# baada (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 3 feeds in the RSS Amplifier directory that cover baada.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/baada/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/baada/blogs.md>

---

## [Betis vs Real Sociedad: Msimu mpya wa LaLiga Waanza kwa Vita Kali](https://salehjembe.co.tz/2026/08/21/betis-vs-real-sociedad-msimu-mpya-wa-laliga-waanza-kwa-vita-kali/)

_2026-08-21 · Saleh · Saleh Jembe_

Ligi Kuu ya Uhispania (LaLiga) inaendelea na mzunguko wake wa pili leo Ijumaa, Agosti 21, ambapo Real Betis watawakaribisha Real Sociedad katika mchezo unaotarajiwa kuwa na hamasa kubwa. Mchezo huu utaanza saa 22:00 usiku. Timu zote mbili zilikosa kucheza raundi ya kwanza ya msimu, hivyo huu utakuwa mchezo wao wa kwanza rasmi wa msimu 2026/27....

## [Ali Kamwe Azungumzia Kauli ya Magori Kuhusu Teknolojia ya VFS](https://salehjembe.co.tz/2026/08/21/ali-kamwe-azungumzia-kauli-ya-magori-kuhusu-teknolojia-ya-vfs/)

_2026-08-21 · Saleh · Saleh Jembe_

Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe, amezungumzia kauli ya Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, Crescentius Magori, kuhusu matumizi ya teknolojia ya Football Video Support (VFS) katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara. Kauli ya Kamwe imekuja wakati mjadala kuhusu matumizi na ufanisi wa teknolojia hiyo ukiendelea katika soka...

## [Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League](https://salehjembe.co.tz/2026/08/21/singida-black-stars-vs-simba-sc-nbc-premier-league/)

_2026-08-21 · Saleh · Saleh Jembe_

Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League ni mchezo unaofuata kwa wababe hawa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Airtel, Singida. Huu unakuwa ni mchezo wa tatu kwa wababe hawa kushuka uwanjani kusaka pointi 3 muhimu msimu mpya 2026/27 ambao umeanza kwa kasi. Simba SC itaingia uwanjani bila huduma ya Duchu ambaye alionyeshwa kadi nyekundu...

## [Azam FC 2-1 TRA United, Manula aonyeshwa kadi nyekundu](https://salehjembe.co.tz/2026/08/21/azam-fc-2-1-tra-united-manula-aonyeshwa-kadi-nyekundu/)

_2026-08-21 · Saleh · Saleh Jembe_

MTAJIRI wa Dar, Azam FC wameanza na ushindi kwenye mchezo wa nyumbani msimu wa 2026/27 baada ya kuanza na sare ugenini dhidi ya Polisi Tanzania. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex Agosti 20,2026 ulisoma Azam FC 2-1 TRA United. Ni Idd Suleman alianza kufunga dakika ya 8 na Abdul Suleiman alipachika...

## [Allan Okello Atambulishwa Rasmi AS FAR Rabat Baada ya Kuondoka Yanga](https://salehjembe.co.tz/2026/08/21/allan-okello-atambulishwa-rasmi-as-far-rabat-baada-ya-kuondoka-yanga/)

_2026-08-21 · Saleh · Saleh Jembe_

Rabat, Morocco — Kiungo mshambuliaji wa Uganda, Allan Okello, ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa AS FAR Rabat baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Young Africans SC, maarufu Yanga. Okello, ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga, sasa ameanza ukurasa mpya wa maisha yake ya soka nchini Morocco baada ya AS FAR kukamilisha taratibu zote...

## [Ronaldinho Atoa Mshangao, Arejea Soka Akiwa Na Miaka 46](https://salehjembe.co.tz/2026/08/21/ronaldinho-atoa-mshangao-arejea-soka-akiwa-na-miaka-46/)

_2026-08-21 · Saleh · Saleh Jembe_

Milan, Italia — Mwanasoka nguli wa Brazil, Ronaldinho Gaúcho, anatarajiwa kurejea rasmi uwanjani akiwa na umri wa miaka 46, miaka 11 baada ya kucheza mchezo wake wa mwisho wa soka la ushindani. Ronaldinho amefikia makubaliano na Ravenna FC, klabu ya Italia inayoshiriki Serie C, ambapo atahusishwa na klabu hiyo si tu kama mwekezaji, bali pia...

## [Chicken Hot Run Yaanza Kutamba Meridianbet, Je Utafika Mbali?](https://salehjembe.co.tz/2026/08/21/chicken-hot-run-yaanza-kutamba-meridianbet-je-utafika-mbali/)

_2026-08-20 · Saleh · Saleh Jembe_

Uko tayari kwa mbio ambazo hazikupi nafasi ya kulegea? Chicken Hot Run imewasili Meridianbet ikiwa na burudani ya kasi na changamoto inayoweza kukuweka kwenye presha kila unapopiga hatua. Mchezo huu uliotengenezwa na Expanse Studios unakupeleka kwenye safari ya kukimbia, kukwepa vikwazo na kukusanya odds huku ukijaribu kuona ni umbali gani unaweza kufika. Hapa kila sekunde...

## [Yanga Yatinga Ushindi wa 4-1 Dhidi ya Coastal Union](https://salehjembe.co.tz/2026/08/21/yanga-yatinga-ushindi-wa-4-1-dhidi-ya-coastal-union/)

_2026-08-20 · Saleh · Saleh Jembe_

Dar es Salaam — Yanga SC imeendelea na mwanzo mzuri wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2026/27 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo uliopigwa leo kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, jijini Dar es Salaam. Yanga ilianza mchezo kwa kasi huku ikitawala sehemu kubwa ya mchezo...

## [Yanga SC mafia yanasa faili la Coastal Union](https://salehjembe.co.tz/2026/08/20/yanga-sc-mafia-yanasa-faili-la-coastal-union/)

_2026-08-20 · Saleh · Saleh Jembe_

BENCHI la ufundi la Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Manqoba Mngqithi limefanya ‘umafia’ kwa kunasa faili zima la wapinzani wao Coastal Union kabla ya kuwakabili leo Agosti 20,2026 Uwanja wa KMC Complex.Huu utakuwa ni mchezo wa pili kwa mabingwa watetezi wa ligi kushuka uwanjani, wamekusanya pointi 3 baada ya ushindi dhidi ya Namungo FC...

## [Kombe la Dunia la Hockey ya Wanawake Latikisa Uholanzi, Vita Vyaendelea](https://salehjembe.co.tz/2026/08/20/kombe-la-dunia-la-hockey-ya-wanawake-latikisa-uholanzi-vita-vyaendelea/)

_2026-08-20 · Saleh · Saleh Jembe_

Amsterdam, Agosti 20, 2026 — Mashindano ya Kombe la Dunia la Hockey ya Wanawake yanaendelea nchini Uholanzi na Ubelgiji, huku timu mbalimbali zikisaka nafasi ya kusonga mbele katika hatua inayofuata ya mashindano. Leo, Alhamisi, Agosti 20, ratiba imejumuisha michezo kadhaa muhimu. Miongoni mwao ni China dhidi ya Afrika Kusini pamoja na New Zealand dhidi ya...

## [AI Summaries & Audio Briefings (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/s9tJYlt7K8HN)

_2026-08-20 · **Sponsored**_

Read AI summaries and listen to concise audio briefings for the latest stories.

## [Kifukwe Aagwa Karimjee, Yanga na Simba Zamuaga kwa Heshima](https://salehjembe.co.tz/2026/08/20/kifukwe-aagwa-karimjee-yanga-na-simba-zamuaga-kwa-heshima/)

_2026-08-20 · Saleh · Saleh Jembe_

DAR ES SALAAM — Mazingira ya huzuni na heshima yalitawala leo Alhamisi, Agosti 20, katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, ambako familia, viongozi wa michezo, wachezaji wa zamani na wanachama wa Yanga walikusanyika kutoa salamu za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa klabu hiyo, Eng. Francis Kifukwe. Mwili wa Kifukwe uliwasili Karimjee kwa ajili...

## [Yanga Yashuka Dimbani Kuendeleza Moto Dhidi ya Coastal Union](https://salehjembe.co.tz/2026/08/20/yanga-yashuka-dimbani-kuendeleza-moto-dhidi-ya-coastal-union/)

_2026-08-20 · Saleh · Saleh Jembe_

DAR ES SALAAM — Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, leo Alhamisi, Agosti 20, 2026, wanatarajiwa kushuka dimbani kuikabili Coastal Union katika mchezo wa raundi ya pili ya msimu wa 2026/27. Mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam, huku Yanga ikiwa na dhamira ya kuendeleza mwanzo mzuri...

## [Ibrahim Jabaar Aomba Msamaha, Akubali Kuwajibika kwa Kadi Nyekundu](https://salehjembe.co.tz/2026/08/20/ibrahim-jabaar-aomba-msamaha-akubali-kuwajibika-kwa-kadi-nyekundu/)

_2026-08-20 · Saleh · Saleh Jembe_

Nyota wa Ibrahim Jabaar, Ibrahim Jabaar, ameonyesha ukomavu kwa kukubali na kuchukua jukumu kamili kufuatia tukio lililomfanya kuonyeshwa kadi nyekundu katika mchezo uliopita. Kupitia ujumbe aliouweka kwenye Instagram, Jabaar amesema: “Hakuna visingizio. Ninachukua jukumu kamili.” 🙏🏽 Kauli hiyo inaonyesha kuwa Jabaar ametambua kosa lake na yuko tayari kuwajibika, huku akitarajiwa kujifunza…

## [Leo ni Kubeti Kitaalamu! Mechi Kali na Odds Kubwa Zipo Meridianbet](https://salehjembe.co.tz/2026/08/20/leo-ni-kubeti-kitaalamu-mechi-kali-na-odds-kubwa-zipo-meridianbet/)

_2026-08-20 · Saleh · Saleh Jembe_

Tengeneza pesa ndefu kwa kusuka jamvi lako la ushindi na Meridianbet. Timu kibao zenye Odds kubwa zipo kwaajili yako, ingia na usuke jamvi siku ya leo. Kama kawaida ligi zinaendelea kuchanganya huku wewe ukichangamkia odds za kibabe, Yanga atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Coastal Union kwenye Ligi kuu ya Tanzania, NBC PREMIER LEAGUE. Hii ni...

## [Rashford Aomba Jina Lake Lisitajwe Kila Siku, Asema Anataka Kuzingatia Soka](https://salehjembe.co.tz/2026/08/20/rashford-aomba-jina-lake-lisitajwe-kila-siku-asema-anataka-kuzingatia-soka/)

_2026-08-20 · Saleh · Saleh Jembe_

MANCHESTER: Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, amesema angependa kupata nafasi ya kujikita katika kucheza soka bila jina lake kutajwa kila siku katika mijadala ya vyombo vya habari. Rashford alitoa kauli hiyo baada ya mchezaji wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, kuanzisha mjadala kuhusu mshambuliaji huyo katika podcast ya Stick to Football. Katika kipande...

## [Arsenal Yakubaliana na Aston Villa Kumsajili Ezri Konsa kwa Zaidi ya Pauni Milioni 50](https://salehjembe.co.tz/2026/08/20/arsenal-yakubaliana-na-aston-villa-kumsajili-ezri-konsa-kwa-zaidi-ya-pauni-milioni-50/)

_2026-08-20 · Saleh · Saleh Jembe_

LONDON: Arsenal imefikia makubaliano na Aston Villa kuhusu kumsajili beki wa England, Ezri Konsa, kwa ada inayozidi pauni milioni 50. Konsa, mwenye umri wa miaka 28, anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kukamilisha uhamisho wake kwenda Emirates Stadium. Arsenal ilianza tena mazungumzo na Aston Villa wiki iliyopita baada ya awali kushindwa kufikia makubaliano. Kwa...

## [Mzozo wa Ardhi ya Cheluget Waelekea Kumalizika Narok](https://www.radioosotua.co.ke/mzozo-wa-ardhi-ya-cheluget-waelekea-kumalizika-narok/)

_2026-08-20 · John Waicua · Radio Osotua_

Huenda mzozo wa muda mrefu unaozingira ardhi ya Cheluget katika eneo bunge la Narok Kusini umefikia tamati. Serikali imetangaza hatua ya kumaliza mzozo huo uliodumu kwa takriban miaka 30. Kwa miaka mingi, maelfu ya familia wamekuwa wakiishi katika ardhi hiyo bila uhakika wa umiliki. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Mipango ya Maeneo, Nixon... The post Mzozo wa Ardhi ya Cheluget Waelekea…

## [Hospitali ya Kigogo Yapokea Wheelchairs, Meridianbet Yaongeza Tabasamu](https://salehjembe.co.tz/2026/08/20/hospitali-ya-kigogo-yapokea-wheelchairs-meridianbet-yaongeza-tabasamu/)

_2026-08-19 · Saleh · Saleh Jembe_

Meridianbet imeongeza nguvu katika kampeni yake ya kusaidia jamii baada ya kuikabidhi Hospitali ya Kigogo msaada wa viti vya magurudumu, maarufu kama wheelchairs. Msaada huo umetolewa kupitia programu ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR), ukiwa na lengo la kuboresha huduma kwa wagonjwa wenye mahitaji maalum. Hatua hii imekuja wakati ambapo hospitali zinahitaji vifaa mbalimbali vinavyoweza kurahisisha...

## [Watu Saba Wafariki Baada ya Ndege Kuanguka Samburu East](https://ngasumedia.co.ke/watu-saba-wafariki-baada-ya-ndege-kuanguka-samburu-east/)

_2026-08-19 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Watu saba, akiwemo rubani, wamefariki dunia baada ya ndege ndogo kuanguka katika eneo la Sabache Hills, Samburu East. Kwa mujibu wa taarifa za polisi, ndege hiyo iliyotambuliwa kwa jina Lady Lorry, ilianguka majira ya saa 3:13 asubuhi, ikiwa njiani kutoka Suyian, Laikipia, kuelekea Loisaba Conservancy. Waliofariki wametajwa kuwa Josh Outran, Roger Duarte, Adam Navaty, Stephen \[…\] The post Watu…

## [Simba Yaibuka na Ushindi wa 2-1 Dhidi ya Pamba Jiji, Yakwea Kileleni](https://salehjembe.co.tz/2026/08/19/simba-yaibuka-na-ushindi-wa-2-1-dhidi-ya-pamba-jiji-yakwea-kileleni/)

_2026-08-19 · Saleh · Saleh Jembe_

Mwanza: Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameanza msimu wa NBC Premier League kwa kasi baada ya kuichapa Pamba Jiji FC mabao 2-1 na kuchukua alama zote tatu. Simba ilipata mabao yake kupitia Clatous Chama dakika ya 18 na Oura dakika ya 30, kabla ya Pamba Jiji kujibu kupitia Diomande dakika ya 72. Mchezo huo ulikuwa...

## [Save with community-voted codes (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/2tb8TdcJlVew)

_2026-08-19 · **Sponsored**_

Search thousands of community-verified coupon codes — 100% free, no account needed.

## [Baraza la Michezo Laibua Jingine Simba! “Serikali Imekamilisha Wajibu Wake” – Video](https://salehjembe.co.tz/2026/08/19/baraza-la-michezo-laibua-jingine-simba-serikali-imekamilisha-wajibu-wake-video/)

_2026-08-19 · Saleh · Saleh Jembe_

Dar es Salaam: Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa Katiba ya Klabu ya Simba iliyofanyiwa marekebisho na kuidhinishwa rasmi Februari 18, 2026. Kwa mujibu wa BMT, marekebisho hayo yalipitishwa na Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Simba uliofanyika Novemba 30, 2025, kabla ya kuwasilishwa kwa Msajili wa Vyama na Vilabu vya...

## [Omar Artan Aweka Historia, Aitwa na UEFA kwa Mafunzo ya Waamuzi](https://ngasumedia.co.ke/omar-artan-aweka-historia-aitwa-na-uefa-kwa-mafunzo-ya-waamuzi/)

_2026-08-19 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Mwamuzi wa kimataifa kutoka Somalia, Omar Artan Abdulkadir, amepewa nafasi ya kipekee baada ya UEFA kumwalika kushiriki kozi maalum ya mafunzo kwa waamuzi wa kiume itakayofanyika Geneva, Uswisi, kuanzia Agosti 31 hadi Septemba 2, 2026. UEFA imewasiliana rasmi na CAF pamoja na Shirikisho la Soka la Somalia kuhusu ushiriki wa Artan katika mafunzo hayo. Baada \[…\] The post Omar Artan Aweka Historia,…

## [Guinness World Records Yamtunuku Erling Haaland Vyeti kwa Rekodi Nne za Kipekee](https://ngasumedia.co.ke/guinness-world-records-yamtunuku-erling-haaland-vyeti-kwa-rekodi-nne-za-kipekee/)

_2026-08-13 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Guinness World Records imemtunuku mshambuliaji wa Manchester City, Erling Haaland, vyeti vinne vya kutambua rekodi mbalimbali alizoweka katika soka, wakati msimu mpya wa Ligi Kuu ya England ukikaribia kuanza. Haaland ametambuliwa kwa rekodi hizi: Haaland, mwenye umri wa miaka 26, sasa anaendelea kuongeza rekodi katika historia ya soka huku akijiandaa kuanza msimu mwingine akiwa na \[…\] The post…

## [Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez Sasa ni Mume na Mke](https://ngasumedia.co.ke/cristiano-ronaldo-na-georgina-rodriguez-sasa-ni-mume-na-mke/)

_2026-08-11 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Nyota wa soka wa Ureno, Cristiano Ronaldo, amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, Georgina Rodríguez, katika sherehe ya kiraia iliyofanyika Cascais, Portugal, tarehe 11 Agosti 2026. Tukio hilo lilikuwa la faragha na la kifamilia, likihudhuriwa na watoto wao. Wanandoa hao pia walithibitisha ndoa yao kupitia picha wakiwa wamevalia mavazi meupe na kuonekana wakiwa \[…\] The post Cristiano Ronaldo…

## [Bashar al-Assad Apatikana na Hatia ya Uhalifu wa Kivita na Uhalifu dhidi ya Binadamu](https://ngasumedia.co.ke/bashar-al-assad-apatikana-na-hatia-ya-uhalifu-wa-kivita-na-uhalifu-dhidi-ya-binadamu/)

_2026-08-11 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Aliyekuwa Rais wa Syria, Bashar al-Assad, amepatikana na hatia ya mauaji ya kukusudia, mateso, ukamataji holela na uhalifu dhidi ya binadamu uliofanyika wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria. Mahakama ya Jinai ya Damascus imemhukumu kifo akiwa hayupo mahakamani, kwa kuwa Assad anaishi uhamishoni nchini Urusi tangu kuondolewa madarakani mwaka 2024. Ndugu yake, \[…\] The post Bashar…

## [Construction of Proposed Lamu Oil Refinery Set to Begin in October 2026 — Dangote](https://ngasumedia.co.ke/construction-of-proposed-lamu-oil-refinery-set-to-begin-in-october-2026-dangote/)

_2026-08-08 · ngasumedia · NGASU NEWS_

Construction of the proposed oil refinery in Lamu is expected to begin in October 2026, according to Nigerian billionaire and businessman Aliko Dangote. Dangote said the refinery will serve Kenya and other countries across East Africa, with the project expected to take less than four years to complete once construction begins. He said preparations for \[…\] The post Construction of Proposed Lamu Oil…

## [Uchaguzi Mkuu Unapaswa Kufanyika Agosti 11,2026.](https://www.radioosotua.co.ke/uchaguzi-mkuu-unapaswa-kufanyika-agosti-11-2026/)

_2026-08-07 · Brigit Agwenge · Radio Osotua_

Mahakama ya Malindi imetoa uamuzi kwamba Uchaguzi Mkuu ujao wa Kenya unapaswa kufanyika Jumanne, Agosti 11, 2026, na sio mwaka wa 2027. Katika hukumu iliyotolewa Malindi, Jaji Mugure Thande, hata hivyo, alisitisha utekelezaji wa uamuzi huo hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Jaji huyo alitangaza kwamba kufanya uchaguzi ujao wa rais katika tarehe yoyote... The post Uchaguzi Mkuu Unapaswa Kufanyika…

## [Narok Yang’ara Miongoni mwa Kaunti Bora kwa Usimamizi wa Fedha.](https://www.radioosotua.co.ke/narok-yangara-miongoni-mwa-kaunti-bora-kwa-usimamizi-wa-fedha-za-umma/)

_2026-08-07 · John Waicua · Radio Osotua_

Kaunti ya Narok imeibuka miongoni mwa kaunti zilizofanya vizuri zaidi nchini katika usimamizi wa fedha za umma, kwa mujibu wa tathmini mpya ya mwaka wa kifedha wa 2024/2025. Ripoti ya County Fiscal Performance Measurement Index (CFPMI) iliyotolewa na Parliamentary Budget Office, PBO, imetaja Embu, Narok, Wajir, Kitui na Kilifi kuwa miongoni mwa kaunti zilizoongoza kwa... The post Narok Yang’ara…

## [Starlets Kwenye Mtihani Mgumu Dhidi ya Algeria](https://www.radioosotua.co.ke/starlets-kwenye-mtihani-mgumu-dhidi-ya-algeria/)

_2026-08-03 · John Waicua · Radio Osotua_

Harambee Starlets itashuka dimbani dhidi ya Algeria usiku wa leo mjini Rabat, Morocco, ikisaka ushindi wake wa kwanza katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake, WAFCON 2026. Kikosi hicho cha kocha Beldine Odemba kinaingia katika mchezo huo wa mwisho wa Kundi A kikiwa bila alama baada ya kupoteza mechi zake mbili za... The post Starlets Kwenye Mtihani Mgumu Dhidi ya Algeria…

## [Wakulima wa Narok Walia Bei Duni ya Mazao](https://www.radioosotua.co.ke/wakulima-wa-narok-walia-bei-duni-ya-mazao/)

_2026-08-03 · Amos Lerionka · Radio Osotua_

Wakulima wa ngano na mahindi katika Kaunti ya Narok wameitaka serikali iwanunulie mazao yao kwa bei nzuri, wakisema bei ya sasa haiendani na gharama kubwa za uzalishaji. Wakulima hao pia wanataka serikali kuwahakikishia soko la mazao yao. Wamesema ukosefu wa soko umewalazimu kuuza ngano na mahindi kwa bei ya chini. Wakiongozwa na mwenyekiti wao, Stanley... The post Wakulima wa Narok Walia Bei Duni…

## [profullstack on Ko‑fi (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/QVqA355WCyci)

_2026-08-03 · **Sponsored**_

Open the creator's Ko‑fi page.

## [Rais Ruto Kuhutubia Taifa Saa Moja Jioni Leo](https://www.radioosotua.co.ke/rais-ruto-kuhutubia-taifa-saa-moja-jioni-leo/)

_2026-07-30 · John Waicua · Radio Osotua_

Rais William Ruto anatarajiwa kutoa hotuba maalumu ya kitaifa leo saa moja jioni, wakati shughuli za kisiasa zikiongezeka kuelekea uchaguzi wa 2027 The post Rais Ruto Kuhutubia Taifa Saa Moja Jioni Leo appeared first on Radio Osotua .

## [Wakazi wa Ngoswani Wafunga Barabara Wakipinga Ujenzi Duni](https://www.radioosotua.co.ke/wakazi-wa-ngoswani-wafunga-barabara-wakipinga-ujenzi-duni/)

_2026-07-30 · Anthony Mintila · Radio Osotua_

Wakazi wa Ngoswani wamefunga barabara inayoelekea Ewuaso Ngiro, wakitaka viongozi kuingilia kati kuhusu ujenzi wanaodai ni duni. The post Wakazi wa Ngoswani Wafunga Barabara Wakipinga Ujenzi Duni appeared first on Radio Osotua .

## [Mgomo wa Wauguzi Narok Kulemaza Huduma za Afya](https://www.radioosotua.co.ke/mgomo-wa-wauguzi-narok-kulemaza-huduma-za-afya/)

_2026-07-30 · John Waicua · Radio Osotua_

Huduma katika zahanati, vituo vya afya na hospitali za umma Narok zimetatizika baada ya wauguzi kujiunga na mgomo wa kitaifa wakitaka serikali ishughulikie madai yao. The post Mgomo wa Wauguzi Narok Kulemaza Huduma za Afya appeared first on Radio Osotua .

## [Premier League Kujaribu Kanuni Mpya Kudhibiti Upotezaji wa Muda wa Makipa](https://www.radioosotua.co.ke/premier-league-kujaribu-kanuni-mpya-kudhibiti-upotezaji-wa-muda-wa-makipa/)

_2026-07-28 · John Waicua · Radio Osotua_

Ligi Kuu ya England itaanza kufanyia majaribio kanuni mpya inayolenga kuwazuia makipa kusimamisha mchezo kwa madai ya majeraha. Kuanzia msimu wa 2026/27, mwamuzi akisimamisha mchezo ili kipa apatiwe matibabu, timu yake italazimika kumtoa mchezaji mmoja wa uwanjani. Mchezaji huyo atakaa nje kwa angalau dakika moja baada ya mchezo kuanza tena. Kwa hiyo, timu hiyo itacheza... The post Premier League…

## [KAGAME CUP &#124; Vipers Yawazamisha Gor Mahia Dakika za Jioni.](https://www.radioosotua.co.ke/kagame-cup-vipers-yawazamisha-gor-mahia-dakika-za-jioni/)

_2026-07-28 · John Waicua · Radio Osotua_

Gor Mahia imepata kichapo chake cha kwanza katika Kombe la CECAFA Kagame, baada ya kufungwa bao 1-0 na Vipers SC ya Uganda. Gusto Mulongo alifunga bao la ushindi katika dakika ya 90+3 kwenye Uwanja wa Kigali Pelé nchini Rwanda. Mulongo aliunganisha mpira kwa kichwa na kumshinda kipa Humphrey Katasi. Kabla ya bao hilo, timu zote... The post KAGAME CUP | Vipers Yawazamisha Gor Mahia Dakika za Jioni.…

