa-kuendelea-kulinda.html)

_2026-08-24 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametoa mwito kwa Watanzania waendelee kulinda amani ili nchi iendelee kutekeleza mipango ya maendeleo. Dk Nchemba alisema hayo aliposhiriki ibada kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama, Dayosisi ya Mashariki na Pwani mkoani Dar es Salaam jana. Dk Mwigulu alisema amani ya wananchi inategemea amani manufaa ya wananchi. ya eneo…

## [BILIONI 1 YATENGWA KUANZA UJENZI WA KITUO CHA URITHI WA UKOMBOZI AFRIKA](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/bilioni-1-yatengwa-kuanza-ujenzi-wa.html)

_2026-08-24 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema serikali imeanza maandalizi ya kujenga Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Afrika Kongwa mkoani Dodoma. Aidha amesema tayari serikali imetoa Sh bilioni moja kwa ajili ya kuanza upembuzi yakinifu ili kuanza ujenzi wa kituo hicho. Msigwa alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari…

## [SERIKALI YAWEKA MAZINGIRA WEZESHI, WANAWAKE KUTUMIA TEKNOLOJIA NA FURSA ZA BIASHARA KUKUZA UCHUMI](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/serikali-yaweka-mazingira-wezeshi.html)

_2026-08-24 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi kupitia programu mbalimbali za uwezeshaji wanawake kiuchumi, ikiwemo kuwawezesha kupata mitaji na mikopo kwa ajili ya kuanzisha na kuendeleza shughuli za kiuchumi. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi, wakati akifungua Kongamano la Usimamizi wa Biashara na Uchumi…

## [WAZIRI SANGU ASISITIZA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI, DKT. NCHEMBA ACHANGIA MILIONI 25 AICT](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/waziri-sangu-asisitiza-ushirikiano-na.html)

_2026-08-23 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Clement Sangu, amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za dini katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya Taifa, huku akitoa wito kwa viongozi wa kiroho kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kuimarisha amani, mshikamano, na maadili mema ndani ya jamii. Akizungumza mkoani Geita…

## [NDOTO IMETIMIA NA MPANGO WA KUWA NA UMEME WA UHAKIKA UMEWEZEKANA- RAIS SAMIA](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/ndoto-imetimia-na-mpango-wa-kuwa-na.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kukamilika kwa Mradi wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere ni utekelezaji wa ndoto ya muda mrefu ya Tanzania ya kuwa na umeme wa uhakika kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Rais Samia amesema Serikali ilitekeleza mradi huo kwa uzito unaostahili kutokana na umuhimu wake mkubwa kwa maendeleo ya…

## [NJIA ZA KUSAFIRISHA UMEME KUWA NGUZO YA KUPELEKA UMEME WA JNHPP KOTE NCHINI - NDEJEMBI](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/njia-za-kusafirisha-umeme-kuwa-nguzo-ya.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema Serikali imeendelea kuimarisha miundombinu ya kusafirisha umeme ili kuhakikisha ongezeko la uzalishaji, hususan kutoka katika Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), linafika kwa uhakika katika maeneo mbalimbali nchini. Akizungumza leo Jumamosi, Agosti 22, 2026, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha kuzalisha umeme cha Julius Nyerere, mgeni rasmi akiwa…

## [Meet Claude, an AI assistant (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/wBYM6z6trw31)

_2026-08-22 · **Sponsored**_

Chat with Claude at claude.ai — a conversational AI assistant.

## [RAIS SAMIA AZINDUA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA JULIUS NYERERE](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/rais-samia-azindua-kituo-cha-kuzalisha.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia ySuluhu Hassan, leo Jumamosi Agosti 22, 2026, amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP), kilichopo Rufiji, Mkoa wa Pwani. JNHPP ni mradi mkubwa wa kimkakati katika sekta ya nishati nchini, wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 kupitia mitambo tisa, kila mmoja ukiwa na uwezo wa Megawati 235. Mradi huo umegharimu…

## [PICHA: RAIS SAMIA AWASILI JNHPP](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/picha-rais-samia-awasili-jnhpp.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi na viongozi wengine wakati alipowasili katika eneo la Mradi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP). Rais Samia atazindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 leo tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo…

## [ASKARI WA TAWA WAMDHIBITI SIMBA ALIYEZUA TAHARUKI MKARANGO](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/askari-wa-tawa-wamdhibiti-simba.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

- Msako wa Simba Mwingine Waendelea Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanikiwa kumdhibiti simba mmoja dume aliyekuwa akihusishwa na matukio ya kushambulia mifugo na kuzua taharuki katika Kitongoji cha Songea, Kijiji cha Mkarango, Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi leo Agosti 21, 2026, huku operesheni ya kumtafuta simba mwingine aliyekuwa pamoja naye ikiendelea. Simba huyo amekamatwa…

## [DKT. YONAZI AWAKUMBUSHA VIJANA KULINDA AFYA ZAO KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/dkt-yonazi-awakumbusha-vijana-kulinda.html)

_2026-08-22 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dkt. Jim Yonazi, Amewaasa vijana kulinda afya zao na kuepuka tabia hatarishi ili kupunguza maambukizi mapya ya VVU, kwa kuzingatia kuwa ni kundi linaloongoza kuwa hatarini zaidi nchini Tanzania. Dkt. Yonazi ameyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa…

## [WASIRA ATAKA MAKUNDI YOTE TUME YA MARIDHIANO](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/wasira-ataka-makundi-yote-tume-ya.html)

_2026-08-21 · Habarifasternews · HabariFaster News_

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ni muhimu kwa tume itakayoundwa kwa ajili ya mchakato wa maridhiano ishirikishe makundi yote ili kupata mwafaka wa kitaifa. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira alisema hayo alipozungumza na Kituo cha televisheni cha UTV cha Kampuni ya Azam Media ya Dar es Salaam juzi. “Maridhiano ya kweli ni kuwaleta Watanzania katika makundi mbalimbali pamoja..Tume lazima…

## [TACAIDS YAWEKA MIKAKATI MADHUBUTI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/tacaids-yaweka-mikakati-madhubuti.html)

_2026-08-20 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) inaendelea kuimarisha mikakati madhubuti ya kupambana na VVU na UKIMWI kupitia ushirikiano wa kisekta, kuhamasisha vyanzo vya fedha vya ndani, kusogeza huduma karibu na jamii ikiwemo Vituo vya Maarifa kwa madereva wa malori na kuwajengea uwezo vijana na wanawake ili kufikia lengo la kutokomeza kabisa janga hili ifikapo mwaka 2030. Hayo yamebainishwa na…

## [MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI MALAYSIA](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/makamu-wa-rais-afanya-mazungumzo-na.html)

_2026-08-20 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi mteule wa Tanzania nchini Malaysia, Meja Jenerali Mbaraka Mkeremy, Mazungumzo yaliyofanyika mkoani Dodoma, leo tarehe 20 Agosti 2026. Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amempongeza Balozi Mkeremy kwa imani aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.…

## [SERIKALI YAWASILISHA RASIMU YA MWONGOZO WA URATIBU MAHUSIANO KWA WADAU](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/serikali-yawasilisha-rasimu-ya-mwongozo.html)

_2026-08-20 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Serikali imewasilisha rasimu ya Mwongozo wa Uratibu wa Mahusiano baina ya Serikali na Makundi ya Kijamii wa mwaka 2026 kwa wadau mbalimbali ili kupokea maoni na ushauri wao wa mwisho kabla ya mwongozo huo kukamilishwa rasmi na kutolewa kwa umma. Akizungumza katika warsha maalum jijini Dar es Salaam kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Bi. Mary…

## [PROF. KABUDI AWATAKA WANANCHI KUZINGATIA TAHADHARI ZA MAAFA](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/prof-kabudi-awataka-wananchi-kuzingatia.html)

_2026-08-20 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu–Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka wananchi kuzingatia tahadhari na maelekezo yanayotolewa na wataalamu na mamlaka husika ili kupunguza madhara yanayotokana na majanga na maafa. Prof. Kabudi ametoa wito huo tarehe 19 Agosti, 2026 wakati akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Watoa Huduma za Misaada ya Kibinadamu…

## [WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA SADC](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/waziri-wa-ulinzi-na-jkt-amwakilisha.html)

_2026-08-19 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa 46 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Mkutano huo ulifanyika tarehe 16 na 17 Agosti 2026, jijini Durban, Afrika Kusini, ambapo Mhe. Dkt. Nyansaho aliongoza ujumbe wa Serikali ya…

## [Ship software peacefully (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/Ztp1wsdF47iA)

_2026-08-19 · **Sponsored**_

Deploy apps from your repo with auto-config, instant previews, scaling, and monitoring.

## [CHEREKO CHEREKO BARAZA LA WAFUGAJI NGORONGORO](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/chereko-chereko-baraza-la-wafugaji.html)

_2026-08-18 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Kamati tendaji ya Baraza la Wafugaji tarafa ya Ngorongoro imekutana leo tarehe 18 Agosti, 2026 ambapo pamoja na mambo mengine imechambua na kupitisha orodha ya majina ya wanafunzi wa kidato cha tano kutoka kata 11 za tarafa ya Ngorongoro wanaofadhiliwa na Mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro Majina ya wanafunzi wanaofadhiliwa na Ngorongoro yanatokana na mapendekezo ya kata zote 11 zenye Vijiji…

## [NI DHAMBI KUBWA KWA MWANAUME WA KIHADZABE KUTAHIRIWA](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/ni-dhambi-kubwa-kwa-mwanaume-wa.html)

_2026-08-16 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Wahadzabe ni kabila linalopatikana mkabala na ziwa Eyasi pembezoni mwa hifadhi ya Ngorongoro na habari za maisha yao zimehifadhiwa katika makumbusho ya Urithi Jiopaki liyopo Karatu Mkoani Arusha. Pamoja na mabadiliko ya ulimwengu na elimu kutolewa lakini kabila hili bado haliamini katika tohara kwa kijana wa kiume, kwao hiyo ni mwiko wakiamini binadamu anastahili kuwa kama alivyozaliwa. Sababu…

## [JESHI LA POLISI LINAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA KUU](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/jeshi-la-polisi-linamshikilia-wakili.html)

_2026-08-14 · Habarifasternews · HabariFaster News_

## [NGORONGORO MAMBO NI SUPER TAMASHA LA KIZIMKAZI](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/ngorongoro-mambo-ni-super-tamasha-la.html)

_2026-08-14 · Habarifasternews · HabariFaster News_

Wazanzibar husema, Zanzibar ni njema atakaye aje, Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro ni miongoni mwa taasisi zilizoshiriki tamasha la Kizimkazi 2026 na kukakabidhiwa cheti kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutambua ushiriki wa mamlaka hiyo ambayo imevutia maelefu ya wananchi kushuhudia vivutio vya utalii mubashara katika viwanja vya…

## [UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO](https://www.habarifasternews.co.tz/2026/08/utabiri-wa-hali-ya-hewa-kwa-saa-24_0926061596.html)

_2026-08-14 · Habarifasternews · HabariFaster News_

