Baadhi ya vijana wa kizazi cha Gen Z kupitia mtandao wa Tiktok, wametishia kuchangisha pesa mtandaoni na kujenga hospitali ya kisasa, itakayo toa huduma muhimu za matibabu na za bure kwa wakenya wanao hangaika. Kulingana na vijana hao, hatua hiyo itawawezesha kusaidia wakenya wanaokabiliwa na changamoto za kupata huduma za matibabu kitaifa. Hesabu za vijana […] The post VIJANA WA KIZAZI CHA GEN Z…
Idara ya polisi nchini imewahakikishia wakenya kuwa zoezi la kuwasajili makurutu elfu kumi kitaifa litakuwa huru na haki. Inspekta mkuu wa Polisi Douglas Kanja, amesema kuwa hakuna mtu yeyote anastahili kulipishwa ada zozote, ili kupata nafasi ya kujiunga na kikosi cha maafisa wa polisi nchini NPS. Akizungumza na waandishi wa habari, Kanja amesema kuwa wanalenga […] The post IDARA YA POLISI…
Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusiana na Utekelezaji wa Katiba (CIOC), imeanza msururu wa ziara za kukagua magereza, kama sehemu ya juhudi pana za kitaifa, kuleta utu na mageuzi ya maana, katika vituo vya kurekebisha tabia. Katika ziara hiyo, maafisa wa magereza wameibua wasiwasi mwingi, ikiwemo miundombinu ya zamani, uhaba mkubwa wa sare na mazingira […] The post SERIKALI KUU YAPANIA KUBORESHA…
Chama cha DCP kimeridhia kuunga mkono viongozi wa vyama tofauti katika mrengo upinzani, kwenye changuzi ndogo zinazo tayariwa kufanyika katika maeneo tofauti ya taifa, mwezi novemba mwaka huu wa 2025. Kinara wa chama hicho Rigathi Gachagua, amesema kuwa maeneo ambayo chama hicho kitaunga mkono vyama vingine, ni pamoja na Mbeere Kaskazini kaunti ya Embu, wadi […] The post CHAMA CHA DCP KUUNGA MKONO…
Wazazi eneo la Pwani wamesisitizwa kuhakikisha kuwa wanao wanakumbatia masomo, hasa katika sekta ya ubaharia. Mwenyekiti wa kamati ya uchumi wa bahari kwenye bunge la kitaifa Kagongo Bowen, amesema kuwa ukosefu wa vyeti katika taasinia hiyo, kwa wananchi wa Pwani ndiyo chanzo cha baadhi ya vijana, kukosa nafasi hizo. Bowen amedai kuwa idadi kubwa ya […] The post MBUNGE WA MARAKWET MASHARIKI…
“Hakuna mkenya atakaye lala njaa kutokana na ukosefu wa chakula”. Ni kauli ya waziri wa utumishi wa umma nchini Geoffrey Ruku, ambaye amesema kuwa serikali kuu, imeweka mikakati ya usambazaji wa chakula nchini. Waziri Ruku amesema mojawapo ya mikakati hiyo, ni kuhakikisha kuwa vyakula vimehifadhiwa vyema, kwenya maghala ya serikali ili kusaidia familia zilizo athirika. […] The post SERIKALI YASEMA…
Wito umetolewa kwa wakenya waliopoteza wapendwa wao kufika katika mahakafani ya hospitali kuu ya Malindi kaunti ya Kilifi ili kufanya fanyiwa uchunguzi wa chembechembe za DNA, kubaini iwapo wapendwa wao ni kati ya wale walioangamia katika msitu wa Kwa Binzaro. Haya ni kwa mujibu wa mshirikishi mkuu wa utawala kanda ya Pwani, Rhoda Onyancha ambaye […] The post FAMILIA ZILIZO POTEZA WAPENDWA WAO…
Katibu wa masuala ya vijana nchini Fikirini Jacobs amewataka vijana kuendelea kujijenga kitaaluma, kisanaa na kibiashara ili kujiimarisha kiuchumi. Fikirini amesema kuwa kwa sasa serikali ya Kenya kwanza imeanzisha mpango wa kuwasaidia wasanii kupata fedha za kuwasaidia kujiendeleza kiuchumi. Fikirini amesisitiza vijana kutumia vyema vipaji vyao hasa katika masuala ya sanaa kwani vina uwezo wa […]…
Ni afueni kwa Wahudumu wa afya ambao waliajiriwa ili kufanikisha mpango wa afya kwa wote UHC, baada serikali kuu kutangaza kuwa sasa itawaajiri kwa mkataba wa kudumu, na ulio na malipo ya uzeeni yaani permanent and pensionable. Wahudumu hao zaidi ya elfu saba, waliajiriwa kwa kandarasi za muda wa mwaka, mnamo mwaka wa 2019 huku […] The post WAHUDUMU WA AFYA KATIKA MPANGO WA UHC WAPATA AFUENI.…
Mwanaharakati wa shirika la Vocal Afrika, Hussein Khalid ametilia shaka tangazo la serikali ya kitaifa, kuhusiana na malipo ya fidia kwa waathiri wa maandano humu nchini. Hussein amesema kuwa serikali kuu, ilikosa kutoa maelezo kamili kuhusiana na waathiriwa wa maandamano yapi, watakao nufaika na fidia hiyo. Vile vile ameongeza kuwa serikali pia, ilikosa kutoa mwelekeo […] The post WANAHARAKATI…