RSS Amplifier

Blog

LAJIJI MEDIA

Sauti Mpya Kwa Tanzania Mpya

lajiji.co.tzSource feed ↗11 posts

Overdue Last read · last published · next check
Last read 20 hours ago, longer than this feed's 9 hours schedule.

Written by

Latest posts

Benki ya Dunia kufikiria kuunga mkono maboresho ya ziada Bandari ya Dar es Salaam

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam BENKI ya Dunia imesifu uhusiano kati yake na Tanzania na kusifu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kusimamia vizuri wa utekelezaji wa awamu ya kwanza ya ujenzi na maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam chini ya mpango unaofadhiliwa na benki hiyo. Mpango huo unajulikana kwa jina […] The post Benki ya Dunia kufikiria kuunga mkono maboresho ya ziada…

Serengeti awards 2026 usajili wafunguliwa kwa wadau wa utalii

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WIZARA ya Maliasili na Utalii imetangaza rasmi dirisha la usajili kwa wadau wa uhifadhi na utalii kuwania Serengeti Awards 2026, huku ikiwasisitiza kutumia fursa hiyo kuonyesha kazi, ubunifu na mafanikio yao katika uhifadhi wa wanyamapori, maliasili na uendelezaji wa utalii. Dirisha hilo litafunguliwa Agosti 20, 2026 na litafungwa Septemba […] The post Serengeti…

Tanzania yahitaji rasilimali watu wenye afya na vijana wenye fursa

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema Tanzania inahitaji rasilimali watu wenye afya bora, vijana wanaopata fursa na sekta binafsi inayowajibika ili kufanikisha malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Hemed alisema hayo kwa niaba ya Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, wakati wa […] The post Tanzania yahitaji rasilimali watu…

TIB Rasilimali Yaongeza Elimu ya Uwekezaji kwa Wananchi

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KAMPUNI ya TIB Rasilimali Limited imeendelea kutoa elimu ya uwekezaji kwa wananchi kupitia programu yake ya Rasilimali Academy, ikiwa na lengo la kuongeza uelewa kuhusu fursa za uwekezaji katika hisa, hati fungani, mifuko ya uwekezaji wa pamoja na masuala ya usimamizi wa fedha binafsi. Akizungumza kuhusu mpango huo, Mkurugenzi Mkuu […] The post TIB Rasilimali…

DCEA yateketeza ekari 603 za bangi mvomero

Na Mwandishi Wetu, Morogoro MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeteketeza ekari 603 za mashamba ya bangi na kukamata magunia 49 ya bangi katika operesheni maalum iliyofanyika Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, huku watuhumiwa 13 wakikamatwa kuhusisiana na mashamba hayo. Operesheni hiyo iliyofanyika katika vijiji vya Misengele, Lugenge, Kisaki na Nyarutanga, […] The post…

TIB yaunga mkono ajenda ya Nishati Safa kuelekea 2050

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar SAFARI ya mageuzi ya kiuchumi kuelekea Dira ya Taifa 2050 imeanza kushika kasi, huku mijadala kuhusu vichocheo vya uchumi ikiendelea kupewa uzito mkubwa nchini. Miongoni mwa matukio yaliyoibua mjadala huo ni Tamasha la Kizimkazi 2026, lililofanyika kusini mwa Unguja na kukutanisha viongozi wakuu wa serikali, taasisi na wadau mbalimbali wa maendeleo. […] The post TIB…

Rais Dkt. Samia anatarajia kuzindua JNHPP Agosti, 22 2026

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiakuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) Agosti,22 2026 katika eneo la mradi Rufiji, Mkoa wa Pwani. JNHPP ni miongoni mwa miradi mikubwa na ya kimkakati katika historia ya sekta ya nishati nchini.Kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 za […] The post Rais Dkt. Samia anatarajia kuzindua…

Kafulila kuongoza mhadhara wa umma kuhusu nafasi ya ubia (PPP) katika maendeleo ya watu

KITUO cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre) kinatarajiwa kufanya mhadhara wa umma utakaolenga kujadili mchango wa ubia kati ya sekta umma na sekta binafsi katika kuchochea maendeleo ya watu na uchumi wa taifa. Mhadhara huo utaongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Centre, Mhe. David Kafulila ukiwa umebeba mada ya […] The post Kafulila kuongoza mhadhara wa umma kuhusu nafasi…

Vyama vyote ni sawa hakuna chama kidogo wala kikubwa

Na Mwandishi Wetu,Dodoma VYAMA vya Siasa vyote nchini vina hadhi sawa na hakuna chama kinachopaswa kujiona chenyewe ni kikubwa kiliko vingine kutokana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria za nchi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesa Palamagamba Kabudi alipokuwa […] The post Vyama vyote ni sawa hakuna chama…

Mavunde aagiza masoko ya madini kuwa wazi mpaka usiku

▪️ Lengo ni kurahisisha huduma kwa wateja ▪️ Kamati ya Bunge yaishauri Serikali kupunguza tozo zinazowaumiza wachimbaji wadogo ▪️ Dhahabu tani 67.8 zenye thamani ya Sh trilioni 18.4 zazalishwa kwenye viwanda vya usafishaji ▪️Waziri Mavunde aeleza mkakati wa kukuza biashara ya Tanzanite Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, ameiagiza Tume ya Madini […] The post Mavunde aagiza…

RITA yaimarisha usajili wa matukio muhimu ya binadamu

Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) umeendelea kuimarisha usajili wa matukio muhimu ya binadamu nchini kwa kutumia mifumo ya kidijitali na kusogeza huduma karibu na wananchi, hatua inayolenga kuhakikisha kila mwananchi anapata nyaraka muhimu za utambulisho na kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Waziri wa Katiba na […] The post…