RSS Amplifier

Blog

Radio Osotua

Amani na Tueneze

radioosotua.co.keSource feed ↗11 posts

Live Last read · last published · next check

Written by

Latest posts

IEBC Yatoa Maelekezo Rasmi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Ujao.

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC, imetangaza rasmi Siku ya Uchaguzi na kutangaza kuhusu masuala mbalimbali yanayohusiana na uchaguzi. IEBC imechapisha katika Notisi ya Gazeti rasmi la serikali kwamba inaashiria kuanza kwa kipindi cha uchaguzi na kuanza kutumika kwa vyombo viwili vya kisheria kuhusiana na Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027 ambavyo ni Kanuni... The post IEBC Yatoa Maelekezo Rasmi…

Mzozo wa Ardhi ya Cheluget Waelekea Kumalizika Narok

Huenda mzozo wa muda mrefu unaozingira ardhi ya Cheluget katika eneo bunge la Narok Kusini umefikia tamati. Serikali imetangaza hatua ya kumaliza mzozo huo uliodumu kwa takriban miaka 30. Kwa miaka mingi, maelfu ya familia wamekuwa wakiishi katika ardhi hiyo bila uhakika wa umiliki. Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Mipango ya Maeneo, Nixon... The post Mzozo wa Ardhi ya Cheluget Waelekea…

Uchaguzi Mkuu Unapaswa Kufanyika Agosti 11,2026.

Mahakama ya Malindi imetoa uamuzi kwamba Uchaguzi Mkuu ujao wa Kenya unapaswa kufanyika Jumanne, Agosti 11, 2026, na sio mwaka wa 2027. Katika hukumu iliyotolewa Malindi, Jaji Mugure Thande, hata hivyo, alisitisha utekelezaji wa uamuzi huo hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Jaji huyo alitangaza kwamba kufanya uchaguzi ujao wa rais katika tarehe yoyote... The post Uchaguzi Mkuu Unapaswa Kufanyika…

Narok Yang’ara Miongoni mwa Kaunti Bora kwa Usimamizi wa Fedha.

Kaunti ya Narok imeibuka miongoni mwa kaunti zilizofanya vizuri zaidi nchini katika usimamizi wa fedha za umma, kwa mujibu wa tathmini mpya ya mwaka wa kifedha wa 2024/2025. Ripoti ya County Fiscal Performance Measurement Index (CFPMI) iliyotolewa na Parliamentary Budget Office, PBO, imetaja Embu, Narok, Wajir, Kitui na Kilifi kuwa miongoni mwa kaunti zilizoongoza kwa... The post Narok Yang’ara…

Starlets Kwenye Mtihani Mgumu Dhidi ya Algeria

Harambee Starlets itashuka dimbani dhidi ya Algeria usiku wa leo mjini Rabat, Morocco, ikisaka ushindi wake wa kwanza katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake, WAFCON 2026. Kikosi hicho cha kocha Beldine Odemba kinaingia katika mchezo huo wa mwisho wa Kundi A kikiwa bila alama baada ya kupoteza mechi zake mbili za... The post Starlets Kwenye Mtihani Mgumu Dhidi ya Algeria…

Wakulima wa Narok Walia Bei Duni ya Mazao

Wakulima wa ngano na mahindi katika Kaunti ya Narok wameitaka serikali iwanunulie mazao yao kwa bei nzuri, wakisema bei ya sasa haiendani na gharama kubwa za uzalishaji. Wakulima hao pia wanataka serikali kuwahakikishia soko la mazao yao. Wamesema ukosefu wa soko umewalazimu kuuza ngano na mahindi kwa bei ya chini. Wakiongozwa na mwenyekiti wao, Stanley... The post Wakulima wa Narok Walia Bei Duni…

Rais Ruto Kuhutubia Taifa Saa Moja Jioni Leo

Rais William Ruto anatarajiwa kutoa hotuba maalumu ya kitaifa leo saa moja jioni, wakati shughuli za kisiasa zikiongezeka kuelekea uchaguzi wa 2027 The post Rais Ruto Kuhutubia Taifa Saa Moja Jioni Leo appeared first on Radio Osotua .

Wakazi wa Ngoswani Wafunga Barabara Wakipinga Ujenzi Duni

Wakazi wa Ngoswani wamefunga barabara inayoelekea Ewuaso Ngiro, wakitaka viongozi kuingilia kati kuhusu ujenzi wanaodai ni duni. The post Wakazi wa Ngoswani Wafunga Barabara Wakipinga Ujenzi Duni appeared first on Radio Osotua .

Mgomo wa Wauguzi Narok Kulemaza Huduma za Afya

Huduma katika zahanati, vituo vya afya na hospitali za umma Narok zimetatizika baada ya wauguzi kujiunga na mgomo wa kitaifa wakitaka serikali ishughulikie madai yao. The post Mgomo wa Wauguzi Narok Kulemaza Huduma za Afya appeared first on Radio Osotua .

Premier League Kujaribu Kanuni Mpya Kudhibiti Upotezaji wa Muda wa Makipa

Ligi Kuu ya England itaanza kufanyia majaribio kanuni mpya inayolenga kuwazuia makipa kusimamisha mchezo kwa madai ya majeraha. Kuanzia msimu wa 2026/27, mwamuzi akisimamisha mchezo ili kipa apatiwe matibabu, timu yake italazimika kumtoa mchezaji mmoja wa uwanjani. Mchezaji huyo atakaa nje kwa angalau dakika moja baada ya mchezo kuanza tena. Kwa hiyo, timu hiyo itacheza... The post Premier League…

KAGAME CUP | Vipers Yawazamisha Gor Mahia Dakika za Jioni.

Gor Mahia imepata kichapo chake cha kwanza katika Kombe la CECAFA Kagame, baada ya kufungwa bao 1-0 na Vipers SC ya Uganda. Gusto Mulongo alifunga bao la ushindi katika dakika ya 90+3 kwenye Uwanja wa Kigali Pelé nchini Rwanda. Mulongo aliunganisha mpira kwa kichwa na kumshinda kipa Humphrey Katasi. Kabla ya bao hilo, timu zote... The post KAGAME CUP | Vipers Yawazamisha Gor Mahia Dakika za Jioni.…