Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania imemkuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu na kesi ya kujibu katika mashtaka ya uhaini yanayomkabili, hatua itakayomfanya aendelee tena kusota mahabusu huku akijitetea kujinasua katika shtaka hilo. Uamuzi huo, uliotolewa na Jaji Dunstan Ndunguru kwa niaba ya majaji wenzie wawili, ni pigo kwa […] The post Lissu akutwa na…
Ahadi hiyo ilipokelewa kwa shangwe na Wananchi waliokuwa katika eneo hilo kuanzia saa nne asubuhi wakisubiri ujio wa mkuu wa mkoa. The post Chalamila kutegua kitendawili cha mabasi stendi ya Magufuli appeared first on Nukta Habari .
Baadhi ya Wananchi wametoa maoni mseto kufuatia agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, lililozitaka shughuli za mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani kuhamia katika stendi kuu ya mabasi ya Magufuli. The post Agizo la Chalamila Stendi ya Magufuli laibua maoni mseto appeared first on Nukta Habari .
Leo, mteja anayenunua Pauni NMB analipa chini ya CRDB, wakati anayezibadilisha kwenda Shilingi anapata kiwango cha juu zaidi CRDB. The post Pauni yashuka thamani dhidi ya Shilingi ya Tanzania appeared first on Nukta Habari .
Kwa mtu anayekwenda kununua Euro leo, NMB inauza Euro kwa Sh3,196, ambayo ni Sh24.29 chini ya CRDB inayouza kwa Sh3,220.29. The post Euro yaimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Agosti 18, 2026 appeared first on Nukta Habari .
Anayehitaji kununua Euro atalipa zaidi kupitia CRDB, ambako Euro moja inanunuliwa kwa Sh3,213.75, ikilinganishwa na Sh3,188 kwa NMB. The post Euro yaendelea kuimarika dhidi ya shilingi ya Tanzania appeared first on Nukta Habari .
Mamilioni ya simu inamaanisha mamilioni ya ‘units’ zinazofanya kazi ndani ya uchumi wetu wa kidijitali ambapo kwamwekezaji, hilo ni soko. The post Tanzania inavyoweza kunufaika na ongezeko la simu janja appeared first on Nukta Habari .
Kabla ya kuteuliwa kuwa bosi wa juu wa BOA Tanzania, Yassine alikuwa ni sehemu ya uongozi wa benki hiyo akihudumu kama Naibu Mkurugenzi Mtendaji anayesimamia biashara kwa kipindi cha miaka mitano kabla ya kutangazwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa BOA Uganda mwaka 2024. The post Samir Yassine ateuliwa CEO mpya BOA Tanzania appeared first on Nukta Habari .
Wanunuzi wa sarafu hizo wataendelea kununua sarafu hiyo kwa bei nafuu huku wauzaji wakinufaika kwa kupata kiasi kikubwa cha shilingi. The post Shilingi yaimarika dhidi ya Euro na Pauni yabaki tulivu dhidi ya dola appeared first on Nukta Habari .
Afisa Maendeleo ya Biashara wa Nukta Africa, amesema ushirikiano huo utasaidia kampuni kuendeleza bidhaa zake. The post Nukta AI, Pawa AI zaungana kuimarisha teknolojia ya lugha za Kiafrika appeared first on Nukta Habari .
As I dug deeper into research, studied scientific publications and spent hours speaking with medical experts, the story began to grow. The post The story that changed my career appeared first on Nukta Habari .