RSS Amplifier

News source

KBC Swahili

Sauti Ya Mkenya

swahili.kbc.co.keSource feed ↗40 articles

Overdue Last read · last published · next check
Last read 3 days ago, longer than this feed's 1 hour schedule.

Written by

Latest articles

Rais Ruto kuongoza hafla ya kuhitimu ya maafisa wa magereza

Itafanyika kesho katika Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Magereza huko Ruiru kuanzia saa 3:00 asubuhi. The post Rais Ruto kuongoza hafla ya kuhitimu ya maafisa wa magereza appeared first on KBC Swahili .

Makamu wa Rais wa zamani Kijana Wamalwa akumbukwa

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuhudhuria hafla hiyo ambayo pia itatumiwa kuzindua kitabu kuhusu marehemu The post Makamu wa Rais wa zamani Kijana Wamalwa akumbukwa appeared first on KBC Swahili .

Mercy Awuonda achaguliwa kuwa Miss Afrikana Kenya

Atawakilisha Kenya kama Miss Afrikana Kenya 2027 katika jukwaa la Miss Afrikana International. The post Mercy Awuonda achaguliwa kuwa Miss Afrikana Kenya appeared first on KBC Swahili .

Jemutai arejea mitandaoni

Katika chapisho lake la kwanza ameshangaa kwamba mashabiki zake wanampenda huku akishukuru kwa upendo. The post Jemutai arejea mitandaoni appeared first on KBC Swahili .

Murkomen azungumzia usalama katika ziara ya Isiolo

Alikuwa katika eneo hilo, kushiriki mchango wa kuwawezesha wanawake na kusaidia vyama vya wanafunzi The post Murkomen azungumzia usalama katika ziara ya Isiolo appeared first on KBC Swahili .

Matete avuta kumbukumbu ya baada ya ushindi wa TPF 5

Alizungumzia jinsi alipatiwa mlinzi wa kibinafsi hali iliyobadili mtindo wake wa maisha. The post Matete avuta kumbukumbu ya baada ya ushindi wa TPF 5 appeared first on KBC Swahili .

Iran yaonya majirani kutojiunga na vita vya kiuchumi vya Marekani

Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran Mohsen Rezaei alitoa onyo hilo katika mahojiano. The post Iran yaonya majirani kutojiunga na vita vya kiuchumi vya Marekani appeared first on KBC Swahili .

Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake 669 kutoka Afrika Kusini

Ubalozi wa Tanzania mjini Pretoria umetangaza kuwa utawahamisha raia wake kwa awamu kuanzia Jumatano ijayo Agosti 26. The post Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake 669 kutoka Afrika Kusini appeared first on KBC Swahili .

Wauguzi waapa kuendelea na mgomo

Chama hicho kimesema kuwa serikali imepuuzilia mbali matakwa yao na kufeli kusaini mwafaka wa kurejea kazini wa mwaka 2017 waliokuwa wameafikiana. The post Wauguzi waapa kuendelea na mgomo appeared first on KBC Swahili .

Gor Mahia na Tusker kukabana koo Jumapili kuwania kombe la Super

Mabingwa wa Ligi kuu Kenya Gor Mahia FC na mabingw wa Kombe la Mozzart watashuka dimbani Nyayo siku ya Jumapili Agosti 23, kuwania kombe la Super ambalo ni fungua pazia ya msimu mpya wa Ligi. Timu zote pia zinajiandaa kwa majukumu yaliyo mbele yao ya kuiwakilisha Kenya katika ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la […] The post Gor Mahia na Tusker kukabana koo Jumapili kuwania kombe la Super appeared…

Ruto amwomboleza Jaji Joseph Mutava Mbalu

Rais ametuma risala za rambi rambi kwa mjane na pia jamii yote ya marehemu. The post Ruto amwomboleza Jaji Joseph Mutava Mbalu appeared first on KBC Swahili .

Rais Ruto awataka viongozi wa makanisa kuongoza mijadala ya kitaifa

Akiwahutubia waumini wa kanisa la African Brotherhood Church (ABC) Women of Faith Congress katika chuo kikuu cha Machakos, siku ya Jumamosi,Rais alisema masuala muhimu ya taifa kama vile ruwaza ya mwaka 2030 yanapaswa kuwa kati ya masuala muhimu yanayoongozwa na kanisa. The post Rais Ruto awataka viongozi wa makanisa kuongoza mijadala ya kitaifa appeared first on KBC Swahili .

Tanzania yatoa msaada wa vifaa vya matibabu kwa DRC kukabiliana na Ebola

DRC inatarajiwa pia kupokea dozi za chanjo Everbo kutoka Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kusaidia kukabiliana na maambukizi mapya ya Ebola. The post Tanzania yatoa msaada wa vifaa vya matibabu kwa DRC kukabiliana na Ebola appeared first on KBC Swahili .

Arsenal waanza kutetea ubingwa wa EPL kwa kishindo

Arsenal walishinda taji hilo kwa mara ya kwanza Mei mwaka huu baada ya subira ya miaka 22, wakizoa pointi 82, kushinda mechi 25, kupiga sare saba na kupoteza tano. The post Arsenal waanza kutetea ubingwa wa EPL kwa kishindo appeared first on KBC Swahili .

Wanyonyi awika Laussane Diamond League

Wanyonyi alitumia muda wa dakika 1 sekunde 42.19, kuvuka mstari wa mwisho na kudumisha uongozi wake msimu huu ambapo sasa amezoa pointi 35. The post Wanyonyi awika Laussane Diamond League appeared first on KBC Swahili .

Kenya yaunga mkono ubunifu wa kidijitali

Kenya imethibitisha tena dhamira yake ya kuimarisha miundombinu ya kidijitali na kupokea teknolojia ibuka ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kuiweka nchi katika nafasi ya kuwa kitovu kinachoongoza cha kidijitali barani Afrika. Katibu wa idara ya Utangazaji na Mawasiliano, Steve Isaboke, alisema hayo katika mkutano wa FiberHome World Tour, Kenya, uliofanyika katika Hoteli ya JW […] The post Kenya…

Serikali na wadau wa ubunifu wahimiza ushirikiano

Wazo hilo lilitolewa na mkurugenzi wa Filamu katika Idara ya masuala ya vijana na uchumi wa ubunifu, kwenye kongamano la Behind the Scenes The post Serikali na wadau wa ubunifu wahimiza ushirikiano appeared first on KBC Swahili .

Wachimbaji madini Tanzania kuanzisha benki

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emmanuel Tutuba, ameridhia kuanzishwa kwa Benki hiyo Maalum. The post Wachimbaji madini Tanzania kuanzisha benki appeared first on KBC Swahili .

Katibu Kipronoh asema serikali inanuia kuiboresha sekta ya chai

Katika katika Wizara ya Kilimo Dkt. Kipronoh Ronoh leo Ijumaa amekutana na wakulima wa majani chai katika kiwanda cha Chelal katika kaunti ya Kericho. Ni wakati wa mkutano huo aliposisitiza dhamira ya serikali kuhakikisha sekta ya chai inakuwa ya kisasa, yenye ushindani na inayotoa kipaumbele kwa wakulima. Chelal ni miongoni mwa viwanda 17 vilivyo katika […] The post Katibu Kipronoh asema serikali…

Arsenal kufungua Ligi Kuu Uingereza Ijumaa dhidi ya Coventry

Arsenal walishinda taji hilo kwa mara ya kwanza Mei mwaka huu baada ya subira ya miaka 22, wakizoa pointi 82, kushinda mechi 25, kupiga sare saba na kupoteza tano. The post Arsenal kufungua Ligi Kuu Uingereza Ijumaa dhidi ya Coventry appeared first on KBC Swahili .

Vijana 3 wajeruhiwa Mombasa katika kisa cha ufyatuaji risasi

Kamanda wa Polisi katika kaunti ya Mombasa Stella Jerono amethibitisha kisa cha ufyatuaji risasi kilichohusisha mlinzi wa Gavana wa Mombasa Abdullswamad Sherrif Nassir na vijana. Kisa hicho kilitokea leo Ijumaa wakati wa mkutano uliofanyika katika uwanja wa Bomu, kaunti ndogo ya Changamwe. Vijana hao walidaiwa kupigwa risasi mkutano huo ulipogeuka kuwa wenye vurugu walipoanza kutoa […] The post…

Serikali yatenga bilioni 1.4 kwa usambazaji umeme Busia

Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi anasema serikali imetenga shilingi bilioni 1.46 za kuunganisha umeme katika zaidi ya nyumba 17,000 katika kaunti ya Busia. Akizungumza katika vijiji vya Mabunge na Muramia katika kaunti ndogo ya Nambale, Wandayi amesema hatua hiyo inalenga kupanua upatikanaji wa umeme na kuboresha mapato ya wakazi wa eneo hilo. Aliongeza kuwa eneo […] The post Serikali yatenga…

Kindiki asema serikali iko katika mwelekeo sahihi wa maendeleo

Amewasihi Wakenya kuunga mkono Rais William Ruto katika azma yake ya kuchaguliwa tena. The post Kindiki asema serikali iko katika mwelekeo sahihi wa maendeleo appeared first on KBC Swahili .

Maandalizi ya siku kuu ya Mashujaa yashika Kasi

Maandalizi ya sherehe za mwaka huu za siku kuu ya Mashujaa yamezidi kushika kasi, huku kaunti za Elgeyo-Marakwet, Nandi na Uasin Gishu zikitarajiwa kuandaa hafla hiyo ya kitaifa kwa pamoja. Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, alisema maandalizi yanaendelea vizuri baada ya kuanza ziara ya kukagua miradi inayohusishwa na sherehe hizo katika kaunti hizo […] The post Maandalizi ya siku kuu…

Vinka aahidi burudani ya kipekee

Anaandaa tamasha ya "Vinka Live and Loud", leo Ijumaa Agosti 21, 2026 katika uwanja wa Lugogo jijini Kampala. The post Vinka aahidi burudani ya kipekee appeared first on KBC Swahili .

Sahau kiti cha Naibu Rais, Kindiki awaambia wanaokinyemelea

Chama cha ODM hasa kimeelezea nia ya kukabidhiwa wadhifa wa Naibu Rais baada ya kutangaza kuwa kitamuunga mkono Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. The post Sahau kiti cha Naibu Rais, Kindiki awaambia wanaokinyemelea appeared first on KBC Swahili .

Lissu ana kesi ya kujibu, mahakama yaamua

Aliambia Mahakama kwamba atajitetea mwenyewe. The post Lissu ana kesi ya kujibu, mahakama yaamua appeared first on KBC Swahili .

Wanyonyi kuwaongoza wakenya leo Laussane Diamond League

Wanyonyi aanyeongoza msimamo Kwa alama 27, atakabiliana na Marco Arop wa Canada,Djamel Sedjati wa Algeria,Brandon Miller wa Marekani na Gabriel Tual wa Ufaransa. The post Wanyonyi kuwaongoza wakenya leo Laussane Diamond League appeared first on KBC Swahili .

DRC kupokea dozi 70,000 za chanjo ya Ebola

Chanjo ya Everbo imethibitihswa kuzuia maambukizi mapya ya virusi vya Bundibugyo vinavyosababisha ugonjwa wa Ebola. The post DRC kupokea dozi 70,000 za chanjo ya Ebola appeared first on KBC Swahili .

Uteuzi wa wagombeaji Urais kukamilika Mei 24, yasema IEBC

IEBC imepanga kuendesha uchaguzi mkuu wa mwaka ujao utakaoandaliwa Agosti 10. The post Uteuzi wa wagombeaji Urais kukamilika Mei 24, yasema IEBC appeared first on KBC Swahili .

IEBC yachapisha notisi, ratiba kuelekea Uchaguzi Mkuu 2027

Uchaguzi Mkuu 2027 kuandaliwa Agosti 10 huku IEBC ikitenga muda rasmi wa kampeni kuwa Mei 29 - Agosti 7. The post IEBC yachapisha notisi, ratiba kuelekea Uchaguzi Mkuu 2027 appeared first on KBC Swahili .

Mahakama yamnusuru Omboko Milemba kutimuliwa KUPPET

Aidha,kesi hiyo inahoji uhalali wa Milemba kushikilia afisi hiyo na pia kiti cha Ubunge. The post Mahakama yamnusuru Omboko Milemba kutimuliwa KUPPET appeared first on KBC Swahili .

Kipchoge aunga mkono kampeni ya kuwafaa watoto walemavu

Kipchoge alitangaza kujiunga na kampeni hiyo siku ya Alhamisi alipomtembelea Panther afisini mwake. The post Kipchoge aunga mkono kampeni ya kuwafaa watoto walemavu appeared first on KBC Swahili .

Mudavadi asisitiza umuhimu wa kunoa ujuzi wa vijana

Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi ameelezea umuhimu wa mfumo wa elimu nchini kuwapa vijana ujuzi, maarifa na imani ili kuwawezesha kushindana mahali popote duniani. Ili kufikia hilo, amesema mageuzi mbalimbali kwa sasa yamewasilishwa bungeni kwa lengo la kuuboresha mfumo huo. “Ili kuhakikisha mageuzi haya ni sahihi inahitaji Serikali, Vyuo Vikuu, taasisi za kidini na washikadau […] The post…

Kenya na Austria zaimarisha uhusiano

Nchi hizo mbili zinashirikiana katika kubuni nafasi za ajira ughaibuni, na katika nyanja kama vile nishati mbadala, kilimo na teknolojia. The post Kenya na Austria zaimarisha uhusiano appeared first on KBC Swahili .

Wamiliki wa Vyombo vya Habari waomboleza waliofariki ajali ya helikopta

Saba hao walifariki katika ajali ya helikopta iliyotokea katika kaunti ya Samburu mapema Agosti 19. The post Wamiliki wa Vyombo vya Habari waomboleza waliofariki ajali ya helikopta appeared first on KBC Swahili .

Serikali yatoa onyo kali kwa watengenezaji saruji Tanzania

Serikali ilitoa makataa hayo siku ya Jumatano baada ya kukutana na wenye viwanda vinavyotengeza saruji. The post Serikali yatoa onyo kali kwa watengenezaji saruji Tanzania appeared first on KBC Swahili .

Kiongozi wa upinzani Zambia apinga matokeo ya uchaguzi mkuu

Wachunguzi wa uchaguzi huo kutoka Umoja wa Ulaya pia wametilia shaka matokeo ya uchaguzi huo wakisema haukuwa huru. The post Kiongozi wa upinzani Zambia apinga matokeo ya uchaguzi mkuu appeared first on KBC Swahili .

Watu zaidi ya laki mbili watoroka makwao huko Kordofan nchini Sudan

Katika eneo la Blue Nile, watu wapatao 78,000 wamekimbia makwao huku 18,000 wakitoroka eneo la magharibi mwa Darfur katika nusu ya kwanza ya mwezi huu wa Agosti. The post Watu zaidi ya laki mbili watoroka makwao huko Kordofan nchini Sudan appeared first on KBC Swahili .

Samidoh kuwania ubunge Ol Joro Orok

Uamuzi huo anasema umechangiwa na maisha yake ya unyenyekevu, utumishi wake katika Idara ya Polisi ya Kenya na baadaye kazi yake katika muziki The post Samidoh kuwania ubunge Ol Joro Orok appeared first on KBC Swahili .