
Burudani ya Muziki ijumaa na Billy Bilali Julai 24 2026
Ambatana naye Billy Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa julai 24 2026, Kumbuka pia kumfuatilia @billybilali
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Subscribe:.rss.atom.json.md.m3u.pls
Live Last read · last published · next check
Saves to your Listen queue, to pick up on another day or another device.

Ambatana naye Billy Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa julai 24 2026, Kumbuka pia kumfuatilia @billybilali

Sikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii. @billy bilali

Makala haya Muziki Ijumaa mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki Ijumaa leo Mei 22 2026. Kumbuka pia kumfollow @billy bilali

Ijumaa Hii mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Ijumaa. ambatana naye mwanzo hadi tamati na usikose kumuandikia @billy bilali



Wiki hii mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amekuandalia burudani murua, toka kwa wasanii kama vile Fally Ipupa, Acid Vokoz, Chella, Okello Max na Harmonize

Karibu katika muziki Ijumaa, makala maalumu ya RFI Kiswahili inayokuletea vibao vya kukumbukwa vilivyoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dunia. Wiki hii tunasafiri kimuziki kutoka Marekani, kupitia Karibiani, hadi Afrika Mashariki na Afrika ya Kati, tukifurahia nyimbo zenye ujumbe wa furaha, mapenzi, imani na utu. Safari yetu inaanza nchini Marekani kwa kibao “Celebration” cha kundi la…

Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchagua muziki ndani ya makala ya muziki Ijumaa. Skiza makala ya jumaa hili.

Katika Makala haya mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Juma hili.


Kenya kipindi hiki,ungana na Victor Moturi ,ambaye atamekuandalia burudani tosha ,burudikaa

Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili



Kwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.

Kila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji. Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki iliovuma, inayovuma na ile itakayovuma, skiza makala haya kuelewa maana ya miziki ilioenda shule na kafuzu.

Muziki wa kizazi kipya na vibao safi vya kikale katika kusindikiza mwisho wa juma baada ya pilika nyingi za maisha

Katika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.

Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.

Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.

Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.

Muziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.
