RSS Amplifier

Blog

Saleh Jembe

Official Website

salehjembe.co.tzSource feed ↗37 posts

Overdue Last read · last published · next check
Last read 1 day ago, longer than this feed's 4 hours schedule.

Written by

Latest posts

Ratiba ya NBC Premier League 2026/27

LEO Agosti 25,2026 kuna mechi kali 2 za NBC Premier League ambazo zinatarajiwa kuchezwa kwa wababe kusaka pointi 3 muhimu ndani ya uwanja. Namungo FC iliyo nafasi ya 9 na pointi 3 baada ya mechi 2 itavaana na Fountain Gate iliyo nafasi ya10 na pointi 3 baada ya mechi 2 itakuwa saa, 12:00 jioni. Msimu...

Yanga SC 4-0 JKT Tanzania

Yanga SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliochezwa leo, Agosti 24, 2026, Uwanja wa KMC Complex,Mwenge, Dar. Ni Albert Kangwanda alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 29,Ibrahim Bacca aliongeza bao la pili dakika ya 34, Chadrack Boka alifunga dakika ya 39. Mpaka dakika 45 za mwanzo zinakamilika ubao...

Stoke City vs Hull City: Nani Atatinga Raundi ya Tatu ya Carabao Cup?

Stoke City na Hull City watakutana leo Jumanne, Agosti 25, 2026, katika raundi ya pili ya Carabao Cup (EFL Cup). Mechi hii itachezwa katika uwanja wa Bet365 Stadium, mjini Stoke-on-Trent, na itaanza saa 21:45 usiku, Ni mechi itakayowaleta pamoja timu mbili za Championship zenye historia ndefu ya ushindani. Hali ya Stoke City kwa sasa si...

Non-Stop Blasts & Races: Cheza na Uingie Kwenye Nafasi Mpya za Kushinda

Uwanja wa zawadi umefunguliwa na Meridianbet imekuja na kitu kikubwa. Non-Stop Blasts & Races inatoa jumla ya TZS 75,000,000,000 katika zawadi, huku wachezaji wakipewa nafasi ya kushiriki mashindano mbalimbali na kukutana na zawadi zisizotarajiwa kupitia michezo iliyochaguliwa ya Playson. Mwanzo wa burudani unapatikana kwenye Power Blasts, ambapo bahati inaweza kukufuata ndani ya mchezo. Wachezaji…

Simba Yatangaza Meja Isamuhyo Kuwa Ngome Yake, Yafichua Ratiba ya Kimataifa

Klabu ya Simba SC imetangaza kurejea kutumia Uwanja wa Meja Isamuhyo kama uwanja wake wa nyumbani katika mechi za Ligi Kuu ya NBC, baada ya awali kutangaza kutumia Uwanja wa Uhuru. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Semaji wa Simba, Ahmed Ally, amesema uamuzi huo umetokana na mafanikio ambayo timu hiyo ilipata msimu uliopita ilipotumia Meja...

EPL na Serie A zatamba leo, Chelsea na Roma kuwania pointi tatu

Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za leo ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi. Ligi kuu ya Uingereza yaani EPL itaendelea siku ya leo, Fulham atamkaribisha Chelsea huku mechi hii ikiwa na matarajio makubwa kwa...

Yanga Kushuka KMC Complex, JKT Tanzania Yawania Pointi Tatu

Yanga SC leo Agosti 24, 2026 inatarajiwa kushuka dimbani kuikabili JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara utakaochezwa kwenye Uwanja wa KMC Complex kuanzia saa 18:00 jioni. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku Yanga ikilenga kuendelea na mwenendo mzuri katika msimu huu, wakati JKT Tanzania ikisaka matokeo mazuri dhidi...

Newcastle Yashindwa Kuishinda Liverpool, Szoboszlai Aokoa Reds Dakika za Mwisho

Newcastle United na Liverpool zimetoka sare ya mabao 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu England uliokuwa na presha kubwa hadi dakika za mwisho. Newcastle ilianza kwa kasi na kupata bao la kuongoza dakika ya tano kupitia Anthony Elanga, kabla ya Liverpool kusawazisha kupitia Cody Gakpo. Newcastle ilirejea mbele baada ya Joe Willock kufunga bao lililoonekana...

Manchester City 2–1 Bournemouth: Gvardiol aokoa City dakika za mwisho

Manchester City imepata ushindi wa mabao 2–1 dhidi ya Bournemouth katika mchezo wa Premier League uliochezwa Uwanja wa Etihad, baada ya Josko Gvardiol kufunga bao la ushindi katika muda wa nyongeza. Bournemouth walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia Marcus Tavernier, na kwa muda mrefu walionekana kuwa njiani kuibua mshangao mkubwa dhidi ya City. City, chini...

Wild 4th Fruits Waleta ladha Mpya ya Burudani Meridianbet

Ulimwengu wa kasino unaendelea kupata sura mpya, na safari hii Xpanse imeingia uwanjani na Wild 4th Fruits, mchezo unaochanganya ladha tamu na burudani ya kisasa. Ukiwa tayari ndani ya Meridianbet, mchezo huu unawapeleka wachezaji kwenye mazingira yenye matunda ya kuvutia, rangi angavu na mfumo wa uchezaji unaolenga kuweka burudani rahisi na yenye msisimko. Wild 4th...

Singida Black Stars 1-2 Simba SC

Mchezo umekamilika kwa wababe wawili katika msako wa pointi 3 muhimu ubao wa Uwanja wa Airtel umesoma Singida Black Stars 1-2 Simba SC. Wenyeji Singida Black Stars wamepata bao kupitia kwa nyota Shekhan Ibrahim ilikuwa dakika ya 23. Kwa upande wa Simba SC ambao walikuwa ugenini wamepata mabao kupitia kwa kiungo mshambuliaji Clatous Chama dakika...

Bayern Munich dhidi ya Borussia Dortmund Kuminyana Fainali ya DFL Supercup

Msimu mpya wa soka nchini Ujerumani unaanza kwa mechi kubwa kabisa “Der Klassiker” ya mapema, ambapo timu mbili kubwa zaidi nchini humo zitapambana kwa taji la kwanza la msimu. Mechi hii, inayojulikana rasmi kama Franz Beckenbauer Supercup 2026, itachezwa leo Jumamosi, Agosti 22, saa 21:30 usiku kwenye dimba la Signal Iduna Park, mjini Dortmund. Kombe...

NBC Premier League ratiba ya wiki ya 3

MZUNGUKO wa 3 msimu wa 2026/27 unaendelea na hii hapa ratiba ya wiki ya 3 Singida Black Stars vs Simba SC, Agosti 22,2026, Uwanja wa Airtel Geita Gold vs Kagera Sugar, Agosti 22,2026, Uwanja wa Bukombe Mbeya City vs Mashujaa FC, Uwanja wa Sokoine, Agosti 23,2026 Azam FC vs Pamba Jiji FC, Uwanja wa Azam...

Manchester United Yakamilisha dili la Carlos Baleba kwa Bilioni 253

MANCHESTER: Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa Brighton, Carlos Baleba, kwa ada ya jumla ya pauni milioni 70. Manchester United imekubali kulipa pauni milioni 65 pamoja na pauni milioni 5 zitakazotokana na vigezo maalum vya mkataba, huku Brighton ikikubali ofa hiyo. Baleba, mwenye umri wa miaka 22, amekuwa akihusishwa kwa muda mrefu na...

Meridianbet yaonyesha upendo kwa wazee wa Tabata Kisukuru

Kwenye maisha, afya bora ni mtaji mkubwa, lakini wakati mwingine mahitaji madogo ya kila siku yanaweza kuwa changamoto kubwa kwa baadhi ya watu. Hilo ndilo lililomfanya Meridianbet kupeleka moyo wake wa kijamii hadi Tabata Kisukuru, Dar es Salaam, ambapo ilifanya ziara katika The Community Centre for Preventive Medicine na kuwafikishia msaada wazee wanaoishi katika taasisi...

Wan-Bissaka Ajiunga na Aston Villa kwa Msimu Mmoja kwa Mkopo

Aston Villa imethibitisha kumsajili beki wa kulia wa West Ham United, Aaron Wan-Bissaka, kwa mkopo wa msimu wa 2026/27, huku mkataba huo ukiwa na kipengele kinachoweza kufanya uhamisho wake kuwa wa kudumu. West Ham United pia imethibitisha kuondoka kwa beki huyo mwenye umri wa miaka 28, ambaye sasa anarejea katika Premier League baada ya klabu...

João Pedro Kukaa Chelsea Hadi 2032 Baada ya Kukubaliana Mkataba Mpya

Mshambuliaji wa Chelsea, João Pedro, amekubaliana kusaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaomfanya kuendelea kuwa sehemu ya kikosi cha The Blues hadi mwaka 2032, huku kukiwa na uwezekano wa kuongeza muda zaidi. João Pedro, mwenye umri wa miaka 24, alijiunga na Chelsea akitokea Brighton mwaka 2025 na amekuwa miongoni mwa wachezaji muhimu katika safu ya...

Simba Yakiri Singida Black Stars ni Bora, Lakini Yalenga Pointi Tatu

Simba SC imekiri kuwa Singida Black Stars ni timu yenye ubora mkubwa kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27, lakini imeweka wazi kuwa inalenga kupata ushindi. Timu hizo zinatarajiwa kukutana kesho, Agosti 22, katika Uwanja wa Airtel, zikiwa zote zimecheza michezo miwili katika mwanzo wa msimu. Singida Black Stars imeanza msimu...

Betis vs Real Sociedad: Msimu mpya wa LaLiga Waanza kwa Vita Kali

Ligi Kuu ya Uhispania (LaLiga) inaendelea na mzunguko wake wa pili leo Ijumaa, Agosti 21, ambapo Real Betis watawakaribisha Real Sociedad katika mchezo unaotarajiwa kuwa na hamasa kubwa. Mchezo huu utaanza saa 22:00 usiku. Timu zote mbili zilikosa kucheza raundi ya kwanza ya msimu, hivyo huu utakuwa mchezo wao wa kwanza rasmi wa msimu 2026/27....

Ali Kamwe Azungumzia Kauli ya Magori Kuhusu Teknolojia ya VFS

Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe, amezungumzia kauli ya Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, Crescentius Magori, kuhusu matumizi ya teknolojia ya Football Video Support (VFS) katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara. Kauli ya Kamwe imekuja wakati mjadala kuhusu matumizi na ufanisi wa teknolojia hiyo ukiendelea katika soka...

Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League

Singida Black Stars vs Simba SC NBC Premier League ni mchezo unaofuata kwa wababe hawa unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Airtel, Singida. Huu unakuwa ni mchezo wa tatu kwa wababe hawa kushuka uwanjani kusaka pointi 3 muhimu msimu mpya 2026/27 ambao umeanza kwa kasi. Simba SC itaingia uwanjani bila huduma ya Duchu ambaye alionyeshwa kadi nyekundu...

Azam FC 2-1 TRA United, Manula aonyeshwa kadi nyekundu

MTAJIRI wa Dar, Azam FC wameanza na ushindi kwenye mchezo wa nyumbani msimu wa 2026/27 baada ya kuanza na sare ugenini dhidi ya Polisi Tanzania. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex Agosti 20,2026 ulisoma Azam FC 2-1 TRA United. Ni Idd Suleman alianza kufunga dakika ya 8 na Abdul Suleiman alipachika...

Allan Okello Atambulishwa Rasmi AS FAR Rabat Baada ya Kuondoka Yanga

Rabat, Morocco — Kiungo mshambuliaji wa Uganda, Allan Okello, ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa AS FAR Rabat baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Young Africans SC, maarufu Yanga. Okello, ambaye alikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga, sasa ameanza ukurasa mpya wa maisha yake ya soka nchini Morocco baada ya AS FAR kukamilisha taratibu zote...

Ronaldinho Atoa Mshangao, Arejea Soka Akiwa Na Miaka 46

Milan, Italia — Mwanasoka nguli wa Brazil, Ronaldinho Gaúcho, anatarajiwa kurejea rasmi uwanjani akiwa na umri wa miaka 46, miaka 11 baada ya kucheza mchezo wake wa mwisho wa soka la ushindani. Ronaldinho amefikia makubaliano na Ravenna FC, klabu ya Italia inayoshiriki Serie C, ambapo atahusishwa na klabu hiyo si tu kama mwekezaji, bali pia...

Chicken Hot Run Yaanza Kutamba Meridianbet, Je Utafika Mbali?

Uko tayari kwa mbio ambazo hazikupi nafasi ya kulegea? Chicken Hot Run imewasili Meridianbet ikiwa na burudani ya kasi na changamoto inayoweza kukuweka kwenye presha kila unapopiga hatua. Mchezo huu uliotengenezwa na Expanse Studios unakupeleka kwenye safari ya kukimbia, kukwepa vikwazo na kukusanya odds huku ukijaribu kuona ni umbali gani unaweza kufika. Hapa kila sekunde...

Yanga Yatinga Ushindi wa 4-1 Dhidi ya Coastal Union

Dar es Salaam — Yanga SC imeendelea na mwanzo mzuri wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC 2026/27 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Coastal Union katika mchezo uliopigwa leo kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, jijini Dar es Salaam. Yanga ilianza mchezo kwa kasi huku ikitawala sehemu kubwa ya mchezo...

Yanga SC mafia yanasa faili la Coastal Union

BENCHI la ufundi la Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Manqoba Mngqithi limefanya ‘umafia’ kwa kunasa faili zima la wapinzani wao Coastal Union kabla ya kuwakabili leo Agosti 20,2026 Uwanja wa KMC Complex.Huu utakuwa ni mchezo wa pili kwa mabingwa watetezi wa ligi kushuka uwanjani, wamekusanya pointi 3 baada ya ushindi dhidi ya Namungo FC...

Kombe la Dunia la Hockey ya Wanawake Latikisa Uholanzi, Vita Vyaendelea

Amsterdam, Agosti 20, 2026 — Mashindano ya Kombe la Dunia la Hockey ya Wanawake yanaendelea nchini Uholanzi na Ubelgiji, huku timu mbalimbali zikisaka nafasi ya kusonga mbele katika hatua inayofuata ya mashindano. Leo, Alhamisi, Agosti 20, ratiba imejumuisha michezo kadhaa muhimu. Miongoni mwao ni China dhidi ya Afrika Kusini pamoja na New Zealand dhidi ya...

Kifukwe Aagwa Karimjee, Yanga na Simba Zamuaga kwa Heshima

DAR ES SALAAM — Mazingira ya huzuni na heshima yalitawala leo Alhamisi, Agosti 20, katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, ambako familia, viongozi wa michezo, wachezaji wa zamani na wanachama wa Yanga walikusanyika kutoa salamu za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa klabu hiyo, Eng. Francis Kifukwe. Mwili wa Kifukwe uliwasili Karimjee kwa ajili...

Yanga Yashuka Dimbani Kuendeleza Moto Dhidi ya Coastal Union

DAR ES SALAAM — Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, leo Alhamisi, Agosti 20, 2026, wanatarajiwa kushuka dimbani kuikabili Coastal Union katika mchezo wa raundi ya pili ya msimu wa 2026/27. Mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam, huku Yanga ikiwa na dhamira ya kuendeleza mwanzo mzuri...

Ibrahim Jabaar Aomba Msamaha, Akubali Kuwajibika kwa Kadi Nyekundu

Nyota wa Ibrahim Jabaar, Ibrahim Jabaar, ameonyesha ukomavu kwa kukubali na kuchukua jukumu kamili kufuatia tukio lililomfanya kuonyeshwa kadi nyekundu katika mchezo uliopita. Kupitia ujumbe aliouweka kwenye Instagram, Jabaar amesema: “Hakuna visingizio. Ninachukua jukumu kamili.” 🙏🏽 Kauli hiyo inaonyesha kuwa Jabaar ametambua kosa lake na yuko tayari kuwajibika, huku akitarajiwa kujifunza…

Leo ni Kubeti Kitaalamu! Mechi Kali na Odds Kubwa Zipo Meridianbet

Tengeneza pesa ndefu kwa kusuka jamvi lako la ushindi na Meridianbet. Timu kibao zenye Odds kubwa zipo kwaajili yako, ingia na usuke jamvi siku ya leo. Kama kawaida ligi zinaendelea kuchanganya huku wewe ukichangamkia odds za kibabe, Yanga atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Coastal Union kwenye Ligi kuu ya Tanzania, NBC PREMIER LEAGUE. Hii ni...

Rashford Aomba Jina Lake Lisitajwe Kila Siku, Asema Anataka Kuzingatia Soka

MANCHESTER: Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, amesema angependa kupata nafasi ya kujikita katika kucheza soka bila jina lake kutajwa kila siku katika mijadala ya vyombo vya habari. Rashford alitoa kauli hiyo baada ya mchezaji wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, kuanzisha mjadala kuhusu mshambuliaji huyo katika podcast ya Stick to Football. Katika kipande...

Arsenal Yakubaliana na Aston Villa Kumsajili Ezri Konsa kwa Zaidi ya Pauni Milioni 50

LONDON: Arsenal imefikia makubaliano na Aston Villa kuhusu kumsajili beki wa England, Ezri Konsa, kwa ada inayozidi pauni milioni 50. Konsa, mwenye umri wa miaka 28, anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kukamilisha uhamisho wake kwenda Emirates Stadium. Arsenal ilianza tena mazungumzo na Aston Villa wiki iliyopita baada ya awali kushindwa kufikia makubaliano. Kwa...

Hospitali ya Kigogo Yapokea Wheelchairs, Meridianbet Yaongeza Tabasamu

Meridianbet imeongeza nguvu katika kampeni yake ya kusaidia jamii baada ya kuikabidhi Hospitali ya Kigogo msaada wa viti vya magurudumu, maarufu kama wheelchairs. Msaada huo umetolewa kupitia programu ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR), ukiwa na lengo la kuboresha huduma kwa wagonjwa wenye mahitaji maalum. Hatua hii imekuja wakati ambapo hospitali zinahitaji vifaa mbalimbali vinavyoweza kurahisisha...

Simba Yaibuka na Ushindi wa 2-1 Dhidi ya Pamba Jiji, Yakwea Kileleni

Mwanza: Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wameanza msimu wa NBC Premier League kwa kasi baada ya kuichapa Pamba Jiji FC mabao 2-1 na kuchukua alama zote tatu. Simba ilipata mabao yake kupitia Clatous Chama dakika ya 18 na Oura dakika ya 30, kabla ya Pamba Jiji kujibu kupitia Diomande dakika ya 72. Mchezo huo ulikuwa...

Baraza la Michezo Laibua Jingine Simba! “Serikali Imekamilisha Wajibu Wake” – Video

Dar es Salaam: Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limetoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa Katiba ya Klabu ya Simba iliyofanyiwa marekebisho na kuidhinishwa rasmi Februari 18, 2026. Kwa mujibu wa BMT, marekebisho hayo yalipitishwa na Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Simba uliofanyika Novemba 30, 2025, kabla ya kuwasilishwa kwa Msajili wa Vyama na Vilabu vya...