Mu karere ka Kirehe mu Murenge wa Mushikiri Akagari ka Rwanyamuhanga, Umugabo witwa MANIRAGUHA Jean Claude w'imyaka 49 yishwe n'umugore we witwa UBURIYEMUYE Theophile ufite imyaka 48, amuziza ko yagurishije isake akajya kuyanywera Pirimusi.
Idala ya Upelelezi wa Jinai (RIB) imewaonesha watu 18 waliokamatwa, akiwemo Prof. Emile Bienvenu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Rwanda (Rwanda FDA).
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Rwanda (FERWAFA), Shema Ngoga Fabrice, amekamatwa na anashikiliwa na vyombo vya upelelezi kwa tuhuma za kutoa hundi ambayo haikuwa na fedha za kutosha kwenye akaunti.
Polisi yo mu Ntara ya Mwanza yataye muri yombi umugore witwa Elizabeth Chacha Mgushi, ufite imyaka 30, Butimba, Akarere ka Nyamagana, akurikiranyweho gutanga amakuru y'ibinyoma avuga ko yashimuswe nyamara yagiye ku nshoreke.
23 Julai 2026, Kamishna Jenerali wa Huduma ya Magereza ya Rwanda (RCS), CG Evariste Murenzi, amefungua rasmi kikao cha siku tatu cha viongozi wakuu wa Huduma ya Magereza ya Rwanda (RCS), kinachofanyika katika Chuo cha Kijeshi cha Gako, Wilaya ya Bugesera, Mkoa wa Mashariki.
Baada ya Msemaji wa Ofisi ya Upelelezi nchini Rwanda (RIB), Dkt Murangira B. Thierry, kukosoa tabia ya baadhi ya watu wanaoshuhudia mtu akipigwa hadharani bila kuchukua hatua za kumsaidia, baadhi ya wananchi wameanza kutoa wito wa kuwepo kwa adhabu dhidi ya yeyote anayeshindwa kumsaidia mwenzake anayepigwa au anayefanyiwa ukatili wa aina nyingine.