# babari (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 1 feeds in the RSS Amplifier directory that cover babari.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/babari/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/babari/blogs.md>

---

## [TANZANIA, CHINA KUSAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO WA MASHIRIKA YA UMMA](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/tanzania-china-kusaini-makubaliano-ya.html)

_2026-08-26 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) iko katika hatua za mwisho za kukamilisha hati mbili za makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Tume ya Usimamizi wa Mali za Serikali za China (SASAC) pamoja na Jumuiya ya China ya Mageuzi na Maendeleo ya Mashirika (CERDS), katika hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kitaalamu, utafiti na kuimarisha uwezo katika usimamizi wa mali za Serikali. Hayo…

## [SIKU 150 ZA JAJI LILA KUPATA MAJIBU YA MAMBO MATANO](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/siku-150-za-jaji-lilakupata-majibu-ya.html)

_2026-08-25 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

TUME ya Kuchunguza Wahusika na Ukiukwaji wa Sheria wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeagizwa kuchunguza mambo matano. Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Shaban Lila amesema wamepewa siku 150 wakamilishe kazi hiyo. Jaji Lila aliwaeleza waandishi wa habari Dar es Salaam jana wanatakiwa kuzitumia siku hizo kukusanya na kuchambua taarifa, kuwaita na…

## [TANZANIA YATAMBA MIAKA 2 KUTUMIKA KUSAJILI 100% MPANGO WA BIMA YA AFYA KWA WOTE](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/tanzania-yatamba-miaka-2-kutumika.html)

_2026-08-25 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khams Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni dhamira ya Serikali ya kuwekeza katika rasilimali watu, kuimarisha huduma za jamii na kuchochea mageuzi ya uchumi yanayowanufaisha wananchi wote. Mhe. Balozi Omar ametoa rai hiyo Jijini Addis Ababa…

## [SERIKALI YAZINDUA PROGRAMU YA INNOIP TANZANIA KULINDA NA KUENDELEZA RASILIMALI ZA KIASILI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/serikali-yazindua-programu-ya-innoip.html)

_2026-08-25 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

SERIKALI imechukua hatua kulinda na kuendeleza rasilimali za kiakili nchini kutokana na uzinduzi rasmi wa Programu ya InnoIP Tanzania, mkakati mahususi unaolenga kuwaongoza wabunifu, watafiti na kampuni changa kulinda, kusimamia na kuifanya ubunifu kuwa biashara kutoka hatua ya wazo hadi kufika sokoni. Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia COSTECH kwa kushirikiana na Wakala ya Usajili wa Biashara…

## [RAIS SAMIA AKUBALI KUJIUZULU KWA MAKAMU WA RAIS DK. NCHIMBI, TARATIBU ZA MRITHI KUCHUKULIWA](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/rais-samia-akubali-kujiuzulu-kwa-makamu.html)

_2026-08-25 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokea na kuridhia barua ya ombi la kujiuzulu kutoka kwa Makamu wa Rais, Mheshimiwa Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, tarehe 25 Agosti 2026. Katika taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka, imeelezwa kuwa kujiuzulu huko kunatarajia kuanza rasmi tarehe 04 Septemba 2026, huku…

## [POSTGRADUATE APPLICATIONS NOW OPEN AT MUCE](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/postgraduate-applications-now-open-at.html)

_2026-08-25 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

University of Dar es Salaam – Mkwawa University College of Education (MUCE) is inviting applications from qualified candidates for its 2026/2027 Postgraduate Programmes. Take the next step in advancing your academic and professional career by applying for your preferred postgraduate programme at MUCE. 🎓 POSTGRADUATE DIPLOMA 🔹 Postgraduate Diploma in Education (Evening) 🎓 MASTER’S DEGREE…

## [TRA UNITED FOOTBALL CLUB ANNOUNCES EMPLOYMENT OPPORTUNITY FOR CHIEF EXECUTIVE OFFICER (CEO)](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/tra-united-football-club-announces.html)

_2026-08-25 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

## [WMA YASHIRIKI TANZANITE MARATHON MANYARA, YASISITIZA MATUMIZI SAHIHI YA VIPIMO](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/wma-yashiriki-tanzanite-marathon.html)

_2026-08-25 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

📍“Tukimbie kwa Afya, Tupime kwa Usahihi!” 📍"Afya Bora, Vipimo Sahihi, Maendeleo Endelevu!” 📍"Tupime Sahihi, Tulinde Afya, Tujenge Taifa!” Na WMA - Manyara Wakala wa Vipimo (WMA) imeshiriki katika mbio za hisani za Manyara Tanzanite Marathon zilizofanyika mjini Babati mkoani Manyara tarehe 22 Agosti, 2026, ambapo watumishi wa Wakala walishiriki mbio za kilomita 5 na 10. Ushiriki wa WMA katika…

## [PROF SHEMDOE, WANANCHI WARIDHISHWA NA UJENZI WA BARABARA ZA AFCON 2027 DAR ES SALAAM](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/prof-shemdoe-wananchi-waridhishwa-na.html)

_2026-08-25 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Na OWM – TAMISEMI, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa barabara zinazoingia kwenye viwanja vitakavyotumika kwa ajili ya michezo na mazoezi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) jijini Dar es Salaam, huku wananchi wakifurahia hatua hiyo na kuipongeza…

## [SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO AGOSTI 25, 2026](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/soma-vichwa-vya-habari-magazeti-ya-leo_01385823589.html)

_2026-08-25 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

## [Refer a Friend, Earn Rewards (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/s6qJInYF4K18)

_2026-08-25 · **Sponsored**_

Earn rewards when a friend signs up for the Graphite Business Card

## [SERIKALI YAANDAA MPANGO WA MATUMIZI YA MAENEO YA MAJI KUTEKELEZA UCHUMI WA BULUU](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/serikali-yaandaa-mpango-wa-matumizi-ya.html)

_2026-08-22 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Serikali inaandaa mpango wa matumizi ya maeneo ya maji ikiwa ni mkakati wa utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uchumi wa Buluu kwa lengo la kuhakikisha sekta hiyo inakuwa endelevu na yenye kuleta manufaa makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Mpango huo wa matumizi ya maeneo ya maji maarufu kama Marine Spatial Plan utasaidia kubainisha maeneo ya kimkakati yatakayochagiza shughuli mbalimbali…

## [SAMIA AZINDUA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE NA KUAGIZA KUKAMILISHWA KWA MIUNDOMBINU YA USAFIRISHAJI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/samia-azindua-mradi-wa-umeme-wa-julius.html)

_2026-08-22 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan,ameitaka Wizara ya Nishati kusimamia ukamilishaji wa haraka wa miundombinu ya usafirishaji na usambazaji umeme kote nchini, ili umeme unaozalishwa katika Kituo cha Julius Nyerere ufike katika maeneo yenye mahitaji ya uzalishaji na uwekezaji. Rais Dkt. Samia ametoa agizo hilo leo, tarehe 22 Agosti, 2026, wakati wa uzinduzi…

## [MRADI WA UPANUZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM ENEO LA KURASINI WAFIKIA ASILIMIA 98](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/mradi-wa-upanuzi-wa-bandari-ya-dar-es.html)

_2026-08-22 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo la zamani la EPZA Kurasini umefikia asilimia 98 na unatarajiwa kuanza kutoa huduma rasmi baada ya miezi miwili. Akizungumza wakati wa ziara yake katika eneo hilo la mradi, Waziri Mbarawa alieleza kuwa kukamilika kwa mradi huo kutaiwezesha bandari hiyo kuongeza uwezo wake…

## [VIJANA WAAMBIWA NI WAKATI KUBADILISHA UBUNIFU KUWA UTAJIRI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/vijana-waambiwa-ni-wakati-kubadilisha.html)

_2026-08-22 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Maonyesho ya Mashariki Creative Economy Expo 2026 yaliyohitimishwa hivi karibuni katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam yalikuwa zaidi ya jukwaa la burudani na badala yake yaligeuka kuwa chuo kikuu cha wazi cha uchumi wa ubunifu, ambapo viongozi, wataalamu na nguli wa tasnia hiyo walijadiliana kwa kina jinsi ya kuwafanya vijana wanaoahangaika mitaani kutafuta ajira kujikita kwenye…

## [KAMBARAGE VIJANA CHOIR KUWASHA MOTO WA INJILI SHINYANGA TAMASHA LA &#39;NIMEBEBA USHUHUDA&#39;](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/kambarage-vijana-choir-kuwasha-moto-wa.html)

_2026-08-22 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Mwenyekiti wa Kambarage Vijana Choir, Kheri Ndaki, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Tamasha la Uimbaji Mubashara ‘Nimebeba Ushuhuda’ linalotarajiwa kufanyika Oktoba 16, 2026 katika Kanisa la AIC Kambarage, Manispaa ya Shinyanga. Mwenyekiti wa Kambarage Vijana Choir, Kheri Ndaki, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Tamasha la Uimbaji Mubashara ‘Nimebeba Ushuhuda’ linalotarajiwa…

## [SOMA VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AGOSTI 22, 2026](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/soma-vichwa-vya-habari-magazeti-ya-leo_01727040338.html)

_2026-08-22 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

## [WAPINZANI WASIFU UJASIRI WA SERIKALI MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/wapinzani-wasifu-ujasiri-wa-serikali.html)

_2026-08-21 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Makini, Coster Kibonde alisema uthubutu aliouonesha Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza mradi wa Kituo cha kuzalisha umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) kupitia fedha za ndani unadhihirisha serikali imejipanga kuongeza tija kwenye maendeleo ya nchi. Alisema hayo akizungumzia uzinduzi rasmi wa kituo hicho utakaofanywa na Rais Samia hapo kesho. “Naipongeza…

## [WASIRA ATAKA MAKUNDI YOTE TUME YA MARIDHIANO](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/wasira-ataka-makundi-yote-tume-ya.html)

_2026-08-21 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ni muhimu kwa tume itakayoundwa kwa ajili ya mchakato wa maridhiano ishirikishe makundi yote ili kupata mwafaka wa kitaifa. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira alisema hayo alipozungumza na Kituo cha televisheni cha UTV cha Kampuni ya Azam Media ya Dar es Salaam juzi. “Maridhiano ya kweli ni kuwaleta Watanzania katika makundi mbalimbali pamoja..Tume lazima…

## [PROF. SHEMDOE AWAASA VIONGOZI SERIKALI ZA MITAA KUEPUKA MIGOGORO ILI KUONGEZA UFANISI WA HUDUMA KWA WANANCHI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/prof-shemdoe-awaasa-viongozi-serikali.html)

_2026-08-21 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Na: OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali pa kazi inakwamisha ufanisi na azma ya Serikali ya kuwapelekea wananchi…

## [FIKRA MPYA YAWANOA MACHAMPION WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/blog-post_694.html)

_2026-08-21 · Maduhu · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

FIKRA MPYA YAWANOA MACHAMPION WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA Na Marco Maduhu, SHINYANGA Shirika la Fikra Mpya limeendesha mafunzo kwa machampion wa kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia, ambao watahusika kuwezesha upatikanaji wa haki kwa manusura wa vitendo hivyo. TAZAMA VIDEO 👇👇 Akizungumza katika mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Shirika la Fikra Mpya, Leah Josiah, amesema shirika hilo…

## [Recipe PDFs Ready Fast (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/5q1E4GisO7gd)

_2026-08-21 · **Sponsored**_

Turn online or personal recipes into clean, printable PDFs in seconds.

## [MWENGE WARIDHISHWA NA UKARABATI WA MADARASA SHULE YA SEKONDARI OLD SHINYANGA](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/blog-post_21.html)

_2026-08-21 · Maduhu · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

MWENGE WARIDHISHWA NA UKARABATI WA MADARASA SHULE YA SEKONDARI OLD SHINYANGA Na Marco Maduhu, SHINYANGA Mwenge wa Uhuru umekagua na kuridhishwa na ukarabati wa vyumba vinne vya madarasa katika shule ya Sekondari Old Shinyanga, uliogharimu Shilingi milioni 58, fedha kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Serikali Kuu. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Wazo Mwang’onda, akizungumza…

## [REDESO, VETA WAFUNDISHA WAKUFUNZI NISHATI SAFI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/redeso-veta-wafundisha-wakufunzi.html)

_2026-08-20 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

## [RAIS SAMIA, BENKI YA DUNIA WAJADILI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUHARAKISHA MAGEUZI YA KIUCHUMI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/rais-samia-benki-ya-dunia-wajadili.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti20,2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Bw. Ndiame Diop. Mazungumzo yao yamelenga kuharakisha uwekezaji wa kimkakati unaolenga kuchochea mabadiliko makubwa ya kiuchumi. Katika mazungumzo hayo Rais Dkt. Samia ameishukuru Benki ya Dunia kwa…

## [SERIKALI YAWASILISHA RASIMU YA MWONGOZO WA URATIBU MAHUSIANO KWA WADAU](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/serikali-yawasilisha-rasimu-ya-mwongozo.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Serikali imewasilisha rasimu ya Mwongozo wa Uratibu wa Mahusiano baina ya Serikali na Makundi ya Kijamii wa mwaka 2026 kwa wadau mbalimbali ili kupokea maoni na ushauri wao wa mwisho kabla ya mwongozo huo kukamilishwa rasmi na kutolewa kwa umma. Akizungumza katika warsha maalum jijini Dar es Salaam kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Bi. Mary…

## [TANZANIA YAZIDI KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/tanzania-yazidi-kuimarisha-mazingira-ya.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Juhudi kubwa zinazofanywa na Wizara ya Viwanda nMa Biashara kwa kushirikiana na taasisi zake za kimkakati zimeanza kuzaa matunda yanayoonekana wazi katika kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara, kuongeza uzalishaji, na kuvutia mitaji mipya ya uwekezaji nchini. Hayo yamebainishwa wazi na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deodatus Mwanyika, alipokuwa…

## [KAMPENI ZA UPOTOSHAJI MITANDAONI ZAZIDI KUKOSA MASHIKO UWEKEZAJI MKUBWA KOROSHO WAJA](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/kampeni-za-upotoshaji-mitandaoni-zazidi.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Tanzania inazidi kutakata na kimataifa katika kuvutia mitaji mikubwa ya kigeni, huku juhudi za baadhi ya watu wanaojaribu kuzuia maendeleo na uwekezaji nchini kupitia maneno ya ovyo na kampeni za upotoshaji mitandaoni zikizidi kukosa mashiko. Wakati wapinga maendeleo wakijitahidi kupotosha ukweli mtandaoni, vitendo na ukweli wa uwekezaji thabiti kutoka kwa wawekezaji wakubwa wa kimataifa unazidi…

## [WAKULIMA NA WAFUGAJI KUNUFAIKA NA MIKOPO CRDB BANK KWA KUPATA DHANA BORA ZA KILIMO](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/wakulima-na-wafugaji-kunufaika-na.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya CRDB, Xavery Makwi, akiimba shairi wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Tinde mkoani Shinyanga. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Michael Mwang’onda, akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakifurahia wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Tinde mkoani Shinyanga. Na Stella Herman,Shinyanga Upatikanaji wa huduma za kifedha umeendelea…

## [LUKA YAPONGEZA TANZANIA KWA KUSHIRIKISHA WATALAAMU WA AFRIKA KWENYE TUME YA UCHUNGUZI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/luka-yapongeza-tanzania-kwa.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Jumuiya ya Kifalme ya Afrika (League of United Kingdom of Africa - LUKA) imepongeza uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kuwashirikisha wataalamu wa sheria na majaji kutoka nchi nyingine za Afrika katika Tume ya Uchunguzi wa Kijinai inayochunguza matukio ya vurugu na uhalifu yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika tamko lake, Jumuiya hiyo imesema kuwa hatua hiyo ni…

## [BILIONI 600 ZILIZOWEKEZWA CHALINZE - DODOMA: MAPINDUZI YA KIUCHUMI NA USALAMA WA NISHATI NCHINI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/bilioni-600-zilizowekezwa-chalinze.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Kukamilika kwa mradi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma kunaashiria hatua kubwa ya kimkakati yenye tija za kipekee kwa maendeleo ya kiuchumi na ufanisi wa huduma nchini. Kupitia uwekezaji huu uliogharamiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Tanzania kwa takribani Shilingi bilioni 600, nchi inaonesha uwezo mkubwa wa kujitegemea katika kutekeleza miradi…

## [TANZANIA NA DRC ZAKUBALIANA KUONGEZA KASI YA MIRADI YA UCHUKUZI NA BIASHARA](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/tanzania-na-drc-zakubaliana-kuongeza.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia makubaliano rasmi ya kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya uchukuzi inayounganisha nchi hizo mbili kwa lengo la kupunguza muda na gharama za usafirishaji wa mizigo sambamba na kupanua wigo wa biashara na uwekezaji kwa manufaa ya pande zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa leo katika Ikulu Ndogo iliyopo Zanzibar wakati wa mazungumzo rasmi…

## [Ask the crowd: AI or not (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/fC09UDP57NQr)

_2026-08-20 · **Sponsored**_

Get a transparent verdict from verified humans via web, RSS, or API.

## [THPS YATAMBULISHA MRADI WA TANZANIA FAST HEALTH MANISPAA YA KAHAMA KUIMARISHA HUDUMA ZA VVU](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/thps-yatambulisha-mradi-wa-tanzania.html)

_2026-08-19 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Honoratha Rutatinisibwa, akizungumza wakati wa utambulisho wa Mradi wa Tanzania FAST Health unaotekelezwa na THPS katika Manispaa ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Agosti 19, 2026. Picha na Kadama Malunde Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Honoratha Rutatinisibwa, akizungumza wakati wa utambulisho wa Mradi wa Tanzania FAST Health unaotekelezwa na THP S katika…

