RSS Amplifier

News source

JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

jamhurimedia.co.tzSource feed ↗10 articles

Overdue Last read · last published · next check
Last read 11 hours ago, longer than this feed's 1 hour schedule.

Written by

Latest articles

Kamati ya Bunge yaipongeza WRRB, yaitaka kuongeza kasi matumizi ya WRS

Na.Mwandishi Wetu- Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeipongeza Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB) kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake na kuitaka kuharakisha matumizi ya Mfumo wa Stakabadhi za Ghala (WRS)...

Wasira asisitiza misimamo, haki CCM

*Akemea viongozi wasiokuwa na msimamo ndani ya Chama MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesisitiza umuhimu wa kuzingatia haki kwa kutoegemea maslahi binafsi huku akikemea viongozi wasiokuwa na msimamo ndani ya CCM. Wasira aliyasema hayo alipozungumza...

TBS yapongezwa kwa kuimarisha udhibiti wa ubora wa bidhaa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,Biashara,Kilimo na Mifugo imeipongeza TBS kwa kutekeleza majukumu yake ya udhibiti ubora kwa ufanisi. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Deogratias Mwanyika kwaniaba ya kamati wakati wa...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Balozi wa Marekani wakutana kujadii ushirikiano

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari, amekutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz, na ujumbe wake kwa ajili ya kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania...

Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara ya Viwanda na Taasisi zake kwa ufanisi

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, kupitia Mwenyekiti wake Mhe.Deodatus Mwanyika, ameipongeza Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na taasisi zake kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake ya udhibiti ubora kwa ufanisi . Mhe. Mwanyika...

Benki ya Dunia kufikiria kuunga mkono maboresho ya ziada Bandari ya Dar es Salaam

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Benki ya Dunia imesifu uhusiano kati yake na Tanzania na kusifu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kusimamia vizuri wa utekelezaji wa awamu ya kwanza ya ujenzi na maboresho ya Bandari ya...

Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yazuru NEMC

📌Yafurahishwa na Mradi wa Kituo cha Gesi Asilia kwa matumizi ya Nishati Safi Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Machano Othman Said, imezuru Ofisi za Baraza...

Benki ya Dunia yaahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kuendeleza miradi ya kimkakati

Na. Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Benki ya Dunia imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kuendeleza miradi ya kimkakati inayolenga kutumia fursa zilizopo katika Ushoroba wa Kati (Central Corridor) ili kuchochea ukuaji wa uchumi, kuongeza ajira na kuleta maendeleo kwa wananchi...

Kunenge: Uzinduzi wa JNHPP ni historia mpya ya nishati Tanzania

Na Mwamvua Mwinyi, JamhiriMedia, Pwani MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema uzinduzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), unaofanyika Agosti 22, mwaka huu, wilayani Rufiji, ni hatua kubwa ya kihistoria katika kuimarisha upatikanaji wa nishati...

NeST yatoa zabuni za trilioni 40.4/-, makundi maalum yanufaika bilioni 56/-

Na Dot Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma MFUMO wa Ununuzi wa Umma Kielektroniki (NeST) umewezesha kutolewa kwa zabuni 397,395 zenye thamani ya Sh40.4 trilioni tangu kuanza kutumika, huku vikundi maalum 27,946 vikinufaika na zabuni zenye thamani ya Sh56 bilioni. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka...