RSS Amplifier

Podcast

Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

rfi.frSource feed ↗24 episodes

Live Last read · last published · next check

Written by

Latest episodes

Saves to your Listen queue, to pick up on another day or another device.

Tanzania: Muziki wa reggae Asilia na Ramadhani Yahaya Shaaban

Ramadhani Yahaya Shaaban Mwanamuziki wa Reggae aliyechanganya na Vionjo vya kabilala Wazaramo anajivunia sanaa ya Muziki wa Asili Tanzania.

Play

Uchoraji wa pembe (Qubical Drawings) na Maria Magige kutoka Daria Arts

Uchoraji wa pembe(Qubical Drawings) ni sanaa inayozingatia uwasilishwaji wa ujumbe zaidi kuliko uhalisia wa picha. Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Maria Magige kutoka Daria Arts.

Play

Tanzania: Uigizaji Radio na Kudra Kwingi

Uigizaji Radio ni mbinu ya kisanii ya kusimulia hadithi, kutoa elimu, au kuburudisha kwa kutumia sauti pekee , Kudra Kwingi ni Miongoni mwa waigizaji wanawake wa mwanzo nchini tanzania anajivuia sana hii, katika Makala ya Nyumba ya Sanaa utamsikia.

Play

Sanaa ya ucheshi na msani Abdul Chacha maarufu headmaster

Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu headmaster ni msanii wa sanaa ya ucheshi.

Play

Sanaa ya ucheshi na ukuzaji wa vipaji kwa vijana wa Tanzania

Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku Mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maarufu Headmaster ni msanii wa sanaa hiyo Ungana na Steven Mumbi akizungumza na msanii huyo.

Play

Sanaa ya muziki wa asili ya walega nchini DRC

Nyumba ya sanaa juma hili imeangazia umuhimu wa kuwafundisha watoto lugha, usanii wamuziki za asili, na kujenga utamaduni wa kudumisha lugha za asili, mwanahabari wetu Reuben Lukumbuka anazungumza na msanii wa muziki za kilega, kutoka mjini Goma huko mashariki mwa Jamahuri ya kidemokrasia ya Congo Ngolis Mwindulwa Ngoma

Play

Nyumba ya sanaa: Muziki wa Kifipa

Wiki hii Steven Mumbi anazungumzia kuhusu muziki wa Kifipa

Play

Joseph Issa Mohamed - Muigizaji wa Michezo ya Radio

Joseph Issa Mohamed, maarufu Onyango Muigizaji wa Michezo ya Radio, anakumbukwa, katika Makala ya ya Nyumba ya Sanaa.

Play

Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala

Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala awataka Wasanii wachanga kutobweteka, Sikiliza Makala ya Nyumba ya sanaa.

Play

Nyimbo na ngoma asili Bagamoyo Tanzania

Wiki hii tunaangazia sanaa ya nyimbo na ngoma za asili katika Mji wa Bagamoyo nchini Tanzania.

Play

Uchoraji unavyowasaidia vijana kujimudu kimaisha

Licha ya kuwa na Shahada ya Utafiti wa Binadamu,Sanaa ya Uchoraji imempa fursa ya kumudu Maisha, Kutana na Cletus Kenedy.

Play

Sanaa ya uchoraji na Jordan Katunzi

Mbali na kuwa na Talanta ya Uchoraji, sasa wachoraji nchini Tanzania wanasomea fani hiyo ili kufanya sanaa kwa ufanisi, Jordan Katunzi ni Mchoraji amezungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

Play

John Sombi Kafula, Mwanamuziki wa muziki wa asili kutoka kabila Wasukuma

Wasukuma ni kabila kubwa zaidi nchini Tanzania, linakadiriwa kufikia watu milioni 10, idadi inayowakilisha asilimia 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla, Wasukumua ni maarufu kwa Muziki wa asili.

Play

Tanzania: Singeli na Mima

Wikendi kwenye makala ya nyumba ya sanaa, Mwandishi wetu Steven Mumbi aangazia muziki wa singeli na Mima.

Play

Sanaa ya mjukwani

Wiki hii tunaangazia sanaa ya majukwani.

Play

Uchoraji msimu wa siku kuu

Sanaa ya uchoraji wakati wa sherehe za siku kuu katika visiwa vya Zanzibar.

Play

Uigizaji Filamu na Wastara

Uigizaji Filamu na Wastara kutoka nchini Tanzania.

Play

Sanaa ya uchongaji

Steven Mumbi anaangazia sanaa ya uchongaji jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.

Play

Real Jofu kuhusu Bongo Fleva

Steven Mumbi amezungumza naye msani Real Jofu kuhusu muziki wa Bongo Fleva.

Play

Nyumba ya sanaa: Muziki wa densi visiwani Zanzibar

Katika Makala ya wiki hii tunaangazia safari ya muziki wa densi visiwani Zanzibar.

Play

Vijana wa Goma wajituma kuimarisha sanaa ya muziki na utamaduni wa Afrika

Makala ya wiki hii imeangazia namna wasanii wanaoishi katika maeneo yenye vita mashariki mwa DRC wanavyojituma katika kuimarisha sanaa ya muziki na utamaduni wa Afrika. Mwandishi wetu Ruben Lukumbuka hivi karibuni alitembelea mji wa Goma mkowani Kivu kaskazini ambako alikutana na msanii wa muziki na mtengeneza filamu Malick Maliro ambaye anaeleza kwa urefu kuhusu mbinu zake

Play

Miaka 30 ya safari ya msanii Mack el Sambo mjini Goma mashariki mwa DRC

Hii leo ninaungana na mwenzangu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mji wa Goma ambako alikutana na wasanii kadhaa ambao wamo mbioni katika kuhamasisha Amani na mshikamano wa jamii kupitia Nyimbo zao, na leo kwa namna ya pekee tutaungana na msanii mkongwe wa miaka mingi katika mji huo ambaye amejiwekea sifa kubwa katika eneo la maziwa makuu MACK ELSAMBO Kataka ambaye kwa zaidi ya…

Play

Wanamuziki mjini Goma walazimika kufanyia muziki katika nchi jirani

Mji wa Goma mashariki ya DRC unakabiliwa na changamoto baada ya waasi wa M23 kuuchukua mji huo sasa wanamuziki wanalazimika kwenda nchi jirani kufanya Muziki. Tumezungumza naye msani Sisco laga.

Play

Sanaa ya utunzi wa vitabu nchini Tanzania na Leticia Ndanzi Bubelwa

Imezoeleka ukisikia Utunzi wa Vitabu utawazia Vitabu vya Riwaya,Tamthilia ama Hadithi ,kutana na Leticia Ndanzi Bubelwa Mtunzi wa Vitabu vya Shajara ama kwa kimombo Journals.

Play