# afya (news sources) — RSS Amplifier

Recent posts from the 4 feeds in the RSS Amplifier directory that cover afya.

Page: <https://rssamplifier.com/topics/afya/news>  
Feed: <https://rssamplifier.com/topics/afya/news.md>

---

## [TASAC YASHIRIKI MKUTANO WA NNE WA KIMATAIFA WA USAFIRISHAJI, LOJISTIKI NA USIMAMIZI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/tasac-yashiriki-mkutano-wa-nne-wa.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeshiriki katika Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Usafirishaji, Lojistiki na Usimamizi (ICTLM 2026), uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. Mkutano huo umewakutanisha wadau kutoka sekta za usafirishaji, lojistiki, biashara na uchukuzi kwa lengo la kujadili fursa, changamoto na maendeleo katika sekta hizo, pamoja na kubadilishana uzoefu…

## [MWAMBENE AWAASA WALIMU KUWA NA NIDHAMU NA USHIRIKIANO](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/mwambene-awaasa-walimu-kuwa-na-nidhamu.html)

_2026-08-21 · OSCAR ASSENGA · MSUMBA NEWS BLOG_

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Atupele Mwambene ametoa wito kwa walimu walioshiriki mafunzo ya somo la Elimu ya Biashara kuonesha ushirikiano kwa walimu wataowakuta katika vituo vyao vya kazi ili kuwasaidia watoto katika malezi pamoja na ujifunzaji. Ametoa wito huo leo Agosti 21, 2026 wakati akihitimisha mafunzo ya somo la Elimu ya Biashara kwa walimu wa kujitolea…

## [KAMATI YA BUNGE YAISHAURI SERIKALI KUONGEZA RUZUKU KWA TBA](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/kamati-ya-bunge-yaishauri-serikali_01221703076.html)

_2026-08-21 · Alex Sonna · MSUMBA NEWS BLOG_

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiomba Serikali kuongeza ruzuku kwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), ili kuwezesha kuongeza kasi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya watumishi wa umma nchini. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Selemani Kakoso, wakati wa ziara ya kukagua miradi ya nyumba za watumishi inayotekelezwa na TBA katika maeneo ya Kisasa na Nzuguni jijini Dodoma,…

## [RIHANNA AENDELEA KUFURAHIA MAISHA YA UMAMA NA WATOTO WAKE](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/rihanna-aendelea-kufurahia-maisha-ya.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Msanii maarufu wa muziki kutoka Barbados, Rihanna, ameendelea kuonyesha upande wake wa maisha ya familia huku akitumia muda zaidi pamoja na watoto wake. Baada ya kurejea kutoka Barbados, Rihanna alionekana kufurahia muda wa pamoja na watoto wake jijini New York. Wakati akiwa nchini kwao Barbados, msanii huyo aliwapa watoto wake nafasi ya kufurahia mazingira ya visiwani, ikiwemo kutembelea maeneo…

## [KITUO CHA KURASINI KUANZA KUHUDUMIA MIZIGO NOVEMBA, KUPUNGUZA MSONGAMANO BANDARI YA DAR ES SALAAM](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/kituo-cha-kurasini-kuanza-kuhudumia.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Kituo cha Lojistiki cha Kurasini kinachojengwa katika eneo la zamani la EPZA, Dar es Salaam, kinatarajiwa kuanza rasmi kuhudumia makasha ya mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam mwezi Novemba mwaka huu Prof. Mbarawa amesema hayo leo Agosti 21,2026,wakati akikagua maendeleo ya Mradi wa Upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo hilo, akieleza…

## [VIJANA TANGA WABUNI TEKNOLOJIA YA KUWAOKOA WAVUVI](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/vijana-tanga-wabuni-teknolojia-ya.html)

_2026-08-21 · OSCAR ASSENGA · MSUMBA NEWS BLOG_

Na Oscar Assenga, TANGA Programu ya Tanga Yetu imeendelea kuwa chachu ya maendeleo kwa vijana na watoto wa Jiji la Tanga, kupitia miradi inayolenga kuimarisha elimu, ujuzi, teknolojia na ubunifu kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii. Akizungumza katika Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu, Afisa Mawasiliano wa Programu ya Tanga Yetu, Cliford Sangai , alisema programu…

## [WAZIRI KAIRUKI ATOA MAELEKEZO MANNE KWA TTCL KUHUSU FAIBA MLANGONI KWAKO](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/waziri-kairuki-atoa-maelekezo-manne-kwa.html)

_2026-08-21 · OKULY BLOG · MSUMBA NEWS BLOG_

Na Mwandishi Wetu - DAR ES SALAAM Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki, ametoa maelekezo manne kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), akitaka Awamu ya Pili ya Mradi wa Faiba Mlangoni Kwako (FTTH) iwanufaishe wananchi kupitia huduma yenye ubora, uhakika na gharama nafuu. Mhe. Kairuki alitoa maelekezo hayo wakati akizindua rasmi utekelezaji wa…

## [FIFA YATOA ADHABU KALI KUFUATIA TUKIO LA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/fifa-yatoa-adhabu-kali-kufuatia-tukio.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetoa adhabu kwa baadhi ya wachezaji na viongozi wa Argentina na Hispania kufuatia matukio yaliyotokea baada ya fainali ya Kombe la Dunia 2026 kati ya Hispania na Argentina. Tukio hilo lilitokea baada ya mchezo wa fainali, ambapo hali ya sintofahamu ilijitokeza kati ya baadhi ya wachezaji wa timu hizo. Miongoni mwa waliopewa adhabu kali ni kiungo wa Argentina,…

## [BALOZI SALUM AZITAKA FCC, TBS NA WMA KUPAMBANA NA BIDHAA BANDIA NA DUNI](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/balozi-salum-azitaka-fcc-tbs-na-wma.html)

_2026-08-21 · OSCAR ASSENGA · MSUMBA NEWS BLOG_

Mameneja wa Kanda na Mikoa wa Taasisi za Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Tume ya Ushindani (FCC) pamoja na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) wameagizwa kuhakikisha hakuna bidhaa bandia na duni katika maeneo yao wanayoyasimamia kiutendaji. Maelekezo hayo yametolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Balozi Waziri Rajab Salum, wakati wa kikao cha menejimenti za Tume ya Ushindani…

## [TRA KARIAKOO NA MABALOZI JENGO WAIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA KUTOA ELIMU YA KODI KWA WALIPAKODI](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/tra-kariakoo-na-mabalozi-jengo.html)

_2026-08-21 · OSCAR ASSENGA · MSUMBA NEWS BLOG_

Kariakoo, 20 Agosti, 2026 ‎ Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kikodi Kariakoo imeimarisha ushirikiano na uongozi wa Mabalozi Jengo kwa lengo la kuwafikia walipakodi na wadau mbalimbali kwa ufanisi zaidi. Hayo yamejadiliwa katika kikao kazi kilichofanyika leo katika Ofisi za Gerezani-Kariakoo, ambapo pande zote zimejadili namna ya kutoa elimu ya kodi, kusikiliza changamoto za walipakodi na…

## [Auto-trade Cross-Exchange Gaps (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/5kdokME1g0MF)

_2026-08-21 · **Sponsored**_

Find cross-exchange spreads, backtest strategies, and execute automatically with risk controls.

## [Ndoto za Kutisha na Majinamizi Yalininyima Usingizi na Kuniletea Nuksi, Mpaka Tiba ya Asili Iliponipa Amani](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/ndoto-za-kutisha-na-majinamizi.html)

_2026-08-21 · Zawadi · MSUMBA NEWS BLOG_

Amani ya akili na usingizi mwanana usiku ni haki ya kila binadamu, lakini pale usiku unapogeuka kuwa uwanja wa mateso na ndoto za kutisha, maisha yote hugeuka kuwa jinamizi. Kwa zaidi ya miaka miwili, nilikuwa nikiteseka sana kila nilipoweka kichwa changu kitandani. Nilikuwa nikoota ndoto za kufukuzwa na wanyama wakali, kuogelea kwenye maji machafu, kula chakula usiku, au kukabiliwa na watu…

## [Majirani Waliniletea Fitna na Matusi ya Kila Siku, Mpaka Tiba ya Asili Ilipowafunga Midomo na Kunipa Amani](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/majirani-waliniletea-fitna-na-matusi-ya.html)

_2026-08-21 · Zawadi · MSUMBA NEWS BLOG_

Kushirikiana vyema na majirani zako wa karibu ni msingi mkuu wa amani na usalama nyumbani, lakini pale unapozungukwa na majirani wenye chuki, maneno ya shombo, na fitna zisizo na msingi, nyumba yako hugeuka kuwa uwanja wa mateso. Kwa zaidi ya miaka miwili, nilipitia maisha ya ubaguzi na kelele zisizokwisha kutoka kwa majirani zangu wa mtaani. Kila nilipofanya maendeleo madogo iwe ni kukarabati…

## [AIRTEL AFRICA YAANDIKA HISTORIA KWA KUZINDUA INTANETI YA SATELAITI KWA SIMU DRC](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/airtel-africa-yaandika-historia-kwa.html)

_2026-08-21 · OSCAR ASSENGA · MSUMBA NEWS BLOG_

Kinshasa, 17 Agosti 2026: Airtel Africa imeandika historia baada ya kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiliano barani Afrika kuzindua kibiashara intaneti ya satelaiti kwa simu nchini Jamhuriya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ikifungua ukurasa mpya katika upatikanaji wa mawasilianokatika maeneo yasiyofikiwa na minara ya kawaida ya simu. Huduma hiyo, inayotolewa kupitia ushirikiano kati ya Airtel Africa na…

## [Shamba Langu Lililokuwa Likivamiwa na Wizi na Magonjwa Lilianza Kutoa Mazao Mengi na Kuletea Tajiriba](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/shamba-langu-lililokuwa-likivamiwa-na.html)

_2026-08-21 · Zawadi · MSUMBA NEWS BLOG_

Uwekezaji kwenye kilimo na ufugaji unahitaji jasho, mtaji, na matumaini makubwa ya kuvuna matunda ya kazi yako. Hata hivyo, pale ambapo shamba lako linageuka kuwa uwanja wa magonjwa ya ajabu ya mifugo na uvamizi wa wizi wa kila siku, juhudi zako zote hugeuka kuwa hasara na simanzi kubwa. Kwa zaidi ya msimu mitatu, niliwekeza mamilioni ya fedha kwenye kilimo cha mboga mboga na ufugaji wa kuku na…

## [RODRI AANZA MAZOEZI BARCELONA, MOURINHO ATOA MAONI KUHUSU USAJILI WAKE](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/rodri-aanza-mazoezi-barcelona-mourinho.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Kiungo Rodri ameanza mazoezi na kikosi cha Barcelona, huku mjadala ukiendelea kuhusu nafasi yake katika mipango ya klabu hiyo. Wakati huo huo, kocha José Mourinho ametoa mtazamo wake kuhusu usajili wa Rodri, akisisitiza kuwa kwa upande wake, Barcelona haikuwa na uhitaji wa haraka wa kuongeza mchezaji katika eneo hilo. Mourinho amesema Rodri angekuwa zaidi kama nyongeza ya ubora katika kikosi…

## [JINSI TUKIO LA PAULO DIOGO LILIVYOCHANGIA KUBADILIKA KWA SHERIA YA VIFAA VYA WACHEZAJI UWANJANI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/jinsi-tukio-la-paulo-diogo.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

MICHEZO | HISTORIA YA SOKA Katika soka la zamani, wachezaji walikuwa wakionekana uwanjani wakiwa wamevaa baadhi ya vifaa vya mapambo kama pete, cheni na vipuli. Hata hivyo, kanuni za mchezo zilikuja kubadilika kwa msisitizo mkubwa zaidi kwenye usalama wa wachezaji. Moja ya matukio yaliyotajwa sana katika historia ya mabadiliko hayo ni tukio lililomhusisha Paulo Diogo , aliyekuwa akiichezea klabu…

## [WAKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI WAREJEA NYUMBANI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/wakaguzi-wa-hesabu-za-serikali-warejea.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Wakati Ngorongoro ikiendelea na Msimu wa utalii (high season), Ofisi ya mkaguzi mkuu wa Serikali imenogesha msimu huo kwa kurejea nyumbani wakiambatana na ugeni wa wajumbe takriban 70 kutoka nchi 12 zinazounda jumuiya ya kimataifa ya wakaguzi wakuu wa serikali (INTOSAI) Working group on the fight against corruption and Money Laundering (WGFACML). Akipokea ugeni huo, Naibu Kamishina wa Uhifadhi-…

## [MASHABIKI WA SOKA WATAKA GIANNI INFANTINO AJIUZULU URAIS WA FIFA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/mashabiki-wa-soka-wataka-gianni.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Mtandao wa Mashabiki wa Soka Barani Ulaya (FSE) umeunga mkono ombi la umma linalomtaka Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, kujiuzulu na kuitaka FIFA kufanya mageuzi makubwa katika mfumo wa uendeshaji wa taasisi hiyo. Ombi hilo, lililowasilishwa kupitia Change.org , linaungwa mkono na mashirika ya mashabiki kutoka maeneo mbalimbali duniani. Miongoni mwa makundi yaliyotajwa…

## [LIL DURK KIFUNGO CHA MAISHA KITAMUHUSU IWAPO ATAPATIKANA NA HATIA](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/lil-durk-kifungo-cha-maisha-kitamuhusu.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Rapa maarufu wa Marekani, Lil Durk , ambaye jina lake halisi ni Durk Devontay Banks , anakabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa kifungo cha maisha katika gereza la shirikisho iwapo atapatikana na hatia katika kesi inayohusisha tuhuma za kupanga mauaji kwa malipo. Kwa mujibu wa Wizara ya Sheria ya Marekani, adhabu ya juu kisheria kwa mashtaka yanayomkabili msanii huyo ni kifungo cha maisha . Waendesha…

## [TCAA YASHIRIKI KONGAMANO LA NNE LA KIMATAIFA LA SEKTA YA UCHUKUZI NA USAFIRISHAJI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/tcaa-yashiriki-kongamano-la-nne-la.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imepongezwa kwa kuendelea kusimamia sekta ya usafiri wa anga kwa ufanisi na kuimarisha utoaji wa huduma kupitia mifumo ya kisasa ya kidijitali. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof.Makame Mbarawa aliyekuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Nne la Kimataifa la Sekta ya Uchukuzi na Usafirishaji, linalofanyika tarehe 20 na 21 Agosti 2026…

## [Meet Claude, an AI assistant (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/oK2Le3tD6jjN)

_2026-08-21 · **Sponsored**_

Chat with Claude at claude.ai — a conversational AI assistant.

## [CCM YASISITIZA KUIMARISHA UHUSIANO NA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/ccm-yasisitiza-kuimarisha-uhusiano-na.html)

_2026-08-21 · OSCAR ASSENGA · MSUMBA NEWS BLOG_

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Aggrey Mwanri, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) nchini Tanzania, Ndugu Xu Sujiang, huku akisisitiza dhamira ya CCM ya kuendelea kuimarisha uhusiano wa kihistoria na wa kimkakati kati ya vyama hivyo viwili. Kikao hicho kimefanyika leo Agosti 20,2026 katika Makao Makuu ya CCM, Dodoma,…

## [MEZA YA MAGAZETI LEO AGOSTI 21, 2026](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/meza-ya-magazeti-leo-agosti-21-2026.html)

_2026-08-21 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

DAR ES SALAAM: Magazeti mbalimbali ya Tanzania leo, Ijumaa Agosti 21, 2026, yameendelea kuangazia taarifa muhimu zinazohusu siasa, uchumi, jamii, michezo na masuala mengine yanayogusa maisha ya wananchi. Katika Meza ya Magazeti ya Madelemo News , wasomaji wanapata muhtasari wa vichwa vya habari vilivyopewa uzito katika magazeti ya leo. HABARI KUU Magazeti ya leo yameendelea kutoa nafasi kwa…

## [REDESO, VETA WAFUNDISHA WAKUFUNZI NISHATI SAFI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/redeso-veta-wafundisha-wakufunzi.html)

_2026-08-20 · Post · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

## [RAIS SAMIA, BENKI YA DUNIA WAJADILI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUHARAKISHA MAGEUZI YA KIUCHUMI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/rais-samia-benki-ya-dunia-wajadili.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti20,2026 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Bw. Ndiame Diop. Mazungumzo yao yamelenga kuharakisha uwekezaji wa kimkakati unaolenga kuchochea mabadiliko makubwa ya kiuchumi. Katika mazungumzo hayo Rais Dkt. Samia ameishukuru Benki ya Dunia kwa…

## [BODI YA TAFICO YARIDHISHWA KUKAMILIKA KWA BANDARI YA UVUVI KILWA MASOKO](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/bodi-ya-tafico-yaridhishwa-kukamilika.html)

_2026-08-20 · Ahmad Michuzi · MICHUZI BLOG_

Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), imefanya ziara ya ukaguzi katika mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko, kwa lengo la kujionea hatua ya utekelezaji wa mradi, kukagua miundombinu na maandalizi yaliyofanyika kuelekea kuanza kwa matumizi ya bandari hiyo, pamoja na kutathmini fursa zitakazotokana na uwekezaji huo katika shughuli za uvuvi na uchumi wa buluu. Ziara hiyo…

## [NeST YAUNGANISHA MIFUMO 30+, YARAHISISHA ZABUNI NA KUDHIBITI NYARAKA ZA KUGHUSHI](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/nest-yaunganisha-mifumo-30-yarahisisha.html)

_2026-08-20 · Ahmad Michuzi · MICHUZI BLOG_

Na Janeth Raphael – MichuziTv Mfumo wa Kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST) umeendelea kuimarishwa kwa kuunganishwa na zaidi ya mifumo 30 ya taasisi mbalimbali, hatua inayolenga kurahisisha mchakato wa zabuni za umma, kuongeza ufanisi na kuimarisha uhakiki wa taarifa za wazabuni. Hatua hiyo pia imeongeza uwezo wa Serikali kudhibiti matumizi ya nyaraka zisizo halali katika mchakato wa ununuzi wa…

## [WRRB YATAKIWA KUONGEZA ELIMU KUCHOCHEA MATUMIZI YA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/wrrb-yatakiwa-kuongeza-elimu-kuchochea.html)

_2026-08-20 · Ahmad Michuzi · MICHUZI BLOG_

Na.Mwandishi Wetu- Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake na kuitaka kuharakisha matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRS) katika zao la parachichi ili kuongeza tija kwa wakulima. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Deodatus Mwanyika, ametoa pongezi hizo leo Agosti…

## [TACAIDS YAWEKA MIKAKATI MADHUBUTI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/tacaids-yaweka-mikakati-madhubuti.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) inaendelea kuimarisha mikakati madhubuti ya kupambana na VVU na UKIMWI kupitia ushirikiano wa kisekta, kuhamasisha vyanzo vya fedha vya ndani, kusogeza huduma karibu na jamii ikiwemo Vituo vya Maarifa kwa madereva wa malori na kuwajengea uwezo vijana na wanawake ili kufikia lengo la kutokomeza kabisa janga hili ifikapo mwaka 2030. Hayo yamebainishwa na…

## [SERIKALI YAWASILISHA RASIMU YA MWONGOZO WA URATIBU MAHUSIANO KWA WADAU](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/serikali-yawasilisha-rasimu-ya-mwongozo.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Serikali imewasilisha rasimu ya Mwongozo wa Uratibu wa Mahusiano baina ya Serikali na Makundi ya Kijamii wa mwaka 2026 kwa wadau mbalimbali ili kupokea maoni na ushauri wao wa mwisho kabla ya mwongozo huo kukamilishwa rasmi na kutolewa kwa umma. Akizungumza katika warsha maalum jijini Dar es Salaam kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Bi. Mary…

## [KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTENDAJI WA WRRB, YATOA MAELEKEZO](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/kamati-ya-bunge-yaridhishwa-na-utendaji.html)

_2026-08-20 · Alex Sonna · MSUMBA NEWS BLOG_

Na.Mwandishi Wetu- Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake na kuitaka kuharakisha matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRS) katika zao la parachichi ili kuongeza tija kwa wakulima. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Deodatus Mwanyika, ametoa pongezi hizo leo Agosti…

## [Crush Every Threat in Real Time (Sponsored)](https://crawlproof.com/a/4EHJqM9MZsCC)

_2026-08-20 · **Sponsored**_

One agent for real-time detection, exposure tracking, and active defense.

## [WAZIRI WA ARDHI DKT AKWILAPO AINGIA ‘SITE’ KUTAFUTA SULUHU YA MIGOGORO YA ARDHI MKOANI TANGA](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/waziri-wa-ardhi-dkt-akwilapo-aingia.html)

_2026-08-20 · MICHUZI TV · MICHUZI BLOG_

Na Munir Shemweta,Tanga Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amefanya ziara katika maeneo yenye migogoro ya ardhi katika Halmashauri ya Jiji la Tanga na Halmashauri ya Mji Handeni mkoani Tanga, kwa lengo la kupata undani wa migogoro hiyo baada ya kupokea malalamiko. Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya…

## [KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA WIZARA YA VIWANDA NA TAASISI ZAKE KWA UFANISI](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/kamati-ya-bunge-yaipongeza-wizara-ya.html)

_2026-08-20 · OSCAR ASSENGA · MSUMBA NEWS BLOG_

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, kupitia Mwenyekiti wake Mhe.Deodatus Mwanyika, ameipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na taasisi zake kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake ya udhibiti ubora kwa ufanisi . Mhe. Mwanyika amesema kuwa juhudi zinazofanywa na TBS katika kuhakikisha usalama na ubora wa bidhaa zinazotumiwa na Watanzania zinaonekana, sambamba na…

## [TANZANIA YAZIDI KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/tanzania-yazidi-kuimarisha-mazingira-ya.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Juhudi kubwa zinazofanywa na Wizara ya Viwanda nMa Biashara kwa kushirikiana na taasisi zake za kimkakati zimeanza kuzaa matunda yanayoonekana wazi katika kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara, kuongeza uzalishaji, na kuvutia mitaji mipya ya uwekezaji nchini. Hayo yamebainishwa wazi na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deodatus Mwanyika, alipokuwa…

## [TBS YAPONGEZWA NA KAMATI YA BUNGE](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/tbs-yapongezwa-na-kamati-ya-bunge.html)

_2026-08-20 · Alex Sonna · MSUMBA NEWS BLOG_

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,Biashara,Kilimo na Mifugo imeipongeza TBS kwa kutekeleza majukumu yake ya udhibiti ubora kwa ufanisi. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Deogratias Mwanyika kwaniaba ya kamati wakati wa kikao cha Kamati cha kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu,katika, ofisi za Bunge Jijini Dodoma mapema leo. Mhe.Mwanyika amesema juhudi zinazofanywa…

## [Serikali: Mashindano ya Ujuzi Yaandaa Vijana Kushindana Kimataifa](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/serikali-mashindano-ya-ujuzi-yaandaa.html)

_2026-08-20 · Othman Michuzi · MICHUZI BLOG_

Na Mwandishi Wetu, Tanga SERIKALI imesema mashindano ya ujuzi na ubunifu ni sehemu ya mkakati wa kuwaandaa vijana wenye ujuzi unaokidhi mahitaji ya soko la ajira na kuwawezesha kushindana katika majukwaa ya kimataifa. Hayo ameyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo, wakati akizungumza katika Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu inayoendelea jijini Tanga.…

## [WADAU WATAKIWA KUTUMIA INTANETI KUJENGA JAMII, ISITUMIKE KUENEZA CHUKI, MATUSI](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/wadau-watakiwa-kutumia-intaneti-kujenga.html)

_2026-08-20 · Othman Michuzi · MICHUZI BLOG_

Na Mwandishi Wetu WADAU wa teknolojia na usimamizi wa intaneti wametakiwa kutumia fursa zinazotokana na mtandao huo kwa maendeleo ya jamii badala ya kuutumia kwa matusi, chuki, udhalilishaji na vitendo vinavyoweza kuathiri maslahi na haki za watu wengine. Rai hiyo imetolewa na Mratibu wa Tanzania Internet Governance Forum (TIGF), Dkt. Nazarius Kirama, wakati wa Mkutano wa 13 wa Jukwaa la Usimamizi…

## [KAMPENI ZA UPOTOSHAJI MITANDAONI ZAZIDI KUKOSA MASHIKO UWEKEZAJI MKUBWA KOROSHO WAJA](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/kampeni-za-upotoshaji-mitandaoni-zazidi.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Tanzania inazidi kutakata na kimataifa katika kuvutia mitaji mikubwa ya kigeni, huku juhudi za baadhi ya watu wanaojaribu kuzuia maendeleo na uwekezaji nchini kupitia maneno ya ovyo na kampeni za upotoshaji mitandaoni zikizidi kukosa mashiko. Wakati wapinga maendeleo wakijitahidi kupotosha ukweli mtandaoni, vitendo na ukweli wa uwekezaji thabiti kutoka kwa wawekezaji wakubwa wa kimataifa unazidi…

## [KONGAMANO LA 5 LA KIMATAIFA LA UCHUMI WA BULUU KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/kongamano-la-5-la-kimataifa-la-uchumi.html)

_2026-08-20 · Ahmad Michuzi · MICHUZI BLOG_

Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI), Prof. Tumaini Gurumo, amesema maandalizi ya Kongamano la 5 la Kimataifa la Uchumi wa Buluu yanaendelea vizuri. Kongamano hilo linatarajiwa kufanyika tarehe 7 hadi 9 Septemba 2026 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, huku washiriki kutoka zaidi ya nchi saba wakitarajiwa kuhudhuria. Akizungumza na waandishi wa…

## [SEKIBOKO: VIJANA GEUZENI UJUZI KUWA AJIRA](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/sekiboko-vijana-geuzeni-ujuzi-kuwa-ajira.html)

_2026-08-20 · Ahmad Michuzi · MICHUZI BLOG_

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Husna Sekiboko, ametoa wito wa kuimarishwa kwa elimu na mafunzo ya ufundi na ujasiriamali nchini, akisema ujuzi wa vitendo unaweza kuwa silaha muhimu kwa vijana katika kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa kujiajiri na kuunda ajira kwa wengine. Amesema hayo akiwa kwenye banda la VETA katika Maadhimisho ya Wiki ya…

## [KATIBU MKUU NOMBO AAGIZA TAEC KUONGEZA ELIMU YA TEKNOLOJIA YA NYUKLIA KWA WATANZANIA](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/katibu-mkuu-nombo-aagiza-taec-kuongeza.html)

_2026-08-20 · Ahmad Michuzi · MICHUZI BLOG_

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, ameiagiza Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kuongeza elimu kwa umma kuhusu matumizi ya teknolojia ya nyuklia, ili Watanzania waelewe manufaa yake na matumizi chanya katika maisha na maendeleo ya taifa. Prof. Nombo ametoa agizo hilo Agosti 20, 2026 jijini Tanga alipotembelea banda la TAEC katika Maonesho ya Wiki ya…

## [RC MANYARA AISHAURI TMDA KUIMARISHA UTOAJI ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU MATUMIZI SAHIHI DAWA,VIFAA TIBA](https://www.michuzi.co.tz/2026/08/na-emmanuel-massaka-mamlaka-ya-dawa-na.html)

_2026-08-20 · MICHUZI TV · MICHUZI BLOG_

NA EMMANUEL MASSAKA MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imeshauriwa kuendelea kuimarisha utoaji wa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi sahihi ya dawa na vifaa tiba. Ushauri huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Bi. Queen Sendiga alipokuwa akifungua kikao cha siku mbili kati ya TMDA, wahariri na waandishi wa habari kutoka mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro, kilichofanyika mkoani Manyara.…

## [KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR YAZURU NEMC](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/kamati-ya-kudumu-ya-baraza-la.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Machano Othman Said, imezuru Ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Agosti 20, 2026, kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika uhifadhi na usimamizi wa mazingira. Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Mwenyekiti wa Kamati…

## [TAEC YATAKIWA KUBADILI DHANA YA NYUKLIA KUPITIA ELIMU KWA UMMA](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/taec-yatakiwa-kubadili-dhana-ya-nyuklia.html)

_2026-08-20 · OKULY BLOG · MSUMBA NEWS BLOG_

Na Mwandishi Wetu - Tanga Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, ameitaka Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kuongeza nguvu katika utoaji wa elimu kwa umma ili kujenga uelewa sahihi kuhusu teknolojia ya nyuklia na kuondoa hofu pamoja na dhana potofu miongoni mwa wananchi wanaohusisha teknolojia hiyo na utengenezaji wa mabomu ya nyuklia. Prof. Nombo ametoa…

## [WAKULIMA NA WAFUGAJI KUNUFAIKA NA MIKOPO CRDB BANK KWA KUPATA DHANA BORA ZA KILIMO](https://www.shinyangapressclub.co.tz/2026/08/wakulima-na-wafugaji-kunufaika-na.html)

_2026-08-20 · SI Media · SHINYANGA PRESS CLUB BLOG_

Mkurugenzi wa Mikopo wa Benki ya CRDB, Xavery Makwi, akiimba shairi wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Tinde mkoani Shinyanga. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Michael Mwang’onda, akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakifurahia wakati wa uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Tinde mkoani Shinyanga. Na Stella Herman,Shinyanga Upatikanaji wa huduma za kifedha umeendelea…

## [ARTETA ATOA UFAFANUZI KUHUSU MYLES LEWIS-SKELLY KUHAMA ARSENAL](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/arteta-atoa-ufafanuzi-kuhusu-myles.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, ameondoa hofu kuhusu mustakabali wa kiungo Myles Lewis-Skelly, akisisitiza kuwa mchezaji huyo ataendelea kubaki katika kikosi cha Arsenal baada ya dirisha la usajili la majira ya kiangazi kufungwa. Arteta alitoa kauli hiyo baada ya kuulizwa kuhusu taarifa zinazomhusisha Lewis-Skelly na Manchester United. Kocha huyo amesema ana imani kubwa kwamba kinda huyo…

## [BENFICA YAKUBALIANA NA BAYERN KUMSAJILI JOÃO PALHINHA KWA €14 MILIONI](https://www.madelemonews.co.tz/2026/08/benfica-yakubaliana-na-bayern-kumsajili.html)

_2026-08-20 · Madelemo News · MADELEMO NEWS_

Klabu ya Benfica imefikia makubaliano ya awali na Bayern Munich kwa ajili ya kumsajili kiungo wa kati João Palhinha. Kwa mujibu wa taarifa za uhamisho, makubaliano ya klabu kwa klabu yamefikiwa kwa ada ya msingi ya €14 milioni , huku Benfica ikiwa na uwezekano wa kulipa hadi €5 milioni zaidi kupitia bonasi zinazohusiana na utendaji wa mchezaji na masharti mengine ya mkataba. Taarifa zinaeleza kuwa…

## [Nilihisi Nimerogwa Baada ya Kila Mahusiano Yangu Kuishia Njiani Kila Nilipokaribia Kufanya Harusi, Mpaka Tiba ya Kienyeji Iliponikutanisha na Mume Wangu](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/nilihisi-nimerogwa-baada-ya-kila.html)

_2026-08-20 · Zawadi · MSUMBA NEWS BLOG_

Kupata mpenzi sahihi wa kujenga naye maisha na kuanzisha familia ni ndoto ya kila mwanamke, lakini pale kila mahusiano yanapovunjika ghafla hasa unapokaribia hatua ya ndoa, maisha hugeuka kuwa mateso na aibu kubwa. Kwa zaidi ya miaka saba, nilijikuta kwenye mzunguko wa ajabu na wa kikatili. Nilianzisha mahusiano na wanaume tofauti, wote wakionyesha nia ya dhati ya kunioa. Lakini kila tulipofikia…

## [Nilikaa Kwenye Nafasi Moja ya Kazi kwa Miaka Nane Huku Walioingia Juzi Wakipandishwa Vyeo, Mpaka Nyota Yangu ya Kibali Ilipofunguliwa](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/nilikaa-kwenye-nafasi-moja-ya-kazi-kwa.html)

_2026-08-20 · Zawadi · MSUMBA NEWS BLOG_

Kufanya kazi kwa uaminifu, kujituma, na kujitoa kwa kampuni kwa miaka mingi ni jambo linalopaswa kumletea mfanyakazi yeyote matunda na maendeleo. Hata hivyo, pale unapojikuta umekwama kwenye nafasi ile ile ya chini kwa miaka nane bila kuongezewa mshahara wala kupandishwa cheo, maisha ya kazi hugeuka kuwa unyonge na mateso ya kisaikolojia. Katika oparesheni za kila siku za ofisi yetu, mimi ndiye…

## [Duka Langu Lilikaa Miezi Mitano Bila Kuuza Kitu na Kukaribia Kufungwa, Mpaka Dawa ya Mvuto wa Biashara Iliponiletea Wateja wa Kufurika](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/duka-langu-lilikaa-miezi-mitano-bila.html)

_2026-08-20 · Zawadi · MSUMBA NEWS BLOG_

Kuanzisha biashara na kuwekeza mtaji wako wote ni hatua kubwa ya kujitafutia maendeleo, lakini pale biashara hiyo inapodorora na kukaa miezi kibao bila kupata mteja hata mmoja, maisha hugeuka kuwa mzigo mzito wa madeni. Nilifungua duka langu la nguo na vipodozi nikitarajia kupata faida kubwa ya kuendesha maisha yangu na familia. Hata hivyo, miezi michache baada ya kufungua, mambo yalibadilika…

## [RUWASA na wadau waja na mkakati wa kuboresha usafi wa mazingira vijijini](https://www.msumbanews.co.tz/2026/08/ruwasa-na-wadau-waja-na-mkakati-wa.html)

_2026-08-20 · OSCAR ASSENGA · MSUMBA NEWS BLOG_

Morogoro Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Sekta ya Maji, Afya na Usafi wa Mazingira, umeanza rasmi mchakato wa kuandaa Mkakati wa RUWASA wa Menejimenti ya Tope Kinyesi (Faecal Sludge Management Strategy), unaolenga kuweka mfumo madhubuti, salama na endelevu wa menejimenti ya tope kinyesi katika maeneo ya vijijini. Akifungua Kikao Kazi…

