Serikali Yaonya Watoa Mikopo Kausha Damu, Yatoa Hundi ya Sh200 Bilioni kwa Vijana Dodoma. Serikali imetoa onyo kali kwa wafanya biashara wa mikopo kausha damu inayowaumiza Watanzania, huku ikitoa hundi ya shilingi bilioni 200 kwa ajili ya kuwawezesha vijana na wanawake kiuchumi. Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali itachukua hatua kali dhidi ya wanaofanya […]
Tanzania Ready for Long-Term Investment Partnerships, President Hassan Announces Dar es Salaam. President Samia Suluhu Hassan has declared Tanzania’s readiness to engage in trusted, long-term and structured investment partnerships that require institutional stability and policy consistency. Speaking during the launch of the Global Africa Investment Summit (GAIS) on the sidelines of the World…
Tanzania Yaendelea Kutumia Teknolojia ya Nyuklia Katika Maendeleo ya Kilimo na Afya Arusha – Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki nchini (TAEC), Profesa Najat Kassim Mohammed, amethibitisha kuwa taasisi hiyo imeendelea kuendeleza matumizi ya teknolojia ya nyuklia katika maendeleo ya sekta ya kilimo, afya na uhifadhi wa chakula nchini. Akizungumza katika ofisi za […]
CCM Marks 49 Years: Navigating Modern Challenges While Maintaining Political Legacy Dar es Salaam. CCM on Thursday, February 5, 2026, marks 49 years since its formation in 1977, an event hailed as historic in Tanzania’s political landscape. The anniversary coincides with an appraisal of the party’s journey, direction and prospects. For nearly half a century, […]
Wizara ya Kilimo Kuwapa Kipaumbele Wabunifu wa Zana za Kilimo Dar es Salaam – Wizara ya Kilimo imesema inawatambua na kuwapa kipaumbele wabunifu wa zana za kilimo nchini huku ikisema lengo ni kurahisisha shughuli hiyo muhimu ya kiuchumi. Wabunifu hao wanaotengeneza zana kama matrekta, mashine za umwagiliaji, mashine za kuvunia mazao, mashine za kupandia, mashine […]
Government Issues Sh200 Billion Youth Fund, Vows Crackdown on Predatory Lenders Dar es Salaam – The government has issued a Sh200 billion cheque to empower youth and women economically, while simultaneously announcing firm action against those practicing exploitation and usury through predatory loans. Prime Minister Dr Mwigulu Nchemba directed the Minister of State, Prime Minister’s […]
Maofisa wa TFS Wafundishwa Mbinu za Kukabiliana na Uvunaji Haramu wa Mikoko Mwanza – Maofisa wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wa kanda za Kusini, Mashariki na Kaskazini wanatarajiwa kufundwa mbinu za kukabiliana na uvunaji na usafirishaji haramu wa mikoko unaofanyika katika ukanda wa Bahari nchini. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo […]
Mafaili ya Epstein: Siri za Matajiri na Wanasiasa Wakubwa Matajiri wakubwa wa ulimwengu, wanasiasa wenye nguvu kubwa ya ushawishi na wanaoweza kutengeneza matokeo, wanaendelea kuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu yaliyomo ndani ya Mafaili ya Epstein. Rais wa Marekani, Donald Trump, ni mmoja wa watajwa kwenye maudhui ya Mafaili ya Epstein. Katika kampeni za urais za […]
Tanzanian Community in US Faces Heightened Immigration Enforcement Dar es Salaam – When Tanzania’s embassy in the US confirmed in February 2025 that 24 Tanzanians were being held in immigration detention facilities, the cases were seen by many as isolated incidents. One year later, those hopes have faded, as immigration enforcement across the US has […]
Prominent Morogoro Businessman Mohamed Hood Said Passes Away at 90 Morogoro – Mohamed Hood Said, the renowned businessman and former owner of Hood Bus Company in Morogoro, has passed away on Monday, February 2, 2026, at his residence on Mlapakoro Street, Morogoro Municipal Council. He was 90 years old. Faiz Abdallah Salumu, son of the […]