RSS Amplifier

Blog

Taifa Tanzania

Gazeti lako la kila siku

taifatanzania.co.tzSource feed ↗11 posts

Live Last read · last published · next check

Written by

Latest posts

WAZIRI KAIRUKI AITAKA TTCL KUONGEZA KASI YAKUUNGANISHA FIBER MAJUMBANI

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angela Kairuki, ameitaka Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuongeza kasi ya kuwaunganisha wananchi na intaneti ya mkongo wa nyuzi majumbani (FTTH), huku akilenga huduma hiyo kuwafikia nyumba milioni moja ifikapo Juni 2028. Kairuki alitoa agizo hilo leo Agosti 21, 2026 ,jijini Dar... The post WAZIRI KAIRUKI AITAKA…

PROFESA MBARAWA:SERIKALI HAITAKI TAFITI ZINAZOISHIA KWENYE MAKABRASHA

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amewataka watafiti nchini kuhakikisha tafiti wanazofanya katika sekta ya usafiri na usafirishaji zinatoa suluhisho la changamoto halisi, badala ya kuishia kwenye makabrasha na mikutano. Akizungumza leo Agosti 20, 2026 wakati akifungua mkutano wa kimataifa unaohusu usafiri, lojistiki na usimamizi, kuwa mafanikio ya…

DAWASA YAANZA MSAKO KWA WANAOJIUNGANISHIA MAJI KINYEMELA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imefanya operesheni katika Mtaa wa Majizzo katika Kata ya Kunduchi Wilaya ya Kinondoni na kubaini matumizi yasiyo halali ya maji yaliyokuwa yakitumika katika shughuli za kilimo cha mbogamboga ambayo imeingiza hasara Mamlaka ya zaidi ya Shilingi Milioni 50 Mamlaka... The post DAWASA YAANZA MSAKO KWA…

DIRISHA LA USAJILI WA TUZO ZA SERENGETI 2026 KUFUNGULIWA KESHO

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaa. WIZARA ya Maliasili na Utalii imetangaza rasmi kufunguliwa kwa dirisha la usajili kwa wadau wa uhifadhi na utalii kuwania The Serengeti Awards 2026, huku ikiwasisitiza kutumia fursa hiyo kuonyesha kazi, ubunifu na mafanikio yao katika uhifadhi na uendelezaji wa utalii. Dirisha la usajili litafunguliwa kesho Agosti 20, 2026 na kufungwa... The post DIRISHA LA USAJILI…

“UKARABATI WA KIWANJA CHA NDEGE KIGOMA WAFIKIA ASILIMIA 67” WAZIRI MBARAWA

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma umefikia asilimia 67 na unatarajiwa kukamilika Desemba 5, 2026, hatua inayolenga kuimarisha huduma za usafiri wa anga na kuchochea shughuli za kiuchumi mkoani humo Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 15, 2026, wakati akikagua maendeleo ya mradi huo,... The post “UKARABATI WA KIWANJA CHA…

UJENZI WA MELI MPYA NA CHELEZO KIGOMA KUFUNGUA SOKO LA BIASHARA KIMATAIFA- WAZIRI MBARAWA

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema uwekezaji wa kampuni ya kizawa ya Dar es Salaam Merchant Group katika ujenzi wa chelezo na meli mpya mkoani Kigoma utaongeza uwezo wa Tanzania kujenga na kukarabati meli nchini, huku ukifungua fursa za biashara na huduma za ujenzi wa meli kwa nchi zinazozunguka Ziwa Tanganyika,... The post UJENZI WA MELI MPYA NA CHELEZO KIGOMA…

BITEKO: TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

📌 Asema wajibu wa kila Mtanzania ni kuhakikisha mafanikio yanakuwa endelevu KIZIMKAZI, ZANZIBAR Naibu Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia, huku akisisitiza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha mafanikio yaliyopatikana yanaendelea kuwa endelevu.... The post…

ZOEZI LA UVUTAJI NYAYA AWAMU YA PILI ENEO LA KIKOMBO NA MKONZE KATIKA MRADI WA CHALINZE–DODOMA KUANZA KESHO

📌TANESCO yasema baadhi ya Mikoa ya Kanda ya Kati, Kanda ya Magharibi, Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Kusini Magharibi na Kanda ya ziwa kupata umeme kwa ratiba maalumu 📌Lengo ni kumpisha Mkandarasi kuendelea na utekelezaji wa Mradi huo wa kusafirisha umeme Msongo wa Kilovolti 400 ambao uko mbioni kukamilika. Na Mwandishi Wetu,Chalinze Shirika la Umeme... The post ZOEZI LA UVUTAJI NYAYA AWAMU YA…

WAZIRI NDEJEMBI AWASHA UMEME MWANUBI, ASEMA UMEME NI HITAJI LA MSINGI KWA WATANZANIA

Na Mwandishi Wetu,Shinyanga Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewasha umeme katika Kitongoji cha Mwanubi mkoani Shinyanga na kusema kuwa huduma ya umeme ni hitaji la msingi kwa Watanzania na nyenzo muhimu katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Akizungumza wakati wa hafla ya kuwasha umeme katika kitongoji hicho, Mhe. Ndejembi amesema kufikishwa kwa umeme... The post WAZIRI…

SOKO BUBU LA MADINI LAGUNDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam IKIWA ni sehemu ya usimamizi thabiti wa sekta na kuhakikisha Serikali inapata mapato yake ipasavyo kupitia mfumo rasmi wa masoko ya madini nchini, soko bubu la madini lagunduliwa jijini Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 09 Agosti, 2026 wakati akizungumza na waandishi... The post SOKO BUBU LA MADINI LAGUNDULIWA…

DMI:WATALAAMU WA USAFIRISHAJI MUHIMU KUONGEZA USHINDANI WA BIDHAA ZA NDANI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma CHUO cha Bahari Dar es Salaam (DMI) kimesema kuwa Tanzania inahitaji kuongeza idadi ya wataalamu wa usafirishaji na usimamizi wa mnyororo wa bidhaa ili kuongeza tija, ushindani wa bidhaa za ndani na kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Akizungumza wakati wa alipotembelea Maonesho ya Wakulima Nanenane ,Mkuu wa... The post DMI:WATALAAMU WA USAFIRISHAJI MUHIMU…