RSS Amplifier

Blog

HUHESO DIGITAL BLOG

Huheso ni blog bora kwa habari za siasa, ajira, michezo, magazeti, matukio na tenda.

huheso.co.tzSource feed ↗10 posts

Overdue Last read · last published · next check
Last read 10 hours ago, longer than this feed's 1 hour schedule.

Written by

Latest posts

(untitled)

MBOI MHITA: SHINYANGA KUHAKIKISHA HAKUNA UHABA WA MADARASA, MADAWATI NA VITI Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amesema mkoa huo unaendelea kukagua na kuboresha miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo miradi ambayo Mwenge wa Uhuru utapita, huku akisisitiza kuhakikisha hakuna uhaba wa madarasa, viti, meza na madawati katika shule za mkoa huo. Mboni amesema baada ya kukabidhiwa Mwenge wa Uhuru…

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI AGOSTI 20, 2026

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

Tanzania Yaahidi Kulinda Haki za Wafanyakazi na Kuboresha Mazingira Salama ya Kazi

Tanzania imeahidi kuhakikisha inalinda haki za wafanyakazi wanaohamia nje na kuwapatia mazingira salama ya kazi. Ahadi hiyo imetolewa Agosti 18, 2026 jijini Dodoma na Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu, wakati akizungumza katika mkutano wa Jukwaa la Mawaziri na Kamati ya Kikanda ya Ushauri wa Kitaalamu na Sekretarieti kuhusu Uhamaji wa Nguvu Kazi. Alisisitiza…

TANZANIA NA DRC ZAKUBALIANA KUONGEZA KASI YA MIRADI YA UCHUKUZI NA BIASHARA

Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia makubaliano rasmi ya kuongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya uchukuzi inayounganisha nchi hizo mbili kwa lengo la kupunguza muda na gharama za usafirishaji wa mizigo sambamba na kupanua wigo wa biashara na uwekezaji kwa manufaa ya pande zote mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa leo katika Ikulu Ndogo iliyopo Zanzibar wakati wa mazungumzo rasmi…

LUKA Yapongeza Tanzania kwa Kushirikisha Wataalamu wa Afrika kwenye Tume ya UchunguziL

Jumuiya ya Kifalme ya Afrika (League of United Kingdom of Africa - LUKA) imepongeza uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kuwashirikisha wataalamu wa sheria na majaji kutoka nchi nyingine za Afrika katika Tume ya Uchunguzi wa Kijinai inayochunguza matukio ya vurugu na uhalifu yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Katika tamko lake, Jumuiya hiyo imesema kuwa hatua hiyo ni…

Bilioni 600 Zilizowekezwa Chalinze-Dodoma: Mapinduzi ya Kiuchumi na Usalama wa Nishati Nchini

Kukamilika kwa mradi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma kunaashiria hatua kubwa ya kimkakati yenye tija za kipekee kwa maendeleo ya kiuchumi na ufanisi wa huduma nchini. Kupitia uwekezaji huu uliogharamiwa kwa asilimia 100 na Serikali ya Tanzania kwa takribani Shilingi bilioni 600, nchi inaonesha uwezo mkubwa wa kujitegemea katika kutekeleza miradi…

MADAKTARI SRI LANKA WAONDOA JIWE LA KILO 3.1 KWENYE KIBOFU CHA MWANAUME

Madaktari Nchini Sri Lanka wamefanya upasuaji wa kuliondoa jiwe lenye uzito wa kilo 3.1 kwenye kibofu cha mkojo cha Mwanaume mwenye umri wa miaka 55. Upasuaji huo umefanyika katika Hospitali Kuu ya Trincomalee, Mashariki mwa Sri Lanka, baada ya Mwanaume huyo kulazwa hospitalini kufuatia kupata kiharusi ambapo Madaktari waligundua tatizo hilo baada ya kubaini kuwa alikuwa akipata changamoto wakati…

VIKUNDI VYA CBRM VYATAKIWA KUWA WALINZI WA BARABARA ITILIMA ‎

‎Itilima, Simiyu ‎ ‎Vikundi vya kijamii vinavyotekeleza matengenezo ya kawaida ya barabara kupitia Mpango wa CBRM unaotekelezwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) vimetakiwa kushirikiana na wananchi katika kulinda na kutunza miundombinu ya barabara ili iweze kudumu na kuendelea kutoa huduma kwa jamii. ‎ ‎Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mhe. Anna Gidarya wakati wa…

MAGAZETI YA LEO JUMATANO AGOSTI 19,2026

https://account.jubna.com/en/rferl/MTk0ODA~

DIWANI ZACHARIA SOKO AKABIDHI PHOTOCOPY MACHINE YA SH MILIONI 3.5 KWA SHULE YA MSINGI ANDERSON MSUMBA

Diwani wa Kata ya Majengo, Zacharia Soko, akabidhi mashine ya kisasa ya photocopy yenye thamani ya Sh milioni 3.5 kwa Shule ya Msingi Anderson Msumba Na Neema Nkumbi Diwani wa Kata ya Majengo, Zacharia Soko, amekabidhi mashine ya kisasa ya photocopy yenye thamani ya Sh milioni 3.5 kwa Shule ya Msingi Anderson Msumba, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia…