# ajira (blogs) — RSS Amplifier

Recent posts from the 2 feeds in the RSS Amplifier directory that cover ajira.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/ajira/blogs>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/ajira/blogs.md>

---

## [MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AGOSTI 22,2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-jumamosi-agosti-222026.html)

_2026-08-22 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

n https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [KAHAMA YAVUKA LENGO LA USAJILI WA MAKUNDI MAALUM NeST, YAFIKIA ASILIMIA 217, KIONGOZI WA MWENGE AMKABIDHI TUZO MD KIBETU](http://www.huheso.co.tz/2026/08/kahama-yavuka-lengo-la-usajili-wa.html)

_2026-08-22 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Neema Nkumbi, Kahama Halmashauri ya Manispaa ya Kahama imefanikiwa kusajili jumla ya vikundi 326 vya makundi maalum katika Mfumo wa Manunuzi ya Umma kwa Njia ya Kielektroniki (NeST), sawa na asilimia 217 ya lengo lililowekwa, huku ikifanikiwa pia kutoa zabuni kwa vikundi hivyo. Mafanikio hayo yameifanya Halmashauri ya Manispaa ya Kahama kutunukiwa tuzo na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma…

## [WAPINZANI WASIFU UJASIRI WA SERIKALI MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/wapinzani-wasifu-ujasiri-wa-serikali.html)

_2026-08-21 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Makini, Coster Kibonde alisema uthubutu aliouonesha Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza mradi wa Kituo cha kuzalisha umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) kupitia fedha za ndani unadhihirisha serikali imejipanga kuongeza tija kwenye maendeleo ya nchi. Alisema hayo akizungumzia uzinduzi rasmi wa kituo hicho utakaofanywa na Rais Samia hapo kesho. “Naipongeza…

## [WASIRA ATAKA MAKUNDI YOTE TUME YA MARIDHIANO](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/wasira-ataka-makundi-yote-tume-ya.html)

_2026-08-21 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ni muhimu kwa tume itakayoundwa kwa ajili ya mchakato wa maridhiano ishirikishe makundi yote ili kupata mwafaka wa kitaifa. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira alisema hayo alipozungumza na Kituo cha televisheni cha UTV cha Kampuni ya Azam Media ya Dar es Salaam juzi. “Maridhiano ya kweli ni kuwaleta Watanzania katika makundi mbalimbali pamoja..Tume lazima…

## [PROF. SHEMDOE AWAASA VIONGOZI SERIKALI ZA MITAA KUEPUKA MIGOGORO ILI KUONGEZA UFANISI WA HUDUMA KWA WANANCHI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/prof-shemdoe-awaasa-viongozi-serikali.html)

_2026-08-21 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Na: OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali pa kazi inakwamisha ufanisi na azma ya Serikali ya kuwapelekea wananchi…

## [FIKRA MPYA YAWANOA MACHAMPION WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/blog-post_694.html)

_2026-08-21 · Maduhu · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

FIKRA MPYA YAWANOA MACHAMPION WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA Na Marco Maduhu, SHINYANGA Shirika la Fikra Mpya limeendesha mafunzo kwa machampion wa kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia, ambao watahusika kuwezesha upatikanaji wa haki kwa manusura wa vitendo hivyo. TAZAMA VIDEO 👇👇 Akizungumza katika mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Shirika la Fikra Mpya, Leah Josiah, amesema shirika hilo…

## [WAZIRI KAIRUKI AZINDUA AWAMU YA PILI YA FAIBA MLANGONI KWAKO, ATOA MAELEKEZO MANNE KWA TTCL](http://www.huheso.co.tz/2026/08/waziri-kairuki-azindua-awamu-ya-pili-ya.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki, ametoa maelekezo manne kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), akilitaka kuhakikisha Awamu ya Pili ya Mradi wa Faiba Mlangoni Kwako (Fiber to the Home – FTTH) inawanufaisha wananchi kwa kuwapatia huduma yenye ubora, uhakika na gharama nafuu. Waziri Kairuki ametoa maelekezo hayo…

## [KAHAMA: MWENGE WA UHURU WAZINDUA JENGO LA WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/kahama-mwenge-wa-uhuru-wazindua-jengo.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Neema Nkumbi, Kahama Mkuu wa wilaya ya Kahama Frank Nkinda ameupokea mwenge wa uhuru leo agosti 21, 2026 kutoka wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius Mtatiro. Mwenge wa Uhuru umezindua jengo maalumu la kuhudumia waraibu wa dawa za kulevya lililopo katika Hospitali ya Manispaa ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga, lililogharimu zaidi ya Shilingi milioni 467. Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa…

## [MWENGE WARIDHISHWA NA UKARABATI WA MADARASA SHULE YA SEKONDARI OLD SHINYANGA](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/blog-post_21.html)

_2026-08-21 · Maduhu · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

MWENGE WARIDHISHWA NA UKARABATI WA MADARASA SHULE YA SEKONDARI OLD SHINYANGA Na Marco Maduhu, SHINYANGA Mwenge wa Uhuru umekagua na kuridhishwa na ukarabati wa vyumba vinne vya madarasa katika shule ya Sekondari Old Shinyanga, uliogharimu Shilingi milioni 58, fedha kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Serikali Kuu. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Wazo Mwang’onda, akizungumza…

## [MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA KAHAMA, MIRADI 21 YENYE THAMANI YA BILIONI 5.4 YAKAGULIWA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/mwenge-wa-uhuru-wapokelewa-kahama.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Na Neema Nkumbi, Kahama Mwenge wa Uhuru umepokelewa katika Wilaya ya Kahama na kufanya ziara ya kukagua miradi 21 ya maendeleo yenye thamani ya Shilingi bilioni 5.4. Katika ziara hiyo, Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi katika ujenzi wa madarasa matatu katika Shule ya Sekondari Kagongwa, mradi wenye thamani ya Shilingi milioni 70.4. Kati ya fedha hizo, Shilingi milioni 63 zimetokana na mapato…

## [Hire AI-Powered Freelancers Fast (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/vHsWVLz8IA4E)

_2026-08-21 · **Sponsored**_

Browse and hire skilled professionals using AI tools — free to post, free to apply.

## [MAGAZETI YA LEO IJUMAA AGOSTI 21, 2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-ijumaa-agosti-21-2026.html)

_2026-08-21 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [REDESO, VETA WAFUNDISHA WAKUFUNZI NISHATI SAFI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/redeso-veta-wafundisha-wakufunzi.html)

_2026-08-20 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

## [(untitled)](http://www.huheso.co.tz/2026/08/mboi-mhita-shinyanga-kuhakikisha-hakuna.html)

_2026-08-20 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

MBOI MHITA: SHINYANGA KUHAKIKISHA HAKUNA UHABA WA MADARASA, MADAWATI NA VITI Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amesema mkoa huo unaendelea kukagua na kuboresha miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo miradi ambayo Mwenge wa Uhuru utapita, huku akisisitiza kuhakikisha hakuna uhaba wa madarasa, viti, meza na madawati katika shule za mkoa huo. Mboni amesema baada ya kukabidhiwa Mwenge wa Uhuru…

## [RAIS SAMIA, BENKI YA DUNIA WAJADILI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUHARAKISHA MAGEUZI YA KIUCHUMI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/rais-samia-benki-ya-dunia-wajadili.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti20,2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Bw. Ndiame Diop. Mazungumzo yao yamelenga kuharakisha uwekezaji wa kimkakati unaolenga kuchochea mabadiliko makubwa ya kiuchumi. Katika mazungumzo hayo Rais Dkt. Samia ameishukuru Benki ya Dunia kwa…

## [SERIKALI YAWASILISHA RASIMU YA MWONGOZO WA URATIBU MAHUSIANO KWA WADAU](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/serikali-yawasilisha-rasimu-ya-mwongozo.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Serikali imewasilisha rasimu ya Mwongozo wa Uratibu wa Mahusiano baina ya Serikali na Makundi ya Kijamii wa mwaka 2026 kwa wadau mbalimbali ili kupokea maoni na ushauri wao wa mwisho kabla ya mwongozo huo kukamilishwa rasmi na kutolewa kwa umma. Akizungumza katika warsha maalum jijini Dar es Salaam kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Bi. Mary…

## [TANZANIA YAZIDI KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/tanzania-yazidi-kuimarisha-mazingira-ya.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Juhudi kubwa zinazofanywa na Wizara ya Viwanda nMa Biashara kwa kushirikiana na taasisi zake za kimkakati zimeanza kuzaa matunda yanayoonekana wazi katika kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara, kuongeza uzalishaji, na kuvutia mitaji mipya ya uwekezaji nchini. Hayo yamebainishwa wazi na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deodatus Mwanyika, alipokuwa…

## [KAMPENI ZA UPOTOSHAJI MITANDAONI ZAZIDI KUKOSA MASHIKO UWEKEZAJI MKUBWA KOROSHO WAJA](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/kampeni-za-upotoshaji-mitandaoni-zazidi.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Tanzania inazidi kutakata na kimataifa katika kuvutia mitaji mikubwa ya kigeni, huku juhudi za baadhi ya watu wanaojaribu kuzuia maendeleo na uwekezaji nchini kupitia maneno ya ovyo na kampeni za upotoshaji mitandaoni zikizidi kukosa mashiko. Wakati wapinga maendeleo wakijitahidi kupotosha ukweli mtandaoni, vitendo na ukweli wa uwekezaji thabiti kutoka kwa wawekezaji wakubwa wa kimataifa unazidi…

## [WAKULIMA NA WAFUGAJI KUNUFAIKA NA MIKOPO CRDB BANK KWA KUPATA DHANA BORA ZA KILIMO](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/wakulima-na-wafugaji-kunufaika-na.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya CRDB, Xavery Makwi, akiimba shairi wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Tinde mkoani Shinyanga. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Michael Mwang’onda, akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakifurahia wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Tinde mkoani Shinyanga. Na Stella Herman,Shinyanga Upatikanaji wa huduma za kifedha umeendelea…

## [LUKA YAPONGEZA TANZANIA KWA KUSHIRIKISHA WATALAAMU WA AFRIKA KWENYE TUME YA UCHUNGUZI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/luka-yapongeza-tanzania-kwa.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Jumuiya ya Kifalme ya Afrika (League of United Kingdom of Africa - LUKA) imepongeza uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kuwashirikisha wataalamu wa sheria na majaji kutoka nchi nyingine za Afrika katika Tume ya Uchunguzi wa Kijinai inayochunguza matukio ya vurugu na uhalifu yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika tamko lake, Jumuiya hiyo imesema kuwa hatua hiyo ni…

## [BILIONI 600 ZILIZOWEKEZWA CHALINZE - DODOMA: MAPINDUZI YA KIUCHUMI NA USALAMA WA NISHATI NCHINI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/bilioni-600-zilizowekezwa-chalinze.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Kukamilika kwa mradi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma kunaashiria hatua kubwa ya kimkakati yenye tija za kipekee kwa maendeleo ya kiuchumi na ufanisi wa huduma nchini. Kupitia uwekezaji huu uliogharamiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Tanzania kwa takribani Shilingi bilioni 600, nchi inaonesha uwezo mkubwa wa kujitegemea katika kutekeleza miradi…

## [Prime Noise-Cancelling Picks (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/X7hNgaYjw3i2)

_2026-08-20 · **Sponsored**_

Browse Prime-eligible, 4-star-and-up noise-cancelling earbuds with fast shipping and deals

## [TANZANIA NA DRC ZAKUBALIANA KUONGEZA KASI YA MIRADI YA UCHUKUZI NA BIASHARA](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/tanzania-na-drc-zakubaliana-kuongeza.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia makubaliano rasmi ya kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya uchukuzi inayounganisha nchi hizo mbili kwa lengo la kupunguza muda na gharama za usafirishaji wa mizigo sambamba na kupanua wigo wa biashara na uwekezaji kwa manufaa ya pande zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa leo katika Ikulu Ndogo iliyopo Zanzibar wakati wa mazungumzo rasmi…

## [MAGAZETI YA LEO ALHAMISI AGOSTI 20, 2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-alhamisi-agosti-20-2026.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [THPS YATAMBULISHA MRADI WA TANZANIA FAST HEALTH MANISPAA YA KAHAMA KUIMARISHA HUDUMA ZA VVU](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/thps-yatambulisha-mradi-wa-tanzania.html)

_2026-08-19 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Honoratha Rutatinisibwa, akizungumza wakati wa utambulisho wa Mradi wa Tanzania FAST Health unaotekelezwa na THPS katika Manispaa ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Agosti 19, 2026. Picha na Kadama Malunde Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Honoratha Rutatinisibwa, akizungumza wakati wa utambulisho wa Mradi wa Tanzania FAST Health unaotekelezwa na THP S katika…

## [Tanzania Yaahidi Kulinda Haki za Wafanyakazi na Kuboresha Mazingira Salama ya Kazi](http://www.huheso.co.tz/2026/08/tanzania-yaahidi-kulinda-haki-za.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Tanzania imeahidi kuhakikisha inalinda haki za wafanyakazi wanaohamia nje na kuwapatia mazingira salama ya kazi. Ahadi hiyo imetolewa Agosti 18, 2026 jijini Dodoma na Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu, wakati akizungumza katika mkutano wa Jukwaa la Mawaziri na Kamati ya Kikanda ya Ushauri wa Kitaalamu na Sekretarieti kuhusu Uhamaji wa Nguvu Kazi. Alisisitiza…

## [LUKA Yapongeza Tanzania kwa Kushirikisha Wataalamu wa Afrika kwenye Tume ya UchunguziL](http://www.huheso.co.tz/2026/08/luka-yapongeza-tanzania-kwa.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Jumuiya ya Kifalme ya Afrika (League of United Kingdom of Africa - LUKA) imepongeza uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kuwashirikisha wataalamu wa sheria na majaji kutoka nchi nyingine za Afrika katika Tume ya Uchunguzi wa Kijinai inayochunguza matukio ya vurugu na uhalifu yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika tamko lake, Jumuiya hiyo imesema kuwa hatua hiyo ni…

## [MADAKTARI SRI LANKA WAONDOA JIWE LA KILO 3.1 KWENYE KIBOFU CHA MWANAUME](http://www.huheso.co.tz/2026/08/madaktari-sri-lanka-waondoa-jiwe-la.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Madaktari Nchini Sri Lanka wamefanya upasuaji wa kuliondoa jiwe lenye uzito wa kilo 3.1 kwenye kibofu cha mkojo cha Mwanaume mwenye umri wa miaka 55. Upasuaji huo umefanyika katika Hospitali Kuu ya Trincomalee, Mashariki mwa Sri Lanka, baada ya Mwanaume huyo kulazwa hospitalini kufuatia kupata kiharusi ambapo Madaktari waligundua tatizo hilo baada ya kubaini kuwa alikuwa akipata changamoto wakati…

## [VIKUNDI VYA CBRM VYATAKIWA KUWA WALINZI WA BARABARA ITILIMA ‎](http://www.huheso.co.tz/2026/08/vikundi-vya-cbrm-vyatakiwa-kuwa-walinzi.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

‎Itilima, Simiyu ‎ ‎Vikundi vya kijamii vinavyotekeleza matengenezo ya kawaida ya barabara kupitia Mpango wa CBRM unaotekelezwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) vimetakiwa kushirikiana na wananchi katika kulinda na kutunza miundombinu ya barabara ili iweze kudumu na kuendelea kutoa huduma kwa jamii. ‎ ‎Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mhe. Anna Gidarya wakati wa…

## [MAGAZETI YA LEO JUMATANO AGOSTI 19,2026](http://www.huheso.co.tz/2026/08/magazeti-ya-leo-jumatano-agosti-192026.html)

_2026-08-19 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

## [DIWANI ZACHARIA SOKO AKABIDHI PHOTOCOPY MACHINE YA SH MILIONI 3.5 KWA SHULE YA MSINGI ANDERSON MSUMBA](http://www.huheso.co.tz/2026/08/diwani-zacharia-soko-akabidhi-photocopy.html)

_2026-08-18 · NKUMBI · HUHESO DIGITAL BLOG_

Diwani wa Kata ya Majengo, Zacharia Soko, akabidhi mashine ya kisasa ya photocopy yenye thamani ya Sh milioni 3.5 kwa Shule ya Msingi Anderson Msumba Na Neema Nkumbi Diwani wa Kata ya Majengo, Zacharia Soko, amekabidhi mashine ya kisasa ya photocopy yenye thamani ya Sh milioni 3.5 kwa Shule ya Msingi Anderson Msumba, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia…

